Mungu atakulinda lisu mungu atatuvusha haki haijifishi hata ukiizika haki itafufuka
@tinyaanosiatha11183 жыл бұрын
Fatuma karume umeongea ukweli. Wakati wa jpm chadema walifyata mkia. Leo ndo wanaanza kufufuka tena. Kwa vile yuko samia. Wanamudharau sana na wanapuchi. Samia naye amewashutikia yuko vizuri amewageuka.