Tunakuombea kwa mwenyezi mungu azidi kukulinda na kukujalia uwezo mkubwa na afyà njema zaidi, akupe ujasili na uyimara zaidi wakuwa kiongozi bora na mwenye mfano hapa duniani, yy ndo akawe nguzo ya moto mbele yako lisu,mana yy peke ndo ajuwaye kesho yako aminaaaaaaaaa
@JoelRichard-hj3biАй бұрын
TUNDU LISSU IS MY PRESIDENT TILL THE ENDS OF MY DEATH, HUYU MWAMBA HAZEEKI AKILI YUKO SMART KABISAAA ♥.
@FrenkMushi-i7fАй бұрын
Mi naona km hi nchi watu wanajali maslai yao Zaidi raic samiya yeye kakaa kimy tu
@albethoildefonce9117Ай бұрын
Hii nchi inaongozwa kimabavu Tanzania sio nchi ya kidemocrasia kabisa bali ni nchi ya Kidikteta kabisa kwa haya tunayofanyiwa wabanchi
@johnkaliwanje434Ай бұрын
ni kwel kabisa
@florencejohn6427Ай бұрын
Mwandishi huna maana kwa sababu husikiki. Hasa ulienda kumhoji kwa faida yako tu? Mshamba wewe
@MmohamediSaidiАй бұрын
Tako lako
@florencejohn6427Ай бұрын
@@MmohamediSaidi mwenyewe
@yordanyona1234Ай бұрын
Sheria imekaa vibaya sana ...tunaitaji msaada WA kisheria kama ni hivyo mmmh tusaidiwe na wanasheria panapovuja pawekwe sawa
@albethoildefonce9117Ай бұрын
Ni kweli kabisa kaka pia watanzania sasa inapaswa tuamke tupiganie haki zetu pia tuje kwa pamoja tupaganie kuipata katiba mpya ambayo ndio itakuwa mkombozi na suluhisho la haya mateso na ukandamizaji wote tunaofanyiwa wananchi,nina imani Tukiungana kwa pamoja tutafanikiwa..pia tukiacha uoga tutapata Suluhu.