Chagueni || Dodoma Adventist Chorus

  Рет қаралды 37,445

Dodoma Adventist Chorus

Dodoma Adventist Chorus

Күн бұрын

Yoshua 24:14-15
Basi sasa mcheni BWANA, mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli; na kuiweka mbali miungu ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, na huko Misri; mkamtumikie yeye BWANA.
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
Lyrics
Ee Israeli Leo ninataka ukumbuke
Nilipokutoa hadi nilipokufikisha
Nilisikia kilio chako ulipolia
Utumwani Misri penye mateso na huzuni
Ndipo niliponyosha mkono
kukuokoa hata kukusamehe
Lakini ulipofanikiwa ukageukia miungu mingine
Oh Leo hii nataka tufanye agano
Kama ni rehema nimeshazitoa
Je ni Nini sijakifanya?
Chagueni hivi leo mtakayemtumikia maishani mwenu
Je ni Mungu aliyewatoa utumwani?
Ooh
kumbukeni alivyowavusha katika bahari na kuwapa chakula.
Mimi na nyumba yangu tumemchagua,
nakushauri nawe umchague.
Ee mwanadamu Bwana Mungu leo anasema
Je Mimi si Mungu ninayekutakia mema?
Ni Mara ngapi nimejaribu kuwakusanya
Kama kuku akusanyavyo vifaranga vyake
Tambua nimeshafanya yote
Kuokoa nafsi yako 'sipotee
Hata kumtoa Yesu afe
Ili kulipa deni la kifo chako
Oh! Na zaidi (Oh na zaidi)
Nimekupa ahadi Tamu
Ahadi ile ya uzima milele
Siku Yesu atakapokuja.
Basi chagueni
Chagueni hivi leo mtakayemtumikia maishani mwenu
Je ni Mungu aliyewatoa utumwani?
Ooh
kumbukeni alivyowavusha katika bahari na kuwapa chakula.
Mimi na nyumba yangu tumemchagua,
nakushauri nawe umchague.
Artist: Dodoma Adventist Chorus
Song Title: Chagueni
Audio Mixing and mastering: BJ Brand
Video: RJ Studio (Mr RJ)
Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com
CONTACTS
+255 746 698 570
+255 622 309 142
You can also find us on:
Audiomack: audiomack.com/...
Instagram
/ dodomaadventistchorus
and all digital platform.

Пікірлер: 182
@simonmkama4844
@simonmkama4844 9 ай бұрын
The Song Is sooo niiiceeeee
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you brother 🙏😇
@elihudimbonea4940
@elihudimbonea4940 9 ай бұрын
Kama unabarikiwa na nyimbo hizi kutoka Pande za Dodoma ...gonga like tuwasapoti ...wenzetu.. kwa kweli vijana wapo vizuri sana
@amannkondo5232
@amannkondo5232 9 ай бұрын
Sanaaaaaaaaaaaaaa
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Bwana apewe sifa🙌💙
@JoshuaMahaba
@JoshuaMahaba 6 ай бұрын
Nabarikiwa sana kwa uimbaji wenu, mna uimbaji unaonivutia, mungu awabariki sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen. Bwana akubariki pia 😇💙
@GloriaKahindo-v5c
@GloriaKahindo-v5c 5 ай бұрын
Amina❤ mwenyezi mungu awabariki
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 5 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki pia 🙏😇💙
@eliyahclay4461
@eliyahclay4461 Ай бұрын
Maneno yana sikika vizuri sana utulivu safi kabisa
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus Ай бұрын
Be blessed 🙏😇
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu ndugu zangu. Uimbaji wenu na muziki wenu kwa ujumla ni wa viwango vya utukufu wa mbinguni, sauti haziumizi masikioni, muziki una mwafaka mzuri na ujumbe ni wenye kuongoa.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen💙🙌 Bwana asifiwe Sana kwa hilo🙌
@A_F_M_
@A_F_M_ 9 ай бұрын
God bless you guys, huwa nasikiliza muziki wenu na nyimbo zenu aisee huwa na barikiwa sana Mungu awabariki sana, mpiga kinanda MJ_MUSIC_CLASSIC na team yenu yote Mungu awawezeshe muendelee kuleta baraka zaidi ya hii nyimbo❤❤🎹🎶🎼🔥🥰
@dainesstungaraza6309
@dainesstungaraza6309 9 ай бұрын
Amen❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you brother 🙏🙏
@samwelmwazini
@samwelmwazini 9 ай бұрын
Hallelujah... the message that never loose its power
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. We are so humbled brother. God bless you 💙😇🙏
@rachelkabora6063
@rachelkabora6063 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana Vijana, katika Dunia ya Leo iliyojaa changamoto nyingi pia uovu endeleeni kumchagua Bwana, mbarikiwe wote
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amina. Bwana akubariki pia 🙏😇💙
@alphaxardyona6940
@alphaxardyona6940 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
😇🙌💙
@johnnewland9910
@johnnewland9910 9 ай бұрын
Who is cutting onions here, I’ve just felt some drops here, oooh God!🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@sandrakapendezo1928
@sandrakapendezo1928 9 ай бұрын
Alto line❤ Mbarikiwe. Mungu azidi kuwa nanyi na azidi kuwaongoza mnapomtumikia❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen😇🙏
@furahanzigayene5489
@furahanzigayene5489 9 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Hii tamu hatareeeeee
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. To God be the glory 😇👋
@charlesmweli4496
@charlesmweli4496 15 күн бұрын
God bless Dodoma -katavi jimbo la Kavuu USEVYA tunawapata vizuri mno
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 14 күн бұрын
Amina. Bwana awabariki Sana huko👋💙😇
@thewarriorsvoices
@thewarriorsvoices 9 ай бұрын
Amen. Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Bwana awabariki pia😇💙🙏
@michaeldjeskin4251
@michaeldjeskin4251 9 ай бұрын
mmetuweka sana lakini,,sema u never disappoint
@amannkondo5232
@amannkondo5232 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@joshuahenry8893
@joshuahenry8893 9 ай бұрын
Wadau mbona mmepungua?
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Bwana akubariki kwa uvumilivu huo😇🙌
@Mussamika987
@Mussamika987 9 ай бұрын
Mbarikiwe
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amina. Bwana akubariki pia🙏😇💙
@dorithmasindi9080
@dorithmasindi9080 8 ай бұрын
You are amaizing and indeed Adventist chorus ❤❤❤🎉 #Favourite 💕
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Glory to God🙏😇💙
@iamseronga815
@iamseronga815 9 ай бұрын
🤭🙌🙌 unasikiliza adi unatak kulia.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Woooow 😇💙 Jina la Bwana litukuzwe Sana🙏🙏
@frankgeorgemadiwa4855
@frankgeorgemadiwa4855 9 ай бұрын
Even If........Never Disappoint...Mzidi kubarikiwa
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you brother.💙😇🙏
@erastokondi8520
@erastokondi8520 9 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🎶Mimi na Nyumba Yangu tumemchagua. 🙏🏾
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki Sana brother Erasto. Keep serving Him forever 🤝🙏💙
@sarahstanley2904
@sarahstanley2904 9 ай бұрын
🙏🔥😍
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
🙏💙😇
@dainesstungaraza6309
@dainesstungaraza6309 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana, tuliwamis sana this side. Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Tunafurahi kusikia hivyo. Mungu akubariki Sana dada Dainess😇🙏 Happy new year 2024🎉
@finihasimfikwa4449
@finihasimfikwa4449 9 ай бұрын
Be blessed 😇
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. May the Lord bless you too 💙😇🙏
@nicosanga1016
@nicosanga1016 9 ай бұрын
Mbarikiwe kwa kazi nzuri, kazi zenu zinanibariki sana, na zaidi zinanipa muda wa kutafakari ujumbe uliopo ndani yake . Be blessed abundantly Dodoma Adventist chorus
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Tunafurahi Sana kusikia hivyo. Mungu aendelee kunena Nawe zaidi 😇💙🙏
@KisaliGerald
@KisaliGerald 9 ай бұрын
Namchagua YESU ingali nikijua alinichagua kwanza! Nampenda sana YESU, ingali nikijua alinipenda upeo kwanza! Maranatha
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. That is so powerful. Mungu akubariki Sana 💙😇🙏
@jonathanmnale6627
@jonathanmnale6627 8 ай бұрын
Sauti ya Guitar❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Barikiwa Sana💙😇
@kewilnjoroge4184
@kewilnjoroge4184 6 ай бұрын
Nimeupata Kwa Moja ya mahubiri ya Mwalimu Marwa, Shukran mno
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen. Barikiwa Sana 🙏😇💙
@yeridaluhunga3562
@yeridaluhunga3562 9 ай бұрын
Hongereni...tunabarikiwa sana...
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Tunafurahi kusikia hivyo. Mungu azidi kuwabariki👋💙😇
@sabainyansiri4888
@sabainyansiri4888 4 ай бұрын
Wimbo mzuri na ujumbe makini. Mungu awabariki sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 4 ай бұрын
Amina. Bwana akubariki pia mtu wa Mungu 😇💙🙏
@gmcf8561
@gmcf8561 9 ай бұрын
Nimesubiria kwa muda mrefu sana kupata wimbo mwingine, nashukuru maombi yamejibiwa
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amina. Bwana akubariki Sana kwa uvumilivu huo 😇🙌💙
@nyasamibenias5430
@nyasamibenias5430 9 ай бұрын
Waoooo Bwana azidi kuwainua kwa viwango vya juu wimbo mzuri sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Thank you Nyasami and God bless you 😇🙌
@ssemandaadrian2590
@ssemandaadrian2590 6 ай бұрын
I like the dynamics of this song. God bless you as you continue serving Him
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen. God bless you too 🙏😇💙
@josiajekonia5540
@josiajekonia5540 9 ай бұрын
Mbarikiwe sanaa ujumbe unaoishi
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. To God be the Glory 😇💙🙏
@jordanquotes4041
@jordanquotes4041 9 ай бұрын
Amen 👏👏
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen🙏💙
@NicholausPaula-g5x
@NicholausPaula-g5x 6 ай бұрын
Ubaya wa huu wimbo ni kwamba unaisha,.. be blessed you guys..
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa sana🙏👋
@imimwazini
@imimwazini 9 ай бұрын
At it again Wow just wow❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen!💙 God bless you brother 👋😇
@simonmbwana5474
@simonmbwana5474 9 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾 great way ya kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpyaaaa 2024 ni kumchagua Bwana ......mbarikiwe wajoli.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Bwana akubariki Sana pia. Happy New Year 🎉
@martinpius9212
@martinpius9212 9 ай бұрын
Nawapenda sana! Napenda arrangement ya nyimbo zenu na upigaji wa ala ya muziki imekaa vizuri sana! Mungu awabariki mfike mbali sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Tunafurahi kusikia hivyo. Bwana akubariki Sana pia. Happy New Year to you🎉
@martinpius9212
@martinpius9212 9 ай бұрын
Huu wimbo umekuwa mbaraka kwangu mwanzoni mwa mwaka huu na imekuwa ahadi yangu kwake
@onlyacappellaallowed1743
@onlyacappellaallowed1743 6 ай бұрын
Blessings 🙏🏾
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen🙌
@deborahkemunto1433
@deborahkemunto1433 6 ай бұрын
Amen, I am choosing God together with you
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen. You've made a great choice 🙏💙😇
@simonmmbaga678
@simonmmbaga678 6 ай бұрын
you guys you know what your doing..be blessed
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 6 ай бұрын
Amen. To God be the Glory 🙏💙
@dotomayunga1211
@dotomayunga1211 9 ай бұрын
Be blessed I was waiting for a song from you before the new year 🤗🤗
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God's timing is always perfect. Blessed brother 💙😇🙏
@ellymndima176
@ellymndima176 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen our brother Elysafi💙😇🙏
@Matson.M.M
@Matson.M.M 4 ай бұрын
Joyce katika ubora wako be blessed
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 4 ай бұрын
Amen. Amekuwa mbaraka kwetu😇🙏💙
@johnnewland9910
@johnnewland9910 9 ай бұрын
Home is where the heart is.............. God bless you DAC, this is a living blessing 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you and Happy New year to you, brother Newland🎉
@cleo_kibet
@cleo_kibet 7 ай бұрын
Amina!
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 7 ай бұрын
Amen😇
@georgeezekiel5639
@georgeezekiel5639 9 ай бұрын
My fav choir ❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen💙🙏
@dorismjema8006
@dorismjema8006 9 ай бұрын
Finally,nimewasubiri sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Mungu akubariki Sana kwa uvumilivu huo 😇🙌💙
@momylaviel
@momylaviel 9 ай бұрын
Nawapenda Sana jamaniiiiii❤❤❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amina. Tunakupenda pia. Happy New Year to you🎉🎉
@kelsvins6447
@kelsvins6447 2 ай бұрын
Natafuta album nzima ya hii choir..., soo deeply inspired!!
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 2 ай бұрын
Amen. Nyimbo zetu zote zipate kwenye hii playlist link. kzbin.info/aero/PL0jjhWfS1VG3B2fo889llsJwQ5hF4ZQqq&si=MAqGigxUXUeQwktH
@Mr.ProShackys-my6qo
@Mr.ProShackys-my6qo 9 ай бұрын
Dodoma adventist chorus my lovely team🙏🙏 be blessed
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen🙏 God bless you brother 😇💙🙏
@alfredmtunguja7938
@alfredmtunguja7938 9 ай бұрын
This song 🎵 gives me, enough room to meditate goodness of God over the year 2023 ( just 2 hours ago I've it on my playlist already) Be blessed very much.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Happy new year 2024🎊👋💙
@richiusfrancisco9244
@richiusfrancisco9244 9 ай бұрын
May God bless this choir! You guys please continue to serve God with whole heart! ❤❤❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. We are honored to serve Him. God bless you too😇💙👋
@maingujunior985
@maingujunior985 6 ай бұрын
Amen Amen
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 5 ай бұрын
Amen. Be blessed Brother 👋💙
@Uk0382M
@Uk0382M 9 ай бұрын
Beautiful
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you 💙🙏
@happymayunga3725
@happymayunga3725 8 ай бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe..naomba kuuliza mbona mmerecord wachache kipindi hiki
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe pia.👋🙏 Kwa wakati huu Mungu ameruhusu tuwe wachache.
@tirizabenjamin5349
@tirizabenjamin5349 8 ай бұрын
Kazi ya Mungu imefanyika kwa Utulivu. Mbarikiwe🙏
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. Bwana atukuzwe Sana 🙏💙😇
@LENATHALeny
@LENATHALeny 15 күн бұрын
Nabarikiwa sana na hu mwimbo na wimbo wa safisha njia, Mungu awabariki sana kwa huduma
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 14 күн бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa 💙🙏😇
@SmilingChihuahua-qo7qu
@SmilingChihuahua-qo7qu 4 ай бұрын
Am ur neighbour apah moro town i can hear wonderful voice from i wanna join ue but am still a student but i wish oneday nitakuw nanyi❤❤❤❤❤❤❤❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 4 ай бұрын
Amen. May the Lord keep you safe.🙏👋💙
@TheresiaJohn-dy1op
@TheresiaJohn-dy1op 8 ай бұрын
Nilikuwa nimelala asubuhi mdogo wangu akaplay hu wimbo kwa mara ya kwanza kuusikikiza niliupenda sana nilihisi amani sana.Mbariwe sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Tunafurahi kusikia unabarikiwa.😇💙
@jacksonpetro9558
@jacksonpetro9558 4 ай бұрын
Mungu awe nanyi daima. Nyimbo zinabariki na kufariji Sana😍❤️🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿💞💞
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 4 ай бұрын
Amen. Tunafurahi kwa namna unavyobarikiwa😇🙏💙
@Rikozc
@Rikozc 8 ай бұрын
Thank you for the music..God Bless You
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. God bless you too💙🙏😇
@juliuskambarage6475
@juliuskambarage6475 8 ай бұрын
So sweet, and unique you guys mmeshajiwekea ur style, mmeshakua the foundation of this korean style 😀✌ congrats sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen😇 God bless you🙏💙
@EmmanuelGilbert-r3o
@EmmanuelGilbert-r3o 8 ай бұрын
Mbarikiwe sana ndugu zangu, tunabarikiwa tukiwa zambia
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. God bless you there👋💙😇
@omieso_hanun
@omieso_hanun 8 ай бұрын
I believe this piece of music is so incredible that if a cat were to listen to it, it might just transform into a dog and eventually evolve into a lion. The piece is truly lit and has the potential to ignite a powerful transformation!...#kenya we in.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. Be blessed brother 🙏😇💙
@DeeOseko
@DeeOseko 8 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana. Muundo wa mziki umeandaliwa vilivyo. Mbarikiwe sana
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe zaidi😇🙏💙
@christinamdimi108
@christinamdimi108 9 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏾 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you Christina 👋🙏😇
@DanielKulevisanza
@DanielKulevisanza 8 ай бұрын
Mubarikiwe sana kwa nyimbo hizi tamu
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Bwana atukuzwe Sana 😇💙🙏
@amannkondo5232
@amannkondo5232 9 ай бұрын
Hii ni kubwaaaa asee, kuleni maua yenu🎊🎊, Mungu azidi kuinuliwa na kutukuzwa kwa ajili yenu wajoli wake, Amen 🙏
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Bwana akubariki Sana pia brother Amani.😇💙🙏
@sabatoelia312
@sabatoelia312 8 ай бұрын
Wengine wanaweza wezajeee imba hv💝💝🥰🥰🥰
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Bwana apewe sifa 💙😇🙏
@elihudimbonea4940
@elihudimbonea4940 Ай бұрын
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus Ай бұрын
Amen. Zidi kubarikiwa 👋😇💙
@RDCBENIDATA
@RDCBENIDATA 5 ай бұрын
FROM DRC, BENI BE BLESSED CHOIR
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 5 ай бұрын
Amen. God bless you too 💙🙏😇
@MaryOndigi
@MaryOndigi 5 күн бұрын
Mubarikiwe sana🥰
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 3 күн бұрын
Amen. Ubarikiwe pia 😇🙏💙
@merymbwambo7954
@merymbwambo7954 9 ай бұрын
Nabarikiwa Sana kupitia nyie
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. Zidi kubarikiwa Sana😇💙🙏
@lydiamasatu7874
@lydiamasatu7874 8 ай бұрын
Mbarikiwe Dada zangu
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Ubarikiwe pia 🙏💙😇
@josephnelson2860
@josephnelson2860 8 ай бұрын
Nabarikiwa sana be blessed
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa kaka Joseph 😇🙌🙏
@phiniasmanoko2962
@phiniasmanoko2962 8 ай бұрын
Mzidi kuishi Sana ,,🙏🤝
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. Glory to God😇🙏
@SamwelJuma-w3e
@SamwelJuma-w3e 8 ай бұрын
GOOD ARRANGAMENT ALSO VOICES GOD BLESS YOU MORE.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen. God bless you too😇💙🙏
@princeyumba
@princeyumba 2 күн бұрын
Amen
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 2 күн бұрын
💙
@opapasteve7036
@opapasteve7036 4 ай бұрын
Amen
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 4 ай бұрын
Amen💙🙏
@BarakaKanyere
@BarakaKanyere 8 ай бұрын
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
💙🙏
@LinkMediatz
@LinkMediatz 8 ай бұрын
nicee
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen💙😇🙏
@DainesLuwumba-xh8es
@DainesLuwumba-xh8es 8 ай бұрын
MBARIKIWE
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe pia😇💙🙏
@barakajoseph7175
@barakajoseph7175 8 ай бұрын
Nimekua nikibarikiwa na nyimbo zenu tangu nilipoanza kuskiliza, Asanteni kwa playlist mpya.... Mibaraka irudi na kwenue pia zaidi na zaidi😊😊😊🔥🔥🔥🙏
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen! Bwana atukuzwe Sana 🙏😇💙
@greggjames2166
@greggjames2166 9 ай бұрын
To God be the glory. What a great piece of music to listen to on the first day of the new year 2024. God bless you all.
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you too and Happy New Year to you🎉🎉
@_theboldtruth
@_theboldtruth 8 ай бұрын
Another masterpiece ❤
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 8 ай бұрын
Amen.💙🙏😇
@Director_Hermz
@Director_Hermz 9 ай бұрын
A big Amen to this Song
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen💙😇🙏
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 ай бұрын
Ohh Halleluyah the blessing is Wow
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 9 ай бұрын
Amen. God bless you brother Tossy💙😇🙏
Nahodha || Dodoma Adventist Chorus
4:49
Dodoma Adventist Chorus
Рет қаралды 32 М.
Safisha Njia || Dodoma Adventist Chorus
5:39
Dodoma Adventist Chorus
Рет қаралды 50 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 130 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 72 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
CHAGUENI BY MAGENA CENTRAL SDA CHOIR
5:48
MAGENA CENTRAL CHURCH CHOIR
Рет қаралды 121 М.
NIWE BARAKA -  TUCASA SUA  ( OFFICIAL VIDEO 4K)
5:20
TUCASA SUA CHOIR
Рет қаралды 30 М.
CHINI KABURINI | OFFICIAL VIDEO 4K |  KISEKE SDA CHOIR
5:39
Kiseke SDA Media
Рет қаралды 2,1 М.
TAZAMA MUNGU NDIYE ANAYENISAIDIA || J.MGANDU (Official HD Video)
4:17
The Galaxy Pro
Рет қаралды 1,3 МЛН
PART 1-OMBI LILILOLETA USHINDI |PR.DAVID MMBAGA|
45:45
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 20 М.
Nifundishe Ministry I Sabato Tamu Ft Lissa I Namsifu I Lispa & Elisha Tanu
4:18
Rutuma ndirimba || James&Daniella
9:10
JamesDaniellaTv
Рет қаралды 521 М.
NYOTA - The Light Bearers Tz, OFFICIAL VIDEO 2023
4:43
The Lightbearers Tz
Рет қаралды 126 М.
Neema Gospel Choir - Nguvu Yetu
5:06
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 333 М.
Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus
5:01
Dodoma Adventist Chorus
Рет қаралды 47 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 130 МЛН