Huu wimbo umenijia akilini wakati nikiwaza vitu vingi na nikiumia sana nafsini mwangu najua Mungu anasababu kwann niuwaze huu wimbo saa hii.......nakushukuru Mungu maana najua unaniwazia mema.Amen.
@rahimjohn38782 жыл бұрын
AMEEN 🙏🙏
@joyceshiyo7257 Жыл бұрын
Yani unafariji Sana huu wimbo
@jerrydanstan2539 Жыл бұрын
Ameen 👏
@mbarakanyamaishwa218 Жыл бұрын
Kiukweli naupendasana wimbo huu unaamsha isiazangu
@melesimacha-gw4kk Жыл бұрын
Amina watu wa Mungu
@luchiusmwijage2863 Жыл бұрын
hongera sana kwa sauti zenu nzuri Mungu awabariki
@tetritetrino693 Жыл бұрын
Eee Mungu wangu angalia kuteswa kwangu, Wala usiziangalie dhambi zangu maana Mimi ni mdhambi, naomba usiniruhusu nikawahukumu wengine ingali ningali dhambini, Bwana wangu na mwokozi wangu tazama ulimwengu na mambo yake Bwana yamenielemea msaada wangu na tegemeo langu ni wewe Bwana wangu Sina tena pa kukimbilia Wala pa kuuficha japo unywele wangu, Bwana nakuomba usinische ktk wakati huu mgumu kwangu, nakuomba Wala si lazima uyafute makosa yangu kwenye kitabu chako Cha hukumu ukaandike jina langu ktk kitabu Cha haki yako. Amina!!!!
@OctaviusMjuni-fv4zd Жыл бұрын
Wimbo bora Sanaa kiukwelii unatoa matumaini Kwa waliokata tamaa
@josephinegravasiano88602 жыл бұрын
Naamin hata kama napitia changamoto za kiafya Mungu atanitegemeza, Amina
@remymkoni79822 жыл бұрын
Hakika Mwalimu Alifunuliwa katika utunzi wake na zaburi. Apumzike Kwa amani
@emmanuelisanda1449 Жыл бұрын
J. MGANDU, J. Makoye, PF Mwarabu and S Mjwahuki were really on another level of composition. I also miss the way Innocent Mushi played the keyboard
@cosmascastory91933 ай бұрын
Am proud to be a catholic,,,,,Nyimbo inanifanya nifarijike sana ninapoisikia jamani nakumbuka wakati nipo Mwanakaya sauti ya Tatu
@amonidafa96652 жыл бұрын
Yeyote anayeliitia jina la Yesu akapokee sawasawa na hitaji la moyo wake...
@elvismtatiro Жыл бұрын
Kwa Nini huu wimbo huja wekwa boom play jmn Nime utafuta bila mafanikio Huuu wimbo unani bariki sana Kila ninapo pitia nyakati ngumu 🙏🥺
@iddamabaraza2101 Жыл бұрын
I have listen to a several times but let me comment this song someone might like my comment or. Reply to my comment it will always reminds Me that mungu Ndiye anaye nisaidia ameen😢
@dafrosamsonge20072 жыл бұрын
Nani Yuko hapa na Mimi end of 2022 to 2023 tukiomba nafsi zetu zitegemezwe na Mungu pekee
@paulonyaki5512 Жыл бұрын
Asanteeni Sana wimbo Huu nikiusikiliza unanitia nguvu mbarikiwe Sana
@edwinrichard89403 жыл бұрын
Had nauskilizia moyon jaman, ashukuriwe Mungu kwa uwepo wa watu hata mnanibariki wapenz
@mwesigemkanilwa82413 жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristo. Pongezi kwenu ila sifa zaidi kwa Despina Mdende, kwangu sina zaidi ya kumwombea afya njema maana natamani kausikia sauti yake akiimba live. Hope one day.
@despinamdende96512 жыл бұрын
Asante ubarikiwe sana.🙏🙏
@filbertnzota64962 жыл бұрын
Sauti ya Huyu Dada inanikumbusha mbali sana hasa miaka ya themanini hongera sana
@frolencesimchile4719 Жыл бұрын
mziki wenu umebadirisha mfumo wangu wa maisha kabisaaaaaaaaa, mungu azidi barikiaaaaaaaaaaa
@bimulokagera6223 жыл бұрын
Kila nikiwa na matatizo makubwa sana namkumbuka Despina sauti yake hasa wimbo huu Mungu akubariki sana
@jamesmigaya5839 Жыл бұрын
Good tenor and sop indeed nimeipenda 🎊🎉😍 wimbo huu unanitia motisha kuendelea kumwamini Mungu🙏asanteni kwa wimbo mzuri
@ezradastan41672 жыл бұрын
Ooh catholic🙈🙈🙈🙈🙈❤️❤️❤️❤️❤️❤️GOD bless you
@urassa_g3 жыл бұрын
Nimependa sauti zilivyopangwa ... Imenikumbusha those days nikiwa utoto wa yesu we used to sing this song
@frankmpole36283 жыл бұрын
Nice song dada Despina na kundi lako, Mungu azidi kuwainua zaidi
@anthonyngwebeya9560 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo hizi
@basmm1094 Жыл бұрын
Mungu ndiye anaenisaidia
@ldyidiajohn26073 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,nabarikiwa Sana
@paulinesiara68942 жыл бұрын
Kwa kweli mwache Mungu aitwe Mungu very nice song
@taatugarukire97722 жыл бұрын
Kabisa, Mungu asifiwe!
@kwekalucasferan3 жыл бұрын
Congrats sana wakuu, hongera dadangu Despina, hongera Shifu (Patiu) hongereni Peter Perfect, Joseph Genuine. hongereni sana GalaxyPro
@muokiluvai98332 жыл бұрын
Nalibariki jina la Mungu
@shalineatieno85802 жыл бұрын
Anastasia if there is ever a singer just amazing and inspiring ni wewe 👏
@johnmakotha56653 жыл бұрын
Despina wewe unajua sana kuimba Mungu aendelee kuilinda sauti yako na kipaji chako.
@felixmwirigi631 Жыл бұрын
Wimbo wenyewe unapendeza. Good job.Your songs are always so nice.Keep up
@kosseysuzie9122 жыл бұрын
Mungu ndiye anaenisaidia hakika in up&downs yeye pekee hata tunapokosa msaada wakibinadamu ye pekee hutupa tumaini jipya, be blessed🙏
@alexiskamatebyanzira1302 Жыл бұрын
Wimbo huu nausikiliza mara mingi kwa siku. Wanifariji maishani mwangu.
@SelinaMwinuka-pq2bf Жыл бұрын
Tazama Tazama mungu ndiye anayenisaidia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mababarutoki42232 жыл бұрын
My late husband likes it so much. He passed on last year I am crying 😢 to hear the song. Miss you 😘
@vitalismarunda67602 жыл бұрын
Verry sorry my dear Trust in God
@barnabasshemelelwa57302 жыл бұрын
So sorry, just hold on because the Lord is OUR HELP!
@hellenamedia3470 Жыл бұрын
Pole. May He rest in Peace...
@imanihaitv66823 ай бұрын
Mungu atamtegemeza nafsi yake. Tumaini tu
@AnnaKyalo-hu1xv3 ай бұрын
Hugs darling 😢😢
@victorsimon589819 күн бұрын
Nani anabarikiwa na huu wimbo wakatii huu tunapo malizia huu mwaka 2024
@laurentlugema5933 жыл бұрын
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya!!!! Hongereni sana kwa utume uliotukukaaaa ❤️🥰
@mandela5ramadhani353 жыл бұрын
Catholic hit different❤️❤️❤️❤️💋
@johnsonpaul63713 жыл бұрын
Hakika sio kwa ujanja wetu sie wanadamu Bali Ni mungu pekee anayetusaidia ktk magumu na mapesi yetu yote hapa duniani
@alfredphantaleo45293 жыл бұрын
Despina kwakweli hongera kwakazi mungu aendelee kutunza kipajichako maana umetambua ulikujadunisni kwann
@paulmukhwana51812 жыл бұрын
Wimbo mtamu na WA kutafakarisha. Asante .
@josephmoyo56172 жыл бұрын
Thanks for a nice Song
@keshyfrancis14912 жыл бұрын
Asante Yesu Mwana Wa Mungu. Apewe sifa na utukufu nduniani. The song is never enough for me to listen 🎶. God bless you children of God.
@millicentmuya9641 Жыл бұрын
Amen...asifiwe Yesu..lisifiwe jina lake takatifu
@judiemdendejudiemdende42514 ай бұрын
Amen sifa na utukufu kwa Mungu.Despina Mdende tutafutane nami ni Mdende
@emilshayo44033 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu abariki kazi za mikono yenu, abariki sadaka ya sauti zenu...... Hakika mmeutendea haki wimbo wa baba Mgandu, Dada Despina,......mabeti umetunyoosha mama, Hongereni
@veronicabathoromeo98582 жыл бұрын
Kiukweli mpo vizur napenda sana nyimbo zenu zote
@CecyEbenezer2 ай бұрын
Hongera dadaangu nami pia natamani sana kumuimbia Mungu ila naamin wakati wangu utatimia naombeni dua zenu
@pendopeter17902 ай бұрын
Miongoni mwa wimbo ninaoupenda kweli kweli 🥰🥰🥰🥰 Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji wa nyimbo nzuri.
@alphamwembia41362 жыл бұрын
Ni tamu sana kuimba na nota!!! Asante kwa wote
@elizabethallen52583 жыл бұрын
Nice Song 😍😍with a nice a voice...... Naupenda sana huu wimbo kiukweli 💞💞
@suzanakusuda3675 Жыл бұрын
Nostalgic
@mwariwanyingi57202 жыл бұрын
Soon niiiiiice....God bless you all... The composer, God bless you greatly.
@immaculatewanjala69964 ай бұрын
Tazama,Mungu ndiye anayenipigania ❤
@danielikessy81253 жыл бұрын
Ni mungu anayenisaidia tazama tazama kweli tazama asante kwa kusikia maombi yangu wimbo unaogusa moyo
@mkabwamanoko522810 ай бұрын
Mungu ndiye msaada wetu hatuwezi jambo lolote bila Yeye. Asanteni sana.
@sosomacharles99202 ай бұрын
Najivunia sana kuwa mkristo,pia mkatoric.❤❤❤
@JacinterBonareri-v5v3 ай бұрын
Huyo mjama mwenye anajesa kinanda nimesamuona live katika st John Paul huko matare
@neemabernard98633 жыл бұрын
Mungu atatusaidia siku zote leo kesho milele Daima♥️♥️🥰
@momanyidominic64372 жыл бұрын
Specially dedication to my late dad.cant stop to cry for you dad any time I listen to this song.
@Jacktonwafs Жыл бұрын
💓
@musagwakisa16922 жыл бұрын
Mungu ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
@richardsweduka7866 Жыл бұрын
Ewe mungu kupitia wimbo huu naomba uwafungue mioyo watu wote ninao wadai pesa zangu wanipe nipo kwenye hari mbaya ee mungu nisaidie 😢😢🙏🙏
@mussaconstantine31312 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri huu unatufanya kuwa karibu na Mungu wakati wote
@patrickmbithi56332 жыл бұрын
I can see my friends Joseph and Patiu, good work
@milkafrancis78592 жыл бұрын
Jamani mi huu wimbo naupenda sana na inanitowa machozi
@simonanthonykayombo69133 жыл бұрын
Daah kazi nzuri sana 💯✅ Nyimbo kama hizi ndio zinaturudishaga kwenye ukatoliki wetu sisi tunaopotea. Mungu awajalie neema ya utakaso na mioyo yao iwe myeupe hadi siku ya mwisho kama wanavyoonekana walioimba nyimbo hii.
@tomeejean84023 жыл бұрын
Mungu ni mwema kaka
@kerubocait28053 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@magdalenathobias52022 жыл бұрын
Umejuaje
@davey85442 ай бұрын
Catholic friends, we forever listening to this blessed song♥♥♥
@GraceJuma-cm2rk10 ай бұрын
Aliyetunga wimbo huu Mungu ambarikia sana, unanifariji sana hasa kipindi hiki Cha kwaresma👏👏👏
@josephinekatunzi98456 ай бұрын
Nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti sintoogopa mabaya maana ni Mungu pekee anaenisidia na kuitegemeza nafsi yangu.. Mzidi kubarikiwa sana the whole Choir crew❤❤❤
@NicholasNdunda-pw5zl Жыл бұрын
My favorite song...good encouragement🤝
@christophermwanji53183 жыл бұрын
God is strong enough with another hundred men ,,,, nabarkiwa sana an daaah
@reginamwendwa67094 ай бұрын
Proud of you father ubaki na hio roho ya ucha Mungu na rafiki yako Fr Karugenge nawapenda sana
@abelmgogo6685 ай бұрын
Ila huyu mzee mgandu bas tu yaani Mungu ampumzishe Kwa amani Maana nyimbo Zina utukufu wa mungu Ukisikiliza lazima ubarikiwe
@sarahkazungu9162 Жыл бұрын
Beautiful song, of course Mungu ndiye kila kitu..
@CharlesKazeze4 ай бұрын
Kama huna nyumbo za Despina kwenye kabati lako la nyimbo za kumsifu Mungu pole sana
@noelasalvatory24362 жыл бұрын
Kanisa katoliki la Segerea, nimekumbuka kanisa langu, MUNGU NDIE ANAENISAIDIA .
@LeonardElias-n6s6 ай бұрын
Kaz nzuri waimbaji mungu azidi kuwabariki mzidi pale mlipo,nyie ndio mnatufikishia ujumbe kwa njia ya kuimba hakika Kaz yenu no nzur mungu awe nanyi mpaka milele,❤❤❤❤❤❤
@msaghamwakamba81822 жыл бұрын
Wimbo Mtamu, Unatia moyo katika maisha. Kongole kwa umbaji Mzuri 🙏🙏.
@anoldzindonda72942 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki sana kwakufanya kazi yake kupitia nyimbo. Shukrani kutoka Zimbabwe 🇿🇼
@filbertnzota64962 жыл бұрын
Wewe dada unaweza. Keep moving you will reach to the sky.
@makongojohn73562 жыл бұрын
Despina sauti yako inanikosha mungu akubariki unaimba had raha Sana❤️
@habakkuketyangjoshua30913 жыл бұрын
Amazing... Wimbo huu unanibariki na kutuliza moyo. May you guys be blessed for a day and a half.
@maggymnatta89913 жыл бұрын
Mm pia nmebarikiwa kweli
@NasraHamis-ey2ff3 ай бұрын
Huu wimbo unanifaliji sana na kuamin kuwa mungu ndiye mwamba wa maisha yanguu
@victorjohn27238 ай бұрын
Hakika mungu ni mkuu,nakumbuka kilole ,korogwe tulipomzika monsinyori wangu Stanslous epimark Baruti ee mwenyezi mungu mrehemu mtu huyu
@dianalugusi77053 жыл бұрын
Waooh ......mpo vizuri wapendwaaa Mungu awabarikii
@lydiabitwale46174 ай бұрын
Mungu usikie maombi yangu maana unajua changamoto ninazopitia.
@hamisimaziku20799 ай бұрын
Kwa hakika huu wimbo imeniongezea imani kubwa sana mshukuriwe watuzi wa huu wimbo
@RevoAmos-qx3xx7 ай бұрын
Eemwenyezimngu ninakushukulu kwauzimaunaozidikunipatia katika shughulizangu zakila siku upendonakupatia ww pekee amina
@baltasartemu21533 жыл бұрын
Hongereni pakubwa sana. Hongera mdada unayeimba Ssuti ya kwanza. Hongereni wote mno.
@agnessaid78632 жыл бұрын
Mungu awabarik kwa nyimbo nzr naipenda san
@barasamuia78364 ай бұрын
Huu wimbo ulichezwa 3.08.24 Katika mazishi ya Babu yangu.Ulinigusa sana. Lazima nitaufanyia zoezi Kwenye kinanda Ili niwe naucheza Kila wakati Moyo wangu u mzito🙏🤲
@DieudonnéBAHATI-m8u2 ай бұрын
Mungu amukumbuke mtungaji wa nimbo iyi.
@josephatbwiru7939 Жыл бұрын
Mungu akufanyie uwepesi katika kutunga nyimbo,
@tonypiere35003 жыл бұрын
Nikisikizaga huu wimbo nahisi naongea na Mungu🙏🙏 b
@estermahenge-ks3dr11 ай бұрын
Mungu nisaidie tazama ww wajua aja ya Moyo wangu🙏
@anthonymgelwa4322 жыл бұрын
Kweli Mungu yeye ndiyo kila kitu kwetu Yatupasa kufuata yaliyo mema na kuacha mabaya
@jescamagubu52202 жыл бұрын
Tazama Mungu ndiye anayeisaidia familia tangy🙏🙏🙏
@martinmsendo95912 жыл бұрын
Wimbo huu una utukufu sana moyoni mwangu, na unanipa tumaini jipya wakati wote katika maisha yangu . Nausikiliza mara nyingi . Asanteni na mbarikiwe sana.
@niktajuma33072 жыл бұрын
mungu awabariki sanaaaaaaaaa kwakutukumbusha kua mungu ndie anae tusaidia
@euk10743 жыл бұрын
Aisee, Mungu awabariki, muendelee kumuimbia zaidi na zaidi!! Ahsanteni sana, tunamshukuru Mungu kwaajili yenu!!
@rozaliampoma20123 жыл бұрын
Hongereni kazi nzuri sana
@kemuntojosoro4486 Жыл бұрын
This song always consoles me amidst many struggles. Hakika Mungu ndiye anayenisaidia