NAKUPENDA SANA PASTOR MOYO WAKO UPO WAZI SANA HUPENDI ROHO ZA WATU ZIPOTEE NA KUANGAMIA TOFAUTI NA WENGINE, USIOGOPE TUNAZIDI KUKUOMBEA, MASOMO YAKO YANANIJENGA SANA PIA MUNGU HUYASIBITISHA. CHAKULA NI KITAMU MNO. BARIKIWA SANA
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu Kristo
@neemapetro6168 Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu MUNGU azidi kukubariki Kwa hili somo nzuri Sana.
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina Shujaa
@AnnaEmanuel-ko5ie Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu nmebarikiwa na neno la Mungu jinsi roho mtakatifu alivyo kuongoza ubarikiwe na Mungu akunze kwa ajiri ya utukufu wake
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina, pia usisahau kuanza na herufi kubwa unapoandika "Roho Mtakatifu"
@LonaActary Жыл бұрын
Bwana Yesu sante kwaajiri ya Mtumishi wako huyu Amina Mtumishi
Umeeleweka Sana,kwa aliyemnyenyekevu tu,ndiyo atakuwa amesikia na kukubali kubadilika
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ni kweli Shujaa wa Bwana Yesu
@AlfaeliahAlfaeliahАй бұрын
Hakika Pastor MUNGU AKUBALIKI KWA UJUMBE WAKO
@AlfaeliahAlfaeliahАй бұрын
Haukuwa mpango wa MUNGU kwa mwanadamu ale nyama.Usiue Mwenye haki huufikilia uhai wa mnyama wake bali katili ni kuua tu
@quintavitalis926 Жыл бұрын
AMEN AMEN , MUNGU AZIDI KUKUINUA PASTOR
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@goodvictoryeunice Жыл бұрын
AMEN! MWENYE SIKIO NA ASIKIE!
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Shujaa wa Bwana Yesu Kristo
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Kweli mwenye sikio asikie
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Amina mtumishi WA Mungu
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@SostenesMallya Жыл бұрын
Amina mtushi WA MUNGU NIKWELII vyote siyo saf Kuna mavazi mabovu
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu
@SostenesMallya Жыл бұрын
Mimi nina mpango was kununua Yang je ninue Sina gani
@SostenesMallya Жыл бұрын
Ninunue Sina gani
@SostenesMallya Жыл бұрын
Ninunue aina gani
@marthambarikiwa7811 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Amina
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Sasa mm nafuga nguruwe nifanyeje
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ameen Ameen
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Neema
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@elizamsemwa316111 ай бұрын
Sahamn mtumishi....naomba kuuliza Je mayai ya kuku wa kienyeji tunaluhusiwa kula??
@AlfaeliahAlfaeliahАй бұрын
Hailuhusiwi
@kalistamlomba Жыл бұрын
Amina mchungaji
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@MariaMwasyila-mq6yc Жыл бұрын
Nimekuelewa mtumishi Tena mnooo
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu
@tchiddyrichie3561 Жыл бұрын
Amen
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@GabrielLucas-rq8hb Жыл бұрын
Ubarikiwe san Mtumishi wa mungu
@peterpanyika6810 Жыл бұрын
KILA SOMO KUTOKA KWAKO LINA MSINGI WA KUJENGA NAFSI YA MTU...
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Sifa na utukufu ni Kwa Bwana Yesu Kristo
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd Жыл бұрын
Bwana ajakuongoza vizuri pastor karibuni utajua ukweli na uslim Allah akuongoze
@ErnestTomas Жыл бұрын
Allah ni shetani
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd Жыл бұрын
@@ErnestTomas ukikuwa utaelewa na utakuwa na busara izo ndevu na kipara ni vya ukoo ...
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
😂😂😂 akili yako mbovu sana uislamu wenyewe lazima wasome Bible
@AnnaEmanuel-ko5ie Жыл бұрын
Naomba unisaidie mtumishi ushauri mm naishi Tabora kanisa naloabudia mchungaji hakatazi mapambo na anapanda mazabahun na pete ya ndoa na wanawake na vijana walio wengi hawavai mavazi ya kujisitiri wala wanawake hawafuniki vichwa na hata kama wakivaa magauni marefu unakuta yameshonwa mitindo ya kidunia wenyewe wanasema fashion na yanakuwa na mashingo mapana naomba ushaur nifanye nn?
@PastorPeter00 Жыл бұрын
Kitendo cha kuona hayo maana yake ni Mungu amefungua ufahamu wako na kukuonyesha hayo kwamba sio sahihi na yeye hayupo hapo, omba kutoka na Mungu akupe kanisa sahihi
@Neemakilimba Жыл бұрын
Je samaki wasio na Gamba wanaliwa?
@PastorPeter00 Жыл бұрын
12 Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu. Mambo ya Walawi 11:12