Ni kweri dada na mimi niliunguzwa na maji ya moto saroni kusuka marasta na mimi roho iliniambia nisisuke rasta nisuke nywere za mkono
@LeahBahati-j8o18 сағат бұрын
Amen
@akothchristine475221 сағат бұрын
Amen glory glory hallelujah thanks for the wonderful massage Amiina
@akothchristine475222 сағат бұрын
YESU KRISTO atusaindie baba
@luenachannelКүн бұрын
Amen Amen Múngu atusaidie kwakwel
@ListonMwinukaКүн бұрын
Hallelujah, atukuzwe Bwana Yesu
@rowenalilie993Күн бұрын
Mungu atusaidie sana
@sarahmdindile4301Күн бұрын
Mmh! Mungu atusaidie.
@InjiliyaUfalmetvКүн бұрын
Bwana YESU tusaidie Hstuwezi peke yetu
@MarthaMwangi-o8oКүн бұрын
LORD have mercy
@jimmymushi-d8vКүн бұрын
Mungu atusaidie kwa kweli, shule za bweni huwa zina giza kubwa sana, nilithibitisha hilo tangu mwaka 2011-2016, kwa neema ya Mungu tunashinda na zaidi ya kushinda. Yesu ni BWANA hakika atatushindia na kukomboa wengine walio katika vifungo vya aina tofauti tofauti. Pia wapendwa tuwe makini na hizi filamu tunazoangalia na kuruhusu watoto pia kuangalia, nyingi huwa ni malango ya uoga, uzinzi na mapepo!
@FelixMwamlimaКүн бұрын
Amina mtumishi
@TumsifuJosephКүн бұрын
Amina sana
@ListonMwinukaКүн бұрын
Amina, ubarikiwe sana mtumishi nakupewa maarifa zaidi na Kristo Yesu
@AlfaMwahasanga-j1q2 күн бұрын
Siku inaanza jioni mtumishi wa Mungu
@rebeccamaingu66832 күн бұрын
Wamama wachungaji mpo smart mmependeza sana, Bwana Yesu awabariki sana
@rebeccamaingu66832 күн бұрын
Amen Amen
@rebeccamaingu66832 күн бұрын
Amen napokea salamu, nawapenda sana
@Galilayatz3 күн бұрын
Kwa hiyo siku inapokelewA tarehe moja mwezi wa kwanza saa 12 asubuhi si ndio?
@dicksonjames-u7t3 күн бұрын
Jamani mimi nauliza hata kama niliwahi kubatizwa kwa maji mengi naruhusiwa kurudia maana mimi nimependa huduma hii na nina uhitaji mkubwa wa kuwafikia au ni ombi langu na sisi kilimanjaro mtufikie jamani tuna kiu na kweli
@PastorPeter003 күн бұрын
KAMA UBATIZO ULIOBATIZWA SIO SAHIHI UNAHITAJIKA KURUDIA ILI UBATIZWE UBATIZO SAHIHI
@Priscus-w1o3 күн бұрын
Jambo tusilolijuwa kuhusu siku Mungu alitumia miaka 7000/kuiumba dunia maana sikumoja kwa mungu nimiaka 1000
@AlfaMwahasanga-j1q2 күн бұрын
Acha ujinga wa kiroho siku ni halisi na masaa yake 24. Acha upuuzi wa kimapokeo
@PastorPeter003 күн бұрын
Ayubu 38:12 2 Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?
@ThobiasPeter-oh7xz3 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu..hii iko sawa ingawa watu wengi hawatilii sana maanani katika majira sahihi ya Mungu.. Ni kweli kabisa siku huanza Asubuhi sikia pia Mungu Mwenyewe anamwambia Ayubu mtumishi wake yakwamba je umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Ayubu 38:12-
@ZaifatiMlisa3 күн бұрын
Mtumishi barikiwa naitaji uduma niko kahama
@PastorPeter003 күн бұрын
@@ZaifatiMlisa Ubarikiwe sana Tumia namba hii kwa mawasilano +255788592059
@sarahmdindile43013 күн бұрын
Amen, Hakika naamini baada ya huu mfungo sitakuwa kama nilivyo
@InjiliyaUfalmetv3 күн бұрын
Ameen
@venancerutta68753 күн бұрын
Huwezi kuyaondoa neno la mungu hilo unaliubilia umelikuta nani kaandika hayo binadamu???
@jimmymushi-d8vКүн бұрын
Hebu uliza swali tena ndugu...sijakuelewa nahofia kujibu nje ya swali lako
@WilbertMalula-vv7ml4 күн бұрын
WASABATO TUMEHUBIRI SANA HAYA
@FailaMwangaza-x5s4 күн бұрын
Veronika asikiliki kwanini?
@MarthaMwangi-o8o4 күн бұрын
Amen Amen
@DavisMpotwa4 күн бұрын
Biblia haina mwezi wa siku 31,28 au 29 miezi yote ya biblia ina siku 30
@barakabusima4 күн бұрын
Mtu wa Mungu ubarikiwe kweli siku zote Ina wafuasi wachache sana kama ilivyo Ile njia iendayo uzimani
@LindaMasanja-s3k4 күн бұрын
Hizi ni sherehe za shetani na wanozifanya maisha Yao Yako kwx shetani
@LindaMasanja-s3k4 күн бұрын
Dunia imedanganywa acha isubili kuchomwz moto tu make watu wabishi tutaimba mpaka lini wasikie hawataki hata lisherehe la kisimasi nalo limewekwa kuwa siku ya kuzaliwx mokozi
@rajeshndola4 күн бұрын
Thank you
@markomgogosi60934 күн бұрын
siku wala masaa hayatupeleki mbinguni
@DavisMpotwa4 күн бұрын
Ingekuwa hivyo Mungu asingehangaika kusema mpinga Kristo atabadili majira na sheria katika Daniel 7:25
@jofreykilangila41184 күн бұрын
Na ndo ukweli ila kunawatakaobisha. Waliifungwa. Hawajuwi kuwa huwo ulikuwa ni mwezi wa uhalibifu na ndo mwezi wake shetani wa kutoa makafala ndo maana maaajali yanakuwa mengi sana mwezi wa 12 ila watu hawajuwi
@FadhilZaharan4 күн бұрын
Ukweli mnaujua ila hamtaki kuufata wakristo wengi duniani wanasheherekea mwaka mpya huo ni ukafiri