😂😂😂😂😂😂😂😂😂 APANA BANA SURUARLI YAKO ILIKUA IMETOBOKA MDA 2 ATA KABLA HUJAANZA 😂😂😂😂
@ShabanSalingwa-t9i6 күн бұрын
Hahahaha kuchanganyikiwa
@omanoman20442 ай бұрын
Jamaa katoka kwenye majii hahahaha😂😂😂😂😂
@madjynakatembo98972 ай бұрын
Ninafurahia sana kutazama video zako kutoka Msumbiji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@omanoman20442 ай бұрын
Maashaallah karbu san dar essalm huko napataman siku moja nije kufanya biashara
@johnbravo27072 ай бұрын
Oyá mimi niko Lichinga uko Msumbiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@madjynakatembo98972 ай бұрын
@@johnbravo2707 Sawa, niko Palma Cabo Delgado 🇲🇿🇲🇿
@FaridaMchataАй бұрын
Sehemu gani
@emeliavalelian2 ай бұрын
Eti naenda kulala nyumban😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@beatussalim6068Ай бұрын
Nmecheka sn😂😂😂😂
@OmanBarka-f4d2 ай бұрын
Anashinda Kwa bwebwe zote jamani 😂😂😂😂
@SaidAli-t8g15 күн бұрын
Pesa Yako uliyoituma ndio umeenda
@kilogreek40502 ай бұрын
SULUALI LIMETOBOKA MWAMBA WANGU PESA UNAZO NUNUA NGUO 😂😂😂
@titusfaya872Ай бұрын
Daaah nimecheka 😅😅kama mazuri daah
@Mkiga_juniorАй бұрын
😂😂😂😂😂mnajimalizaga sana
@simbamtoto75302 ай бұрын
Nilipo muona jamaa kajitoa ndani yamaji nikajua tu pesha aribika😂
@SamwelSamGO-rw3luАй бұрын
Duuuuuh😂
@SeifJuma-l8tАй бұрын
Nyie na Challenge zenu ndo mnaalibu mahusiano ya watu
@SamiriHassan-dp9kn2 ай бұрын
Mm chalenj sizitaki hata kuziona😂😂😂😂😂 jamaa ameenda lala mchana bababaaeee
@annarisetarzan65092 ай бұрын
Vaaa suruali ambayo haijatoboka kaka
@UwimanaLiah2 ай бұрын
ilikuw imesha toboka toka mwanzo😅😅😅😅
@SiwemaMbalinga-qf7ec2 ай бұрын
Aibu naona mimi huku 😂😂
@DidoMkangulaАй бұрын
Muwongo uyo ata kama ana mademu kibao uyo ndo anampenda kuliko wote
@DidoMkangulaАй бұрын
Nikitaka kuona ajabu RUANGWA useme awaandafii pesa duuuh
@YassirOmar-s1l2 ай бұрын
Good work brother
@MONICAIFUJA2 ай бұрын
Nickukuteee😅😅😅
@jembodry2 ай бұрын
Who’s here from TikTok 😂😂😂😂
@FarajaSijali2 ай бұрын
😂❤ aivan bhana unajuwa kuniacha ho
@davidevilla65212 ай бұрын
Kama ni kweli mbona nalala hapa
@vannvannjokes2239Ай бұрын
😅😅😅😊
@AmaniRashidi-i9b2 ай бұрын
Tafteni pesa wanaaaa😂
@Mossimado2 ай бұрын
Challenge nishaferi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JOHNMakau-v2z2 ай бұрын
Ak nitakufa na kicheko ishafeil😂😂😂😂😂 nisikukute apo
@BigMan-f1v2 ай бұрын
Jamaa akaona maji yamekua barafu ikabid atoke kbs 😂😂😂
@salomenashon58649 күн бұрын
😅😅
@SiwemaMbalinga-qf7ec2 ай бұрын
Kwahiyo 15000 imekwenda namaji😂😂😂
@magidamagida44172 ай бұрын
Nna madem kibao 😂
@GwamakaAndwele2 ай бұрын
Yan skuizi hakuna mapenz
@Gentleman102 ай бұрын
Bro nakubali challenge zako sana kutoka congo 🇨🇩 sasa akuna mtuu uyo muji upo ataye chinda challenge watu awa aminiki😅😅
@greacembwnwilibati8197Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@salomenashon58649 күн бұрын
Sasa elfu kumi na tano jamani ndo initoe kwa nimpendae ???
@MariaMagele2 ай бұрын
Camera man mnoko akaona azum kabisa kitobo icho
@MaikoChaulaАй бұрын
Mapenz yanaumiza
@RaymonDberthaАй бұрын
Nikwel ilitoboa surual yako
@ESTINABAYYO2 ай бұрын
Shida unakuaga na maneno mengi badala ya kuwa direct
@joyfaustine2 ай бұрын
Kuishi au kulala siku moja
@mossesramadhani5012 ай бұрын
Kwanza jamaa ana mademu kibao so sio shida zake
@mohamedkisenga66542 ай бұрын
Hahahaha eti Nina madem kibao
@Nomaboytz2 ай бұрын
Kwanza Nina madem kibao
@mariamissa40292 ай бұрын
😂😂😂
@elishebakanani37072 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mrwadata2 ай бұрын
Mimi kabla sija maliza kuona vídeo nilianza kuona iyibu pekeangu da
@RashidAhamed-kq6pt2 ай бұрын
Bado hujampata tu toka juzi
@hamidadaud47972 ай бұрын
Wanawake wa mikoani mbona warahisi hv
@SabihaibrahimRajabu2 ай бұрын
Bongo na mapenzi Haa subutuuuu nnao mashoga zangu kama hana mabwana 7 basi kumi
@JenipherShirima-lp4rv2 ай бұрын
Mimi ni mmoja wa hao shoga yako best😂😂😂😂😂
@SabihaibrahimRajabu2 ай бұрын
@@JenipherShirima-lp4rv hahahaaaa una 7 kwa iyo tukufanyiye challenge na wewe abaki mmoja
@DevidLomayani2 ай бұрын
😂😮😅😮😅😅😅😅😅jnn.
@Jacklinejohn72 ай бұрын
Ivi wewe umesoma adi langapi mana hujui kuishi na kupumzika acha usenge
@EnelyJohnАй бұрын
Haya wewe uliye soma hapo ni Hadi langapi siyo adi😂😂😂mende wewe
@OmanBarka-f4d2 ай бұрын
Kaka kajiamin.uyu
@sarahshahenza48652 ай бұрын
🇰🇪
@mwinyihajjsalim44052 ай бұрын
Mm nafkiri tatizo sio pesa isipokua baadhi yadadaze nitamaa tu yakutaka vitu vingi kwa wati mmoja napia Napia sai mapenzi ayanathamani tna ila watu wanavumiliana tu