Ile maneno ya ule bwana njo kweli,n'a Mungu ambariki kwa kusema kweli.
@esolomwashabani.81602 ай бұрын
Ndugu Mtangazaji tunajua kesho la Rwanda iliongia marangapi kutafuta F D R R mukongo wakati walikuwa wanarudi kweli walikuwa wanawaacha wapi ???? Nakwanini walikuwa wakirudi bila kuwamaliza ??? Aho walikuwa wakuja kujaza WA Askari wao katika keshi la CONGO !!!
@PastormufiainjiliYesuyupo2 ай бұрын
Jambo baba mtangazaji sauti ni nyororo, hiyo habari naisubiri Kwa makini Sana,
@germainkausa87862 ай бұрын
Asante sana kwa utafiti.
@JustinVanny-cb5gm2 ай бұрын
Tano juya tano toka Goma Ville
@MwendieKing-xm4lw2 ай бұрын
Nakusihi bwana mtangazaji.uweke iyi namba yangu mu group wat sap iyamba
@florentkataliko24162 ай бұрын
Jambo baba mtangazazi nakufata 5/5 kutoka mjiwa Beni Nord-Kivu ni mimi Florent -kataliko
@KiluluDunia-q9s2 ай бұрын
Kilulu kutoka CANADA.mtangazaji umoja wamtaifa opale kwa ajili ya wazungu.siyo kwjili ya weusi.
@ShabaniBalecar2 ай бұрын
Asalaem aleykum warahmatulahi wabakakatu ndugu huyu ni mtu wa akili ya kupenda inchi kweli, anastahii kupata sifa zake kabisa. Ni papa BALECAR SHABANI SELEMANI kutoka uvira
@mugishomarara95262 ай бұрын
Shida ya sisi WA Kongomani, shida yetu,tuna ongea mingi,lakini tuna waza kidogo!
@Lax-j6w2 ай бұрын
Tunataka vitendo sio maneno menngi, atakaye towa M23 kwenye ardhi ya congo Ndiye tutamkubali