Swali langu ni hivi kwa nini ma commanda wa vita wawe wa nyarwanda watusi wa Rwanda, mbona kama vuta ya Congo Muna hichukuliya simple
@micheekasiwa370615 минут бұрын
Sema tusikie
@kibukilasongolo235818 минут бұрын
Mtangazaji kuwa nasema ukweli, inauma hao wote niwasaliti
@Innocent-xz3hu40 минут бұрын
Leta habari mzee, tunakufwata moja kwa moja, roho zina babaika.
@SamuelKyasesa-r1pСағат бұрын
wanasema kwa ki.faranca il n,y pas.un mauvais groupe mais un mauvais chef.absence de leader chip en RDC.tuombe Mungu tuta shinda musiogope.
@SamuelKyasesa-r1p2 сағат бұрын
ni kinshasa njo.inaleta usaliti sababu wao ndani wanakula.tuko.uganda Uku wana ongopa congo ata.rwanda wana ogopa congo ila usaliti ndio shida.tena kosa ni Raisi wetu indiye anasababisha congo kuvamiwa kwakukosa.mahamuzi kama bourkinfaso.nakuto kuwa patriote .kwakukomboawa inchi ila ana iba ndani
@LwanzoKighoma-tx3lc2 сағат бұрын
Jambo mutanichukuliya kwani muna katika katika a sana vraiment wakati mutu anasikiliza habari zenu kwenyi mtandao. Nisababu ganimunisaidiye nawapenda sana
@Kopa-u7n2 сағат бұрын
Tunakufwata 5/5❤ Mi zambie mansa provence samfya district Mimi mumba evans ee vita nikwenda mbele naku Rudi nyuma Sasa FARDC inajidi kurudinyama andwiinasonga bele sana KKK kkk leta komerensa mabo
@KAHASAMUNYANGAMUMBERE2 сағат бұрын
Usalimike mzeee wetu asnte kutupa habari tuna kufata toka nyanya
@MalabarAkilimalikasangan-yj5dm2 сағат бұрын
Jambo.sisi Lila Siku tuna sikiya ya kwamba wa M23wamekuwa wamefariki sana nakukamatwa.je wako nafufuka ju wae nde kamata tena masisi ?napatika a pa ville ya kamituga .
@mzaliwasabuni29102 сағат бұрын
Mtumishi tunakufata kutoka Durban south africa sauti ni poa
@JosephNgimbi-oq6yn2 сағат бұрын
Sauti 5/5 kinshasa
@OscarNSomue2 сағат бұрын
Nimeumiwa Sana baba Muchungaji kwa kusikiya habari kamahiyo.
FARDC jeshi kubwa la taifa sisi raia tuko nyuma yenu sana mwende mbele mu sizarau wazalendo muwape silaha jameni ushindi ni kwa wa congomani wote
@JacquesMasudi-e1g2 сағат бұрын
Utupe abari mbichi, iyi mambo ya masisi imetuuma sana mpaka munyarwanda anajipiga kifua sana nakufata kutoka USA
@Yangya-i2m2 сағат бұрын
Tupo tayari tukifuati taarifa mbichi kabisa kutoka kwako ndo kwetu huko
@JacquesMasudi-e1g2 сағат бұрын
Sauti iko poa sana nakufata kutoka USA
@MoïseZihallirwa2 сағат бұрын
Ok hiyo ndiyo mixage ya fardc
@CeleoTatsopa2 сағат бұрын
Ni CELEO kutoka Kolwezi mwanga abari mbichi baba tunakufata vizuri sana
@JulienMigabo-y5v3 сағат бұрын
Tuko pamoja muze wa hbr
@issaibrahim44653 сағат бұрын
Tunakupata 5/5 katika mji wa Bukavu
@BahatiKarangale3 сағат бұрын
Bahati karangale leta.raha muze.pichi .kutokagoma
@BaderhaMulinziPascal3 сағат бұрын
Niko Bukavu,
@BaderhaMulinziPascal3 сағат бұрын
Sauti iko powa
@VW16283 сағат бұрын
Wewe unaongeaga kama huna akili na yanayoendelea huyajui. Unajifanyaga unajua kumbe hujui kitu
@heriwemawasesa95663 сағат бұрын
Mzee wahabari mbichi, haya mambo yanaleta huzuni Sana, Sasa jeshi ya Congo inashinda kupinga Rwanda
@MwandoAnthony3 сағат бұрын
Jambo...Jambo homme de Dieu Please we need to be updated on what is happening in the country From: Apostle Mwando
@BalibangaDaniel-vp9lx3 сағат бұрын
Mimi ni mkereketwa wa nchi ya Congo, napenda kuhuliza swali, huyo Rais wa Congo, si yeye ndiye anayeteua ao Makamanda wa jeshi? na Kama ni yeye, kwa Nini asiwatoe Kama Marais wengine wanavyopangua Makamanda wamajeshi yao? Ahsante.
@rebbybalere3 сағат бұрын
Ni donacien miminasema tutabatosha tu masisi
@jackmathe90783 сағат бұрын
Pale sawa basimupe adui muda tafadhali
@MulogotoSamuel-j7d3 сағат бұрын
Jambo ndugu ninakufata kutoka Sud Kivu uvira 5/5 ni mulogoto.
@PeterMolisho3 сағат бұрын
Peter molisho anakufwata pia tokea Kinshasa
@MunyongeTembele3 сағат бұрын
muwe munawataja ndugu mtangazaji kwasababu wajulikane hao wa shenzi
@KAKUMBAKISINDJA3 сағат бұрын
Kutoka samba Maniema. Tunakufyata 5/5
@willybazigame3 сағат бұрын
Habari za siku ndugu mutangazaji nakupata 5 kwa 5 ndugu musikilizaji kutokeya south Africa free state sauti yako ikiwa nyororo.
@NaomiSabuni-d9j3 сағат бұрын
Tuko bwana kaka leta news ❤
@KamiliKapeta-yr3uc3 сағат бұрын
Wakongo kama amuwezi msiushewatu wanywapombe nmtatawaliwa sana kenge nyie
@FistonBishika4 сағат бұрын
Baba nakukubali sana nakufuata kutoka tushuru ishasha
@GentilleMashauri4 сағат бұрын
❤
@bienvenuess4 сағат бұрын
Suiti inatoka bisoka nijustin kutoka bkv
@JosephMwamba-j1i4 сағат бұрын
Joseph kutoka Zanzibar tuko pamoja bega kwa bega
@BisimwaMujeru4 сағат бұрын
Brother sauti nikama kawaida
@BisimwaMujeru4 сағат бұрын
Baba angusha mambo mapya
@deniskalutha4 сағат бұрын
Sauti IKO bomba. Nakufuata kutoka swima. naitwa ESAU DENIS
@FidèleKasoroСағат бұрын
Nakufata vizuri kutoka pweto Jimbo la haut Katanga sasa askari wetu walikuwa wapi mupaka huyu nyanguzi wafike kukamata masisi?