CHANGAMKIA FURSA ZA UFUGAJI NYUKI ...

  Рет қаралды 4,510

Tanzania Forest

Tanzania Forest

Күн бұрын

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS iko kwenye kampeni ya kuhakikisha kwamba Sekta ya Maliasili inazidi kuimarika ili kuyafanya mazao yatokanayo na maliasili hususan misitu na nyuki yanaendelea kuchangia katika ukuaji wa uchumi, kuwaongezea wananchi kipato na kuongeza fursa za ajira. Aidha, ili kuwajengea uwezo wadau wake kuzifahamu mbinu bora za uzalishaji wa mazao ya nyuki na pia masoko ya asali na nta ya ndani na nje ya nchi Wakala imeandaa Maonesho ya Asali na Bidhaa za Mianzi yatakayofanyika mwezi Mei, 2018 katika tarehe itakayotajwa siku za usoni. Wakala inatoa wito kwa Watanzania kufuga nyuki kwa wingi ili kukuza uchumi kwa kutumia fursa ya upatikanaji asali na nta kutokana na uwepo wa soko la uhakika la ndani na nje ya nchi badala ya kukata miti ovyo kwa shughuli za uchomaji mkaa.

Пікірлер: 4
@alexhomange1293
@alexhomange1293 2 жыл бұрын
Mm nina mzinga ya mbao idadi 15 kum na tano nifanye nn ili ninufaike
@avax5717
@avax5717 6 жыл бұрын
Contacts??
Vidokezo vya ufugaji nyuki Kenya - Maisha Kilimo
19:50
FarmKenya
Рет қаралды 5 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Bahador Alast
Рет қаралды 1,4 МЛН
Uzuri wa Hifadhi ya Mazingira Amani
9:24
Tanzania Forest
Рет қаралды 174
One on One Fireside Chat with Rtd. President Benjamin Mkapa
6:35
CEOrt Tanzania
Рет қаралды 22 М.
Makala maalumu ya "Ijue Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania  - TFS
30:53
AWS Certified Cloud Practitioner Training 2020 - Full Course
3:58:01
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 6 МЛН
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 1,2 МЛН
Maporomoko ya Kalambo!
9:37
Tanzania Forest
Рет қаралды 192
John Webo aacha kulima miwa na kuzamia ufugaji wa nyuki
3:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,9 М.
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 41 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24