Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba akifafanua sababu mbalimbali zinazosababisha changamoto ya fedha za kigeni nchini.
Пікірлер: 10
@kelvingasper Жыл бұрын
We need to see short term plans solutions to tackle the problem and also to see long-term plans for the Government especially to trade strategically with countries that accept other currencies like Gold and other minerals to counter this $$ dependency and deficiency to our country..We need that now. It's now or never for this as the country to choose ..
@fidelismrosso5156 Жыл бұрын
Mhe. Hajasema short term solutions wanachukuwa hatua gani kustablize hali nimeskia short term tu. Pia kuna mabadiliko yanakuja kwenye matumizi ya usd kama nchi tumejiandaaje kwenye diversification ya usd reserves na gold?. Pia benki kuu inashiriki kwenye majadiliano ya biashara ya nchi? Ili itoe financial regime ya makubaliano ambayo inatusaidia? Natamani kupata majibu.
@MudathiriMohamed Жыл бұрын
🤝💎
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Acha uongo kila kitu mnaleta siasa mbona urusi yupo vitani lakini uchumi unakuwa hebu tuwe wakweli hapo kuna upungufu wa utendaji hivi tunakuwa wakweli lini?
@lacholaism Жыл бұрын
@ Governor - We have a proposal as Natgroup on this challenge of foreign exchange reserves and we will appreciate if we can engage
@aminielkombe66 Жыл бұрын
Wenzenu wananegotiate kutumia local currencies kutrade,, nyie je
@bshhdxgdhjjdhd762728 күн бұрын
Hmna kitu pumba tupu
@JayLEONCY Жыл бұрын
Kazi iendelee
@jerrybasaya5377 Жыл бұрын
Kila kitu ni Kulaumu Russia na Ukraine, COVID..... Nonsense