Jukwaa la Wakulima : Mbegu Bora za Mbaazi "Channel Ten"

  Рет қаралды 6,266

Channel ten

Channel ten

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@rebecahoya2529
@rebecahoya2529 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri, ,,napenda kujua mbegu bora naipataje au jina la mbegu inaitwaje kama naenda kuitafuta madukan
@IbrahimuSenge
@IbrahimuSenge Ай бұрын
Naomba kuuliza nafasi za upanda kwenye zao la mbaazi
@IbrahimuSenge
@IbrahimuSenge Ай бұрын
Hiyo mbegu bora naipataje
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 4 жыл бұрын
Somo zuri sana
@GillesMuliriye
@GillesMuliriye 2 ай бұрын
Tunawezaje kupata mbegu HIYO Bora?
@milimomashini9432
@milimomashini9432 6 жыл бұрын
Somo zur
@omarydaudy4912
@omarydaudy4912 3 жыл бұрын
Je inapatikana wapi hiyo begu
@EmmanuelBuluba-b9m
@EmmanuelBuluba-b9m Жыл бұрын
Samahani umesema hekali moja inagunia 8mpaka10 swali la ngu umesema hekali moja ina tani 4 maanayake kilo elfu 4000 nieleweshe hapo
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 Жыл бұрын
Tani moja ni gunia 10 na ni kg 1000 hivo Tani 4 ni kg 4000 ambayo ni gunia 40
@nyamahembasarya9858
@nyamahembasarya9858 2 ай бұрын
Mwezi wa pili sasa inakuwaje mbona Dodoma,kiteto tunalima mwezi wa 11
@mceddie3718
@mceddie3718 22 күн бұрын
kwema? bado uko Dodoma nashida.
"NILINUNUA MAGARI KWA MAVUNO YA KWANZA YA MPUNGA" SHUHUDA
39:38
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 2,7 М.
KILIMO AJIRA YANGU; UBORA WA ZAO LA UFUTA 18.05.2024
26:17
Channel ten
Рет қаралды 560
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Jukwaa La Wakulima : Kilimo cha Mihogo (01) "Channel Ten"
24:12
Channel ten
Рет қаралды 3,7 М.
'Sitaacha kulima ufuta labda niwe na matatizo'
3:35
BBC News Swahili
Рет қаралды 5 М.
MBAAZI zawaingizia Wakulima Tunduru bilioni 1.6
2:50
tunduru_dc
Рет қаралды 661
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
ARRISALAH -  UISLAM MABADIRIKO 23.12.2017
52:17
Channel ten
Рет қаралды 97
HYBRID SUNFLOWER SEEDS PERFORMANCE IN TANZANIA
29:48
Kilimo Biashara
Рет қаралды 32 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН