No video

Chanuo Part 2 - Chanuo, Madebe Lidai, Zaudia Shabani, Zakharia Jashi (Official Bongo Movie)

  Рет қаралды 299,068

Africha Entertainment

Africha Entertainment

5 жыл бұрын

#africhaentertainment #africhamovies #africha
Chanuo - Full Movie Part 2 (Chanuo & Madebe Lidai)
Tamaza Chanuo Part 1 hapa: • Chanuo Part 1 - Chanuo...
CAST: Madebe Lidai, Zaudia Shabani, Zakharia Jashi, Hidaya Boli Ibrahim Mbwela, Coretha Mkemangwa
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
DIRECTOR: Madebe Lidai
PRODUCER: Madebe Lida
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Пікірлер: 158
@fatyqueen346
@fatyqueen346 4 жыл бұрын
Kwakwel japokua watu wengi wanakimbilia mkorogo ila watu weusi niwazur sana i love u black mwenzang😘
@shamillahsaidy1922
@shamillahsaidy1922 Жыл бұрын
Ilaaaa uck paleee nliona machooo tuuuu😃😃😃😃
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 6 ай бұрын
Huo ni uongo hawawezi kuwa wazuri ni kawaida sana tena sana limbukeni ndo umeona hivyo
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 6 ай бұрын
Black is beautiful ❤
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 5 ай бұрын
Jipeni moyo ila mwanamke hasaaa ni mweupe
@magrethsheki2796
@magrethsheki2796 3 жыл бұрын
Mjumbe kasoma hadi nucta jamani🤣🤣madebe hongera kaka hujawahi kuniangusha
@asnathnyago4842
@asnathnyago4842 5 жыл бұрын
Madebe unanifanya nipende kuangalia move za kibogo tena za kwako Tu,hongera sana kwa kazi nzur
@taturichard1794
@taturichard1794 5 жыл бұрын
Da kwakwel unajitaid bt hata hatujajua ilikuwaje baaada ya apo
@joharichaima4309
@joharichaima4309 3 жыл бұрын
Kitu nachokipenda kwa madebe,misemo baba anamisemo huyu jmn....
@user-bb2gz6qo8d
@user-bb2gz6qo8d 8 ай бұрын
Chanuo huna baya mama m hupenda movie zako kwa kujiamn mpenzi hongera❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramadhanihassani6825
@ramadhanihassani6825 6 ай бұрын
Ila anatesa wake zake na wwatoto zake abadilike
@hizamwaimu7634
@hizamwaimu7634 5 жыл бұрын
Hakika hainishi hamu kuangalia movie za madebe Kwan zinagundisha mambo mazuri
@latifaally9206
@latifaally9206 5 жыл бұрын
Zinagundisha au sio
@ramelaa5214
@ramelaa5214 4 жыл бұрын
Mashaailah ongereni Sana washirii wore Kea kutupa. Mafunzo bora
@AnthonyHaji
@AnthonyHaji Ай бұрын
Mnaenda vzr san
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 ай бұрын
Napenda movie zako madebe'
@deograsjulius3522
@deograsjulius3522 3 жыл бұрын
Ni elimu nzuri sana anayoitoa madebe ukiacha kiburudisho mungu akutie moyo uendelee kufundisha jamii kupitia sanaa yako
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Ukweli nikwamba tangu kanumba afariki sijawai kuangalia move tofauti na. Move ya madebe tu
@comradesaurlindiegosoffici421
@comradesaurlindiegosoffici421 5 жыл бұрын
Ama kweli madebe mkali, tunga part three ya chanuo. Isiishie hapo tu bwanaaaaa
@TightnotChome-fn2jy
@TightnotChome-fn2jy 26 күн бұрын
Madebe na chunvinyingi 😂😂😂😂haki nyinyi mpewe maua yenu❤❤❤❤❤
@zakiahmwaka8605
@zakiahmwaka8605 3 жыл бұрын
Pole Sana mysala
@meshackshark1915
@meshackshark1915 4 жыл бұрын
Tena madebe uko vizuli Sana tena Sana hizi ndiyo move zakuangalia sio kama move zawezetu za kimapenzi tuata sisimizi anajuwa jandomana! MUNGU Akubaliki Sana.
@paulkarol7018
@paulkarol7018 2 жыл бұрын
Madebe mungu akupe maisha marefu uzidi kutuerimisha jamii iliyo potea
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
hii movie ni Kali,visa vyake vilivyo pangwa kama ndo inaisha kumbe bado.utamu kila hatua
@ruqsshebe3468
@ruqsshebe3468 3 жыл бұрын
Hongera bwana madebe
@maamumariam9377
@maamumariam9377 4 жыл бұрын
Yani madebe hii movie umenibamba,
@RichardSaleh-qp4ku
@RichardSaleh-qp4ku Жыл бұрын
Nakubali sana madebe wewe Ninamba moja Tanzanie
@khamisiabdalampulu1315
@khamisiabdalampulu1315 4 жыл бұрын
we fundi madebe
@aidansichalwe83
@aidansichalwe83 5 жыл бұрын
nimeielewa sana
@anniesilvester4315
@anniesilvester4315 3 жыл бұрын
Movie ambazo naangalia za tz ni zako tuu,big up kaka
@boniphacealfonce3040
@boniphacealfonce3040 3 жыл бұрын
Nimekubali nnoma
@salmawaoooh.santee3437
@salmawaoooh.santee3437 3 жыл бұрын
Nimecheka mno madebe mungu anakuona kwakwel utapigwa mno
@halimaiddiijengo7376
@halimaiddiijengo7376 Жыл бұрын
Nakubal
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 5 жыл бұрын
pole.sana.madebeee.pesa.itaendesha.mapenzi.ya.tamaa.na.hisis.itsendeshs.mapenzi.kweli
@wamsondavid8111
@wamsondavid8111 5 жыл бұрын
Sara Sospeter seen
@annamwapila1433
@annamwapila1433 4 жыл бұрын
Hongera madebe
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 5 жыл бұрын
Mhh madebe unamuwezea chanuooo
@masambenyankena6547
@masambenyankena6547 3 жыл бұрын
Tuache unafiki madebe umebadirisha upepo wa movie za kibongo natamani kukutana sana na ww na timu yako
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 5 жыл бұрын
Bonge la movie
@asyahamad4424
@asyahamad4424 4 жыл бұрын
Au bwana fidodido unakibamiaaaah
@mariammimiapayani6990
@mariammimiapayani6990 4 жыл бұрын
Nakupenda apo tu madebe aunakaz mbovu
@athumaningaoga7477
@athumaningaoga7477 5 жыл бұрын
madebe ww noma
@mgenibuya3358
@mgenibuya3358 Жыл бұрын
Nakubali Nabii Mswahili. Mungu akuongezee umri upate kufundisha kwa maneno na vitendo.
@issamakau5841
@issamakau5841 Жыл бұрын
Hongera sana Kaka kwa chakula unachotupa ili angaa mwenye sikio asikie na mwenye macho akaone.... Shukran sana
@hmondsimba5229
@hmondsimba5229 5 жыл бұрын
Kali sanaaaaa
@livinyuc8695
@livinyuc8695 2 жыл бұрын
Kazi safi
@damasbenedict4246
@damasbenedict4246 2 жыл бұрын
njmekigwa na kijiji kizima kasoro wew daaah very finny
@abdallahmohammed8914
@abdallahmohammed8914 4 жыл бұрын
Unajua kakaaaaa unastahik tuzo🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️
@saidattmra5852
@saidattmra5852 5 жыл бұрын
Safi tu
@livinyuc8695
@livinyuc8695 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri madebe
@sofiakarema2981
@sofiakarema2981 Жыл бұрын
Nzuri
@andyrwakenny3773
@andyrwakenny3773 Жыл бұрын
Hili ndilo funzo kwangu wenye Imani kwa Mungu Leo siku ya Raha na siku ya kilio wanakimbilia uchwawi kupata suluu
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Kifo cha Kisonoko kimewaacha wanakijiji na alama ya kuuliza🤔🤔🤔🇰🇪
@barakamatiga9954
@barakamatiga9954 5 жыл бұрын
Noma saaana
@zuwenakabwe1017
@zuwenakabwe1017 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@nurrysaleem8644
@nurrysaleem8644 5 жыл бұрын
madebe my best actor 💪
@tumainimsonde1581
@tumainimsonde1581 6 ай бұрын
We noma❤
@jonathankyalo1603
@jonathankyalo1603 Жыл бұрын
Waah. zamani tulikuwa tunafunua chupi ili tuone makalio, saii tunafunua makalio ili tuone chupi, jamani hii kali ya Madebe.
@kilungule
@kilungule 3 жыл бұрын
Maisala 😍😍😍
@shafiiramadhani7020
@shafiiramadhani7020 7 ай бұрын
nakubali kamanda madebe🎉😢😮😅😊
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Wanawake mwapenda pesa kuozesha mtoto asipopataka mwisho wake mauti,@ulevi nao haunasiri madebe anamwaga mchele sasa Haha umenichekesha etimwanaume rijali hanamtoto anatumiamani yakishogaa loo yani move za madebe kali sana hakunamwigizaji atamfikia madebe namesemo yake
@witnesskimario9581
@witnesskimario9581 3 жыл бұрын
Madeb n chanuo naipnd kaz yen nzur mnayoifanya
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l 6 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤😂😮😮
@shamimjuma9199
@shamimjuma9199 3 жыл бұрын
Nice
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 жыл бұрын
Madebe. chanuo .nawapenda bure❤👏
@amanmsemo2498
@amanmsemo2498 3 жыл бұрын
Unaombaje msamaha wakat. Na yeye anapakuliwa na maswa.... Et umenikosea sana mume wangu wakat unaenda usiku kupakuliwa mbwa kabisa Ngoma droo ukichepuka nusu tunachepuka nzima
@patrickjohn1833
@patrickjohn1833 5 жыл бұрын
Nakubali sana
@fatmaramadhan9928
@fatmaramadhan9928 Жыл бұрын
Nmeburudka lkn kikubwa zaid nmepata funzo ahsanteeh
@AntonyStarboy
@AntonyStarboy 9 ай бұрын
Chanuo Nchakali napenda uhusika wako
@aishamother9943
@aishamother9943 4 жыл бұрын
Mashallah huyu jamaa noma
@zainabuzainabu4372
@zainabuzainabu4372 5 жыл бұрын
Yani hapa mi sijaelewa kitu zaidi ya chabo tu
@archardanatory3993
@archardanatory3993 4 жыл бұрын
Zainabu Zainabu hahahahahaha
@isiakaisaack8013
@isiakaisaack8013 5 жыл бұрын
Kamatupo pamoja gonga like
@joaohassani7103
@joaohassani7103 3 жыл бұрын
H
@ernestmabeja6570
@ernestmabeja6570 5 жыл бұрын
Nilikua nishaach kuangalia movie za kibongo nina miaka nand sauz ila kwa madebe nimeanza tena kwel we chizi msomi Tunataka part three bhna inaishaje kizembe ivo? Tunaaka maisha baada ya kifo cha baby chanuo bonge la manzi
@bakarikambutu7478
@bakarikambutu7478 3 жыл бұрын
Duh
@zulachama1067
@zulachama1067 3 жыл бұрын
Fast one to comment,let US much together if you like chanuo # madebe lidai $ hiday boli
@babye-jt7yp
@babye-jt7yp Жыл бұрын
Movie pambe
@tamimasaloon8547
@tamimasaloon8547 3 жыл бұрын
hahaha jamani alikuwa anachungulia kwani tunafanya kwenye tenga😂🤣😂🤣
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 5 ай бұрын
😂😂😂 yaani hapo TU ndo kicheko
@estheragrey8403
@estheragrey8403 2 жыл бұрын
Pendo Sana kisonoko ❤️❤️
@ruthmichael5064
@ruthmichael5064 4 жыл бұрын
Anachungulia? kwani si tulikuwa tunafanya kwenye tenga!?😁 kama umesikia hyo gonga like!!
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@iddyomary6745
@iddyomary6745 5 жыл бұрын
Marehemu kaacha orodha
@naimasumba8290
@naimasumba8290 3 жыл бұрын
Haya alitaftwa mrithi wakanumba nahc kapatikana sasa
@deborahchacha2006
@deborahchacha2006 Жыл бұрын
Inaumiza sana 😢😢😢😢
@makungwadominico3374
@makungwadominico3374 5 жыл бұрын
well done,nice movie
@saidaisha8798
@saidaisha8798 Жыл бұрын
Love 💕
@saidaisha8798
@saidaisha8798 Жыл бұрын
Aysha 💖💝💞
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣marehemu kaachia watu songombingo🙈🙈
@puritymurungi
@puritymurungi 9 ай бұрын
Hi
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 жыл бұрын
Iyo ngoma moto🤣🤣🤣
@najmaawadh3837
@najmaawadh3837 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-rj7gf5rl3q
@user-rj7gf5rl3q 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimeelewa nn maana ya tenga hahaaaaa
@lucasjoseph9406
@lucasjoseph9406 3 жыл бұрын
Mama ushauli
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Mzee Kambona amechafua Hali ya hewa kijiji kizima
@ramadhanihassani6825
@ramadhanihassani6825 6 ай бұрын
Kaka madeb unazingua muachie mkeo akant yake kingine lea watoto
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 6 ай бұрын
Hahahaaaa,,,alikuwa anachungulia kwani sisi tunafanyia kwenye tenga
@ramseyrmsy3366
@ramseyrmsy3366 5 жыл бұрын
Pesa itaendesha penzi la tamaa na hisia zitaendesha penz la kweli
@tausitausi8282
@tausitausi8282 3 жыл бұрын
Unamaanisha nini
@mariamoman5057
@mariamoman5057 3 жыл бұрын
Nc🇧🇮🇧🇮💕
@yunisdmwangomo3210
@yunisdmwangomo3210 4 жыл бұрын
Ur a good actor madebe may god bless u
@johngabriel5156
@johngabriel5156 4 жыл бұрын
Wanaume msorizik
@keybaya4989
@keybaya4989 3 жыл бұрын
kanumba
@estaphone
@estaphone 6 ай бұрын
Jamani natamani kujua huyo mrembo mweusi jina maana ni huwa namkubali kwenye act zake
@ramseyrmsy3366
@ramseyrmsy3366 5 жыл бұрын
Ulizalau daku kwa mdundo wa dufu#ha ha ha ha ha
@tumaramadhanghulaam247
@tumaramadhanghulaam247 4 жыл бұрын
Hii filamu kweli ndo ingeitwa matuc maanake mm coni kingine zaidi yamatuc
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
jamani imeishia patam
@rukiakhamis4310
@rukiakhamis4310 3 жыл бұрын
Anakaz ya kuwewesek t na kuwataj wachezaj wa ligi
@teekaydrcongo8076
@teekaydrcongo8076 5 жыл бұрын
Madebe kwani wewe ni kama marehem kanumba weye tu komaza kabisa
@MuhammadMuhammad-lq2um
@MuhammadMuhammad-lq2um 3 жыл бұрын
Kanumba mwanafunzi
@amosikapwela2005
@amosikapwela2005 3 жыл бұрын
Hakika usemalo
@mwakanyikijosephy8126
@mwakanyikijosephy8126 5 жыл бұрын
Haaaa
@salamambegu4376
@salamambegu4376 Жыл бұрын
Mm mpaka napagawa na movie zake
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 5 жыл бұрын
Alikua anachungulia! Kwani sisi tunafanya kwenye Tenga😅😅😅😅😅
@benardmateru5103
@benardmateru5103 3 жыл бұрын
Ase bro unafundisha san tena zaid ya sana tuko pamoja naww
@asiasalim9323
@asiasalim9323 6 ай бұрын
Kumbe
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 2 ай бұрын
Dumadebe umenifunda asatesana naisimunguamekutuma ongelasana
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 148 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 26 МЛН
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Halisi tv
Рет қаралды 892 М.
NABII MSWAHILI (Mali ya marehemu).
0:37
NJENGE TV
Рет қаралды 31 М.
Binti Yangu - A Swahili Movie
1:04:14
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 250 М.
Inshallah Part 2 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)
55:03
Inshallah Part 1 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)
54:29
NGONDO Sehemu ya Kwanza
19:51
Madebe Lidai
Рет қаралды 275 М.
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН