NGONDO Sehemu ya Kwanza

  Рет қаралды 280,979

Madebe Lidai

Madebe Lidai

Күн бұрын

Filamu hii inasimulia maisha ya mzee anaejulikana kwa jina la Mzee MBINGA,ni mzee mwenye misimamo katika maamuzi yake,kijana Dondora anaingia katika 18 za mzee huyo baada ya kutaka kumjaribu kwa kumuacha mkewe hatima yake anatambua kwamba mzee hataniwi...!!! Endelea kufuatilia Mkasa huu wa NGONDO
MAONI/MATANGAZO Tupigie
+255769000762
+255763308787

Пікірлер: 404
@sammasadika9598
@sammasadika9598 Жыл бұрын
Madebe mm nakukubali sana bro ata usipotoa movie mwakaa mzima lkn ukija unakuja na kitu kikali sana kweli unafanya kazi zuri sana bro jamane like zenu kwa madebe
@abdulahmanmahalufu9524
@abdulahmanmahalufu9524 Жыл бұрын
Ngondo ni neno la kimwela lenye mahana ya UGOMVI thanks you my brother madebe lidai
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 4 ай бұрын
Hapana sio wamwelatu hata watanga wanatumia hilo
@albertkellynyenyeri519
@albertkellynyenyeri519 Жыл бұрын
Sijui niseme Nini kuhusu Madebe na wenzio.Mungu awajazie mema. Asanteni🙏.good job Madebe❤️
@wardahrajabu8710
@wardahrajabu8710 Жыл бұрын
Tambua Kuna mungu, serikali alafu Kuna Mimi nani imembamba hii gonga like hapa. Next plz
@fatumazahara-zy1hg
@fatumazahara-zy1hg Жыл бұрын
Nakupenda tu sana madebe kwa ushauri wako
@FrankNoel-iz8nt
@FrankNoel-iz8nt Жыл бұрын
Ongera sana madebe akika wewe ni mwalimu sana uwa najifunza mengi sana kupitia move zako❤❤❤❤ ni bora ilizi kupotea kuliko mganga kufa Mungu akujalie sana wewe noma🎉🎉
@AaAa-tb2zw
@AaAa-tb2zw Жыл бұрын
Hongerah Madebe Hua napenda filamu zako Zina mafunzo sana....🥰🥰🥰💕...nakutazama nikiwa Qatar
@MukoyaGeff
@MukoyaGeff 5 ай бұрын
Madebe Lidai my favourite guy. I really like your thoughtful minds. Following from Nakuru Kenya
@mulongocommunications7468
@mulongocommunications7468 Жыл бұрын
Madebe my favorite Swahili actor. Napenda hekima yako na misemo katika uigizaji.
@allymangogasya8068
@allymangogasya8068 Жыл бұрын
Asante sana baba ,kusikiya shauri,kwanza Léo mimi ni miongoni wa ma fans wenu ,Nina shukuru sana n'a iyi filamu,inaualisiya kabisa 100% kidini , shukrani kwa kutokufuru katika filamu iyi
@alimwadima254
@alimwadima254 9 ай бұрын
Ndioo ndioo Lidai...Salute mbili ya left na ya right...Full Respect 🤝👏
@RaysteveAchieng
@RaysteveAchieng 5 ай бұрын
Am in love 💕😘 na kila filamu yako kakangu. Wishing you all the BEST 🎉🎉 ,Mungu azidi kukuongeza busara kwa talanta hii
@lyleenkiye2298
@lyleenkiye2298 Жыл бұрын
ili nibidi nihanze na like before watching the movie 😍
@ramadhanihassani1617
@ramadhanihassani1617 Жыл бұрын
Hahahahah kweli ukiiona milima usiibebe ila kazi yake ni kuipanda. Best actor #madebe lidai. Sehemu ya pili please
@nurudingharib4219
@nurudingharib4219 Жыл бұрын
For me, you are the best actor in the country, bring us the second iron brother
@fellybrowntz177
@fellybrowntz177 Жыл бұрын
NO ONE LIKE YOU MADEBE .....LIDAI KAZI NZURI KILA WA WAKATI🙏🙏🙏
@josaphatmwishakibancha611
@josaphatmwishakibancha611 Жыл бұрын
Kiukweli ,madebe naku kubali kabisa kwa mafundisho Yako Mazuri sana, yanayo jenga jamii na ulimwangu mzima, asante sana, mimi ni mkongo, nikipata neema yakufika tanzania nitakutafuta.
@akxheironald1520
@akxheironald1520 Жыл бұрын
This is the best movie please add more episodes
@boboja6242
@boboja6242 Жыл бұрын
I salute you brother, Allah akupe umri uzidi kuhamasisha walimwengu🤲✌️
@shafizzomanyota
@shafizzomanyota Жыл бұрын
masha alla masha allah masha allah . mungu azidi wabariki na kuwapa maarifa zadi .tuzidi kupata elimu kupitia ninyiii💖💖💖
@reinatave780
@reinatave780 Жыл бұрын
Madebe mie nakukubar cku zote kaka angu...mungu awe nawe wakat wote👏🌺
@gersonissa9124
@gersonissa9124 Жыл бұрын
Lik from DR Congo 🇨🇩
@jacobgeorge6014
@jacobgeorge6014 Жыл бұрын
Hakika nimeielewa sana big up Mr Madebe Lidai.
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Жыл бұрын
MADEBE LIDAI ❤❤❤❤❤
@fatumahanga6741
@fatumahanga6741 Жыл бұрын
Muv zako madebebni nzuri sana na kipaji kipo tatizoo humalizi stor unaanzisha zingine utatupotez shabik zako maan unatuonjesha then unatulia Tena ,,,
@yassirmbwana4867
@yassirmbwana4867 Жыл бұрын
Santhaaa madebe mungu akupee umrii Mrefu inshallah
@princeali8584
@princeali8584 Жыл бұрын
Kazi nzuri mtani, sema upunguze kuwasema wayao mjinga ww
@adamwaziri5867
@adamwaziri5867 Жыл бұрын
Madebe tunajitahid kukufuatilia movie zako ila unatushangaz unapotoa movie humalizii unaleta mwengine naomba nikuulize kwann unafanya hivyo Tungeomba uwe unazimaliza mpka mwisho alafu utuletee nyengine sio tunaangalia nusu hatujui mwisho wake tunaanza tena mpya haipendez kak hututendei haki sisi mashabik wako tunaokufatilia kila cku
@nsengumuremyisylvester4950
@nsengumuremyisylvester4950 Жыл бұрын
basi nadhana asha ona ombi letu,bila shaka atalishugulikia
@apynesnzisa5045
@apynesnzisa5045 Жыл бұрын
Movie gani hajamalza🤷...juu mm kwangu zinaisha, ama wataka aandike mwisho
@totmohammedtotmohammed2982
@totmohammedtotmohammed2982 Жыл бұрын
​@@apynesnzisa5045 hpn ila ttz uwelewi imavyo isha
@apynesnzisa5045
@apynesnzisa5045 Жыл бұрын
@@totmohammedtotmohammed2982 poa
@nellychamba1507
@nellychamba1507 Жыл бұрын
I salute to you mr madebe, coz unanipanga ki hakili kk, go ahead broo
@mohamedramadhani3548
@mohamedramadhani3548 Жыл бұрын
Madebe hebu sikiliza kero zetu na utatue ww ni muigizaji mzuri Sana Tena ni mtu unayeanza vizuri lakini mwisho unatuweka njia panda kifupi humalizi move hivyo maliza move bhana tuna kupa big up
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Жыл бұрын
Pata peps baridi💪
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Mbn movie zt kamilizia au mlitakaje jmn muandikiwe kabisa imeisha hayo mamb km ya darasa la 2 D
@GAHUZAMIRYANGORomainFidele
@GAHUZAMIRYANGORomainFidele 5 ай бұрын
hongera kwa kozi mzuri
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Sina lakusema nampenda hatari babangu Athuman madebe,hivi viziki uniacha hoi mie🥰🥰👌🤣
@imranfikiri7730
@imranfikiri7730 Жыл бұрын
Jmaa anauliza umeniitaje apo
@swalehjumah137
@swalehjumah137 Жыл бұрын
Iigwe ingwee madebe nini Bana poa pia Acha niwe n subra kusubiri sehemu y pili inshallah 🤲🤲🤲
@maxmilianmexades6684
@maxmilianmexades6684 Жыл бұрын
miziki inayowekwaga kwenye movie za madebe naipenda sana msanii mzuri anajua kuimba
@ibrahimamos6949
@ibrahimamos6949 Жыл бұрын
Kazi iko njema sana hii
@anthonyraphaely4817
@anthonyraphaely4817 Жыл бұрын
Nakukubali Sana madebe kazi zako nzuri sana
@fadhilgabriel7738
@fadhilgabriel7738 Жыл бұрын
Tatzo madebe hamariz move zima huwa anatuacha jia panda mali cjui imeishaje
@antaryomary6766
@antaryomary6766 Жыл бұрын
Ukisawa lkn move zake si zabongo move inaanza ushajua mwisho wake ukoje yuko sawa
@leydinholeydinho6202
@leydinholeydinho6202 Жыл бұрын
Umeon ee anatach katikti
@cuthbertfanuel288
@cuthbertfanuel288 Жыл бұрын
Mahali mbn ile imeisha kabisa ,, kama hauna uelewa wa movie ,,huwez jua kama imeisha ila mahali imeisha
@fadhilgabriel7738
@fadhilgabriel7738 Жыл бұрын
@@cuthbertfanuel288 hatima yake nn kam imeisha
@fadhilgabriel7738
@fadhilgabriel7738 Жыл бұрын
@@antaryomary6766 umeona cjui ka mukubwa anafer wp daaàaah
@danielsammy7904
@danielsammy7904 Жыл бұрын
Nakubali Sana madebe lidai ,, love from Kenya ,, Tanga korongwe ndo ujombani
@dicvanofficial
@dicvanofficial Жыл бұрын
Ukiona mlima usiubebe maana milima yote duniani inakawaida ya kupandwa @itifaki izingatiwe hapo umetisha sana Mr Mbinga
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Жыл бұрын
Huyo anaeimbaga nyimbo za baking ground kwenye movie za madebe bonge la mwandishi, akiamua kuimba nyimbo zetu za bongo flava atafika mbali sana
@aslamraslan2295
@aslamraslan2295 Жыл бұрын
Anakuosea sana mke wako uncle Nampa pole sabb shemeji wamekaa kama hekima mjomba ni mama
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Жыл бұрын
Nakubali huna movie mbovu
@NoahArapoho
@NoahArapoho Жыл бұрын
Kwa kweli move zako yaelimisha
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 Жыл бұрын
Kama mpaka sasa huwelewi move ya mahali ilishia wapi piga like
@andalusianandy
@andalusianandy Жыл бұрын
Mahali iliisha madebe akamuua mke wake
@shadrachmuatha
@shadrachmuatha Жыл бұрын
Kazi safi madebe muendelezo uje haraka 🔥
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
Huwa najifunza mengi kupitia movie zako. Ila tatizo unachukua muda sana kuendelea au unaachiaga njiani
@mokiwasaid6871
@mokiwasaid6871 Жыл бұрын
daah kweli mjomba ni mama madebe huna baya wee piga kazi tu mungu akupe umri mrefu wenye mafanikio,🙏🙏🙏
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 Жыл бұрын
Waiting
@saidimfalingundi9428
@saidimfalingundi9428 Жыл бұрын
Kaz nzur kaka
@omarmkali3610
@omarmkali3610 Жыл бұрын
👍kazi safi kaka mkubwa.. umefurahishq sana na mkeo mjomba ni mama tu
@djrichsingelifreva8245
@djrichsingelifreva8245 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Hunaga kazi mbovu ila humalizage movies 🎥 kuwa unatuacha njia panda 🐼
@christabellauwimana3164
@christabellauwimana3164 Жыл бұрын
Love u from burundi
@Leonarnk3
@Leonarnk3 Жыл бұрын
We ni #Mkali sana
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
Nice work
@tajirbless8410
@tajirbless8410 Жыл бұрын
Unanikoseaa sanaa mke wanguu 🤣😅😂 madebe Umepindaa sanaa wee
@mkunwaaidani6395
@mkunwaaidani6395 Жыл бұрын
Asante sana Madebe
@aminakatana8721
@aminakatana8721 11 ай бұрын
Hongeraa sana nabii mswahili ❤
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Madebe wewe ni nyoo ala mbwa atari kaka unajua alafu unajua tena mashaallah unatushangaza sana
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Жыл бұрын
Kihuwalisia mimi Huwa siangari hatuwa unazopiga.nnaangalia viatu irivyo vaa.😂🤣💪💪🔥🔥💪💪
@mariecelestin3757
@mariecelestin3757 Жыл бұрын
😂😂
@aronjonathan3297
@aronjonathan3297 Жыл бұрын
Wait it from,, 🇧🇷
@Cambarada
@Cambarada Жыл бұрын
Ngondo ni neno la kibantu linalotumika ukanda wa kusini mwa Tanzania lenye maana 'Balaa'
@naomimakweta-he2wh
@naomimakweta-he2wh Жыл бұрын
Nawapenda sana mnafundisha na kiujumla mna hisia
@tiffarqueen2712
@tiffarqueen2712 Жыл бұрын
Kweli madebe unatuacha njiapanda Sana movie umalizi mbilini nayo aujamaliza Yani dah unapunguza utamu🥺
@mohamedothumanhussein2792
@mohamedothumanhussein2792 Жыл бұрын
Tatizo haumalizi move sijui kwann hapa Ile taraka hatujui imeishiaje
@timayusuf2861
@timayusuf2861 Жыл бұрын
Mashallah very nice
@gersonissa9124
@gersonissa9124 Жыл бұрын
Napenda Na chokiona
@ottomanmorand6117
@ottomanmorand6117 Жыл бұрын
Mwalimu wangu 🥰🙏 mjomba ni mama
@busatitv
@busatitv Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@paulkambulo6435
@paulkambulo6435 Жыл бұрын
nice one blood bro kambulo Paul from south Africa
@adammaganga485
@adammaganga485 Жыл бұрын
kazi imesmama 🔥🔥🔥
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 Жыл бұрын
Munanikosea pia mm wake zangu🤣🤣🤣😂🙌mahari iko wap🥹
@husnaadam1994
@husnaadam1994 Жыл бұрын
Madebe kiukweri move zako ni mzuri sana Ira atukuerewe Kwa nini umariz mpendwa nini tatizo unatuboa sana Kwa iro mpendwa
@mirumbenickson6247
@mirumbenickson6247 Жыл бұрын
Ngondo.. imemulika matukio yanayotendeka katika jamii... Funzo hili.
@JohnMeng-do1cw
@JohnMeng-do1cw Жыл бұрын
Madebe the best actor
@assalamtv8820
@assalamtv8820 Жыл бұрын
safi sana walaji tumefurahia chakula kitam
@khadijazubeir3904
@khadijazubeir3904 Жыл бұрын
Mtamu namuona tena😂😂 nimekipenda haka kabint
@halimaali3719
@halimaali3719 Жыл бұрын
Jamani vp sijaniona
@singeriuswazi8183
@singeriuswazi8183 Жыл бұрын
Daah aisee kal san
@adamjackson7402
@adamjackson7402 Жыл бұрын
Namkubali sana mwamba madebe lidai
@salmusalmu8845
@salmusalmu8845 Жыл бұрын
Nzur sana inamafunzo yakutosha ♥️
@abubakariahmadinassoro1490
@abubakariahmadinassoro1490 Жыл бұрын
Umenikosea Sana Mke wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwamba kakunja ngumi daaaaah
@zuu9022
@zuu9022 Жыл бұрын
😂😂mjomba ni mama na yy n mke wake
@uuuuiiii3917
@uuuuiiii3917 Жыл бұрын
Daah tamu hatariii Safi Sana
@apynesnzisa5045
@apynesnzisa5045 Жыл бұрын
Mpoooo 🤭 "Hakuna kurudiana rudiana"...Si babangu angekuwa hivi😊
@omarisufiani3996
@omarisufiani3996 9 ай бұрын
Beat mkaiba la waturuki duuuuuuh 😂😂😂😂😂😂😂😂 Zalim Instanbul au the city........
@dawayaodawayao4552
@dawayaodawayao4552 Жыл бұрын
safi saaana konde nikiwa newala mtwara
@nsengumuremyisylvester4950
@nsengumuremyisylvester4950 Жыл бұрын
filamu nzuli sana yanai inavutia sana!!
@jumamakung8146
@jumamakung8146 Жыл бұрын
Nishamaliza kukusifia kaka kilichobaki ni kusubiri burudani kutoka kwako kaka unajua sana
@bongoconnection4395
@bongoconnection4395 Жыл бұрын
Ya moto sana
@onlyskills8258
@onlyskills8258 Жыл бұрын
Anaemjua sound track wa madebe anambie.
@DaudEzekiel-s7c
@DaudEzekiel-s7c 9 ай бұрын
Nzuri
@sheyyusuph3685
@sheyyusuph3685 Жыл бұрын
Mkwaju aliishia kati acha tuone na hii kazi nzuriii lakin hamalizagi
@alfredntinday3893
@alfredntinday3893 Жыл бұрын
#tataz kaka madebe unaachia move njia vipi shilingi umefikia wapi kuiendeleza
@javy_c1k
@javy_c1k Жыл бұрын
Kazi nzuri. Shukran sana kwa subscribers wangu kumi. Mzidi kunisupport
@osmondyfate6599
@osmondyfate6599 Жыл бұрын
Ngondo ikoto
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Madebe ni Mnyama sana 🙌🙌🙌
@allyhamixi
@allyhamixi Жыл бұрын
Big up my brother
@DonaldGamba-hy5hs
@DonaldGamba-hy5hs Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@habibaa9503
@habibaa9503 Жыл бұрын
Mkwaju iko wap jaman kila siku move mpya zingine hamumalizii
@maximilianmganga3140
@maximilianmganga3140 Жыл бұрын
Hongera Sana
@salama1113
@salama1113 Жыл бұрын
Nipeni like mwenye utamaduni wake madebe lidai
NGONDO  Sehemu ya Pili
20:58
Madebe Lidai
Рет қаралды 173 М.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,4 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Tabia mbaya MAMA KANIKATAZA😂 STEVE MWEUSI anakimbia msala?
9:31
FILMS BONGO RECAP
Рет қаралды 28
KOTI LA BABU FULL MOVIE STARING MADEBE LIDAI IBRAHIM MBEA
1:11:10
MAHARI Sehemu ya Kwanza ( 1 )
16:23
Madebe Lidai
Рет қаралды 122 М.
TISHIO; NGOMA NAGWA EP.1 NI MOVIE NZULI YENYE KUELIMISHA NA KUFURAHISHA.
22:05
UTAMU FULL MOVE I STARING MADEBE LIDAI
1:12:18
MPAYU FILM
Рет қаралды 37 М.
ALIYEKUWA MKE WA MADEBE LIDAI AFUNGUKA ANAYOPITIA HIVI SASA
4:09
Wasafi Media
Рет қаралды 14 М.
MZEE YUSUPHU AMWAGA MACHOZI MSIBANI KWA DIDA, INAUMA SANA
8:31
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,4 МЛН