Asanteni sana kwa mafundishoi mazuriiii na nimejifunza kitu wonders sana kwenye maishaa❤😊
@dorothyshiyyo33709 ай бұрын
Asante sana kwa neno zuri lililojaa upako.
@jackieejiro95669 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu
@suzysoraelw20629 ай бұрын
Amen Pastor
@PerisiperisiKingi9 ай бұрын
Amen mtumishi
@user-fl9qd5eg2s9 ай бұрын
Ni kweli kabisa baba mm mwenyewe nilikua na mahusiano na mwanaume mmoja ,na alinipenda sana tuu baada ya kuzaa mtt tuu akaanza tabia za ajabu ila chanzo ni Ili mm nibaki Moshi na mtt maana dada zangu wamezaa na kiachana na mwanaume watt wakiwa wadgo hivyohivyo ,nikamwambia Mungu nimeelewa
@user-jj2gz4ye3f8 ай бұрын
Baba natamani nifike kanisani kwako
@janethfwamba85619 ай бұрын
Ee mungu naomba unisaidie nijuwe chanzo Cha maden yangu Ni nini
@nicsaelburra23709 ай бұрын
Amen
@emilykarisa4149 ай бұрын
Amen sana mtu wa Mungu
@vicentkilonzo9249 ай бұрын
🙏
@veronicaodero18449 ай бұрын
Acha Mungu anipe kujua chanzo Cha matatizo ya kifafa autism ndani ya mtoto wangu. Amen.
@edwinlyakurwa9 ай бұрын
Amen mtumish
@faudhiasalum72799 ай бұрын
😢😢
@MichaelKangeta-lt2gh9 ай бұрын
Amen Amen 👍🙏
@mutetinicholas66379 ай бұрын
Can I get an appointment with man of God ? Am from Kenya
@esthercharo8279 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂utazunguka sana kama huna imani ata ukaenda kwa sunbellar na kama huna imani utarudi bila 😂😂😂😂😂ju mtumishi ahatumii vitambaa na maji upo.... 😂😂😂 Mtumishi sunbellar ni mtumishi mzuri sana 👌👌👌lakini jitafute mwanzo ndio uende sababu ni nini mdada.
@martinakemunto77859 ай бұрын
@@esthercharo827mbona unamvynja huyu moyo? Kama unajua vile vya kumpata sema tu hizo tamthilia zingine achna naO
@Precious24259 ай бұрын
Yes he is a real man of God Yesu aendleee kumtumia kwakweli, amekuwa akifanyika baraka kwenye maisha ya watu wengi kwa mafundisho yake tu wala hatumii nguvu, Ipo nguvu kubwa sana ya Mungu kwenye ufundishaj wake