CHANZO CHA UGONJWA WA PID, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE DR STEPHEN MNYANYI

  Рет қаралды 62,330

JAHA TV Online

JAHA TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@FlorahMpondo-ns5ts
@FlorahMpondo-ns5ts 4 ай бұрын
Asante doctor kwa kutuelewesha
@SofiyaDullah
@SofiyaDullah 8 ай бұрын
Asanteni sana
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 4 ай бұрын
Asante Sana Dr
@mudyzzube1204
@mudyzzube1204 3 күн бұрын
Dokta kuhuc zinaa ambae ana ambukiza ni mwanaume au mwanamke
@ShaniJuma-sm1sd
@ShaniJuma-sm1sd 7 ай бұрын
Nimekuelewa sana dr
@JosephMlelwa-h9w
@JosephMlelwa-h9w 4 күн бұрын
Doctor shida kubwa ni kwamba napata maumivu makali wakati tendo na baada ya tendo nisaidie shda nn
@LaynaSamwel
@LaynaSamwel 6 ай бұрын
Doctor nisaidie nimeumwa PID kwa mda mrefu sana na nshatembea hospital nyingi napewa dawa wakati mwingine kupata ushauri hila bado sijapona nisaidie please
@christinapaul7390
@christinapaul7390 5 ай бұрын
Na Mimi ni muhanga sana wa hilo
@IreneChizah
@IreneChizah 4 ай бұрын
Nitafute nikuelekeze dr
@LuciaPhinias-wy3do
@LuciaPhinias-wy3do 3 ай бұрын
​@@IreneChizahMimi pia jamn
@aminahassan5817
@aminahassan5817 2 ай бұрын
Habar ​@@IreneChizah
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 ай бұрын
Dada tumia karafuu na kitunguu saumu utakuja nikumbuka
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 9 күн бұрын
Docta naomba unixaidie me nimepita mwezi cjaingia period na tumbo linaniuma chini ya kitovu mimba nimepima cn hiyo ni pid au uti
@husnatisaid
@husnatisaid 15 күн бұрын
Nashukur doctor ila Mimi napata2 harufu mbaya tofauti nasiumwi na tumbo wala kutoka uchafu je nnn
@AidaNgolly
@AidaNgolly 15 күн бұрын
Doctor naomba namba za pfisini kwenu mana mm natoka na uchafu kidg sana ila nikikutana na mume wangu natoka uchafu mweupe
@sharifaali2927
@sharifaali2927 10 күн бұрын
Dk me hali yngu ni mbaya sn kwa huo ugonjwa mwanzo sptl nikiambiwa ni pid mala naambiwa milango ya kizazi zimetanuka nisaidie
@SalmaSaidi-c3i
@SalmaSaidi-c3i 7 ай бұрын
Mbon mm cjawah kujamiian na mtu wala kutoa mimba wala kuharib mimba na cjawah shirik mbon ugonjwa umenipat ttz lpo wp doctor nimeupataj na cjawah kujamian
@jahatvonline
@jahatvonline 7 ай бұрын
Wasiliana na Dr farajah ni mtaalamu wa masuala ya wanawake kwa namba za simu +255 657 526 248
@jahatvonline
@jahatvonline 7 ай бұрын
Wasiliana na dr faraja kwa simu namba ni mtaalamu wa masala ya magonjwa ya wanawake +255 657 526 248
@truthch1642
@truthch1642 6 ай бұрын
Nenda kwenye maombi
@omanruwi5501
@omanruwi5501 7 ай бұрын
Asanteni❤❤❤🎉🎉🎉sanakwa kutuelimisha
@MussaHaji-s3j
@MussaHaji-s3j 27 күн бұрын
Dokta naomba no yko hlo yzo ninalo 4:16
@dorithherbert5644
@dorithherbert5644 9 күн бұрын
Mimi nasumbuliwa namaumivu makali yakiuno mzunguuko wote wakiuno nakutoka jasho jembamba mpaka kwenye nyayo nakuishiwa nguvu je hii ni shda Gani?
@Samir-u8w
@Samir-u8w Ай бұрын
Me nasumbuliwa sana na pid nimetumia dawa sindano mpk nimechoka alafu na blidi mabonge mabonge na mimba sishiki
@hidayahamisi-e8k
@hidayahamisi-e8k 6 күн бұрын
tumia karafuu na kitunguu swaumu
@OnesmoNgonyani-bc5uu
@OnesmoNgonyani-bc5uu 7 ай бұрын
Je iyo PID inaambikiza
@BahatiJulius-xt9my
@BahatiJulius-xt9my 5 ай бұрын
Asante kwa ushauri Mimi pia nna tatizo Hilo naomba msaada
@jahatvonline
@jahatvonline 5 ай бұрын
Namba za dr Faraja hizi hapa 0657 526 248
@TheoDrizzy-q4e
@TheoDrizzy-q4e 3 күн бұрын
Doctor me natokwa nauchafu sehemu zasiri harafu natoa harufu nasijuhi tatizo ninin
@phillyjnl2205
@phillyjnl2205 2 ай бұрын
Doctor samahan mm uchafu huwa unatoka mara moja moja na wala hauna harufu mbaya na pia ni mweupe mwepesi je na yenyewe inaweza kuwa dalili ya p.i.d
@Snuky54
@Snuky54 7 ай бұрын
Masha Allah Doctor anafafanua vzur sana yupo vzur masha Allah
@Marryjoseph-gk5gm
@Marryjoseph-gk5gm 23 күн бұрын
Doctor nisaidie huwa nasikia maumivu makali sana chini ya kitovu
@ZawadiRashid-x6w
@ZawadiRashid-x6w Ай бұрын
Doktar habar mm naumwa chin ya kitovu upande wa kulia lakin napata maumivu miguu na sehem zangu zasir hasa nyuma hata nikijamba napata maumivu nisaidie
@hamenyanashoni9483
@hamenyanashoni9483 5 ай бұрын
Mm nikikalibia kuingia kwenye sku zangu uleute unakuta unahalufu mbaya nanikitoka tumbo linaniuma chini ya kitovu
@jahatvonline
@jahatvonline 3 ай бұрын
Inabid ukafanye vipimo au wasiliana na Dr Farajah 0657 526 248
@JanethJoseph-o5s
@JanethJoseph-o5s 7 ай бұрын
Mm nauliza mtu akiwa na PID anaweza akawa anasumbuliwa namuwashoo sehm za sili
@CahelyPaul
@CahelyPaul 7 ай бұрын
Ndy
@sharifaali2927
@sharifaali2927 10 күн бұрын
Dk huu ugonjwa unanisumuea sn naomba namba yk
@JanethMwambela
@JanethMwambela 14 күн бұрын
Samahan dostar mie kesho ndo siku ya kubeba mimba siwez kutumia daw ya kupevusha mayai
@SizaFungo
@SizaFungo 2 ай бұрын
Doctor me maumivu mda wa tendo la ndoa na nimezinguka hospital nazipata nafuuu yoyote plz naombunixaidie
@jahatvonline
@jahatvonline 2 ай бұрын
Piga simu 0657 526 248 Dr Farajah
@sharifaali2927
@sharifaali2927 10 күн бұрын
Samahani dkt naomba namba yk
@RehemaAloyce-p6x
@RehemaAloyce-p6x 3 ай бұрын
Mm pia nina hiz dalili msaada plz
@SwaumuAbubakari
@SwaumuAbubakari 5 күн бұрын
naweza kumpata wap huy docta
@mashikulushona7470
@mashikulushona7470 7 ай бұрын
Ni ukweli kbs naomba msaada
@SeriusiNyinge
@SeriusiNyinge Ай бұрын
Samahani docta mtu mwenye p I d anaweza kubeba mimba?
@MNEGENAJAPHET
@MNEGENAJAPHET 8 ай бұрын
@Bilmutzbilmutz
@Bilmutzbilmutz 7 ай бұрын
No ya sm
@HopefulComputer-fz7be
@HopefulComputer-fz7be 7 ай бұрын
Tiba zake
@MichealNgwale
@MichealNgwale 2 ай бұрын
Saw ipi nitumie
@SalmaSleman-u5z
@SalmaSleman-u5z 4 ай бұрын
Mm naomba dawa ya huu ugonjwa dr
@KaizaMaria
@KaizaMaria 5 ай бұрын
Tofauti na kujamii ana na mtu mwenye magonjwa Kuna nyingine njia ya kupata ugonjwa huo
@MwaniPhilipo
@MwaniPhilipo 7 ай бұрын
Nisaidie maana maelezo yanatosha kuwa ni kweli mtupu dalili ni hizo
@muznaame5518
@muznaame5518 3 ай бұрын
namba yako ya simu mpo hujatuwekea
@HalimaIdd-x5v
@HalimaIdd-x5v 3 ай бұрын
Jaman kumbe tuko wegi hili tatizo linaniuma sana
@IssaShabani-ce1rz
@IssaShabani-ce1rz Ай бұрын
Doctor muwasho na uchafu wenye harufu ni dalili za nn hzo
@NaimaKakombe
@NaimaKakombe 2 ай бұрын
Mimi Nina mwezi wa pili sasa nablid bila mpangilio yaani nakaa wiki au cku 3 naingia tena naomba msaada
@Bilmutzbilmutz
@Bilmutzbilmutz 7 ай бұрын
Pliz no ya sm
@JoisSamwel
@JoisSamwel Ай бұрын
naombeni namba nije
@RihamCuty
@RihamCuty 4 ай бұрын
Doctor nisaidie nimept hlo tatizo la p l d nip zanzibar
@AmosSimon-o1g
@AmosSimon-o1g 3 ай бұрын
Dr tunataka namba tuna hitaji msaada wako
@SamwelZawad
@SamwelZawad 3 ай бұрын
dr mi naumwa na homa kbs coz nimepima na nina pid
@SheymaaYusuph
@SheymaaYusuph 4 ай бұрын
Dokt samahani naomba namba yako
@MichealNgwale
@MichealNgwale 2 ай бұрын
Sijaelewa kuhusu kuto kunywa dawa akitoa mimba
@b.i.gnotorious7947
@b.i.gnotorious7947 6 ай бұрын
Kwakweli doctor unaelezea vizuri natokwa na huo uchafu na cjuh napataje msaada mungu atusaidie
@jahatvonline
@jahatvonline 5 ай бұрын
Wasiliana na dr Farajah kwa namb za simu +255657526248
@Mohanta-q6h
@Mohanta-q6h 5 ай бұрын
Dr help plz
@IreneJonas-q3w
@IreneJonas-q3w Ай бұрын
jamani nifanyeje mm
@hidayahamisi-e8k
@hidayahamisi-e8k 6 күн бұрын
tumia karafuu na kitunguu saumu
@kautharjay5868
@kautharjay5868 2 күн бұрын
​@@hidayahamisi-e8kmbona haufafanui
@jemsmayunga
@jemsmayunga 8 ай бұрын
Pid unaweza kusababisha kukata kwa hedhi
@JoshuaAtupele-oy5op
@JoshuaAtupele-oy5op 7 ай бұрын
Me sipati maumivu doct ila natoka uchafu mweup nisaidie
@kazanamusso4784
@kazanamusso4784 7 ай бұрын
Ukitoaa mimba usipotumiaa dawa hapa sjaelewa
@MariamOmar-bn6op
@MariamOmar-bn6op 5 ай бұрын
Tina sake please doctor
@SabraJuma-z1j
@SabraJuma-z1j 7 ай бұрын
Mm nauliza mtu akiw n pid hawez kupat kizaz
@jahatvonline
@jahatvonline 7 ай бұрын
Tazama video hii nadhan itakuwa na majibu ya maswali yako kzbin.info/www/bejne/o5uZhWt9i7Z8paM
@StellahSalome
@StellahSalome 6 ай бұрын
Dktr mm naisii uchungu nikimalizia kukojoa iyo pia n moja wapo izo dalilizingine sina
@Nasrajy
@Nasrajy 6 ай бұрын
Ndiy Huwezi kupata kizazi
@vanessaanna6550
@vanessaanna6550 3 ай бұрын
U TI iyo ​@@StellahSalome
@evapetro4473
@evapetro4473 4 ай бұрын
Jaman tiba yake ni nini
@AkraMwaikambo
@AkraMwaikambo 2 ай бұрын
Dr naomba nisaidie dawa ya huu ugonjwa
@jahatvonline
@jahatvonline 2 ай бұрын
piga simu 0657 52 62 48
@endruPrimmy
@endruPrimmy 4 ай бұрын
dr mke wangu anapata shida kama hiyo anapata damu mara mbili tena damu yenyewe nyeusi sana je na hiyo ni Dalili pia
@jahatvonline
@jahatvonline 4 ай бұрын
Kinachohitajika baada ya kuona dalili zilizotajwa ni kumuona daktari kwa ajiki ya kuhakikisha tatizo, sisi tunakutajia dalili ili uchukue hatua,au piga simu 0747557514 Dr mnyanyi
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 ай бұрын
Ukiona ametumia dawa za hoss na hali iko ivyo acha nikupe dawa mwambie atumie karafuu na kitunguu saumu achemshe utakuja nishukuru
@SalmaAli-pt7dm
@SalmaAli-pt7dm 27 күн бұрын
Samahan naomba kuulz iyo karafuu na kitunguu thoum unavitwanga au vp unaweza kutufafanulia kwa uelewa zaid
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 25 күн бұрын
@@SalmaAli-pt7dm kitunguu saumu waeza kumeza kma dawa na pia kma wataka kuchanganya na karafuu basi waitwanga na uchemshe unywe
@ShamiraSued
@ShamiraSued 7 ай бұрын
Je condom inaweza sababisha pid
@EdnaAdammsyani
@EdnaAdammsyani 2 ай бұрын
Mh nikatoe tu kitanzi nishaanza kuona dalili
@jahatvonline
@jahatvonline 2 ай бұрын
dalili zipi hizo ulizoanza kuziona?
@zainabzain3434
@zainabzain3434 7 ай бұрын
Naweza je kupata namba zako Dr nina bint analo ilo ttzo kishatibiwa bado inajirudia anamwagika maji ukeni
@IreneMutheu-cx7ts
@IreneMutheu-cx7ts 4 ай бұрын
Aki niko na shida ya infection
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AkraMwaikambo
@AkraMwaikambo 2 ай бұрын
Dawa napataje
@witnesskaaya9641
@witnesskaaya9641 6 ай бұрын
Samaahani doctor je matibabu yake tunapataje
@jahatvonline
@jahatvonline 5 ай бұрын
Piga simu namba 0657 526 248 Dr Faraja
@VelonaJoakimu
@VelonaJoakimu 4 ай бұрын
nitumie namba zako
@YohanaMollely-v6e
@YohanaMollely-v6e 7 ай бұрын
Je tatizo la PID linatibika?
@CahelyPaul
@CahelyPaul 7 ай бұрын
Ndy
@GetrudaNyemela
@GetrudaNyemela 3 ай бұрын
Namba docta naomba
@jahatvonline
@jahatvonline 3 ай бұрын
Dr ametaja namba yake kwenye video ya pili Madhara ya PID KWA MAMA MJAMZITO
@VivianFuraha
@VivianFuraha Ай бұрын
Kama huna dalili zote lkn unawashwa sehemu ya haja kubwa hiyo nayo nn
@Bilmutzbilmutz
@Bilmutzbilmutz 7 ай бұрын
No ya sm
@jahatvonline
@jahatvonline 7 ай бұрын
Namba ya ofisi ni 0678 998 222 Coordinator jaha communication
@estheryonna3462
@estheryonna3462 7 ай бұрын
Tina please
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 33 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 27 МЛН
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 31 М.
#MOVIE SIKU YA QIYAMA INATISHA! (KISWAHILI)
1:08:33
Seyfullah Online Tv
Рет қаралды 219 М.
UVIMBE KWENYE KIZAZI 01 | AINA MBILI ZA VIMBE KWENYE KIZAZI
13:34
JAHA TV Online
Рет қаралды 3,2 М.
Hizi ndio siku za Kushika Mimba - Dr Baiya Kissiwa
10:12
Kalamutz
Рет қаралды 58 М.
UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI: CHANZO, KINGA NA MATIBABU | DR FARAJAH
22:21
SABABU & DALILI ZA (PID) KWA MWANAMKE DR SADATI MUSTAFA
4:59
Africa TV2
Рет қаралды 19 М.
DAWA NZURI YA YUTIAI (UTI)/URINARY TRACT INFECTION
31:19
PDK Generation
Рет қаралды 23 М.
Dr Isaac hatari ya PID,dalili na tiba.
9:40
The XO
Рет қаралды 29 М.
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН