Wanawake tunakaa na mambo mengi sana moyoni kwenye ndoa but when it’s come to a toxic relationship pls leave…run awaay Rest in peace Diana…fly high babes My deepest condolences to her family
@saudalilingani92643 ай бұрын
Huko ni kuonyesha anahitaji ishu ama yupo tayari kuwa na huyo baba
Kichaa huwa haponi kwa asilimia 💯.Mungu awatie nguvu familia kwa wakati mgumu huu wanaopitia.Inaumaa sana
@mariamkikula16143 ай бұрын
Waandishi wa habari acheni hii Salamu ya heshima yako.mzee kama huyo unashindwa kumuamkia shikamoo.c umri wa mzazi wako huyo.mnatuharibia vijana na hii Salamu yenu ya kihuni
@sir_ENOCKMACHA3 ай бұрын
Sana hovyo kabisa
@saraallen63413 ай бұрын
Kwanza heshima yako ndo nn jamani mimi huwa sielewi
@mauasylla50243 ай бұрын
Najiuliza hii " heshima yako" ilianzia wapi? Ni ukosefu wa adabu. Inanikera sana.
@SALEHSALEH-lk5jr3 ай бұрын
Kuna wazee wengine hata ukiwaamkia hawakuitikii na wengine huku jibu "poa". Sasa wazee kama hawa utawasalimia kwa salamu gani?
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
Wapumbavu Sana sijui anaweza kumuambia baba yake mzazi heshima yako
@GraceMalley-ly2xn3 ай бұрын
Hizi roho za mauti zikome kwa Jina la YESU, fikiri kabla ya kutenda ukisha ua utaishia jela umepata nini umeleta hasat kwa familia ulioua Mtoto WA mwenzako Nawe pia jeeeeela faida gani mpingeni sHeTani nae atawakimbia
@RemigiusDomitian2 ай бұрын
Jifunze kutoa salaam ya heshima,wewe ni kioo Cha jamii.Ahsante.
@moshiwasua57493 ай бұрын
Wanawake wote. POLENI sana. Mnavumilia mengi sana. Mkiamua kuacha ndoa. Kutokana na yanayo wakuta ,Jamii Ina walaumu. , Mnapovumilia , mnapatwa na kifo. Duu jamani wanawake wana teseka sana Wanaume. tutambue kuwa huyo mkeo anapendwa na wazazi mno kuliko mali ulioltoa. Kama umemchoka mrudishe kwao kuliko kumnyanyasa
@sylviamuzungu79982 ай бұрын
Amiin, ubarikiwe kaka
@happytimes97473 ай бұрын
Mwanamke mzuri kweli, jameni hii mambo inaumiza sana mbona bila huruma unyonge mtu ambaye mumekua na yeye si muachane tu kila mtu atafute maisha yake😢😢😢poleni sana family
@محمدالقايد-د6ب3 ай бұрын
Umeonae jamanii
@SimonMwita-k8sАй бұрын
Poleni.ila niligundua mwanamke sura nzuri ni hatari afadhali sura mbaya afadhali.sura nzuri utashindia mukikoseana na wanaume
@AnitaApolinary3 ай бұрын
Unajaribu kuvumilia ndoa na madhaifu ya mwenzio kumbe yy ana mpango wa kukuua😢jaman sasa hapa tunajifunza kwmb tuache kuwavumilia wanaume maana😢😢😢😢😢
@richardbenny1563 ай бұрын
Nawaambia Wanawake. ogopeni sana mwanaume mlevi. Atakuchekea leo kesho Atakuua. Ni sawa unampenda ila Atakuua na kukatisha Maono yako. Nawashauri kaaeni mbali na walevi na wanywa pombe. Muda wowote anakuua vizuri.
@johnnkya18243 ай бұрын
Pombe ikifikia kuwa sababu ya kuuwa sasa hiyo inakuwa siyo pombe...kumbe kuna na shida ya afya ya akili....
@magrethpaul22073 ай бұрын
Kiukweli Hawa viumbe nihatari MWENYEZI MUNGU kawapa nguvu ya kutulinda wanaitumia kutumaliza😢
@vero573 ай бұрын
Hii mambo ya kuvumilia ndoa sio vizuri, poleni sana wafiwa
@rahimchardluck3 ай бұрын
Kwa mtu anaejua maisha halisi ya hapa duniani unaweza shangaa kwa hiki kitendo ila lazima ifikie hatua wanaume wawe na natabia kama za kike sahizi uiili kuokoa haya matukio.wanaume wanapitia magumu sana kwenye ndoa zao ni vile tu si rahisi kuzungumzika kwenye jamii na jamii haiko tayari kuielewa upande wa wanaume.sivizuri jambo lakuua ila kuna kitu ndani yake.ulevi si iwe kigezo chakusema kisa mlevi ndio maana kaua.wangapi wanalewa na kama ulevi shida si serikaliizuie utengenezaji na uingizaji wa pombe!ishu ni mambo yakifamilia
@JumaMartin-e4v3 ай бұрын
Mimi niwaombe wanawake wote mnapo kuwa na changamoto ktk ndoa zenu msifiche na c vema kukaakimya.polen wafiwa ndugu na jamaa na mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi insha Allah.
@RashidShedaffa-v9x13 күн бұрын
Poleni wote mnaohusika na marehemu Diana, dunia mapito sote tuko safarini....namna mwandishi alivyohoji,nimegundua Diana na mumewe waliishi kwa upendo mkubwa,huenda pombe alokunywa na tatizo la akili alilowahi kuugua ndo sababu ya tendo ovu alilofanya ofisa mtendaji. Napendekeza apimwe akili ili kujilidhisha na hali ya afya ya mtuhumiwa ndipo afikishwe mahakamani ,sheria ifuate mkondo wake. Poleni tena wafiwa M/Mungu awape subira.
@MaryamAziz-q7t3 ай бұрын
Kweli ni salam ya kihuni saana heshima yko maana yke nin
@DpN-rk8xz3 ай бұрын
JAMANI poleni famiy RIP Diana hii kweli kila siku kunamauaji watu wamekuwa vipi
@valenakomba76863 ай бұрын
Hivi wewe unajuwa maana ya marahaba kwa waarabu wenyewe? . Marahaba maana yake KARIBU sasa hiyo ndo nini?
@nancyg86643 ай бұрын
@@valenakomba7686kwan sisi ni waarabu 😂😂😂we si mngoni kabisa
@ljk40063 ай бұрын
@@valenakomba7686😂😂tubaki tu na salamu zetu za kibantu
@Migrationdesanimaux3 ай бұрын
😂@@nancyg8664
@agnessokumu583 ай бұрын
Ni maumivu makubwa kwa familia Mungu awatie nguvu na sheria itatenda haki
@putilegamagama60493 ай бұрын
SALAMU GANI HIYO KWA MZEE HAPO. DADA ETU
@DaheerK3 ай бұрын
Mtoto akishaolewa mkaletewa changamoto yoyote msimfarij mtoto mtumie sheria mrudisheni nyumban jaman 😢😢
@gracemacha93573 ай бұрын
Ndoa ikikushinda kimbia 😭😭
@hyasintapantaleo11023 ай бұрын
Davis pole kipenzi. Jamani Diana Mungu akulaze mahali pema
@darajalakidatukilomgi23623 ай бұрын
Poleni sana familia, imetuumiza wengi, ukatili wa hali ya juu, Mtangazaji nenda kahoji wazazi wa mwanaume pengine hili sio tukio la kwanza kuua
@MauaDumba3 ай бұрын
Sasa unadhani watasema hata kama tumio si la kwanza
@mariej69623 ай бұрын
Kama ndugu tu wa mke wanaficha matatizo yake ya akili unadhani utapata chochote kwa wazazi wake?
@KULWAMAIGE3 ай бұрын
Familia mnaongea vzr sna mnaofu ya mungu
@LatifaHashim-rn1ip3 ай бұрын
Duh wanaume msijikaze sana bwana wote tunaumia Baba Pole
@gracemacha93573 ай бұрын
Wanawake tuache kuvumilia vipimo vya Wanaume 😭😭😭
@JosephineMegora3 ай бұрын
Nyumba nzuri maisha safi shida nin jamani mkono wa mtu huo
@NixonJohnson-zn8nk3 ай бұрын
Kero ni cku Moja tu.. Sms 1 inaua na kuishi na chizi ni uchizi pia.
@moshiwasua57493 ай бұрын
Aliongea doctor (PhD). Baadhi ya wasichana ambao waliharibiwa tabia kwa kujua mambo ya ndoa wangali wadogo. ,,Wasichana wa namna hiyo ni vigumu sana kusema SHIKAMOO
@JamilaKelota3 ай бұрын
Mpuuzi sana huyo mtangazaji umeshindwa nn kumuamkia
@malakisilas65233 ай бұрын
Pole sana watu wabaya hawana utu Wala dini,ahukumiwe naye
@GadssonLutaha3 ай бұрын
Tobaah wanawake sisi jaman au hakujua kama anachizkaga? Maana had anachet kabisa? ama kwel kupenda upofu jamaniiiii dah! Mtu akpata uchz anaweza fanya lolote jaman nahuyo baadae...polen sana familia😭
Sas sjui amepata faida gan.😢😢ila mungu amsamehe😢😢😢
@PriscaMnyumba-xw8oc3 ай бұрын
Mungu atusaidiee sana. Bilaa mungu sisi hatuweziii kitu
@AnnaStazia-i6o2 ай бұрын
Kiukweli wanawake tuogopeni sana wanaume
@mohamedrajabu90552 ай бұрын
Alikuwa mke bora lkn mume hakuna bora
@summanelson55233 ай бұрын
Kwa nini Diana aliolewa na mtu mwenye kichaa!!!!! Ni hatari sana kuishi na mt mwenye changamoto ya akili!!!! Kuua ni kitu cha kawaida sana. Duh!!! Pole sana Diana umewahishwa sana. Umri wa miaka 30s ndiyo maisha yanaanza!!!! Ila huyu kaka muuaji apelekwe hospitali na asitoke kabisa. Anaweza kuua mtu mwingine.
@darajalakidatukilomgi23623 ай бұрын
@@summanelson5523 Kuna familia wanajua kabisa mtu wao sio mzima wanakauka kimya bila kusema ukweli tukio likishatokea wanaona hata aibu kusogelea ndugu za marehemu
@reachglobal99393 ай бұрын
Utakua umalaya ndyo maana jamaa alianza kupotezea mawazoachafu ya wanawake wengi Malaya wanazini nje ya ndoa wavuna matunda Yao
tena ni mjuu wake hata wa nne! lakini kuna wazee wengine pia hawataki shikamoo,tusimzonge sana huyu dada pengine yuko sawa!
@valenakomba76863 ай бұрын
Kwani shikamoo ina faida gani?. Au inmaana gani? . Sisi watu wa mikoani hatunaga shikamoo. Badala yake tuigage magoti kwa watu wazima.
@saudalilingani92643 ай бұрын
Huyu inaonyesha anakazi nyingine ya kuhitaji mahusiano na wazee, hn ht haiyya yaani looh
@drp37213 ай бұрын
Hajui kumpatia Mzee heshima yake. Maadili hakuna hapa, anakimbilia mahajiano
@Mimi-wf7mb3 ай бұрын
Hicho cheo cha Afisa utendaji ni laana. Wengi wanafanyaga mambo ya ajabu sana! Si ndio wanaosimamia dhuluma na kuhakikisha zinashinda? Mungu turehemu 😢😢
@richardbenny1563 ай бұрын
Mzee shida hapo ni ulevi, mapombe
@LaulentLameck3 ай бұрын
Watu tumekuwa waajab badala tukemee mauaji watu mbajadili salami Kwani heshima yako ni kihuni
@SuzanFelix-mo8fq2 ай бұрын
Heshima yako na wew pia mwandishi ameshindwa kujibu 😂
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
Aisee ungonjwa ulipanda halikuwa kusundi lake nadio maana ata hakukimbia😭😭 poleni familia
@RevinaVedasto2 ай бұрын
Jamani wanaume jalibu kuwa na mungu ndani ya moyo mbona wanawake twawavumilia nyie family poleni
@magdalenalaban88953 ай бұрын
Kumbe anacheti Cha ugonjwa wa matatizo ya Afya ya akili hapo hakuna kesi
@stellamongi88112 ай бұрын
Alafu watu wakiachana mnaongea mtu ukiona una aman ya roho na mpenz wako sepa dada yangu mzuri umemuuwa du
@minaelnathanael18463 ай бұрын
Shikamoo baba nadhani inatosha. Halafu Pole sana kwa msiba baba yangu. Inatosha kutafsiriwa kama heshima
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Hii nyumba bila kuombewa kuishi itakua ngumu
@estachengula39023 ай бұрын
Pole sana familia inasikitisha hata vyeo tuwapange wenye akili timamu
@JOHNMUSHI-q8k2 ай бұрын
Sasa wewe dadangu mtoto wa Tarimo ilikuwaje unaolewa na kichaaa? ninyi wazazi kwa nn mlimrruhusu mtoto aolewa na kicjaa??
@Jacklinejohn72 ай бұрын
Jaman ikisha fikia hatua watu hawaelewan juwa upendo umeisha ukingangana una uliwa binadamu tumebadilika hata utende jema lipi utalipwa baya tuu
@fredkweka-i4i3 ай бұрын
Tatizo ndoa nyingi zina Siri .na ujinga wanaofundishwa kwenye ndoa ni uvumilivu.ndomana yanatokea haya.
@Asma-u4z7b3 ай бұрын
Uyo Baba aliumwa akili ndio maana hakukimbia❤
@mossyfimbo35773 ай бұрын
Eee Mwenyeezimungu uzidi wanusuru watoto wetu na aibu za Dunia
@LaulentLameck3 ай бұрын
Watu mnajadili salam
@hidayaswai31193 ай бұрын
Duuuh pole kaka kwa kumpoteza pacha
@Jamalkishangu3 ай бұрын
Pombe ni mama wa maasi na maafa. Ni muhimu jamii kujiepusha na pombe ya aina yeyote, ule usimi kwamba kunywa kidogo hauna maana yeyote.
@kilogreek40503 ай бұрын
HAWA WAZEE WENGINE WANAYANFANYA HAYA MAUUAJI KWA MAMBO YA USHILIKINA KUENDELEA NA HUONGOZI WA UTENDAJI WA KATA????😢😢😢
@tumainichanya32683 ай бұрын
Mtangazaji unaongea vzr Ila kama mtoto wa kitanzania ongeza hekima mkubwa kwako msalimie Kwa heshima tumefundiahwa neno "shikamoo" Kwa wakubwa ulitumia nafikili itapendenza zaidi.
@LidyaSilaa3 ай бұрын
Haya mchaga kauliwa ona mnavyosemaga wabaya wauaji sasa hili mnasemaje.neumia sana mchaga mwenzangu kuuwawa nimeumia sana dah
@batulymsangi9263 ай бұрын
Natamani baba angu nae angekuwepo yan mzee anasomesha mwanae mpaka anapata kaz bank alaf mtu anamuuwa jamni😢😢
@Jacklinejohn72 ай бұрын
Jifunze kiswahili mwandishi ninani alo kupa uandisi ikiwa kiswahili fasaha hujui
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Wamefanana na pacha wake jmn😢
@m.mmarckus62983 ай бұрын
Hii dunia kwasasa binadamu tumekuwaje jamni hatuna woga kabisa kumwaga damu zawengine😢
@NdeshaPaul-uz9bw3 ай бұрын
Shikamoo maana yake "nashuka miguu Yako mara Saba"
@bobg6113 ай бұрын
Huyu marehrmu anakaa allikuwa nna roho safi sana kwaa mrefu mme wake!!!
@محمدالقايد-د6ب3 ай бұрын
Ukiona ndoa vp bora tuu uondoke jamanii 😭😭poleni wafiwa
@graceandrew39883 ай бұрын
Mabinti jifunzeni kunywa pombe kupitiliza kwa mwanaume yeyote ni RED FLAG kubwa sana,usidhani akishakuoa ataacha,kuweni makini mnapochagua wachumba,acheni kusema Love is blind,ukiona mtu abusive mkimbie mapema kama Mungu amepanga uolewe utaolewa tu. R.I.P dada yetu,poleni sana familia
@deborahsamwel58333 ай бұрын
Mimi niishi na mtu ana matatizo ya akili cheti kabisa cha mirembe wee sio mimi
@BahatiSaid-cm7nc3 ай бұрын
Tuna shida sana ya afya ya akili, dalili huwa zinajitokeza lakini sielewi kwamba hatujui tunatakiwa kufanya nini au sijui nisemeje jamani…. Soo sad Tusivumilie vitu ambavyo sio vya kawaida katika mahusiano
@dayanaheliasi77693 ай бұрын
R,I,p wajina duuuu nimeumia et anajibu kabisa hujui kama amekufa
@bintmrisho35263 ай бұрын
Uyu mdada hana adabu kabisa alafu hata hajui kutangaza arud tena shule
@KhadijamussaMachapat3 ай бұрын
Kazi kweli kweli maana 😭🙏🤝🙏
@Byme64343 ай бұрын
Nimempenda Huyu Mdada Mtangazaji Yaaaani Katulia Anaelezea Vizuri Amependeza Sana
@EricTrillz3 ай бұрын
Afya ya akili.Matibabu ni muhimu.
@MiriamAziz-z5t3 ай бұрын
RIP DADA DIANA....POLENI SANA FAMILIA YOTE YA DIANA.
@GraciuosGeofrey3 ай бұрын
Mfanyakazi wa Tilisho jamani 😢😢😢
@MichaelMaro-hj7yo25 күн бұрын
Waandishii hakuna hapo maadili au malezi elimu au nn?
@andrewalex82723 ай бұрын
Aina Ya Waandishi wa Habar wa hiv ni hvyo Ma Inatakiw wawe na Heshima na Adabu et Heshima Yako K kabsaaa
@ninayamat82133 ай бұрын
😢😢😢😢hivi hili pepo la wanandoa kuuana nini lakn kwa style hii tutaolewa kweli
@Nyaboke-1233 ай бұрын
Shetani huyo mwanaume. May he never know peace in his life.
@fatumarajab31393 ай бұрын
Watangazaji mnakera et heshima yako Ndio nini hiyo Kwani ukimsalimia tu vizuri mnapungukiwa nini
@GraceMalley-ly2xn3 ай бұрын
Mungu tusaidie sana sana sana
@mrmarineboardtz3 ай бұрын
Mmh mbaya sana😢
@Ashrey823 ай бұрын
Mtu ana cheti kwanini mkampa binti yenu🙆
@mariej69623 ай бұрын
Mapenzi. Ila kama anameza dawa vizuri na asingekuwa anakunywa pombe mbona wanaishi vizuri tu na familia zao.
@MarimSaliАй бұрын
Sababu ni pesa tu mtu angalii chocht dunia hii ila pesa tamaa itauwa wengi sana
@MKOLOSAIZENGO-o7f3 ай бұрын
Ney wa mitego ooohh kumbe niko bongo😭😭😭
@joycekalago5323 ай бұрын
Heshima yako nawe pia😂😂😂sasa sijui ni kabila gan husalimiana hiv
@Zuwenamchuzi2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@modesterchristophermodchri42333 ай бұрын
Yani tuna vumilia kwa jili ya toto lakini Bado tuna waacha Mme ana kuita mavi mbwa takataka nafikili ndiyo ninacho subili Mimi wana niuma wa totowangu sana
@Happizo3 ай бұрын
Mapepo yamejificha nyuma ya "afya ya akili" 🗿🗿.
@NeemaSamson-ti8pc3 ай бұрын
Mi kwa kifupi natoa shikamoo kwa mzazi wangu na ndugu zangu walionizidi umri basi, wengini sitoi shikamoo na wala sipokei
@dynamicmwakibinga43713 ай бұрын
Na nyie mnacomment maswala ya salam ?jikiteni kwenye swala la mauaji
@sabinadohho95593 ай бұрын
Uyo mtendaji itakuwa kuna roho ya kishetani ilimpitia,RIP Diana
@kilogreek40503 ай бұрын
USISEME ALIKUA AMELEWA MUUAJI UTAMPUNGUZIA KIFUNGO CHA JELA 😢😢😢
@MimahMimah-b7k3 ай бұрын
Kule mtoto kamuua baba huku mume kamuua mkewe😢 jamani
@MarthaKidirya3 ай бұрын
Huyo ana mental disorder hawez kufugwa sanasana atapelekwa kama mirembe akakae huku apate dawa na counseling tu