Aseee kaka ni balaa sana duniani inakuwa kila kukicha brother
@msusu1994 Жыл бұрын
Noma
@zclassicfashionz7 ай бұрын
Dah! kaka ninoma...
@yusuphisack285 Жыл бұрын
Huwezi amini kuna muda nikiwa mpweke nacheki mshkaji tunachart fresh kabisa
@sadyissa7075 Жыл бұрын
nimeipenda
@Menad255 Жыл бұрын
Baba levo sio level angeletaaaa😅😅😅😅😅
@benny5424 Жыл бұрын
Ngoma inasolve mathematics questions na njia kabisa
@GiovanniMapendo Жыл бұрын
Apo Brother unampataje huyo chtGPT AI😊
@borntown6945 Жыл бұрын
msachi Amba ruti
@sebastiansappy5327 Жыл бұрын
Leo na_like bila kuangalia video 😅😅
@kasangamusa426 Жыл бұрын
kitu ambacho umekosea ni hiyo level yeye ni baba levo na sio baba level.... @snatch
@Eipinternation Жыл бұрын
AI baadae watakuwa na madhara maana watakuwa more advanced na kuwa installed in robots human-like ila kwa sasa wanaweza kuwa msaada katika kufanya mambo mbalimbali.
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@elvisernest3280 Жыл бұрын
Kwaiyo watakua ndio akili za marobot
@yussufkhamis1184 Жыл бұрын
snash inabidi utupe habari ya kutosha kuhusu GPT-4
@leebutgr9882 Жыл бұрын
Vp kuhusu kuilipia maan version niliyokuwa nayo mimi inakupa free3 questions everyday lakini ukitaka kuendelea kuitumia inabidi uinvite watu au ulipie embu dondosha video ya jinsi ya kuitumia bila kikomo kama ni kwa kulipia au ni kwa njia gani
@eddie6372 Жыл бұрын
hii inapatikana kwenye cm?
@KingMutesa Жыл бұрын
Hiyo kawaida mbona, AI wa kuiga Sauti nomaaa
@youngmsagotz9395 Жыл бұрын
Wa 2
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@luckghinfx5931 Жыл бұрын
Bro acha kudanganya umma fanya research ya kutosha kabla hujapost bro.
@Aboubeka Жыл бұрын
🙌
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@alphaxad7755 Жыл бұрын
naomben like 10 tu kwa sababu nimekuwa wa 5 nafuraha sana
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@danielkaizer7296 Жыл бұрын
Kwa nn?
@stanleynombwe4865 Жыл бұрын
Towa comment zenye mashiko kutokana na maada husika na sio kuomba like
@piotrzzanzibaru1506 Жыл бұрын
itakupaswa uandike baba levo sio babalevo, ukiandika baba levo kwa kuacha nafasi atakupa taarifa sahihi kuhusu baba levo
@rahibutech Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@saimonbrown9019 Жыл бұрын
👍👍👍👍
@athumanijoseph3042 Жыл бұрын
kaka ma mavie na matrailer yametoka ety vip sasa mbn channel ya movie umeikaushia aisee dah
@alphaxhosa8248 Жыл бұрын
Naona hapo ukaandika CHAWA
@waforo Жыл бұрын
Bro naomba ushauri juu ya kumanage KZbin account
@hamicmadee3551 Жыл бұрын
broo pita na review ya The platform
@karimgere1684 Жыл бұрын
Leo nimefurahi kuwa wakwanza
@CyimSky Жыл бұрын
The World Failed, But Tesla Just Delivered 🤔 kzbin.info/www/bejne/ppyViaCKgbKjjKc
@shaidanidecoration1007 Жыл бұрын
Snash chatgpt inapatikana wapi
@backthamalanga5111 Жыл бұрын
Sasa tofauti ya huyo chat na google ni nini
@tensotv Жыл бұрын
Umewaza kama mimi
@nottoday-si1io Жыл бұрын
Tofauti ni Kubwa, Chat GPT n sms robot unachat nae mnaongea kama unavyoongea ww na rafiki yako kwenye meseji, unauliza maswal anakujibu, unaomba akuchekeshe anakutumia jokes, unaomba kujua dalili za malaria anakwambia, unaomba ushauri wa kuachana na mke wako anakushauri Go and try
@piotrzzanzibaru1506 Жыл бұрын
Kwa muhtasari, ChatGPT ni muundo wa lugha unaoweza kutumika kwa aina mbalimbali za programu zinazotegemea maandishi, huku Google assistance akiwa msaidizi pepe anayeweza kuunganishwa katika vifaa mbalimbali na kutumiwa kutekeleza majukumu
@tojotv6414 Жыл бұрын
Mbona wanadai malipo tena baada ya kukujibu maswali kazaa anataka pesa ya wiki au mwezi au mwaka 😂
@piotrzzanzibaru1506 Жыл бұрын
hahahah 😂😂 kwangu hataka hata 50,
@raheemhaji6474 Жыл бұрын
Kifaa gani kina support matumizi ya chat gpt
@piotrzzanzibaru1506 Жыл бұрын
kifaa chochote kinachosupport internet smartphone/simu, computer/PC,tablets/ipad
@abdurahmanin3 Жыл бұрын
Ola bro snash sasa mbona iyo chatgpt uku Burundi haitumiki niki log in naambiwa hivi OpenAI's services are not available in your country.
@abdurahmanin3 Жыл бұрын
Ama sio nchii zote inakubali???
@annaridoch Жыл бұрын
Tumia vpn
@Patrick-rf6ro Жыл бұрын
Snash ur wrong, Chat GPT anamfahamu baba levo, before releasing any content to the public try kuwa na mtu wa kureview first usihadae umma
@luckghinfx5931 Жыл бұрын
Dah huyu jamaa anawrong sanaa
@danielmkama24 Жыл бұрын
Hiyo ni app ya play store au?
@elvisernest3280 Жыл бұрын
Noo ni AI artificial intelligence akili bandia
@danielmkama24 Жыл бұрын
@@elvisernest3280 kwaiy #Snash alikuwa anaiulza hayo maswal kupitia nn??
@danielmkama24 Жыл бұрын
@@elvisernest3280 kwaiy #Snash alikuwa anaiulza hayo maswal kupitia nn??
@elvisernest3280 Жыл бұрын
Unaweza ukaiuliza kwa kuandika mwandishi au kwa kuongea nayo kwa mdomo.
@danielmkama24 Жыл бұрын
@@elvisernest3280 kuna kitu kitu cjaewa hapo!, Nahitaji kujua ni unaiulza ukiwa nayo hapo au ni popote ulipo kupitia internet?