No video

CHAWA

  Рет қаралды 471,854

Joti TV

Joti TV

Жыл бұрын

Chawa mwaka huu kazi mnayo, Hakuna mtu atakae kubali kuvunja ndoa yake kisa CHAWA.

Пікірлер: 398
@ericksangajr7173
@ericksangajr7173 Жыл бұрын
Ijumaa ikifika nikiingia job cha kwanza na connect WiFi naangalia kaman joti kaachia kitu,likes nyingi kwake kama na wewe unafanyaga kama mimi
@giftmkumbwa4909
@giftmkumbwa4909 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 shetani yupo koko Beach anapunga upepo" 👏🙌🙌🙌
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nishai shemeji nipo kwenye wakati mgumu Sana shemeji nipo kwenye bahari nazama😂😂😂😂 Joti nakubali Sana Bro 🔥🔥🔥
@ummyirembe6145
@ummyirembe6145 Жыл бұрын
Kanyinyi kapendeza sana katika wasanii wako joti wanaofanya vizur kanyinyi ze best🔥🔥🔥
@benademi5090
@benademi5090 Жыл бұрын
0
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Жыл бұрын
Acha umalaya
@navivonc
@navivonc Жыл бұрын
"oya mke wa pili huyu" killed it.!!! 😂😂
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial Жыл бұрын
Joti angekuwa mchezaji Ni halaand Unstoppable
@mwinyimustafa3227
@mwinyimustafa3227 Жыл бұрын
Big up joti unatumia akili nyingi sana. haya ndo maisha ya halisi ya chawa.
@hermandonald9426
@hermandonald9426 Жыл бұрын
kanyinyi na mlelwa dizaino flani wanafanana😂😂au ni mapacha
@habbyhalawa5266
@habbyhalawa5266 Жыл бұрын
Aisee ww kama uwa najiulizaga hatar
@spurnboy8197
@spurnboy8197 Жыл бұрын
Kweli man
@PendaelHagaiMRPH
@PendaelHagaiMRPH Жыл бұрын
Nakupenda Brother Joti nishai Mikazo hatar Zaidi ya Sana
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 Жыл бұрын
Oyooooooo ijumaa hatimaye imefikaa alihamdulillah
@georgeikizu
@georgeikizu Жыл бұрын
Nakubal sana JOTI
@cedricmaina4523
@cedricmaina4523 Жыл бұрын
Shemela, niko kwenye wakati mgumu sana, bahari nzito mimi nazama... 😂😂😂
@officialafricancomedycomed7496
@officialafricancomedycomed7496 Жыл бұрын
😂😂😂 mfalme wa comedy
@mrkilunga9444
@mrkilunga9444 Жыл бұрын
So nice brow mm nakufatilia Sanaa👊👊💪
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Жыл бұрын
Nakufaah 😂😂😂😂😂😂Singapore
@abdulishaban6573
@abdulishaban6573 Жыл бұрын
Joti fans from Casablanca much love broo
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
From Casablanca or buza!
@abdulishaban6573
@abdulishaban6573 Жыл бұрын
@@tztanzania2262 Casablanca habibi
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
@@abdulishaban6573 Mmmh 🙄🤭 من متى صرت من دار البيضاء؟
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
@@allahisone6386 kwani kuandika kiarabu ndio kua casablanca, au rabat au markesh au fes
@melaniaherman1098
@melaniaherman1098 Жыл бұрын
@@tztanzania2262 😂😂😂😂
@TheNewKid_TV
@TheNewKid_TV Жыл бұрын
1:19 Nilikuwa nimemiss huo muondoko muda🤣🤣🤣🤣
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Kweli wewe jot ni Jembe ❤❤❤❤👍👍👍
@Nadhifa0313
@Nadhifa0313 Жыл бұрын
Second one
@ibrahimhaji7821
@ibrahimhaji7821 Жыл бұрын
Uko vizuri yakheee
@michaeledward9708
@michaeledward9708 Жыл бұрын
Akili nyingi unyamaa mwingi kaka good vibe joti nakubali kz zako
@paulshibhiti9584
@paulshibhiti9584 Жыл бұрын
Here in 🇮🇳 India gujarat jot you are so exiting
@ntillazolla2213
@ntillazolla2213 Жыл бұрын
Nishaiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ntillazolla2213
@ntillazolla2213 Жыл бұрын
Nishaiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aloycemango230
@aloycemango230 Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂jotiiiiiiiiiiiiiiii unstopable😂😂😂😂😂
@cublonwizzy9671
@cublonwizzy9671 Жыл бұрын
Focus ya mamaaaakoooo 😀😀😀😀
@abubakarinduni8205
@abubakarinduni8205 Жыл бұрын
Inaonekana joti anamkubali sana mlewa adi leo hii bado yupo kwenye team yake wengine wote kawatimua wakina sopa,kipande,mama dame, Rayna na malima kaweka team mpya sema mnafanya kazi nzuri💥💥💥
@latifaonesmo7629
@latifaonesmo7629 Жыл бұрын
Ajawatimua ila kumbuka wale kafanyanao kazi mda mrefu anaiunua na awa pia vipaji vionekane
@abubakarinduni8205
@abubakarinduni8205 Жыл бұрын
@@latifaonesmo7629 oooh kumbe
@Divinetvgodsvoice
@Divinetvgodsvoice Жыл бұрын
haya ni Masha halisi kabisa Mambo haya kila siku ysnafanyika mtaani ,
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Kabisa mkuu Kuna machawa wanasambaza umbea tu kuharibu😀
@Notorias
@Notorias Жыл бұрын
boom 💥
@johanesnixon5473
@johanesnixon5473 Жыл бұрын
Thanks joti u made my day😂🙏
@bongatv25
@bongatv25 Жыл бұрын
Mambooo ni moto
@yumbujackson869
@yumbujackson869 Жыл бұрын
daah nishai hujawai kufeli.😁😁😁😍
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Hahaa Joti unaenda kufanywa MAMA MCHUNGAJI, lazma ukatoe UPAKO.... hahaha 🤣🤣😂
@edwardmasabila-rq6bi
@edwardmasabila-rq6bi Жыл бұрын
Nakukubali joti kitambo had leo bdo unatisha
@Nadhifa0313
@Nadhifa0313 Жыл бұрын
And first
@michaelmagungu9030
@michaelmagungu9030 Жыл бұрын
Mlewa na mwenzake ni mapacha au nashindwa kuwatofautisha au macho yangu
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 Жыл бұрын
Kweli mtu akikuletea umbea muheshimu saana maana hujui umbea anautoa mazingira gani anautoa mazingira magumu saana
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 Жыл бұрын
Kanyinyi ni mrithi wa sopa🥰
@catherinesylvester7362
@catherinesylvester7362 Жыл бұрын
Sopa yuko wapi
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Never disappoint jotiii 🤣😂💌
@ummyirembe6145
@ummyirembe6145 Жыл бұрын
Kanyinyi Eti shetani yupo Coco Beach anapunga upepo😂😂😂
@haulatimzungu5035
@haulatimzungu5035 Жыл бұрын
joti hana baya dada
@ummyirembe6145
@ummyirembe6145 Жыл бұрын
Kabsa
@mrkilunga9444
@mrkilunga9444 Жыл бұрын
Kaka we unaweza 💪
@kipepeo_Kitchen
@kipepeo_Kitchen Жыл бұрын
Welldone guys, 👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾
@ngasa3420
@ngasa3420 Жыл бұрын
Nikimuona mseminar nacheka san, kwmaba "huyu mimi nakaa nae"😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Chawa 3D🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌orijinale Mwanamke wa moto hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mahaluantipas8451
@mahaluantipas8451 Жыл бұрын
Dah joti bwana 😄😄😄 👉😱👈
@malikiawamahaba5135
@malikiawamahaba5135 Жыл бұрын
Wa kwanza leooooo
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
Ilo Buti lilivofungwa halijamuumiza mtu kwelii ila jot bana 🤣🤣💣
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Mr jot languuuuu, seeeeeemaaaaaaaa
@salimyahaya7380
@salimyahaya7380 Жыл бұрын
Oyaa ety Mke wa pili huyoo 😆😆😆🙌
@annamduma2504
@annamduma2504 Жыл бұрын
Mie hoi tu joti anavyoruka kinyuma nyuma😂😂😂
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
The man is named chawa , it's existing in our environment by the way , thanks for the lesson joti
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
oush what a chawa (😃😃😃
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
where u from Ally
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Currently I'm living in SHINYANGA bro but the home area is mbozi
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
@@christonchristian7448 🤣🤣
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@allymwashambwa5920 mwaisa mtumbad😆😆 homeboi
@botanictv6268
@botanictv6268 Жыл бұрын
Safi sana joti👍
@frankkalanda872
@frankkalanda872 Жыл бұрын
Talented
@BizdenAfrica
@BizdenAfrica 11 ай бұрын
Comedian namba 1😂😂
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Nishai bwana umeoponza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌🥰🥰🔥🔥
@kamanyile
@kamanyile Жыл бұрын
ndoa za sasa hazishikiki kuna upepo mbya sana yani ni shidaaaa
@anidebezibeautyandlifestyle
@anidebezibeautyandlifestyle Жыл бұрын
Udaku hautaki uzembe kweli🤣😅 picha za pigwa matako juu juu🤣🤣🤣😂😂😂🤣😆
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b Жыл бұрын
Joti never disappoints 🤣🤣🤣
@jamsonsambala3903
@jamsonsambala3903 Жыл бұрын
Kitombangile mtwango
@ombenimbwambo845
@ombenimbwambo845 Жыл бұрын
Una moyooooo😁
@japhethelijah4252
@japhethelijah4252 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli shetani ni watu kama sisi aseeeeeeee
@nelsonbisi6499
@nelsonbisi6499 Жыл бұрын
Excellent Creativity Keep it up bro. Tuko tunaomba one day mtuguse nasisi walevi kwa Job ya ninyi.
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
mleviii😂😂😂 hello kwako
@luthakyando8881
@luthakyando8881 Жыл бұрын
Weka like hapa kama unamkubali joti kitombangile kitwango
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 Жыл бұрын
😂😂😂🔥💕
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 Жыл бұрын
Likes kwako au kwa video badala uambie watu wa subscribe joti
@fatumaramadhani596
@fatumaramadhani596 Жыл бұрын
Namkubar sana nishai mikazo
@osamadbanarab5162
@osamadbanarab5162 Жыл бұрын
Jana nikikutana nae anakula mishkaki na miogo🤣🤣🤣 shetwani
@victoriakyando4307
@victoriakyando4307 Жыл бұрын
Wa kwanza leo
@abdulyusuph3948
@abdulyusuph3948 Жыл бұрын
Niiihatariiiiiii🔥🔥🇹🇿
@stevewamichano3210
@stevewamichano3210 Жыл бұрын
Umetisha
@anthonylister754
@anthonylister754 Жыл бұрын
Focus ya mamaako 😀😀😀🤙
@amosndosha4222
@amosndosha4222 Жыл бұрын
Leo ndio nimewahi
@simonandrew1489
@simonandrew1489 Жыл бұрын
Kazi nzur mr Joti
@dicksonkitosi3936
@dicksonkitosi3936 Жыл бұрын
Nakubali nishai
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
much love from Newyork USA😅
@astaravistar8557
@astaravistar8557 Жыл бұрын
Much Love from London yani uyu joti angekua anafanya kwa hiz comedy kwa English angetajirika sana
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@astaravistar8557 yes sana mnoo afu ingekuwa simple kuvuka nie ya mipaka ....ila nashauri aweke ata subtitles itakuwa vyemaa great!!!!!!!!
@elinamoses8326
@elinamoses8326 Жыл бұрын
​@@astaravistar8557
@jacsonbayyo3482
@jacsonbayyo3482 Жыл бұрын
Hi christon
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@jacsonbayyo3482 hi2
@brightonshoo6312
@brightonshoo6312 Жыл бұрын
NEVER DISAPPOINT🔥🔥.. BUT MISS SOPAAAAA
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 Жыл бұрын
Yeah 👏👏
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 Жыл бұрын
mwinjaku huyo asante
@qwirinishao1003
@qwirinishao1003 Жыл бұрын
focus ya mama akoo😂😂😂😂
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 Жыл бұрын
🤣🤣🤣shetan yupo koko beach
@munyarubugaismailally111
@munyarubugaismailally111 Жыл бұрын
😅😅😅 kashenzi kweli
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 Жыл бұрын
Nachukua focus 😂😂😂
@orestsanga6294
@orestsanga6294 Жыл бұрын
Kaambulia kuwa mke wa pili🤣🤣🤣
@suggywest3342
@suggywest3342 Жыл бұрын
Focus ya mamaako 😂😂😂😂😂
@ahmadsaid4878
@ahmadsaid4878 Жыл бұрын
Shetwain yupo coco beach anapunga upepo😀😀😀😀
@gracemichael2225
@gracemichael2225 Жыл бұрын
🤣🤣 focus ya Mama ako 🤣🤣
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Naomba sport kaka jot nami napenda na najua Comedy naomba support brother 🤲
@iviejustified8109
@iviejustified8109 Жыл бұрын
Joti aki act scenes za kiume anapendezaga
@Joachim009
@Joachim009 Жыл бұрын
Hata like jaman
@wellbrand3415
@wellbrand3415 Жыл бұрын
Chawa kajikuta kwenye midomo ya Mamba... 😂😂😂😂
@jonasmongi7811
@jonasmongi7811 Жыл бұрын
Mmbea afi 🤣🤣
@giftmkumbwa4909
@giftmkumbwa4909 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 focus ya mama ako ilaaa Nacheka saNa
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 Жыл бұрын
😁😆😅🤣😂🤩🤩🤩
@binttsulu647
@binttsulu647 Жыл бұрын
😃😃😃😃joti mmbeya
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 Жыл бұрын
Iro kof hata kama ni kuigiza rimeingiah kweli kweli pore san joti Ira nmecheka daaaah
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Joti Cha kwanza kuawaza ni Umalaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Chawa leo atatafunwa kwenye boot😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Joti🔥🔥🔥🔥🔥🙏
@adelaizdor9618
@adelaizdor9618 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 jotyyy nowma sana
@abdallahghuliku4714
@abdallahghuliku4714 Жыл бұрын
mi nakujulisha tu🤣🤣🤣🤣
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Жыл бұрын
Litombangile kitwango 😂😂😂😂 umeua kaka
@ambroseagustino7991
@ambroseagustino7991 Жыл бұрын
Good job bro jotti🙉🙊🙈
@nemeskessy2786
@nemeskessy2786 Жыл бұрын
Ukiwa mbea uwe pia na simu yakazi 😂😂😂
@mwajumwajukitonga4973
@mwajumwajukitonga4973 Жыл бұрын
Tanzania nzima cjamuona Kam joti ambae anamini piga like
@betrodpatrick
@betrodpatrick Жыл бұрын
Simu ya kazi 😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Fokasssssss ila joti ww😂😂😂😂
@adamsaid156
@adamsaid156 Жыл бұрын
Hawa wanao fanana mlewa na kanyunyu ndugu
@emanuelpellegreen5759
@emanuelpellegreen5759 Жыл бұрын
Isha boy chawaaaaaaaa
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
🤣🤣🤣za chawa ni ngapi vile
KALAMBA CHUCHU
11:32
Joti TV
Рет қаралды 438 М.
MADAWA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 467 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 26 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
NAMVESHA PETE
9:22
Joti TV
Рет қаралды 294 М.
Chekesha : Mpoki kayakanyaga kwa Washikaji
8:32
CHEKESHA TV
Рет қаралды 28 М.
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
CHEKESHA TV
Рет қаралды 135 М.
KAUNGANISHA
10:00
Joti TV
Рет қаралды 356 М.
KIKAO CHA HARUSI
10:54
Joti TV
Рет қаралды 936 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 354 М.
MUUZA SHANGA
8:49
Joti TV
Рет қаралды 852 М.
KIPOLO CHA BABA
8:02
Joti TV
Рет қаралды 255 М.
TAMAA
10:32
Joti TV
Рет қаралды 524 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН