KIBOKO YA SEMINARI

  Рет қаралды 501,984

Joti TV

Joti TV

Жыл бұрын

Kwa kweli hakufukuzae hakwambii toka,ila utaonyeshwa kila staili ndio utajua utakiwi yaani unafukuzwa kiroho (Seminari balaa)

Пікірлер: 621
@michaelmafuru5842
@michaelmafuru5842 Жыл бұрын
Aliyeona style aliyoingia nayo joti na masela wake wakati wanaingia kula bonyeza like kama umeikubali hiyo style 😀
@abdullatifkhamis9943
@abdullatifkhamis9943 Жыл бұрын
Tom and Jerry come on boys hhhhhhh
@nyangesaidi5792
@nyangesaidi5792 Жыл бұрын
Genius
@malenagain
@malenagain Жыл бұрын
oi
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 Жыл бұрын
Mandonga style
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Жыл бұрын
@@abdullatifkhamis9943 🤣🤣🤣na mie nisema hivo hivo🤣🤣🤣
@saidimussa8128
@saidimussa8128 Жыл бұрын
Ila kiukweli Huyu mama naye amecheza vzr mno !! 🌹🌹🌹
@janeongala6684
@janeongala6684 Жыл бұрын
Nampenda sana uyu bibi kabuya anajua kuigiza sana 😂😂😂😂 alivyo wachamba ao wakaka
@michaelkinyaha4299
@michaelkinyaha4299 Жыл бұрын
Kuwachamba ndo kujua kuigiza
@nigamo9645
@nigamo9645 Жыл бұрын
Hata jua kali yupo vizuri hatar
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 Жыл бұрын
Bibi yupo kwenye muv y jua Kali hatar wamekutana n mwehu mwenzie yule Bibi 😆😆
@hamismahmood
@hamismahmood Жыл бұрын
bi kabuya au bi kauye my dear
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 Жыл бұрын
Huyo ukitaka kumfaid akutune na kurya boy
@ahmadsaid4878
@ahmadsaid4878 Жыл бұрын
Nishai utabadilisha wafanya kaz wote dunia nzima ila kamwe haitakuja kutokea Team Kipande,sopa,mlewa,kisnai,mama dame,Bleina,mjomba
@hamisimalaika9234
@hamisimalaika9234 Жыл бұрын
io team ilkua nzur sana ase! kipande namkubal sana
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
akina sopa ni motooo
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 Жыл бұрын
Mwamba
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 Жыл бұрын
Wanamishe gani kina sopa na kipande siku hizi?
@annemoureen6676
@annemoureen6676 Жыл бұрын
Ilikuwa n hatari akna sopa na kipande
@finah791
@finah791 Жыл бұрын
Huyu mmama anaweza...kwenye juakali pia yupo😍😅
@noadiayae1035
@noadiayae1035 Жыл бұрын
Kumbe
@annamahenge5162
@annamahenge5162 Жыл бұрын
Siku ya kwanza nilicheka sana walivochambana na mama semeni😂😂
@merrysimon9587
@merrysimon9587 Жыл бұрын
Mama iddiiiii
@joshuantagala2872
@joshuantagala2872 Жыл бұрын
HUYU MAZA ANAKELELE SANA ANAZINGUA ANAONDOA UHALISIA KUNA VITU ANAFANYA HAVINA UHALISIA
@hamisimalaika9234
@hamisimalaika9234 Жыл бұрын
kwel ase
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Yes ni kweelii aache kupiga makelele yaanii anatumia nguvu nyingi duuuuh
@izo07nyoni40
@izo07nyoni40 Жыл бұрын
Maza uKo vizuri kelele apnguze
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Mama Iddi wa jua Kali! 😂😂😂 Mama anajua Sana huyu
@lydiacharles5966
@lydiacharles5966 Жыл бұрын
Huyu mama Yuko vizuri bhana yanakula kam majibwa😂😂😂😂🤣🤣🤣
@hermescash9463
@hermescash9463 Жыл бұрын
"Umeenda kumuita Nishai au Manishai" 😂😂😂 huyu mama Kibokoooo
@youngdady6149
@youngdady6149 Жыл бұрын
jaman hii stayle ya joti anavyoingia ndani na masela wke kula mpunga kwa kweli 😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmeshindwa kuvumilia
@mary2615
@mary2615 Жыл бұрын
Superb 😉💕👍🏻
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 Жыл бұрын
Kaka mrudishe Sopa 🙌🙌🙌🙌
@Mtituboy
@Mtituboy Жыл бұрын
Huyo mama ni the best comedian ,,,joti don't loose that talent
@pmall8867
@pmall8867 Жыл бұрын
Hawa Wana Banda Hawa...Atakuw Ashib Kaka Ako😂😂😂
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Nimecheka kifala sana asubui hii😄😄😄😄😄😄make my day good 😃😃😃.
@malenagain
@malenagain Жыл бұрын
oi
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
@@malenagain oi
@wardamarungu2478
@wardamarungu2478 Жыл бұрын
Huyo mskhaji nimempendaaa buree msela wa nishai
@damarisonsabwa1293
@damarisonsabwa1293 Жыл бұрын
Always good work 🔥♥️
@samwelshilungu4370
@samwelshilungu4370 Жыл бұрын
Huyu mama nimempendea kwenye jua Kali, amekuwa kiboko ya mama semeni.
@faustadonasian2777
@faustadonasian2777 Жыл бұрын
Sana yaani
@hosianakibona659
@hosianakibona659 Жыл бұрын
@@faustadonasian2777 huyu mama ndo komesha kabisa kwa Ashura Nongwa
@adetaurus
@adetaurus Жыл бұрын
Ah weee hamuwezi, Mama Semeni balaa, hatumii nguvu nyingi maneno yanaporomoka tu
@ahazylutha7881
@ahazylutha7881 Жыл бұрын
Ni wamoto sanaaa
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 Жыл бұрын
Mama semeni ni mashine 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@thesoundtvonline
@thesoundtvonline Жыл бұрын
Et manishai😂😂😂oll in oll mpo vizuri ,Ila tunamtaka na kurya Boy
@sarahmosessanga3195
@sarahmosessanga3195 Жыл бұрын
Nishai nomaa unawapenda mabest zako 😂🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila uyu mama ana moto hatari..
@maxwellkongoman781
@maxwellkongoman781 Жыл бұрын
Nishai never disappoint 😂😂😂😂
@aggreymwaseba25
@aggreymwaseba25 Жыл бұрын
Much from uganda by wizzo
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Hauniangushi nimecheka kwa kwel ubarikiwe na Mungu uishi tu
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Ila huyu mama anaongeaaa huyoooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Nimecheka.
@sillaasiemapesa5306
@sillaasiemapesa5306 Жыл бұрын
Nawakubali joti TV mia Kwa mia
@mwombekikatabalo9046
@mwombekikatabalo9046 Жыл бұрын
Mwamba anafanana na Gwaji Boy
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Жыл бұрын
Huyu Mimi nampenda Mimi. Ananifurahisha Kwa kweli 😂😂😂
@KileleMartin
@KileleMartin Жыл бұрын
Utacheka vibayakzbin.info/www/bejne/aImupKirp6mZe80
@rehemasimba5731
@rehemasimba5731 Жыл бұрын
Safii Sanaa jot hii imepitaa yotee imenifurahiishaa sanaa mwanzo mwishoo
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Hhh kaongea mchina!! Love from Burundi 🇧🇮!! You make my day guys!!!
@pip_rake
@pip_rake Жыл бұрын
Am curious. How much is internet bundle service in Burundi?
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Never disappoint Jotiiii 🤣😂🤸
@ernestfred6813
@ernestfred6813 Жыл бұрын
😊😂😂😂WA KWANZAAA
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 Жыл бұрын
Mseminari: "Wale wamesepa ee?"🤣 Mimi mwenyewe muhuni
@beatusmtui507
@beatusmtui507 Жыл бұрын
Nishai unajua maana ya friendship 👌👌
@abdulshakurothman5719
@abdulshakurothman5719 Жыл бұрын
Yote kwa yote, wazee kwenye tasnia ya filam wanajua sana kuigiza tofaut sana vijana tulionao sasa hiv. Huyu bibi bn namkubali sana big up
@ramadhanimadeni363
@ramadhanimadeni363 Жыл бұрын
noma sana mkali wetu seminali siopoa
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 Жыл бұрын
Huyu bibi mbn kachangamka sn
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 Жыл бұрын
Sawa kweli Mimi ni mchungaji lkn pia mwenyewe pia ni mhuni kweli kweli 😄😄🙌🙌
@k.o.n.g8925
@k.o.n.g8925 Жыл бұрын
Gym body is always looked down upon when you don't have money 🤦‍♂️.. Waswahili
@eshahassan7682
@eshahassan7682 Жыл бұрын
Bi mkubwa anaweza masha Allah
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu bibi kiboko kuigiza 😂😂😂 Mishai umepelekea chakula miumbwa koko yako 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@papasiful
@papasiful Жыл бұрын
I like your comedy joti am your number one fun # from Kenya
@eliariro5514
@eliariro5514 Жыл бұрын
Hatakuja kutokea joti kama huyu. Aisee nakubali.
@faridaharuna2621
@faridaharuna2621 Жыл бұрын
Yaan Nishai,acha tu!!!
@davidodehero8760
@davidodehero8760 Жыл бұрын
Naona mwanangu umekua Kama msukule..... Umeita shinai, au manishai
@Seifbrown
@Seifbrown Жыл бұрын
❤❤❤best of the best ❤joti no stress 😅
@kimrudiger4454
@kimrudiger4454 Жыл бұрын
Huyu mama yupo vizuri😂😂😂
@benhanclove5997
@benhanclove5997 Жыл бұрын
Hadi nishaii amempa salute 🫡 sana 😂😂
@wallasfoundation2389
@wallasfoundation2389 Жыл бұрын
Uyo mushati wa NISHAI jamaniiiiii😃😃
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
ih shawai tokea kwa jamaaa yngu mpka tamaa ya kula kani shinda walah
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 Ай бұрын
Maza anakelele sana anaharibu sasa
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 Жыл бұрын
Hapo kwa mgeni umekosea mama hata kiti atulie kidogo mnaongea mmesimama.
@lilianbitegeko6790
@lilianbitegeko6790 Жыл бұрын
Yees kweli hata mm nimelionaaaa hilii hapo amekosea script! Mgen hta kama hawakuwexa kumuingiza ndani alipaswa apewe hata kiti kwanza
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Wazaramo hao
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 Жыл бұрын
Tz washatoa Majuto wa kike,au sio!
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
ila joti uyu mama kiboko yao swaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@slimbaj3148
@slimbaj3148 Жыл бұрын
Mama anaongea saana adi ana_haribu, anatukana saaana matusi ya reja_reja.. Apunguze maneno yasiyo ya msingi..
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 Жыл бұрын
Nishaiii 😂😂😂
@malenagain
@malenagain Жыл бұрын
niaje
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 Жыл бұрын
Safi
@nemeskessy2786
@nemeskessy2786 Жыл бұрын
8:54 Hiko sio kichina kweli 😂😂😂😂
@davidnchoji
@davidnchoji Жыл бұрын
Joti never disappoints 😂😂😂🙌🏽
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 Жыл бұрын
Uyu bibi mdomo Kawekaje hapo🤣🙌
@yohanasimba581
@yohanasimba581 Жыл бұрын
Bibi wa moto kweli kweli
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 Жыл бұрын
Mchungaji wa mchongo🤣🤣🤣
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Hakuna character ninayoikubali ya joti Kama hii character ya Nishai! Ni noma sana
@mbembefilms5379
@mbembefilms5379 Жыл бұрын
NAKUKARIBISHA KUFUATILIA TAMTHILIA (SERIES) MPYA KABISA IKIWA IMEJAA VISA NA MIKASA YA KUSISIMUA NAAMINI UTAJIFUNZA MENGI NA KUBURUDIKA PIA *DOSARI SERIES Episode 01* kzbin.info/www/bejne/jYG1qo2Ojq-Dr5o
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Mama amesimama poa sana na amependeza kuwa mama yako ktk scenes daah maneno mengi
@MOPEBLETv657
@MOPEBLETv657 Жыл бұрын
Angekua mamangu uyu mm nahama kaya
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 Жыл бұрын
Ngoja kwanzaa Umekuja mwenye dini hapa saiv
@binttsulu647
@binttsulu647 Жыл бұрын
Joti nakupedra bure from 254
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Upendo wa kwiyooooo...mseminari hatari 😂😂😂😂
@paulpajero3511
@paulpajero3511 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo Bibi 🔥🔥🔥🔥
@user-ju7dw6tg6d
@user-ju7dw6tg6d Жыл бұрын
Hongera
@bintikashelo675
@bintikashelo675 Жыл бұрын
Bibi kauye eti Amen tumebaki wenyewe Sasa tule
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Wenye wivu wanasema bibi hawezi mm namkubali kachangamka balaa 😂😂😂
@wardamohammed2802
@wardamohammed2802 Жыл бұрын
Huyu mama ananifurahisha sana...Ahahaaaaa
@thanksryo637
@thanksryo637 Жыл бұрын
Huyo mama nimependa vile ana charuka na maneno
@massoudsultan8484
@massoudsultan8484 Жыл бұрын
😂😂😂😂huyu Bibi wa kizaramo
@wendeisaack6385
@wendeisaack6385 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe....milele Amina😅😂😂ila joti🙌😂
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Nmecheka sana at milele amina😀😀🤣🤣🤣🤣
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Uyu bibi anajuwa sanaaa
@pmall8867
@pmall8867 Жыл бұрын
Tatizo,,,Mme kosea muda,,,,Nime waambie saa 7 kamili,, Nyie Mme kuja Saa 6 Na dakika 59...😂😂😂
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 Жыл бұрын
Hahahahah🤣🤣🤣 etii MAMWBEHA wakubwa, hahah aki huyu mama kaniacha hoi🤣🤣🤣
@danilokamnya5433
@danilokamnya5433 Жыл бұрын
Dah nmecheka san
@sophiezakaria
@sophiezakaria Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂hayo maombi ya kichina balaaa 🤣🤣🤣🤣
@jp1780
@jp1780 Жыл бұрын
Unakuza limwili kama nyumba🤣🤣🔥
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Mna wazazi kwanza😃😃😃😃
@lyrics_forum
@lyrics_forum Жыл бұрын
Ukikosa Bando siku Moja 🇹🇿 Unakosa Vingi sana
@Qs3557
@Qs3557 Жыл бұрын
Kwanza joti kavumilia kumalzia maombi
@davidtimotheo7988
@davidtimotheo7988 Жыл бұрын
Eh mama ni noma kweli hii ni kiboko ya seminali
@allanykanyota
@allanykanyota Жыл бұрын
Nishai 🙌🙌
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 Жыл бұрын
Bibi kabuya ni zaidi ya kuigiza..hakuna kulemba aise watu wanagongana maneno tu
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 Жыл бұрын
Akapambana na serikali daaaaah nyie jamaa nuksi
@abdillahmgonja3099
@abdillahmgonja3099 Жыл бұрын
Nimeotea leo mapema tu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Mama ana upiga mwingi😂😂😂🙌🙌sana
@yunuschum3754
@yunuschum3754 Жыл бұрын
Wacha ni comment kabla wale wa never disappoints hawajafika🚶‍♂️
@sheilaamanzi3001
@sheilaamanzi3001 Жыл бұрын
Uyu bibi🔥🔥🔥😂
@LeonardMwakapusya
@LeonardMwakapusya Жыл бұрын
Huyu mama anajua sana kuigiza😂🤣
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Ajui kitu
@dannylinguist15
@dannylinguist15 Жыл бұрын
@@kwisa4899 WIVU
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
@@dannylinguist15 mimi kwa kipimo changu Huyu mama hajui kuigiza hata kama anajua ni kiwango cha kawaida sana hawezi fanana na Mama semeni wala yule Mama anayecheza na joti .
@patricemichael6743
@patricemichael6743 Жыл бұрын
Mama hajui kuigizaa achana nae
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 3 ай бұрын
Kuma Yako haijui
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 Жыл бұрын
Kondoo wa bwana sio hawa wa kimasai wanaochunga😂🤣🤣 Mseminari ni hatari ametawanya kwa fimbo ya Musa mpk wamesepa
@lopomarima8359
@lopomarima8359 Жыл бұрын
Am first like it
@emanueledwin5685
@emanueledwin5685 Жыл бұрын
Nishai kitombangile mikazooo
@dullaabdalla4632
@dullaabdalla4632 Жыл бұрын
Daaa jot ukimchukua nagwa itakuwa powa
@wellbrand3415
@wellbrand3415 Жыл бұрын
Diehard Friends + Kupatwa kwa maombi 😂😂😂
MADAWA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 463 М.
MTOTO HALI KWANGU
9:31
Joti TV
Рет қаралды 322 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 17 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
NAMVESHA PETE
9:22
Joti TV
Рет қаралды 292 М.
KAUNGANISHA
10:00
Joti TV
Рет қаралды 353 М.
KITIMTIM hatari sana [CURRENT
1:01
PAMOJA MOVE TANZANIAN
Рет қаралды 8 М.
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 32 М.
JIONGEZE MWANANGU
9:23
Joti TV
Рет қаралды 614 М.
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 73 М.
MGANGA WA MCHONGO
12:50
Joti TV
Рет қаралды 556 М.
KIKAO CHA HARUSI
10:54
Joti TV
Рет қаралды 935 М.
GESTI BUBU
9:13
Joti TV
Рет қаралды 493 М.
KAFIA KWA MUUZA SUPU
8:35
Joti TV
Рет қаралды 397 М.
Телега - hahalivars
1:00
HAHALIVARS
Рет қаралды 7 МЛН
Гномы против Квадроберов
1:00
Макс Рэйн
Рет қаралды 1,2 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 2,8 МЛН
吃醋的黑天使。#天使 #小丑 #超人不会飞
0:19
超人不会飞
Рет қаралды 9 МЛН