chegge najua hujawahi kuniangusha kama unamwelewa huyu legendary gonga likes hapa twende sawaa saida ni 🔥🔥🔥
@sumaiyasabillah74892 жыл бұрын
Aki minapenda sauti ya chege sana❤❤❤❤love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KhadijaOman-j2iАй бұрын
Wapiri Niko hapa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲🇴🇲😘
@collinsngudi44936 жыл бұрын
Chege Chigunda all time since you were in TMK original you have never disappointed me. Keep up Kigoma product
@thejaviez69672 жыл бұрын
Kabisa
@simonsitta89446 жыл бұрын
dah! imetisha sana kaka endelea kupasua miamba' mungu akutangulie
@AshlynWanjiku2 ай бұрын
Ok😂😂😂
@shiksicon10494 жыл бұрын
Huyu chege ni mkikuyu mkenya tusibishane🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@mudmohamed69113 жыл бұрын
Aaah unamatatizo ya akiakili uyo tz tena kigoma moja mtoto wa mama saidi anaitwa
@MilyMildred-w8c8 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@tatujumaa-one4 ай бұрын
Kwani hujui jokes😅😅
@judywamboi33712 ай бұрын
@@mudmohamed6911 Feelings ni za nini budaah 😅😅😅😅😅😅
@omirrieodilla48877 ай бұрын
Nimedhani ni wimbo wa hivi juzi,,kumbe umeishi sanaa❤❤❤
@joycemajala43556 жыл бұрын
i can't stop watching this song....kenya live...penda sana wewe chege....good job boy
@lejeinah29084 жыл бұрын
2020 Niko ndani, ju ya huyu kijana wetu wa Kenya, CHEGE,
@monicavictoria24384 жыл бұрын
Hey nakuunga mkono brother
@monicavictoria24384 жыл бұрын
Oky brother
@ondiekisimonmokua75784 жыл бұрын
I think he comes from tanzania
@samwelijamaica20234 жыл бұрын
Bro nakubar ujawah kosea kaka
@dramabindrama76483 жыл бұрын
He ain't Kenyan
@aishaelias9866 жыл бұрын
chege am happy that you are back in action, saida karoli she is an Icon amazing voice golden, alafu huyo designer wa saida ako juuu!!i hope ni Wolperstylish.Saida umevaa vizuri yaani umevunja kabati kwa mateke
@petromagoti16675 жыл бұрын
Umetisha
@Shemejiable6 жыл бұрын
Am happy they are bringing her back, her voice is golden and think it's high time the young generation recognize her. she deserves it
@harrsmgaya81416 жыл бұрын
Bila unafiki katika.... one of best musicians legendary #SAIDA KARORI na melody zake kamwe haziji kuchuja big up sana # saida #chege
@richardmaster13476 жыл бұрын
Kali sana....Chege is amazing... Saida has managed to get her career back in track.....Good vibe
@binbenmartin34256 жыл бұрын
Chege rudi nyumbani,,,254 ndio home.. Tunakutambua saaaaana...100%
@rechomashaka43676 жыл бұрын
Uko vizr sana kaka
@binbenmartin34256 жыл бұрын
Chege chigunda mtoto wa mama Saidi...+254 representing
@charlesrhombo79105 жыл бұрын
Ha ha ha
@ukhutysalmaah14635 жыл бұрын
😂😂😂😂chege sio wenu chege ni wetu +255
@scriptmedia99604 жыл бұрын
Chege is a Kenyan name (Kikuyu) 🇰🇪 we shall revisit😆
@johnkimwere31446 жыл бұрын
Kiukweli kizuri wache kiitwe kizuri. Nyimbo ni nzuri bila kupata mafuta kwa mgongo wa chupa. Chege sauti mwanana kiasi cha haja. hongera. Na kwanza shukrani kwake Maulana kwa kipaji hicho. Saida wacha Mungu awashike mikono nyakati zote. Nyimbo yenye yanifanya kuisikiza huku nikiirejelea tena na tena. Mungu awabariki. --------NASHUKURU MUNGU MUUMBA MAANA NDIYE MUWEZA WA YOTE.
@Bonnere6 жыл бұрын
Watanzania wenzangu mpo respect kwa MKUU CHEGEEEEEEEEEEEEEEEEE🤗🤗🤗🤗
@abdalahmangamba57956 жыл бұрын
0481797312 Bonnere yaan safi tu!!
@starnewstvtv11266 жыл бұрын
0481797312 Bonnere Much respect brother
@veronicaelius60705 жыл бұрын
Tupo
@Rogathe-Rogathe6 жыл бұрын
Nakukubali mnooo aixeee zaidi ya mnooo....unafanya vzr mnooo kwenye game...
@martinkariuki56716 жыл бұрын
After this song we as kenyan we be flooding in TZ to take our Kikuyu brother home,Chege rudi nyumbani
@nicholasyego74612 жыл бұрын
Bring back our own son back to home
@yasminkituku37432 жыл бұрын
Kabisa.arudi🤣🤣
@mosesmucheru50782 жыл бұрын
Chege achoke mucii. Tunamgoja hapa Muran'ga
@amudavasteward364 Жыл бұрын
Sema kama wewe mkikiyu
@nelsonkavu1603 Жыл бұрын
Chege n nickname
@cellydimpoz9256 жыл бұрын
Napenda sana kazi ya chege na saida.......@lots of love from Kenya ........sauti ya chege dy😥😥😥
@julietchance86702 жыл бұрын
Am in love with chege and his voice mmmm am crazy about the song too😍😍😍
@rexwangudaniel29002 жыл бұрын
Hutayaelewa mambo hadi yakufike mambo ndo utaelewa huu wimbo unamaanisha nini. Great song from 2 great vocalists 🙏
@marywanjiru9755 Жыл бұрын
This song reminds me of 2018 when i was almost giving up in life😢I really used to cry 😭😭i now thank God and will forever thank him for who i am today❤❤❤
@jimyroyjimmy68882 ай бұрын
We thank God now you're okey✌🙏🥰
@aliymzungu15756 жыл бұрын
Namkubali Mokko ametulia kwenye melody
@mbaruktuwa74476 жыл бұрын
Yeah!!!! Chege ni Chege Saida ni Saida hamna kuchuja milele
@ibrahimmawazo56666 жыл бұрын
Mbaruk Tuwa n
@judithawuor30816 жыл бұрын
Ngoma kubwa hii...naipenda sana. Congrats Chege
@Infinit842545 жыл бұрын
Still believe chege and darassa are the best musicians of my century😍
@juliewanja26582 жыл бұрын
Am in Love with this Chege..his voice is so sensual 😌 it gets to my Bones 😎
@jacintahnyambura77232 жыл бұрын
You are not alone
@lavinakoko6636 жыл бұрын
Chege ulitoka wapi wewe jameni!!!!!! yaani your voice always kill me . Anyway good job keep up
@stlstl45176 жыл бұрын
Chege n Saida I'm going to be honest with you guys,have lost count of how many times have played this song aki.much love from Kenya
@josephgatamu8348 Жыл бұрын
Something about Saida's voice...this woman!🔥☺️
@lethesther63356 жыл бұрын
mmetisha sana bonge la ngomaaaa!
@mwanahalimamwachili96796 жыл бұрын
Woooow Congratulations chege na Saida kwa kazi safiiiiii tamuuuu.Ni poa sana.
@reginamchuno23826 жыл бұрын
MWANAHALIMA MWACHILI wamependeza
@fatssshizos59436 жыл бұрын
nice song 😙👏👏👏👏👏👏👏👏👏👌
@aminaviratu68395 жыл бұрын
Pongezi kwa kazi nzuri na said and chef chigund
@maryamhussen43316 жыл бұрын
Chigunda aminia ka mkubwa bonge moj la nyimbo much respect kwenu Da Saida ujawah niangusha mdada
@younggtv27993 жыл бұрын
Wenye wameicheki 2021🔥🔥mnipee likes apa bado hit💎chege
@fraviansweetberty88193 жыл бұрын
Tupo pamojaaaaaaaa
@rytahkyalo16443 жыл бұрын
🖐️🥰
@anitakingee36002 жыл бұрын
Unasema 2021 ama 2023 tuko pia
@marcelakitui30792 жыл бұрын
2022 am here
@lazlazsambushi59724 жыл бұрын
Umekubalika hiyo, sio sura bro ni tabia👌
@chiefkaitaba.m.94666 жыл бұрын
Chege vp unamuimbia Dada yng nn,,,karbu sana kwenye familia yetu ya Kaitaba.
@thekillaboy81216 жыл бұрын
Masen Kaitaba oyaaaàaaa
@tausak45686 жыл бұрын
Weweeeeee kitu kipo ewaniii 🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘team wotee wawiliiiii 😘😘😘🔥
@bobogladys59616 жыл бұрын
mob love frm +254...this song is awesome..😍😘😘
@AdventureAfricaTV5 жыл бұрын
imekubali kalikalikalikali sanaaaaaaaaaa waaaaaaaaaaa nimekubali chege hapo sawasawa
@youngkillermsodoki76646 жыл бұрын
Chege chapa baba Kama zile zenu na temba wakati ule kwasasa zinaitwa zilipendwa ila ngoma yenyewe nzuri big chege ft saida karoli mungu awajalie
@Jpn_Studios6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oJCmZKB4p8yheLc
@msilagiidrisa39946 жыл бұрын
smbasada
@pricespricesomy51966 жыл бұрын
chege ukojuu bigp
@saidmtwanga51896 жыл бұрын
Yaukweri oyo
@josebrownbongo97776 жыл бұрын
Young killer Msodoki nakupenda sana msodoki kakangu wewe im from kenya
@lucastumbu18476 жыл бұрын
Chegee we nomaa huwa nikichokaa msullii narudia kusikiliza mara3 ndo nalala,, bonge la song,, keep it,, bro wanaumeeeeee, nomaa
@allykahawa52996 жыл бұрын
nzur
@allykahawa52996 жыл бұрын
iko poa sanaaaaaaaaaa
@Jofred-lo7hi5 ай бұрын
Naombeni like Ndungu zangu watanzania huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salomemwita78416 жыл бұрын
kiukweli chege huwa nakukubali Sana brother uko vizr Sana Mungu akuzidishe ×100000000
@linetnyawira19155 жыл бұрын
2019 nani ako ndani sauti ya chege
@salomelucas25876 жыл бұрын
hii ndiyo ladhaambayo naipendaga yaani kiasili 🔥🔥🔥🔥ni motooo
@itsdavian01 Жыл бұрын
Wenye wanaicheki 2023 wapi likes zenu 🔥🔥🔥
@austinefereji1018 Жыл бұрын
Ndio hixo hope umeziona,,,,,
@zilleygleydan Жыл бұрын
Tupo
@erickmanyara5311 ай бұрын
Leo kwanza😊
@gladysondhoro62563 жыл бұрын
I'm cheg'es no. 1 fan. The song is lit. Big up mwanawe zubeddah.tunaipenda Kazi yako
@rosejuma87784 жыл бұрын
Tbt,,, congrats for this lovely song Chege and Saida
@hamisialimzara83624 жыл бұрын
Wewe ni Simba chege bro kila siku na sikiliza nyimbo zako uku Europe uko juu bro sana ongera..
@antwnstpnb15706 жыл бұрын
Talent all the way to infinity!!!! Big up saida
@jacintocinquenta13676 жыл бұрын
hii ngoma ya chege ukiusikiliz kiundani imezidi sana uhondo kuisikiliza big up mulikutan wot vichwa aise
@johnkiriko69366 жыл бұрын
Niceeeee one...I miss Africa...big respects chege
@anisasaid45526 жыл бұрын
Nipeleke kwenu kaitaba kwa baba na mama na mimi nikupeleke kwetu kwetumirumbani yani ninaikubali sana mashaallah unaweza
@joycejuma33704 жыл бұрын
Wimboo huu anayesikiliza toka elf Na 2020 aweke like hapa
@zurphamakota94564 жыл бұрын
Tup
@yassirynasiry25814 жыл бұрын
Kbs
@winnyenockwinnyenock69863 жыл бұрын
Tupo sana nipo pande za iraq bagdadi Arabic
@kyusakyusa34334 жыл бұрын
Mm nakukubali Sana chege sanaaaaaa respect chege and saida
@Aidrahomes4 жыл бұрын
he has a wonderful voice ...he is underrated....kung'ara nayo anakill
@johnnypeter93086 жыл бұрын
karataaa changaa karataaa we nomaaa sanaa ni motooo🔥🔥
@barytz59776 жыл бұрын
Nani mwingine karundia kuangalia hii ngoma km mm 🔥 🔥 🔥
@merryn48916 жыл бұрын
mimi
@ailinmodest14006 жыл бұрын
Mambo ni moto
@emanuelsamweli57276 жыл бұрын
jot
@mwanamkuubakaribweni27866 жыл бұрын
mm mara tatu
@claukazi53426 жыл бұрын
Mimi hapa!!!
@garykings11646 жыл бұрын
Hii kwa kweli imeweza..
@carolynemwangi53396 жыл бұрын
Here for chege representing +254 kali sana i love it
@neemajanga88266 жыл бұрын
carolyne mwangi hajawahi wrong I love u chege
@harounkhalifa88456 жыл бұрын
carolyne mwangi
@johnmusembi6 жыл бұрын
Sorry he is from TZ
@joshuakingoina90666 жыл бұрын
Hii ndo ngoma napenda na kuihenzi sana;
@castrodaido37996 жыл бұрын
Chege chigunda,nani anasikis ngoma hii November 2018,ngoma iko juu sanaaaaaaaaaa.
@andrew05026 жыл бұрын
Nice collabo Chiege !!! Hongera
@beremsagaji29666 жыл бұрын
Andrew Dullah chege noma xana
@jumabakari94666 жыл бұрын
Andrew Dullah hu wimbo ach
@tatusaid12235 жыл бұрын
chege tangu nasoma, namkubali sanaaaaa
@artencraftglobal6 жыл бұрын
NO MATTER HOW MANY TIMES I LISTEN TO THIS SONG IT NEVER JUST FEELS ENOUGH............. REPLAY IT AGAIN AND AGAIN.......
@rutorotuk3203 жыл бұрын
Hii wimbo walai
@Animals-e9d3 жыл бұрын
Me too 🥰
@imeldamatoju27352 жыл бұрын
It's deep
@jasminiagustino89916 жыл бұрын
huu wimbo unakata stres sema kweli, najisikia amani nikizikiliza wimbo huu, hongerini chege na saida
@carolwillies74106 жыл бұрын
Just dropped here and liking it 254couldnt agree less it's 🔥🔥🔥
@munajohn37123 жыл бұрын
Haki mom nakupenda bureeeeee🥰🥰🥰🥰🥰
@salimashur59066 жыл бұрын
Diamond hutokosa kitu kwa Allah Wallahy..mama yetu alikua kashapotea machoni kwetu umemregesha kiaina.....Mungu akuhifadhi leo na kesho Insha Allah
@abdulmleke31933 жыл бұрын
Hongera zake
@rosezakaria90906 жыл бұрын
iko vizurii xn congratulation
@maginamandago50326 жыл бұрын
Mafundi wamekutana yaani mambo ni heviiiiiii Fireeeeeeee
@frankbajulie6 жыл бұрын
Kijana kaonesha kazi moto... Big up chege u have been a great inspiration
@richardkarani35876 жыл бұрын
I love this song Chege you're talented broo bigup
@fatssshizos59436 жыл бұрын
Tupo +254 chege ako juu hakoseagi imewezaa 💪💪💪
@ezrommussamusssa25408 ай бұрын
2024 tupeane Maua🎉🎉🎉
@kesagutimseti28546 жыл бұрын
No douts,bongo hits are number one right now in East Africa if not in the whole of Africa..
@erickiptanui70206 жыл бұрын
chege!!!!! your voice just keep relaxed
@molinesawanga30746 жыл бұрын
yah tupo ndani ndani kabisa
@brobox6 жыл бұрын
bonge la mziki, from kenya...kazi safi
@rayarashidothman13946 жыл бұрын
Br
@vkd254love Жыл бұрын
Legendary touch 🤝 Saida Karoli......iko juu
@catep22234 жыл бұрын
Uzuri wa mwanamke sio urembo😉😍😍still listening na lockdown apa 254