No video

CHEKA TU. Kings Edition. Boss Martha kwenye stage.

  Рет қаралды 204,198

Cheka tu

Cheka tu

6 жыл бұрын

Follow us on Instagram for more updates: / cheka.tu

Пікірлер: 90
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 4 жыл бұрын
ANAE MFUATILIA BAADA YA KUFARIKI NA UNAGUNDUA KUWA UMECHELEWA KUMFAHAMU GONGA LIKE. R.I.P FUNDI BOSS MARTHA
@najmaselemani5273
@najmaselemani5273 4 жыл бұрын
Mm mmoja wapo kwakweli
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Hata Mimi nimemjua baada ya kufariki
@flowersomy463
@flowersomy463 4 жыл бұрын
Mwanadam Tz dah kwel yan
@Neyller996
@Neyller996 3 жыл бұрын
Mm pia
@maginabumbugu7561
@maginabumbugu7561 4 жыл бұрын
Dah kweli kifo huumbua mengi,sijua nakufaham dadaangu ila nmekufaham leo,pumzika kwa amani na mungu akulinde ulipo🙏
@naimacassam4601
@naimacassam4601 4 жыл бұрын
Ckua najua mpnz pumzka kwa aman
@lucyluambano8274
@lucyluambano8274 4 жыл бұрын
Dada ulikuwa unakosea sana unapomweka Mungu au Yesu katika mizaa. Watu wanatumia hilo jina katika heshima yote na linanguvu kuliko kitu chochote . Yaan unavyomwita Yesu ni kama cjuh kitu gani daar uwezi mkufuru Mungu ukawa salama
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 4 жыл бұрын
Lucy Luambano hatuwez juwa. Ila MUNGU amsamehe pia maana hakuna aliyemkamilifu. Ukifikiria nikweli neno la MUNGU siyo la kuchezea
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
Mungu amsamehe..binadamu hatujakamilika
@lucyluambano8274
@lucyluambano8274 4 жыл бұрын
@@asnathmwaipopo6877 Biblia inasema zamani watu walivyokuwa wanakufuru wanasemehewa lakini baada ya hapo akishakuja Yesu kristo ukamkufuru akuna msamaha kamwe na ufalme wako unakataliwa
@mtemikifaru63
@mtemikifaru63 4 жыл бұрын
Huyu anafanya dhihaka na Mungu ndiyo maana Kafa kama adhabu kwa kutusi MUNGU. Mungu siwa kutania na kumdharirisha hivyo kabisa. Angafanya hiyo dhika kwa Waislamu siku hiyo asingetoka salama angekuwa kazikwa siku nyingi. Naamini leo yuko ahera.
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 4 жыл бұрын
huyu dada kwa kweli anakipaji cha kuhubiri. ila ndo hivo tena Mungu kashaa fanya yake RIP Dada
@samwelibokoyi.2352
@samwelibokoyi.2352 4 жыл бұрын
Yooooooooooooo mungu wangu miyeeee kifu akina uruma Kama. Nitacheka wapi wayeeee
@estheremmanuel3283
@estheremmanuel3283 4 жыл бұрын
Mmmmm alibugi sana kumdhihaki Mungu. Mungu wet n Mungu Wa utaratibu hadhiakiwi
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 4 жыл бұрын
Imem cost!!
@ungwasety8610
@ungwasety8610 3 жыл бұрын
R.I.P Martha 😭😭 you was soo funny mama na amini uko mahali mazuri
@eluzaberthkarugaba6375
@eluzaberthkarugaba6375 5 жыл бұрын
hii ni shida acheni kumchezea Mungu. unaona hata watu hawacheki wako bored
@jacklinecosmasmasolwa
@jacklinecosmasmasolwa Жыл бұрын
2023 and I just missed her😔hopefully she’s rejoicing amongst the angels
@estermbise149
@estermbise149 5 жыл бұрын
Mxiuuuuuuuuuuuu!!!! Kama hujui kuigiza tafuta bwana uolewe. Acheni kutumia jina la Yesu vibaya!!! Hauchekeshi unaboa!!!!
@cathyaron1480
@cathyaron1480 5 жыл бұрын
mung achezewi acheni zakuleta
@karathajunior6675
@karathajunior6675 6 жыл бұрын
Martha..next tym..usome..Bible kwanza..Yesu aligeza Maji kua divai..kwenye harusi ya kana..na sio baada kutembea juu Maji..! BT all in all..you good ma sister
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 4 жыл бұрын
Hii comedy imemgharimu maisha!!biblia inasema"yakataeni masuala ya upumbavu yasiyo na elimu"ketini mbali na wenye mizaha!
@lizzynatash6438
@lizzynatash6438 5 жыл бұрын
Be serious at once ........neno la mungu silakuchezewa
@luciaalfred6213
@luciaalfred6213 4 жыл бұрын
Usitaje bule jina la mungu wako
@nizidiyimanajanvierearc2097
@nizidiyimanajanvierearc2097 4 жыл бұрын
Mungu amulaze mahali pema peponi .
@shanidege2562
@shanidege2562 2 жыл бұрын
R I P boss marth duuuh life is so short 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@geraldzawadi8618
@geraldzawadi8618 3 жыл бұрын
R.I.P boss matha hakika ulikua na kipaji
@danielmsechu5333
@danielmsechu5333 4 жыл бұрын
Nilikuwa sikufahamu mpaka niliposikia kifo chako. Upumzike Kwa Amani Dada Martha, ila kiukweli Mwili wangu unatetemeka kuona namna Maandiko matakatifu yalivyotumika kimizaha kiasi hiki katika hii video, hii sio sawa kabisa, na ni hatari. Any comedian aliyepo hapa pls usihusishe kabisa mambo Ya Mungu katika mizaha. Mungu hadhihakiwi, na neno la Mungu linaonya kulitumia bure Jina lake. Mungu Wa Mbinguni aturehemu.🙏🙏😭😭😭😭
@mgayamgaya
@mgayamgaya 5 жыл бұрын
Usirudie tena huu upuuzi, Coy uwe unauliza topic ya comedian kabla hajapanda jukwaani. Yesu sio wakuongelewa kipuuzi hivo
@msafwa2553
@msafwa2553 5 жыл бұрын
Fact kuna mambo hayazihakiwi mkuu
@josephvinings6173
@josephvinings6173 5 жыл бұрын
So you really think Jesus cares! lol. # Staywoke!
@lucyluambano8274
@lucyluambano8274 4 жыл бұрын
Yaani Hilo jina anavyoliita kama mdogo wake . Wakati jina hilo linanguvu kuliko majina yote uwezi mzihaki Mungu ukabaki salama. Wala uwezi zihaki bible ukawa salama
@neemawilliam8415
@neemawilliam8415 4 жыл бұрын
@@lucyluambano8274 kweli imekuwa na MUNGU atuhurumie😥😥
@maryosward1879
@maryosward1879 4 жыл бұрын
Mungu tusamehe jmn msimudhihaki mungu
@samwelmahimbo3694
@samwelmahimbo3694 3 жыл бұрын
much blessed
@mrizzy5424
@mrizzy5424 3 жыл бұрын
Comedy edition iyo wazee..............hajatukana msimpe dhambi bure dada wa watu.....ameshatangulia msimseme vibaya
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 4 жыл бұрын
Martha😘
@zakariamgowe2534
@zakariamgowe2534 4 жыл бұрын
R.I.P ila cjaipenda hii kuchekesha watu kwa kuzihaki dini fulni
@aboudmsonde886
@aboudmsonde886 4 жыл бұрын
Angekuwa muuislam ingekuwa hoja ya kuchafua dini ila yeye mwenyewe alikuwa mkristo ,,,,,,,,,
@norafrowin1748
@norafrowin1748 5 жыл бұрын
Omba msamaha kwa Mungu wako ,nimekuchukia Sana kutumia neno la Mungu kwa staili hiyo
@hamidually4660
@hamidually4660 5 жыл бұрын
nora Frowin kwan Yesu n Mungu??
@norafrowin1748
@norafrowin1748 5 жыл бұрын
@@hamidually4660 Kila mtu na imani yake bro usiforce tufanane
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Umeulinzwa swali, jibu ili tupate kujua tusiofaham Yesu ni nani
@lucyluambano8274
@lucyluambano8274 4 жыл бұрын
Ndio ni Mungu . Ndio maana ameondoka mapema yangu ameanza kuchezea hilo jina lenye nguvu kuliko majina yote siku zake zilihesabiwa. Uwezi mchezea Mungu ukawa salama. Tumepewa jina litupasalo kuokolewa kwalo nalo ni Jina la Yesu. Na kila goti litapigwa na ulimi utakiri one day. Uwezi mchezea Mungu au bible ukabaki salama
@flavour_full741
@flavour_full741 4 жыл бұрын
What's Kiki? Your swahili is hard for me. I'm Kenyan.
@agnessevarist499
@agnessevarist499 4 жыл бұрын
duh ,hapo ulitumika vibaya masikini ,ulitumiwa kufanya makufuru
@niachengo1006
@niachengo1006 5 жыл бұрын
Kama umeshindwa waachie kina master J umeniboa sana!
@alikareem7222
@alikareem7222 4 жыл бұрын
I never knew this lady b4.
@mycleteffe9785
@mycleteffe9785 2 жыл бұрын
Neither do i
@jaquelinemuriuki4228
@jaquelinemuriuki4228 4 жыл бұрын
Can't believe you are no more,, Martha,, woishe rip
@agnesssteven9414
@agnesssteven9414 4 жыл бұрын
Hahahaha marha Steve Leo ndoanakusanya rambirambi yako
@user-pt6gb1cw7t
@user-pt6gb1cw7t 4 жыл бұрын
Kifo akina uruma jaman.r.i.p dada
@loyceemacy9185
@loyceemacy9185 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 pumzika kwa amani Martha
@amosimashauri9181
@amosimashauri9181 4 жыл бұрын
Daaaah
@amosimashauri9181
@amosimashauri9181 4 жыл бұрын
Mungu amutangulie
@tinamanzala
@tinamanzala 5 жыл бұрын
Noma sana
@jumahamadi1277
@jumahamadi1277 4 жыл бұрын
Biyeee
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 4 жыл бұрын
Jamani inauma
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
RIP Martha
@dharkknight4747
@dharkknight4747 3 жыл бұрын
The host's shoes run off an independent android app called shoe-jaa!
@ilhammshana234
@ilhammshana234 5 жыл бұрын
et "alipelekwa kwa farao" acha bhana wew
@geecastag5610
@geecastag5610 4 жыл бұрын
Rest in peace Martha
@aboudmsonde886
@aboudmsonde886 4 жыл бұрын
Kweli ilaadin hakku ila islaam
@eidmruma6512
@eidmruma6512 4 жыл бұрын
Utakutana nae uko
@deusgabri
@deusgabri 6 жыл бұрын
Leo umejitahidi sana umepresent vizuri sana....ila unatakiwa kukazii kweli punch line....
@zainabasakania5239
@zainabasakania5239 4 жыл бұрын
RIP
@munirahezron7253
@munirahezron7253 5 жыл бұрын
Hahahah alishusha au alisimamisha
@reggaebean3941
@reggaebean3941 5 жыл бұрын
Maajabu!!.... Itakuwa Biblia Ya Boss Martha Hiyo.😶
@queenandchill91
@queenandchill91 5 жыл бұрын
Upo kila mahali
@pendonkanda5868
@pendonkanda5868 5 жыл бұрын
umebausha hapo martha
@SaraSara-xj3tz
@SaraSara-xj3tz 4 жыл бұрын
Rip
@funnycomtv9613
@funnycomtv9613 5 жыл бұрын
We coy mzungu umemlet huyu mtu from where
@daudycharles9312
@daudycharles9312 5 жыл бұрын
Pumbavu sana wewe
@jeremyself5883
@jeremyself5883 5 жыл бұрын
😲😲
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 5 жыл бұрын
Una pepo wewe mwanamke mswahili. Hujui lolote kuhusu Biblia! Aliyekumezesha amekosea
@twinzmulambes4914
@twinzmulambes4914 4 жыл бұрын
@msawana ni mkristo
@ilhammshana234
@ilhammshana234 5 жыл бұрын
najua coy unatak sana ktk show hii awepo mdada lkn tuwe wakweli Martha c mchekeshaji
@Modoo_255
@Modoo_255 4 жыл бұрын
duh
@aziya77
@aziya77 5 жыл бұрын
ahahhahahhhahahhahah i love her
@aminamakacha6258
@aminamakacha6258 4 жыл бұрын
Mtihn kiukwely
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 4 жыл бұрын
Amina umeolewa nakukubali sana mm😬😵
@linnahedward6116
@linnahedward6116 4 жыл бұрын
R.I.P momy😥😥
@hassniharuna3667
@hassniharuna3667 5 жыл бұрын
Kumbe yesu ni msanii tu Alikua akitafuta kiki
@johnmude1084
@johnmude1084 4 жыл бұрын
Mguu huo
@captainswaicomedian8484
@captainswaicomedian8484 5 жыл бұрын
Its ok anyway 😜😜
@martinemwaka5062
@martinemwaka5062 5 жыл бұрын
Achane mambo ya ajabu kabisa sasa hivi naona mnaofanya comedy mmekuwa na tabia za ajabu sana yaani mnamchezea MUNGU kwenye comedy zenu acheni ujinga kabisa MUNGU ni wakuheshimiwa why mnafanya dharau huo ni upuuzi kabisa tafuteni vitu vingine vya kufanya
@shijamaditi7931
@shijamaditi7931 6 жыл бұрын
wakwanza kucoment Martha ongeza ubunifu
@godchoosen4830
@godchoosen4830 4 жыл бұрын
kweli umeboa sana kama hukua na kukomedi ungekaa kimya
@ilhammshana234
@ilhammshana234 5 жыл бұрын
kuna watu upo nao mfano deo na yule dogo wa mwanza nk wapo vzr sana sasa ukija ukimuweka n Huyu mdada inakua km unashusha kiwango cha show ambayo tayar sisi tumeshaitazama kwa jicho jingine
CHEKA TU. Classic edition. Deo Gratius kwenye stage.
13:23
Cheka tu
Рет қаралды 67 М.
Deo Gratius kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU
18:35
Cheka tu
Рет қаралды 164 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
CHEKA TU. Kings Edition. Mr Beneficial kwenye stage.
11:54
Cheka tu
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mama Mawigi kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU.
7:54
Cheka tu
Рет қаралды 25 М.
Mr. Beneficial na Bwanamjeshi Commedy SSUSA. 2019
17:01
Swahili Society America
Рет қаралды 343 М.
CHEKA TU. Kings Edition. Nalimi kwenye stage.
10:52
Cheka tu
Рет қаралды 51 М.