CHEKA TU. Kings Edition. Mr Beneficial kwenye stage.

  Рет қаралды 1,623,521

Cheka tu

Cheka tu

Күн бұрын

Follow us on Instagram for daily updates: / cheka.tu

Пікірлер: 489
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 6 жыл бұрын
Mr BENEFICIAL is among the greatest artist, I do love hum too much. I'M from Burundi
@mushitv4760
@mushitv4760 6 жыл бұрын
We Chali ukafungue hospitali nakwambia unacho tufanyia kwenye mbavu si poa
@ernnesty7268
@ernnesty7268 6 жыл бұрын
Tengeneza character mmoja ambae watu watamzoea to all comedian kwenye cheka wawe unique
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 5 жыл бұрын
Masai village Tanga! Unatuvunja mbavu baba la baba! Pamoja sana!
@khadijahassan3504
@khadijahassan3504 6 жыл бұрын
hakika leo beneficial leo umeniua mbavuuuuuu hongera sana kazi ya ukanda kaanzisha nuhuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@bletv6130
@bletv6130 5 жыл бұрын
12. Ndipo ngati Mulungu apulumutsa Mkatolika, wa Chiprotesitanti, wa chievangeliko, wa chiBranham, kapena membala m’modzi wa mamishoni ndi mautumiki amenewo, Mulungu ayenera kuchotsa gehena ndipo aliyense adzapite ku Paradaiso, ngakhale Satana. [Mkonzi: Osonkhana akuti, "Ameni!"]. Kodi munthu angakane bwanji m’neneri wamoyo wa nthawi yake ndikupita ku Paradaiso? Kodi munthu angapulumutsidwe bwanji ku Chigumula pamene atakana Nowa? Pamene Ambuye Yesu Khristu anali pa dziko lapansi, zikanatheka bwanji kumukana iye ndi kupulumuka? Dziko lonse lapansi liri ku mphompho chifukwa cha mipingo iyi.
@tedyjuma6393
@tedyjuma6393 5 жыл бұрын
kwan mnapatikana wap nami nije kucheka 😃😃
@colmanlesulie250
@colmanlesulie250 6 жыл бұрын
Yaan Beneficial for sure your great, keep it up. Nakupa one year utakua mwingine. Ongeza tuu bidii katika uandishi pia ubunifu na pia uzidi kunifunza sehemu mbalimbali. Nakuelewa Sana.
@jaileskyangu4260
@jaileskyangu4260 6 жыл бұрын
Mr beneficial umenitoa machoz sana
@alvanfredricky9382
@alvanfredricky9382 5 жыл бұрын
Papaa mafido
@mussakhamisi3391
@mussakhamisi3391 5 жыл бұрын
P
@witnessmfinanga9732
@witnessmfinanga9732 5 жыл бұрын
hata iwe nzur vp watanzania hatukosagi chakuongea sijui tufanyiwe nini au tutaangalia za watu mpaka lini tupende vyakwetu
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 5 жыл бұрын
Wako wachekeshaji bhana,sasa huyu anachekesha nn??kajaribu kwa mbagala2 hayo mengine ni kama maxmango2!
@faithaction2505
@faithaction2505 4 жыл бұрын
@@juniorsmart2483 kwan stand up comedy kinachochekeshaga nn zaid ya mambo kama haya, au Ip unayofatlia wew inachekesha
@rachelchelango941
@rachelchelango941 4 жыл бұрын
Tatizo wabongo wivu unatusumbua sana, ukiona hakuchekishi acha kuanglia
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 B gap xana mr Beneficial una tisha kinyama
@darmillionaire
@darmillionaire 5 жыл бұрын
Hii ilifanyika lini na ukumbi gani?
@benjaminphares5020
@benjaminphares5020 5 жыл бұрын
jmn huwa inafanyika wapi hii natak nianze kuja duhhh napishan kwelkwel
@anthonymsenga2031
@anthonymsenga2031 6 жыл бұрын
Like za kutosha kama unamkubali beneficial...kiukweli jamaa anauwezo
@younginspired3899
@younginspired3899 5 жыл бұрын
Mr beneficial.. Umenivunja mbavu wallah anyone in 2019?
@willianhazard8568
@willianhazard8568 4 жыл бұрын
Kumbe huyu pimbi anajua kingereza
@praygodlema3867
@praygodlema3867 5 жыл бұрын
Chali ya R mamboni swagireeee
@laurynurban5847
@laurynurban5847 5 жыл бұрын
daah umefany wonders #perfect#
@emmanuelchristophersangawe8374
@emmanuelchristophersangawe8374 5 жыл бұрын
Daaaah kwel kipaji hicho Olevel ujakionyesha broo (head prefect)
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 4 жыл бұрын
Umesoma nae nn
@janeygeffy8140
@janeygeffy8140 5 жыл бұрын
broo uko juuu saana but wakenya acheni wivuu aiseeeee 😏 nan kakuiga ww na kama mnaigwa mbn mnaangalia uo ni ukiwaki aiseeeee
@huaweiphone1459
@huaweiphone1459 5 жыл бұрын
Wasenge hawa wafua chupi tuu wasitusumbue
@elisamangesho5118
@elisamangesho5118 5 жыл бұрын
Beneficial wewe kiboko sana 🤣🤣🤣 ila director wa video camera unapo badilisha kamera kuonyesha watu wanocheka unakaa sana kwao na sisi ambao hatuko kwenye ukumbi tuna kosa actions za Beneficial, kwa hiyo unapo badilisha kamera kuwa more creative kidogo, anapo fanya matendo weka camera kwake. Kwa watu sekunde tatu au nne zinatosha kuonyesha watu wanaocheka we get the point.
@goodluckpaul7829
@goodluckpaul7829 6 жыл бұрын
Congratulations school mate Brian Mrikaria 'Beneficial'
@jimmymrema877
@jimmymrema877 6 жыл бұрын
Good pol Tv nyi mchaka mboe
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 4 жыл бұрын
Umesoma nae au
@shabanimdugi6813
@shabanimdugi6813 6 жыл бұрын
UNAJUA SANA MWANANGU
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 6 жыл бұрын
Uko vzuri Bro Sanaaa. Nimekubali Ila nakushauri tu, ukiweza kuunganisha vzuri story ya kwanza inapoisha.. kwenda nyingine ila una vchekesho vngi sana
@karathajunior6675
@karathajunior6675 6 жыл бұрын
You bro..so creative.. Nakuona mbali..saaaana..kwa stand up comedy.. Hapa bongo..Bro ukae vizur..saaana...mana uko mbele utakua ndo king wao kwenye standup..take it from me..bro..!
@philemonsamwel7761
@philemonsamwel7761 2 жыл бұрын
Hahahaha kwahyo sisi watu w uswaz tunachafua mataulo baada ya kuoga kwakuwa ukimaliza kuoga unatoka jasho kwa mazoezi ulioyafanya
@pendojames8262
@pendojames8262 5 жыл бұрын
aisee chari yangu umetisha kinoma🔥🔥🔥🔥
@emiliantindwa2259
@emiliantindwa2259 4 жыл бұрын
Nouma san
@fatumahalfa1581
@fatumahalfa1581 5 жыл бұрын
Tunatafuta watu 15 watakaosajiliwa katika PROJECT yetu inayoanza Mwezi huu wa Kwanza 2019, watakaolipwa kuanzia Tsh 70,000 Kila siku VIGEZO -Mkazi wa Dar es Salaam -Umri kuanzia 23yrs -Mwenye Uthibitisho wa uraia kwa kuwa na kitambulisho Chochote NB: Watapitia mafunzo baada ya uainishwaji NAFASI NI KWA WAKWANZA Wasiliana kwa Whatsapp neno NAHITAJI SASAHIVI kwenda no+255 714420004
@yunusathuman6575
@yunusathuman6575 5 жыл бұрын
0784553807
@omarvuai7069
@omarvuai7069 6 жыл бұрын
Alio na tecno aondoke mbele haaaaaa
@richardaugustino6775
@richardaugustino6775 5 жыл бұрын
Ati mpk sura yako mwenyew inak-snitch yani man huna hela brother......!!!! dah hiki kipande nishakiangalia zaidi ya mara saba mshikaji yuko vzr
@peterkilassa2912
@peterkilassa2912 5 жыл бұрын
Tatizo unapenda kuchambua maisha yawatu nakutengeneza matabaka,its not good man, watu wote tupo sawa,, masaki na mbagara, wote twakushabikia
@keysaldiwani4927
@keysaldiwani4927 5 жыл бұрын
Peter Kilassa anaburudisha watu cyo uhalisia man
@gloriousnp
@gloriousnp 5 жыл бұрын
Peter Kilassa it’s just a comedy Don’t take life thaaaat serious bro Utakufa siku siyo zako 😩😩😩
@damisokaikomaboy3883
@damisokaikomaboy3883 6 жыл бұрын
Gonga like hapa
@fredymusimu9461
@fredymusimu9461 6 жыл бұрын
mr kiraza completely neema
@halimaalex5378
@halimaalex5378 4 жыл бұрын
Hahahaha! Anajua sanaaaa
@jackychangula9139
@jackychangula9139 5 жыл бұрын
aseee nilicheka sana nilipo ona ile vd ya mungu angekuwa muhaya kipaji cha injili wangepewa wachaga
@issajohn8983
@issajohn8983 5 жыл бұрын
Uko poa sana kaka kaza sana nakuombea
@kayfx2594
@kayfx2594 6 жыл бұрын
gonga like. Mr beneficial
@jemsjosephine2216
@jemsjosephine2216 6 жыл бұрын
da kweli
@kayfx2594
@kayfx2594 6 жыл бұрын
anajua ben
@elizerrubeni8643
@elizerrubeni8643 5 жыл бұрын
Amazing
@billionkingtz.kusini9579
@billionkingtz.kusini9579 5 жыл бұрын
Mkapa 26 Balidi
@petroniamrosso5158
@petroniamrosso5158 5 жыл бұрын
Poa sana mwanang
@younginspired3899
@younginspired3899 5 жыл бұрын
Mr beneficial msengee sanaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 et unacheka kama mgen aliemaliza mboga..
@andersonahadi1789
@andersonahadi1789 5 жыл бұрын
wivu jaman mjinga wew
@mctidohondoa1652
@mctidohondoa1652 5 жыл бұрын
Best uko sawa kaza buti
@denistuma8611
@denistuma8611 5 жыл бұрын
Mc Tidoh Ondoa 🤗
@seriousofficialtz3702
@seriousofficialtz3702 6 жыл бұрын
Huyu jmaaa anajua sanaaaaa big up brooo😀😀😀😀😀
@sebastianshosi7687
@sebastianshosi7687 6 жыл бұрын
Aisee jamaa ckumzania kama anauwezo mkubwa kiac hiki.hongera kwake
@pendojames8262
@pendojames8262 5 жыл бұрын
sebastian shosi 👏👏👏
@michaelanthony5048
@michaelanthony5048 4 жыл бұрын
Jamaa anatisha Sana ana kipaji
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 6 жыл бұрын
Mr .beneficial ..mbavu zangu jamani unaweza..big up..😆😆
@jumasaid6073
@jumasaid6073 5 жыл бұрын
Daaa!!! Mbagala imenivunja mbavu,unatisha kaka!!
@michaelzumba9142
@michaelzumba9142 6 жыл бұрын
Sikuwahi jua kama jamaa anakipaji hivi
@kimanzimchokozi3602
@kimanzimchokozi3602 5 жыл бұрын
Michael Zumba hatareee
@herrymwaipopo7943
@herrymwaipopo7943 6 жыл бұрын
Huyu dogo na jaymond wako vzri
@katabazi_starpinus
@katabazi_starpinus 3 жыл бұрын
🤝
@davidluwondo4753
@davidluwondo4753 5 жыл бұрын
Daah...Mr. upo vizur Godbless uu...maana unanipa rahaaa
@abdulkarimyahya6369
@abdulkarimyahya6369 5 жыл бұрын
so impressed mr keep it up
@LouiseERne98
@LouiseERne98 5 жыл бұрын
Unamahusiano gani na Petro, 😂😂
@kichwachagoogle5138
@kichwachagoogle5138 3 жыл бұрын
😁😀🤣 ihi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tinafrenk5540
@tinafrenk5540 5 жыл бұрын
Jamn mm nakufa yaani nimechoka akli na roho
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 5 жыл бұрын
Wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kiukweli huwezi bhana,labda mbagala kidogo umejitahidi,
@danielromario5183
@danielromario5183 6 жыл бұрын
Head prefect wangu olo O level brian
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Mr *Beneficial*
@godfreycosta8483
@godfreycosta8483 6 жыл бұрын
ajira mpya 500+++ zimetoka click hapa kuaaaplyjobinfotz.blogspot.com/2018/09/job-vacancies-from-government.html
@kaystv662
@kaystv662 5 жыл бұрын
Naomba KUJUA ni wapi huwa inafanyika wapi jamani ,kwa anayefahamu
@calfocoramadhani8919
@calfocoramadhani8919 5 жыл бұрын
Eatv
@DECCA-mj7cn
@DECCA-mj7cn 6 жыл бұрын
Sija Subscibe sababu umeweka na wachekeshaji kutoka nje ya tz tunataka kusapoti wachekeshaji wetu hivyo cheka weka wachekeshaji wa bongo tu tutakusapoti pia utambulisho wao ni kama chulchil
@samnas4real473
@samnas4real473 5 жыл бұрын
Usifananishe roho za watanzania na wakeenya
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 6 жыл бұрын
Yes! Nimekubali umepanda kiwango
@manofpeople4648
@manofpeople4648 5 жыл бұрын
HIV huyu ndo Chalee R au ndg?
@zanudiajaffary7240
@zanudiajaffary7240 6 жыл бұрын
U gud bro keep it up.👊🏽
@jozzsimbatv1199
@jozzsimbatv1199 4 жыл бұрын
Wale wa 2020 tujuane
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 6 жыл бұрын
Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yetu kucheki ubuyu habari zoote za instagram , comedy na filamu zetu asanteni
@salhishashania216
@salhishashania216 5 жыл бұрын
Harmoniz ft professional j
@henoczoundi2986
@henoczoundi2986 5 жыл бұрын
2. Lolani Satana ndi ana ake akhale ndi sukulu za ubusa, masukulu wolemba Baibulo ndi intaneti, ine ndi nyumba yanga tidzakhala ndi vumbulutso la uneneri. [Mkonzi: Osonkhana akuti: "Ameni!"]. Ndipo pambuyo pa sukulu ya ubusa, maseminare ndi madigiri a zaumulungu, pamene achinyengo awo, ana a mdierekezi akuima pa guwa, iwo amati: "O Mulungu, ine ndichepe ndipo inu muyankhule kupyolera mwa ine." Inu mukuona? Ndi chisokonezo! Ngati mukudziwa kuti mukhoza kuchepa kuti Mulungu alankhule kudzera mwa inu, nanga mumapita kukayang'ana chiyani ku sukulu za ubusa?
@paschalmotera7934
@paschalmotera7934 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 ,,...saf saan man
@priscillapaul595
@priscillapaul595 5 жыл бұрын
Mbavu zangu mieeee we beneficial ni nini lkn...u made my day
@hasanikel6854
@hasanikel6854 5 жыл бұрын
Va dad
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 жыл бұрын
Mr ben
@floramollel1362
@floramollel1362 5 жыл бұрын
😂😂😂 ubora wa cm
@blackpanther4825
@blackpanther4825 6 жыл бұрын
This dude beneficial anajua sana
@simonjoseph7156
@simonjoseph7156 6 жыл бұрын
Hahahahaaa!!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Atarii
@MakunguSir
@MakunguSir 5 жыл бұрын
Safi sana kijana. Mpangilio mzuri. Keep it up.
@muonambaliTV
@muonambaliTV 4 жыл бұрын
Okkkk
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 6 жыл бұрын
thanks kwa kuwa mbunifuja
@ahmadkibamba7245
@ahmadkibamba7245 6 жыл бұрын
Aahaaa hapo kwa mbagala hapo umeuwa watu mno maana ahhaaaa nimecheka
@claudiachristopher2727
@claudiachristopher2727 6 жыл бұрын
Nimecheka sana jmn,
@beatusishirima3371
@beatusishirima3371 5 жыл бұрын
Unatisha
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Camera hazitoshi? Mbona mchekeshaji tunasikia sauti tu akienda kwa audince!!??
@bletv6130
@bletv6130 5 жыл бұрын
12. Ndipo ngati Mulungu apulumutsa Mkatolika, wa Chiprotesitanti, wa chievangeliko, wa chiBranham, kapena membala m’modzi wa mamishoni ndi mautumiki amenewo, Mulungu ayenera kuchotsa gehena ndipo aliyense adzapite ku Paradaiso, ngakhale Satana. [Mkonzi: Osonkhana akuti, "Ameni!"]. Kodi munthu angakane bwanji m’neneri wamoyo wa nthawi yake ndikupita ku Paradaiso? Kodi munthu angapulumutsidwe bwanji ku Chigumula pamene atakana Nowa? Pamene Ambuye Yesu Khristu anali pa dziko lapansi, zikanatheka bwanji kumukana iye ndi kupulumuka? Dziko lonse lapansi liri ku mphompho chifukwa cha mipingo iyi.
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 6 жыл бұрын
aisee kuna watu mliumbwa kuja kukonga nyoyoo hahaha
@GidionEmamuel
@GidionEmamuel 5 жыл бұрын
Umenilazimish kuchek duhhh ara chug big up
@AlanaJoseph
@AlanaJoseph 5 жыл бұрын
Mr beneficial! Keep it up
@Calixdesigns
@Calixdesigns 6 жыл бұрын
Gud work all comedians,,big up san my bro coy mzungu...😂😂
@karugirakarugila6094
@karugirakarugila6094 5 жыл бұрын
Baba baba nakuelewa kinoma
@stevenbenson5713
@stevenbenson5713 6 жыл бұрын
Nimeipenda hii, na pia nimefurahi naona Tz tumepiga hatua maana tulikua nyuma sana kwenye tastia hii ya Stand up comedy.. Thanks bro uko vizuri aisee.
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 4 ай бұрын
Here 2024
@emmanuelallexander9114
@emmanuelallexander9114 4 жыл бұрын
Keep it up my brother!!!your great in this fun.
@emmanuelzao
@emmanuelzao 6 жыл бұрын
Stand up comedy ni nzuri sana lakini CHEKA TU inaniboa kitu kimoja .... ile ku-copy kila kitu kwa churchill halfu host hajachangamka ni kama anabahatisha hivi, kwani hamna namna ukaifanya show yako kwa namna yakipekee pasipo kuchukua concepts na idea za Churcchill show?
@aishamohamed518
@aishamohamed518 5 жыл бұрын
Mara ya mwisho wewe kuanzisha kitu chako ni lini? Na hiyo churchil show unauhakika ndiyo imeanza duniani? Wabongo kama nyie mnyongwe tu hamna jinsi.
@kennytwinzi9032
@kennytwinzi9032 5 жыл бұрын
Afanyeje sasa...MUELEKEZE AFANYE NINI,,Utakuwa umemsaidia,,,hapo umemkosoa saawa,toa ushauri sasa kwa KUMPATIA utofauti
@masaidelmangu6528
@masaidelmangu6528 5 жыл бұрын
Emmanuel Zao Yote yanayofanywa ni kuigiliziana tu. Hivyo mwache aendelee na mipango yake
@kitebentebrandtv1629
@kitebentebrandtv1629 5 жыл бұрын
Jamaa unatisha
@gladnessanthony3275
@gladnessanthony3275 6 жыл бұрын
😁😁😁😁 Mbavu zangu
@nkanajames8356
@nkanajames8356 5 жыл бұрын
daaah its xo funny
@deborahomary6705
@deborahomary6705 3 жыл бұрын
Kama umesoma sana biblia Tuambie nani alikuwa CIO wa geleza walilofungwa wakina paulo
@diomedesmtayoba3955
@diomedesmtayoba3955 6 жыл бұрын
Uko vzr Mr Beneficial
@enockkasenga7415
@enockkasenga7415 5 жыл бұрын
Hahahahahahaha mŕ. beneficial kazinzuri _saña
@ramadhanirajabu3073
@ramadhanirajabu3073 5 жыл бұрын
niatariiiiiiiiii
@adammakoye4198
@adammakoye4198 6 жыл бұрын
ukianza kutupondea tunaokaa nyuma tutakuwa hatuji bro. jitahidi ile style zko za kichuga hadi kwny huku stand up.
@Sayaifilmproduction
@Sayaifilmproduction 5 ай бұрын
Mr beneficial, ndio mtu pekee mwenye alikua amebeba cheka tu enzi izo
@halcyonmrosso7002
@halcyonmrosso7002 3 жыл бұрын
Best show in 🇹🇿💥
@TechAfrica
@TechAfrica 5 жыл бұрын
Je unajua jinsi ya kutumia Iphone yako kama Flash disk kubebea movie zako na documents?? Check video hii, kzbin.info/www/bejne/nHPSfJ6Dmd6Blbc
@Mtumish_sam
@Mtumish_sam 5 жыл бұрын
Shukurn kwa ajir kwa vijan Mungu abrk
@ivyom7521
@ivyom7521 6 жыл бұрын
😂😂one....two...chechechecheee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍
@atupakisyemwangumbe6038
@atupakisyemwangumbe6038 4 жыл бұрын
yani sijui huwa anapanga maneno mapema,sio kwa ushubwanda huo
@fabianimwaluko6468
@fabianimwaluko6468 4 жыл бұрын
Hahahaha ww jamaa chenga sana 👏👏👏👏
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 5 жыл бұрын
Good try, Mr. Beneficial is great in telling intelligent jokes! Kudos mkuu!
@josephmatiasmkudejosephmat3050
@josephmatiasmkudejosephmat3050 5 жыл бұрын
Kama mchungaji jamani
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 3 жыл бұрын
Hivi vipindi vya cheka time wanafanyaga wapi me nataka niende
@kbdmsafi_tz8094
@kbdmsafi_tz8094 6 жыл бұрын
hahaha Wewe Ndio Fundi Noumaaaa
@joeljohn1770
@joeljohn1770 6 жыл бұрын
Nawakubali sana Cheka tuuuu
@belabeka6630
@belabeka6630 5 жыл бұрын
Jamani nambieni huwa wanapa tikana wapi hawa wajamaa,napenda kwenda na mie
@tedyjuma6393
@tedyjuma6393 5 жыл бұрын
Bela Beka hata mim napenda san ila cjui wako wap
@oscarmuhumenya1345
@oscarmuhumenya1345 4 жыл бұрын
Hua unafanyia shoo wapi ili nije nkushuhudie
@utajiriniafya9789
@utajiriniafya9789 5 жыл бұрын
Karibu katika page zetu za Afya kwa ushauri na huduma. Utajiri ni Afya Instagram instagram.com/utajiri_ni_afyaa/ na Facebook web.facebook.com/BFsumtz/ . Karibu uhudumiwe.
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 жыл бұрын
Sheka mpaka mpaka basi
@RamatonyJensian
@RamatonyJensian 4 ай бұрын
Hahahaahahaaaaa itabd mr offixial akutane na xtive mweux
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,8 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 104 МЛН
Mr Beneficial kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU.
17:44
Cheka tu
Рет қаралды 1,5 МЛН
VIDEO 10 KALI: Cheka na video zote kali za CHALII X MCHUNGAJI
19:48
Timamu Comedy
Рет қаралды 1,3 МЛН
CHEKA TU. Tribes Edition. Mr Beneficial kwenye stage.
9:37
Cheka tu
Рет қаралды 866 М.
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 139 М.
Jol Master, Guest Comedian kwenye stage | Comedyvillagetz S02eps 21
17:27
Comedy village TZ
Рет қаралды 63 М.
CHEKA TU. Kings Edition. Deo Gratius kwenye stage.
26:59
Cheka tu
Рет қаралды 237 М.
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
CHEKA TU. Mzalendo Edition. Deo Gratius kwenye stage.
22:27
Cheka tu
Рет қаралды 232 М.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН