Ndaro katembea na punch moja /mbili ya milembe na ombaomba but nado katisha...katembea na punch nyingi
@bullychandy65092 жыл бұрын
Hit za LEONARD ZOTE KAPIGA UBISHI TUU 😂😂 SAFI SANAA
@elishangai7232 жыл бұрын
I think battle ya mikoa is the best, big up coy mzungu more creative man🔥
@yowtz54502 жыл бұрын
upande chuma upande shaba🔥🔥😂😂😂😂WOTE MMETISHA
@alinotilucamoris61892 жыл бұрын
Na mkubali sana Leonardo lakini Ndaro kauwa😅😅😅😆🔥
@FestoNgurube-rj3ee Жыл бұрын
Yaan sema iv ndaro ni moto
@vickydan28692 жыл бұрын
Leonard nampenda sana hana roho mbaya yaan punch za mwenzie anacheka hataki kujifanya hasikii kixhekesho
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Hahaha
@EDNESSLUTUMO-xt1hq Жыл бұрын
Mbona na nd ancheka guys
@admirotv3702 Жыл бұрын
Mbn ndaro anacheka
@princekagame820311 ай бұрын
Anashuka kwasababu hiy
@hybridaccounts11 ай бұрын
Acha bias
@ammyskills55882 жыл бұрын
Kituo Cha ombaomba daaa ndaro bhana 😂 mmetisha sana
@nicholausmbilinyi35872 жыл бұрын
Ndaro ni mzuri kwenye kuwakilisha punch zake..ila anazo chache..ila Leonardo ana punch nyingi sana...ila ku deliver bado hayuko poa sana..ila Leonardo ni mkali zaidi..ana material mengi sana
@Mimy_keys2 жыл бұрын
Kwa hapo Leonardo ndo kauwa mana kaongelea points nyingi sn 🔥🙌👌
@vicentmlumba5912 жыл бұрын
Kiukweli adi sasahivi kwangu ngoma drooo mmetisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndoro na Leonard nikama comedy za mr been kwa mbali 😂😂😂😂😂😂🔥👌
@zekelly_025 Жыл бұрын
Leonardo waha umetumaliza😅😅😅😅 but ndaro super b Sana 🤣🤣🤣🤣
@championboy72 жыл бұрын
Waooo meen this is very special I enjoyed a lot
@fabianmachele892 жыл бұрын
Daaah, ati jiskie upo nyumbani🤣🤣🤣🤣🤣
@johnmathew27692 жыл бұрын
eet kipa kalud kwao kongo vita imeisha🤣🤣👏👏
@donkaloza69852 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@kimconscious53752 жыл бұрын
The best roast was this because these guys are very talented and they were listening to each in order to get point eg.ndaro on Leonardo point about mirembe few minutes later he use that point to punish him
@matoben30802 жыл бұрын
9900090
@peterjosephat34932 жыл бұрын
Thanks for good talent
@carlosleonard60502 жыл бұрын
Ahsante kwa ubunifu huu wa roastng koy
@dennistunze19782 жыл бұрын
asante ndaro umetuheshimisha wa kigoma hongera ndaroooo leonaldo ameanza vibaya had nikawa naogopa
@DeoShujaa2 жыл бұрын
WOTE WAMEFANYA VIZURI MNO, ila ingekua ni mtihani angefaulu LEONARDO ... ndaro alikua ana Point moja tu ya OMBAOMBA ila ameijaza nyama imekaa vizuri, ila Leonardo kaongelea vitu vingi sana vya kuhusu mkoa huo
@vickydan28692 жыл бұрын
Leonard hajawh kosea ila ndaro leo kafanya poa
@salummkululu34847 ай бұрын
Daaaah mwana unachuk binafsii aisee
@agnessmichaels61147 ай бұрын
I love the way Leonard anakuwa serious 😂❤kichwa chini nn yn daah
@franksamwel22922 жыл бұрын
Wote wamefanya vizuri ila Leonardo ana contents nyingi na zote ni funny 😀, ndalo ame dili na content moja ya omba omba ila kaijazia imekaa poa! Are the best for sure ila Leonard salute kaka
@newgeneration95242 жыл бұрын
Leonardo alikuwa na kazi rahisi coz watu wa Kigoma wana vituko vingi so kupata points nyingi ni rahisi, hata hivo kuna vingine kasahau kama ufupi, weusi n.k ila mkoa wa Dodoma kuuchambua ni ngumu coz umepewa hadhi sana na serikali, so ni rahisi kuusifia kuliko kuupondea😀
@christianmtei74498 ай бұрын
Mh
@JacoboNyolobi-rt6bw9 ай бұрын
Nani kiongoz alisema Yesu ana mke😂😂hawajakosea kujenga milembe Dodoma🎉
@maja73692 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥ameaanza kuomba mwingne 🙌🙌🙌
@queenlizzyplatnumz49422 жыл бұрын
Uongo uongo uoooo😂😂😂😂😂😂😂
@arodiacostantine63552 жыл бұрын
You guys you are so amazing! You always made. My day you are so sweet ...all Cheka tu members❤❤❤💋
@kasukukasuku38962 жыл бұрын
Ndaro nishida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eddyempire97972 жыл бұрын
Ahahahahaaa...... Ziwa Tanganyika limegomea Muungano
@AdolpheBahininwa7 ай бұрын
Wote wapo vizuri sana 😂😂 nawapa max
@benjaminsemwenda31522 жыл бұрын
Ogopa sana kutangulizwa na gari la udongo, Yani Leonardo alianza vizuri ila Ndalo kaja kummaliza....
@JamesMoses-jd1yq6 ай бұрын
Umeona eeee
@nicolauswandao89882 жыл бұрын
Ndaro nouma "This is too much jokes don't dissappoint" iko poa sanaaa
@ibrackibrahim69092 жыл бұрын
Ndaro and leonardo they on fire 🔥🔥🔥
@sadiqrifay54482 жыл бұрын
*Ndaro and leonardo on fire
@naimunaimu23122 жыл бұрын
Ndaro tuheshimiane 😂
@adolphriwa38572 жыл бұрын
Show ya leo kali.Big up sn coy
@wizmagotv72502 жыл бұрын
Leonard 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ephrahimrashid81652 жыл бұрын
Ndaro umeua jpo Reonard huwa ni noma thank's My country for security
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Mmeshajua matumiz ya mawese sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijaramadhani3340 Жыл бұрын
Leonardo ni 🔥🔥wa kuotea mbali ni gwiji wa macomedian wote 🌏nzima
@mwashambaiddy80852 жыл бұрын
Ndaro u kill the show 🤣🤣🤣
@einsteinmboje47302 жыл бұрын
Leonardo Bado Ana Aibu Sana Jukwaani So Aongeze Confidence ... Ila Very Creative , Huyo Jamaa Wa Au Basi Anajiamini Sana Ndio Freestyle Zinakuja Kwa Urahisi.... Overall Hongereni Sana Mmejua Kunichekesha 😂
@mack_B.2 жыл бұрын
Mhhh Leonard Hana aibu Ana confidence Sana Tena Sana ukikutana nae live Yuko hvyohvyo Ila tu Ni mpole sio muongeaj Sana ndomn unamuona km hajiamin Ila very talented
@einsteinmboje47302 жыл бұрын
@@mack_B. Watu Wa Sanaa Watakua Wamenielewa ...Aibu Sio Ya Kuangalia Camera Ndugu ,Kutawala Jukwaa Ni Kitu Muhimu Sana Kwenye Sanaa ...Kwenye Creativity NADHANI Nimesema Hapo
@user-st2hl4mi5j14 күн бұрын
Hongeren jaman,heeh kumbe had yesu alikuw na mke mmh atar
@Kheyuu_Official9 ай бұрын
Wanaangalia CHINI SANA. AIBU SI AIBU WHY ? WAWE NA CONFIDENCE. KAZI NZURI ila wanaangusha kwenye UJASIRI
@HabibaSadi-sc2zl11 ай бұрын
Yan wewe Leonard nakupenda sana Yan unatufurahisha sana❤
@ZakayoShem3 ай бұрын
Nampenda Leonard, kwanza huwa anaslimia watu ndio anaanza kuchekeshaa
@safariingi63122 жыл бұрын
Ndaroooo big up Sana mkal
@romakoko22922 жыл бұрын
Diamond na Baba Levo watauwa Leonardo 😂😂😂
@startwithginegine18912 жыл бұрын
Ngoma dro irudiwe 😂😂😂
@ibrahimmayige97482 жыл бұрын
Nakubali sanaa🔥🔥🔥
@abasiyahya91982 жыл бұрын
Oi Mkigoma umeuwa 😂😂😝
@TarshComedian2 жыл бұрын
This combination is huge 😂😂😂😂😂 hawa jamaa wanajua sana
@georgegivan71242 жыл бұрын
Leonardo ni Genius 😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@allydullah2072 жыл бұрын
Kabisa anii
@jacklinejacklinejonh65302 жыл бұрын
Ndalo umefanana na mpenz wangu kila nkikuangalia nacheka tuu 🥰
@erickdioniz82772 жыл бұрын
Nyie jamaa mko vizuri sana safi sana wote mmetisha
@masalsamwelmasal2255 Жыл бұрын
Baba levo pua, bos wake mdomo hahhahahHah apo kwa bos sasa
@walidibalinago77902 жыл бұрын
Ndaro and Leonardo is on fire🔥🔥🔥
@theafricanprincevivecongo86322 жыл бұрын
Are
@emilkelvin11752 жыл бұрын
Best ni ya eliud and said said
@saxannjo61732 жыл бұрын
these guyz are talented
@chakuboyofficial97202 жыл бұрын
Kigoma ame tisha Sanaa mr ndaroo 🙌🙌🔥
@doctortechtv25902 жыл бұрын
Perfect battle😂🔥
@FaydhaAlly596 ай бұрын
Ndalo na Leonardo nawapenda sana😂😂😂😂
@BilaliBilaliamri7 ай бұрын
Mdogo wangu ndaro pole sana maana uyo mwamba ulienae apo sumu kwenye uchekeshaji
@AzamDjimmy-d7w4 ай бұрын
Kwani boss wa baba levo ni nani mwenye mudomo kabambi😂😂 léonard wewe
@mceradj91732 жыл бұрын
Talented mamen unyama ni mwingi wote mmetisha
@rhodaerasto61512 жыл бұрын
Another kigoma vs mbeya will be🔥🔥
@ArabiAyubu2 жыл бұрын
Binafsi ndaro kauaaa..!
@frankmose9912 жыл бұрын
Ndalo can have win ila Leornado is a stand up comedy genius😄😄😄 idea zake bhana daaahhh
@salomejoseph49322 жыл бұрын
Da iwe hiv hiv jmn😂😂😥
@nicholausmbilinyi35872 жыл бұрын
Leonardo achaneni nae kabisa aiseee..very intelligent
@FrankMasiaga18 күн бұрын
Wako vizuri.. sema nn wanaondoa stress
@nigromarian35712 жыл бұрын
all guys ur on fire🔥🔥 but ndaro u make may day
@zenjamaboys492 жыл бұрын
Ndaro umetisha blood
@musajacob334 Жыл бұрын
you made my night guys😃✊
@keshenimagilo81902 жыл бұрын
Ndalooo homeboy you killed🔥🔥🔥🔥
@salhashaban93469 ай бұрын
Namkbal xana Leonardo bhn lkn kam droo😂😂😂😂
@abdallazakaria69532 жыл бұрын
Ndaro katisha zaidi 💥💥💥💥😅😅
@cherimokavumo87962 жыл бұрын
Ndalo is FIRE 🤣😂😂
@SilyvesterMathias-px5mt Жыл бұрын
For sure
@KengwaSaad9 ай бұрын
Umetishaaaaaaa ndarooooooooo😅😅😅
@hassanmoshi54392 жыл бұрын
Hahahahahaha nimependa hii
@meshacknyerere82862 жыл бұрын
Leonardo amekitembeza kitabu balaa 😃😃😃
@fabiandanielkatikiro14782 жыл бұрын
Leonard is fire 🔥🔥🔥🔥
@dbwaxvevo57802 жыл бұрын
Noma Sana hii ni kaliiiii balaa wanajua Sana Ndaro na Leonardo Mko vyemaa mazee
@michaelmpagwa25532 жыл бұрын
Asante home boy Ndaloo👍😏🔥
@stevenhassan2692 жыл бұрын
Leonardo is 🔥🔥
@manoatzofficial13842 жыл бұрын
Hahaha ndaro muuuaji kweliii
@omarmwarizo96782 жыл бұрын
😅😅😅😅ngoma droo
@salumupatlicki3912 жыл бұрын
Ndaro umetisha brother umempa kitu kizito mpaka mwenyew kacheka
@ismailnashon13202 жыл бұрын
Kigoma ameuaa 👍👍👍👍👍
@winifrida88302 жыл бұрын
Leornado nakupenda sana🤣🤣🤣 aseee
@nasibndaro62812 жыл бұрын
wajina umeuwa hhahaahaha
@salimnjowoka4357 Жыл бұрын
Napenda Sana, kutoka Dubai, hivi nikitaka Kuja nafikaje
@kimanimuikamba47148 ай бұрын
😂😂😂Ndaro alikuwa ameficha ndoige
@NeemaNgabo5 ай бұрын
namkubali sana huyo sina nyama wangu jmn hana bayaa
@cbegram61612 жыл бұрын
Aise maticha mkiona mastudent pale primary wanataniana msiwazingue, muwape support, si unaona ni ajira hii😅😅 ikiwezekana hata huko UMITASHUMTA waweke kipengele cha kutaniana🤣🤣🤣 . Ajira zipo, ila kuziweka kwenye system, kama wale wakorofi, hao ndiyo wanajeshi wenyewe sasa na mabodyguard huko wa wasanii😁😁 hii imekaaje wadau?
@WitnessMalobo7 ай бұрын
😅😅😅 umewaza mbal sana
@kitunganolwebo75702 жыл бұрын
Leonard kumbe mweu 🌚 Eti kigoma lazima utembee na dictionary ya french na English 🙄