MC ELIUD ALIVYOWAACHA HOI WAZIRI MKUU NA DIAMOND KWENYE MTOKO WA PASAKA

  Рет қаралды 825,808

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 276
@timothyadrian9300
@timothyadrian9300 8 ай бұрын
Jamaa he is very calm...anatumia kauli nzurii thats why watu wanamkubali
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Kweli ndg
@SubyMwaisumo
@SubyMwaisumo 9 ай бұрын
Wee ni noma mzee unatuwakilisha vema Mby Eliud. Bho ujheghe bhubhubho ndagha😂
@sportsdatatv
@sportsdatatv Ай бұрын
Ep 02: KAPEWA SUMU NA RAFIKI YAKE APELEKA KWA MUMEWE | KILICHOMKUTA HUTAAMINI | CO WIFE (2024) FINAL........kzbin.info/www/bejne/ima7g4Cdd8Sbm7s
@EdinaShaban
@EdinaShaban 7 ай бұрын
kaka hongera sana kwa kipaji ulichonacho mushukuru mungu sana
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 9 ай бұрын
Eliud vichekesho vyake vina heshima...unaweza kucheka na watoto, wakwe na wajukuu😁👋 yupo yule mwngn cjui anafikiria vichekesho ni maneno machafu au kudhalilisha...😢?
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 9 ай бұрын
Kabisaaa..yuko vzuri sana aisee
@angelabanzi8253
@angelabanzi8253 9 ай бұрын
Kabisaa, Mungu azidi kuntunza
@eliudjohansen4477
@eliudjohansen4477 9 ай бұрын
Upo sahihi
@NaomiBwilinde-r2j
@NaomiBwilinde-r2j 9 ай бұрын
Sanaaa
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 9 ай бұрын
malezi yanachangia, kalelewa kwa maadili huyu
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 9 ай бұрын
Mung awafanyie weps🙏🙏🙏🙏
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 9 ай бұрын
Sasa hii ndio comedy Tanzania 😅😅😅
@stamilabel6176
@stamilabel6176 9 ай бұрын
Kipaji kinakusogeza kwa wakuu😂😂
@njoroboihastla
@njoroboihastla 9 ай бұрын
Ukiacha leonado eliud ni best commedian zaiid😂
@TaboraTalentCenterTTC
@TaboraTalentCenterTTC Ай бұрын
From Tabora talent center . This is wonderful
@magembekisabo9632
@magembekisabo9632 9 ай бұрын
Jamaa harudii kichekesho na wala hatumii nguvu
@rosesilio9008
@rosesilio9008 9 ай бұрын
😂😂😂😂 aibu naona mimiiiii😂😂😂
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 9 ай бұрын
Aibu ya nini?
@ReginaMeitanavi
@ReginaMeitanavi 9 ай бұрын
Yah:milady ayo amepost😅😅
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 9 ай бұрын
Livimbe jicho lisivimbe yupo kazini hayaangaliwi hayo kazi ni kazi bata ukimchunguza sana huwezi kumla
@AlphaJames-l5h
@AlphaJames-l5h 7 ай бұрын
Namkubalii Sana eliudi by Alfa msangu Isa mbeya
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Wenye vibakuli tutapata shida masaki khaaa😂😂😂😂
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 9 ай бұрын
Nice work
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 9 ай бұрын
Jamaa anajua kuongea sana❤❤
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 9 ай бұрын
Sasa kwani wew ulitaka asijue kuongea? Pua kama vilimbi ya yanga😊😊😊
@KasimuKodema
@KasimuKodema 8 ай бұрын
Hii noma😅😅😅😅
@eliafrank8437
@eliafrank8437 9 ай бұрын
Eliudi ni Mshenzi sana 😂😅
@Amanikimath
@Amanikimath 9 ай бұрын
Jamaaa anajua sana
@IbrahimuMajiramasiriraIbrahimu
@IbrahimuMajiramasiriraIbrahimu 8 ай бұрын
Eliudi na kukubali sana brother
@zulfasaid9506
@zulfasaid9506 7 ай бұрын
Eliud umenikumbusha mbali asee. Nilienda quality center siku moja na vitz. Nimepak nimeingia ndan wakat natoka nikawa siioni nasema gar yang imeibiwa. Kuna mtu akanambia iangalie vzr haijaibiwa itakua umeipaki karibia na magar haionekan mara naiona ipo katikati ya magar mazur uku v8, uku harrier nk nikaona aibu uwiiii
@beatricemalekela-r8t
@beatricemalekela-r8t 4 ай бұрын
😂😂😂
@AshiliNgota
@AshiliNgota 8 күн бұрын
Ndaga fijo
@fredrickkabiki4996
@fredrickkabiki4996 8 ай бұрын
Mbeya 🔥🔥🔥
@SesiliaMwala
@SesiliaMwala 2 ай бұрын
Hongera xana kaka yetu wa mbeya
@gracekamendu6515
@gracekamendu6515 Ай бұрын
Nimecheka Sana et usishuti nyumba shuti kwenye Kona jmn kitu yangu😂😂
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 9 ай бұрын
🎉🎉
@IsackAthanasi-n8q
@IsackAthanasi-n8q 4 ай бұрын
Nimeitazama kwa kuiludia zaid ya mara 4 bro we unakipaji hutumii nguvu
@samsonhenry3871
@samsonhenry3871 6 ай бұрын
Jamaa anajua sana... harudii
@emmanuelsichula7117
@emmanuelsichula7117 9 ай бұрын
Ayaaa bwana eliudii
@BakaryAmry
@BakaryAmry 9 ай бұрын
Anajua
@angelstewart4132
@angelstewart4132 9 ай бұрын
😅😅like zang jaman wapendwa
@Gabby-jm8
@Gabby-jm8 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 9 ай бұрын
Yah! Millard ayo amepost 😂
@EsterAidanmadati
@EsterAidanmadati 7 ай бұрын
Eliudy is the next level
@esnathhezron5507
@esnathhezron5507 9 ай бұрын
Uko vizur
@WilliamMbwilo
@WilliamMbwilo 9 ай бұрын
Kama kavimba jicho la kushoto au
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Ай бұрын
Yes, umeona mbaali
@Tg.7_7
@Tg.7_7 9 ай бұрын
Kumbe hata Eliud mwenyewe yuko nyuma ya wakati, mkumbusheni tu kwamba current iPhone ni type C.😂😂😂
@zaburi2386
@zaburi2386 9 ай бұрын
Ni Wachache wanaotumia current iphone Sabu ndo kwanza zmeingia juz kwahyo alikuwa sahihii Kwa asilimia 80
@barbiemdoo6598
@barbiemdoo6598 9 ай бұрын
Tena typ c za iphone haziingiliani na typ c za Samsung​@@zaburi2386
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 ай бұрын
Kuna na wireless ​@@zaburi2386
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 5 ай бұрын
Umeisha kaka ww. 🔥🔥
@nelsonStudio-s8n
@nelsonStudio-s8n 9 күн бұрын
Uakika Sana🎉🎉🎉🎉🎉😮😊
@pongwetvonline3717
@pongwetvonline3717 5 ай бұрын
Nakuelewa sana eliud unajua kk
@IrakozeDieudonné-m4u
@IrakozeDieudonné-m4u 2 ай бұрын
Ety yesu asifiwe😂😂😂 diamond amejibu kweri😂😂😂
@phabianzacharia6039
@phabianzacharia6039 8 ай бұрын
Big up sana Eliud
@TinoShela
@TinoShela 8 ай бұрын
Anajua sana eliud
@bumbuli4170
@bumbuli4170 9 ай бұрын
Yani hata hatumii nguvu 😂😂
@HalunaJuma-dt2ty
@HalunaJuma-dt2ty 7 ай бұрын
Neya wamitego 1:30
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 9 ай бұрын
Uliud umeua kipaji unacho Kwa kweli
@omaramjumas4354
@omaramjumas4354 Ай бұрын
huyu jamaa anazarau sana ina maaana hakumuona Waziri Mkuu kamuona diamond
@ZuberiTinda
@ZuberiTinda 9 ай бұрын
Nawapenda wote
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 9 ай бұрын
Hivi Watanzania hamjuwi Mr Putin ameufahamisha umati au raia wa Urusi kuwa Yesu alikuwa mtu Mweusi when we will stop using this picture as Yesu
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
Kwani puyin ni nani katika Dunia hii mpaka tumfuate yeye na maneno yake?
@zaburi2386
@zaburi2386 9 ай бұрын
Tunafuata maandko sio putin
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 9 ай бұрын
@@zaburi2386 kuna maandiko yoyote yanayosibitisha hiyo picha tunayoitumia ndio YESU
@FridayMwassa
@FridayMwassa 9 ай бұрын
​@@zaburi2386mfuateni Putin maana ndiyo Mungu wenu
@lukamapunda628
@lukamapunda628 Ай бұрын
Kuna wakuu zaid ya putin.YESU ANA WANAFUNZ WAKE.N MAKOMANDOO HAWAONGEI WANAFANY KAZ WALOTUMWA KUFANYA
@abdoulkarimnsabimana3526
@abdoulkarimnsabimana3526 9 ай бұрын
Kwanza mnasdjuwa maana ya pasaka pasaka nidjina lamfugo....tena pasaka hayiwauusu nyie muwe mnasoma vitabo.......
@kwejimisobi4491
@kwejimisobi4491 9 ай бұрын
Shika unachokiamin
@LigiYetu
@LigiYetu 5 ай бұрын
Amazing
@denwaizkenya8772
@denwaizkenya8772 9 ай бұрын
Ukinipitia unacomment apo chini nakupitia pia,lets grow together guys❤
@AbuuRazaki-q1n
@AbuuRazaki-q1n 5 ай бұрын
Big talented boy
@AdiveraMasadon
@AdiveraMasadon 6 ай бұрын
😂😂😂 i can't explain but😂😂😂😂
@absm8084
@absm8084 9 ай бұрын
Eliud😂😂😂😂😂❤❤❤
@omarifadhili651
@omarifadhili651 9 ай бұрын
Kumbe Majaliwa na Nasibu A.K.A Mondi na yeye ni mkiristo pia
@suka_techtz
@suka_techtz 9 ай бұрын
😂😂😂
@zaburi2386
@zaburi2386 9 ай бұрын
Acha chuki kaka
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 9 ай бұрын
Hapa watu wako mchanganyiko wa dini tofauti
@happykomba4456
@happykomba4456 9 ай бұрын
Achaaa ushamba wewe mbinguni akuna dini wote ni sawa...
@FridayMwassa
@FridayMwassa 9 ай бұрын
Mbona chalamil naye ni mwislamu ❤
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 5 ай бұрын
😅😅😅hongera brother
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 9 ай бұрын
Eliud bhanaaa 😁😅😂🤣
@josephvenus3259
@josephvenus3259 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 we mwehu Sana 😂😂😂
@ZainabuHassani-fe8ur
@ZainabuHassani-fe8ur 9 ай бұрын
Kumbe huyu ndo Eliyudi😂😂😂😂
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 9 ай бұрын
😂😂😂😂big up snaa
@kiponzeloHealthcenter
@kiponzeloHealthcenter 3 ай бұрын
😂 umetisha kaka eliudy
@ndorobo205
@ndorobo205 5 ай бұрын
Kumbe huku ni kwa wakubwa tu wa uswailin atuwezi kuja
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 8 ай бұрын
Hili jamaa jinga sana😂😂😂
@luciewanjiru9873
@luciewanjiru9873 9 ай бұрын
Huyu ndio mc wenu 😂😂😂😂 .....
@ntullyjanga33
@ntullyjanga33 8 ай бұрын
Umeua mwanangu😂😂😂
@eliyajohn4388
@eliyajohn4388 9 ай бұрын
Broo umetishaa
@EsauDola
@EsauDola 9 ай бұрын
Dam ya yesu imenena mema
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 9 ай бұрын
Pipi 3000
@evohevoh9723
@evohevoh9723 9 ай бұрын
Eti vichekesho Tanzania 😂😂... Kujeni Kenya
@hariethlukensa6346
@hariethlukensa6346 8 ай бұрын
Kanye huko
@SWEETGALKHAN_001
@SWEETGALKHAN_001 5 ай бұрын
😂waambie waskie joh 😂
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 6 ай бұрын
Mwamba❤❤
@ConsolataKalolo
@ConsolataKalolo 4 ай бұрын
Nice
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 9 ай бұрын
Yeah miladiayo amepost😂
@DismasGeorge-i7z
@DismasGeorge-i7z 5 ай бұрын
Video
@KassimuYassini
@KassimuYassini 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂🤔🤔 unatishaaa snaaaa
@PhinaaRevelian
@PhinaaRevelian 2 ай бұрын
Ila huyu kaka 😅😅😅😅😅😅 hapana
@OsmundiBanda-g9h
@OsmundiBanda-g9h 4 ай бұрын
Nakubali 😂😂
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 6 ай бұрын
Eliud Ni motoo
@BarackMilton
@BarackMilton 3 ай бұрын
Nakubary elyud
@mariajames5558
@mariajames5558 9 ай бұрын
Amen
@PacJunior-hd8ig
@PacJunior-hd8ig 9 ай бұрын
Watu wa posso tujuane nimecheka sana
@kibuwilondja
@kibuwilondja 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤😂😂😂😢😢😢
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 9 ай бұрын
Jamani 🤭😂😂
@elinanyirenda4124
@elinanyirenda4124 8 ай бұрын
Nc❤❤
@Lukiapaulo-xz6sf
@Lukiapaulo-xz6sf 9 ай бұрын
Hahaaaaa eliud unajua sana😅😅
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 9 ай бұрын
😅😂😂😂😂😂😂
@CobrasamweliMlasa
@CobrasamweliMlasa 27 күн бұрын
Unyamasan
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 8 ай бұрын
Hv nyie haka kasaut mbon kama nakajua jua vle nakapat pat kwa mbal so kale ka kwa dada farida kwelii????......🤔🤔🤔
@HarielHymns
@HarielHymns 6 ай бұрын
Ndo yeye
@mohamedngwenya45
@mohamedngwenya45 7 ай бұрын
Wengne wOte wapange FOlen nyuma ya eliud huyu Jmaa n levO nyngne apa Tz,,,ss uyu ndO mFalme wa vchekeshO bOngO aseeeh...😂😂😂😂😂
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 9 ай бұрын
Eliud 😂😂😂😂😂
@adeodatampangaya4891
@adeodatampangaya4891 8 ай бұрын
Jmn huwa ni siku gani kipindi
@FanydeosBernard
@FanydeosBernard 9 ай бұрын
Jamaa muache aongee
@BrianAbigael-q9v
@BrianAbigael-q9v 9 ай бұрын
Ila eliud😂😂😂
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 5 ай бұрын
Utisha kak ww🔥🔥🔥
@michaelmejah2466
@michaelmejah2466 6 ай бұрын
passo ilikukosea nn
@jallenboy-w8w
@jallenboy-w8w 5 ай бұрын
wenimkalixana bloo respect
@Babygirl-s3h
@Babygirl-s3h 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤kazi ipo
@gerrykhantz1800
@gerrykhantz1800 9 ай бұрын
Fundi mc eliud
@AngelAloyce-v6e
@AngelAloyce-v6e 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅 ila Eluid
@ikupahmichael351
@ikupahmichael351 4 ай бұрын
Ila jaman eliud
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 939 М.
DIAMOND ALIVYOM SUPRISE CHID BENZ NGOMA YAO / ATAKA KUMWAGA MACHOZI
6:02
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН