Tukisema sana pia tutakosea mungu anawajua walio wake
@Austinemarko8 ай бұрын
Ww unasoma biblia gani..primatto tutawajua kwa matunda yao
@annsimiyu84288 ай бұрын
Amina
@glorymasimango42558 ай бұрын
Hakika....
@Hawatifu3 ай бұрын
Uko sahihi kbs
@bronick58108 ай бұрын
Mimi kama mchungaji kutoka Kenya nasema hivi, wengi wa wasanii wa nyimbo za injili sio Tanzania tu bali ata hapa kenya, walianza na Roho lakini sasa wanamaliza kwa mwili kwa sababu ya pesa . Tumhofu Mungu jameni
@bethmainaheagahinya88788 ай бұрын
Vivyo hivyoo ilivyoo kwa Wachunganji pia na ndio maana makanisa yamejaa kila pahali juu kila mmoja ataka hicho chondo cha toleo...... Mala fungu lakumi mara toa thabihu mala toleo lakujikinga mala toleo la shukrani makanisa yamembaki na matoleo kuliko vile neno takatifu la Mungu Sasa YESU akasema Msinililie Mimi njililieni nyinyi wamo duniani..... Kila Mtu ajililie ajikosoe anapo kuja kumkosoa mwenzio... Ahsante Ahsante sana
@fbontucshkim20118 ай бұрын
Nashangaa sana jinsi wasanii wa nyimbo za injili wanaona ni sawa kushirikiana na wale wa nyimbo za kidunia,some I maandiko vizuri
@fbontucshkim20118 ай бұрын
Someni maandiko vizuri
@dieres8 ай бұрын
Light and darkness cannot be together not unless they are both dark,I rest my case
@neemamajana30788 ай бұрын
Tusihukumu wengine tusije kuhukumiwa sisi, Mathayo 7:1-5
@yetu108 ай бұрын
Katika Uinjilisti Christina ako Sawa Wacha Watu Wote wajue Habari ya Mungu.. Mungu anawataka Wote tumjue na Tumtukuze ❤️👍🙏
@paulineakoth65349 ай бұрын
I Iong for the days that I wasn't yet born again but I could just put wakuabudiwa. The spirit of God was in her old songs. Nowadays, wah! Mungu atusaidie. Let's notie to the Most high
@officialyohanamalisa18738 ай бұрын
She was real a worshiper, but now days, too much of Worldly desire.
@officialyohanamalisa18738 ай бұрын
But all in all Jesus the King. 👑
@OnesmusAkwabi8 ай бұрын
Plain truth Pauline
@jesicahmuhindi2777 ай бұрын
I still put wakuabudiwa upto date and it s still spirit filled but huko kwingine weeeh
@bethmainaheagahinya88788 ай бұрын
Christina i really love your Ministry you're such a great Woman of God hua naomba tu Siku Moja kuongea nawe i love you shusho
@nasmiriti31417 ай бұрын
Hapa nyavu ya yesu kashika diamond Amen Hallelujah
@matendomwera8 ай бұрын
Rudi malangoni mwa Mungu nyimbo zako hazivutiye tena kama Zamani ulikuwa naimba na watu wanaingiya kiroho
@jeraldjensen65048 ай бұрын
Ila tukiangalia Kwa jicho la pili Christina shusho kamtangaza MUNGU katika ya watu wasio mjua MUNGU, huu ni uinjilisti mkubwa sana God keep you
@LawiSinde8 ай бұрын
Huyo ambaye Amjui Mungu labda wewe Acha Uongo potea mbali wana Wa Uasi
@jedidahbintidaudi82418 ай бұрын
dah jmni dada wa watu Mungu wtu aendelee kumnyanyua. maana yeye anawafikia hao wengine ni ngumu. ni muwakilishi wa Ufalme Wake Mungu wtu
@godlovemalekela178 ай бұрын
Yupo vzur
@amosdickson63188 ай бұрын
Nadhani huelewi, ukielewa utauliza, niko wapi huku?
@stanelykariuki-ue3cw8 ай бұрын
Uijilisti wa kishetani
@lmkigondu7 ай бұрын
I can’t believe that this is the once humble and pious Christina Shusho, who once criticized Kenyan gospel singers for being worldly and who is now even dressed like a mermaid! God have mercy. 😢😢
@LilyCruise-fp7mj7 ай бұрын
Ukwel kumbe pia waona
@jacy5438 ай бұрын
No sound part ya mwisho why
@mercyzena63568 ай бұрын
Your such a wonderful woman of God hivo ndio tutawakomboa waliofungwa kufunguliwa watoke kwa minyororo ya Giza but if your a man of woman of God na umejichanganya usijaribu hii cause kitakuramba vibaya rem Paulo na sila katika matendo ya mitume chapter 16 walipomufunguwa aliye fungwa majaribu walipata sio kidogo but because walijujua wanatumika kwa roho na kweli waliweza kushinda majaribu so kwa wale watumishi munapitia changamoto na munapitelea ndani jiite kamukutano huwezi kua mfungwa na umfungue mfungwa mwenzako
@junemwandambo43652 ай бұрын
Mungu wetu ni mmojamubarikiwe woteee ❤
@EstherTeilaNgongolo13129 ай бұрын
Acheni kuzusha ubaya kwa huyu m2 jamani Yesu anawapenda hvohvo, walivo mana alikufa kwaajili yao, na ananjia nyingi za kumwongoa m2, huenda hyo ikawa mojawapo nan ajiaye, Christina piga injili ila ucmnyenyekee m2, kwaajili ya kipato chake, yangu ni hayo2🙏🙏🙏
@jukaelyelisha63119 ай бұрын
Kupedwa sio shida shida lazima arudi njia kuu
@EstherTeilaNgongolo13129 ай бұрын
@@jukaelyelisha6311 hakuna aliye mkamilifu, shida ni kujua kama unakosea af ukapuuzia Toba... We ukiona mwenzio kajikwaa kwa kosa fulan mwombee, nawewe huenda una kakwako ambako hujui ila watu wanakushangaa kwacho ko ni kuombeana tu, safar ngumu ina milima na mabonde...
@rosejulius77569 ай бұрын
Hajamnyenyekea amemuheshimu
@PeterEwoton-tj1wn8 ай бұрын
May God save diamond that when his days draw near...can acknowledge Christ for his future eternity...
@sirpleasureb9 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@fredkongonelo68508 ай бұрын
Sasa mbaya Nan Ina kila mtu na kaz yake
@fredkongonelo68508 ай бұрын
Diamond platnumz kisa anafany bongo fleva ndo umuhukumu ,, zote ni kaz bro iman kila mtu na Iman yake , sisi site ni binadamu dini zusisababishe matabaka Bak na Iman yako broo...
@nemesapollo48469 ай бұрын
mond brand kubwa mno, haipingiki. big up
@carolinekhayeshe9898 ай бұрын
Precious people of GOD ALMIGHTY, let us repent and go back to the old rugged cross of JESUS. We should not modernize the cross of JESUS by mixing light and darkness that's apostasy.JESUS is coming let us repent and prepare the way.
@ignatiusmoga94956 ай бұрын
From kenya I fill good coz I ❤ them all watu muwacha kujifanya malaika na kukashifu wengine kama mungu angekuawa binadamu wengi wetu tungeishi mungu habagua yeye ndiye hujua nafsi zetu
@FunnyAquariumFish-ih3in8 ай бұрын
Christina shusho nakupenda sana nyimbo zako nzuri endeleza upendo kwa wote maana yesu hakubaguwa aliwalisha wote neno la mungu wa milele
@conybebkadaz13399 ай бұрын
Mimi ndasema ukweli,,, Christina Shusho umeanza kumkosea Roho,,, jifikirie vizuri na umrudie Mungu
@donathakihombo42989 ай бұрын
Kweli kabisa
@tupokigwemarco75849 ай бұрын
Tumuombee maana mm zamani nyimbo zake zilinibariki sana
@shabaniismaily14709 ай бұрын
Kwaiyo ww nani unayejua makosa ya mtu
@shabaniismaily14709 ай бұрын
Kumbuka mema yake ayakuingizi ww peponi muache afanye anachoona yeye sahihi ameshakaa sana kwenye game
@conybebkadaz13399 ай бұрын
@@shabaniismaily1470 Mimi ni mkristu kaaa wengine ninayemwomba Mungu anayeyafungua macho kuyaona yote yamchukizayo,,, kuna wengine pia wanaona haya,,,, ila Mimi sinyamazi,,, namwombea pia huku nikisema ukweli
@nishstanleyz327 ай бұрын
I love this guy,diamond platnumz❤
@ChristinaOnditi-el3xo9 ай бұрын
Diamond platnam simba mwenyewe hata ujanguruma lkn imejulikana upo. Wakuache miaka 800 . Mungu akubariki sana diamond
@tabithamaundu31638 ай бұрын
Great ministry you are doing,injili kwa wasio mjua wamjue
@ShadrackEdward-f2u8 ай бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli.. binafsi nimependezwa na hili jambo! Hongera sana Christina Shusho, nimeuona ujasiri.. watu wanaoongea ya kuongea, Wao kama wao wasingeweza hata kuongea na kumuwasilisha Mungu mbele ya Watu wakuu kama hawa, Kudos sanaaa!!🙌🙌🌟🔥
@blandinajoseph12917 ай бұрын
Kamuwakilisha kwa namna Ili?
@kungujoel79898 ай бұрын
Christina was so humble in the past nowadays she is so proud 😢
@Adija-ur8uf7 ай бұрын
Na nguo tight kwa mwili kweli
@gabrielladelacruz4393Ай бұрын
Roho wa Mungu ameshamuacha anaongozwa na roho nyingine
@benjaminkwizera56625 ай бұрын
😢😢😢 May the Lord be with you ❤️ Your belief is different. How can light be with darkness 😔😢😢
@PaulineBunde8 ай бұрын
Very true shusho alipotea njia coz hata Kwa mavasi anayo vaa sio inapendeza mungu inapendeza walimwengu
@reubenblessing89408 ай бұрын
God is the ultimate judge..i leave it to Him to decide
@AngelAfric7 ай бұрын
Nampenda waziri wangu majaliwa every time smiling ataishi sana
@SaintjuniorFilsmaso-rb2tr7 ай бұрын
May God be with you 🙏🙏
@vickgrace44879 ай бұрын
Christina Upo na MUNGU USIMIANGALIE WALA KUMSIKILIZA MTU...SONGA MBELE MTU WA MUNGU...DUNIA INAJUABUPO MTOTO WA MUNGU MWENYE UPENDO WA MOYONI...
@sirpleasureb9 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@Mahershalalhashbazi-kf6xi8 ай бұрын
Pwagu kampata pwaguzi
@ceciliahnyaboke2718 ай бұрын
Kipofu kaongoza kipofu😢.. lazima ujue Mungu ni mtakatifu
@godof2ndchance388 ай бұрын
What does light got to do with darkness. There's a big problem. Two cannot walk together except they agree!
@damariceagutu48048 ай бұрын
Nowadays paraffin and water are missible
@NgaizaKimbeNgaizakimbe8 ай бұрын
Sema Hu Mshangaz Shusho Nauelewaga..😍😍😍
@hyacintagugu78 ай бұрын
Hahahaha
@duncanmaina64078 ай бұрын
Shusho has lost it. I miss the old shusho.
@yohanamp-ec7im8 ай бұрын
Shristina shusho ulikuwa mwimbaji mzuri sana ila umeanza kumkosea Mungu, umebeezi kweny hela
@MadinahBabirye9 ай бұрын
Papa Jesus,I'm really happy for this son of God.
@Josephatmokomba-us7eb8 ай бұрын
AMEN you are right about that pr.
@robertmukoya95428 ай бұрын
i pray that God may remember you christina shusho, u used to lift our hearts, in east africa you made Jesus be known, consider the old things and repend, for you are aware what you are doing. darkness and light can not dwell together. i pray for you always. 😢😢😢😢😢
@LEBON.2058 ай бұрын
Mimi na sema toka Congo, ndo apa biblia inasema na (simpi mwanamke ruhusa yaku fundisha wala kuongoza mwanaume 1timoteo 2:12).. Siku za mwisho wakristo, iweni makini na wakristo Bandia wa leo matayo 24;24
@onisimbomasawe-be4mm8 ай бұрын
Kaimba nyimbo nyingi sana nzur lakn yy mwenyew hazijamfunza chochote, nimejikuta nafuta nyimbo zote kwa gari yangu..
@BraitonMwandata8 ай бұрын
Maandiko yanasema ,ujiangalie sana ,na Mungu haangalii mwanzo wako bali anaangalia ,mwisho wa mtu..Mungu awasaidie watumishi wake kumaliza vizuri
@wilsonotieno88216 ай бұрын
Hakuna haja ya kuwanyoshea vidole na kuwatenga ndugu zetu katika kristo(God's ministers). Ibilisi amelivamia kanisa kwa hivyo ni jukumu letu KUOMBEANA mungu pekee anaweza kutupigania
@margarethshirima56548 ай бұрын
Mpenzi wetu Christina chunga sana, Mungu kampa kila mtu Néema tofauti, Watu kama nasibu Mungu anaweza kuwapa Néema hata dk za mwisho, wewe Christina najua kweli ila kwa ridhaa yako umechagua giza. Nakupenda, na nakuambia kweli,. Wakati tunaendelea kukuombea, jitafakari Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. Usije shangaa ukamkuta nasibu amelala kwenye ubavu wa Ibrahim na wewe unamwktisha maji kama lazaro na tajiri. Siku nasibu akiujua kweli, utashamshangaa Mungu. Karibu kwa Yesu Nasibu. I know kuna siku tu. Mungu anayaweza yote🙏napita tu jamani🏃tena napita mbio🏃🏃
@bakarimmbaga23448 ай бұрын
Mmh! Mbona hapo mwanzo alipoanza uimbaji wa nyimbo za injili alikuwa akijisitiri kwa mavazi yenye heshima?
@AganzemugishoAvecDieunou-gf1fq8 ай бұрын
Dr Bukavu j bcp ma sœur Christina shusho
@blessedalaf87508 ай бұрын
Christina Shusho like many who've been before her, started in the spirit and is finishing in the flesh. Light and darkness can NEVER mix The Bible warns of being equally yoked with the non believers!
@JoyKita8 ай бұрын
Mungu ni wa wote, hana ubaguzi. Piga kazi Christine.❤
@HappyMtega-j9f9 ай бұрын
Wote ni watoto WA Mungu hata Diamond Anampenda Mungu so christians and Muslims can cooperate to get her so big up dada shushu Christina🙏🙏🙏🙏🙏
@sirpleasureb9 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@neemamajana30788 ай бұрын
Maandiko haya alisema Paulo sio Mungu. Yesu alikula pamoja na wanyang'anyi, makahaba nk. Yeye alikuja kuwatafuta wenye dhambi na si wenye haki. Acheni kupotosha watu.
@FrancisOduori-n8q8 ай бұрын
If you don't know the bible shut up, there is no God in what shuso is doing , no body can know God throu her anymore except entertainment peroid
@anthonymaina71008 ай бұрын
Mwongo diamond hapendi Mungu....uabudu shetani uko soo open
@elidashirima1948 ай бұрын
Haina sauti
@JaneLaizer-tb6zl8 ай бұрын
Christina shusho jitafakari upya ni mwimbaji mzuri Sana laki Hadi hapo unakatisha tamaa mungu akurejeshe upya maana du
@Milianemy9 ай бұрын
Kuna watu mnajiona km malaika mmesahau kwamba Mungu anamtumia yeyote kumwokoa yoyote kwa wakat na namna yake, wacheni kujudge watu🤔🤔mnajua Paulo alifanya nn kabla ya kuwa Paulo? wachen mambo yenu bhn kwanza Mungu hana shida na watakatifu anatafuta ambae hajawa mtakatifu amfanye mtakatifu👌👌👌😂kuna watu mtafika mbinguni kwa taabu sana kwa kujitakia
@IssaThomas-q2u9 ай бұрын
Wewe ujuwi kitu
@rosejulius77569 ай бұрын
True
@danielbudara15848 ай бұрын
Watu watajipenda sana Siku za mwisho
@atienomaurrine43368 ай бұрын
Wacha uongo bibilia inasema love of many will grow cold
@lilianowti54778 ай бұрын
Ukweli usemwe,njia za Mungu zashinda wengi na kurudi maisha ya kidunia.
@elevenmeela87138 ай бұрын
Ni Nini tu kimekupa kukengeuka upesi kiasi hicho umeanza kiroho Sasa unamalizia kimwili uzoefu wa kuongea usikuponze umeshapoteza tangu ulipoomba kusapotiwa kuzindua albam
@marykamadi7 ай бұрын
This should have hit 1m views in 2days ..
@PaulNdonga-ns1vd8 ай бұрын
God stardard has never change ..😢 But people chage ... You cannot serve GOD AND MONEY AT THE SAME TIME ...ONE MUST GO .....WENYE MNASEMA NI UIGISTI .... MUNGU HACHANGANYIKIWI .. YOU CANNOT COMPROMISE...... WATU WA MUNGU WAJITENGE KABISA SEPARATION.. KITU INGINE WATU WA MUNGU HUWEZI BILA ROHO MTAKATIFU WA MUNGU ... ROHO AKIKUTOKA NETWORK YA MUNGU INAPOTA ... UNAANZA KUTAWALIA NA ROHO MUOVU BILA KUJUA ... SOME WORSHIPERS OF GOD STARTED WITH SPIRIT OF GOD BUT LATER WAKIJICHANGANYA ROHO ANAWATOKA.. SO THEY LACK WISDOM AND THEY PERISH ...
@IreneMutisya-rq9iv7 ай бұрын
Inauma Sana shusho rudi Kwa Mungu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ngiza na nuru haviambatani kamwe
@IreneKimaro-xs4no8 ай бұрын
Daaaa Tina Shushoo😭😭😭😭Mungu tunaomba msamaha pale alipojikwaa lakini mapenzi yako yatimizwe
@estherkamau94848 ай бұрын
Christina tafadhali vaa nguo ya adabu unapo simama mbele ya wanaume..hao waislamu unasifu hawaezi kukubali mama wakiislamu asimame mbele yao akiwa amevaa hivi...tunaaibisha dini yetu sana...pls can we respect our God🙏
@lilianowti54778 ай бұрын
Waimbaji wengi wainjili wameasi Mungu Hadi vichapo vyawaandama,Shusho kuwa kama vile awali ulijiheshimu mwanzoni,.
@Keringalex8 ай бұрын
Samsoni pia katika nyakati zake za mwisho alitaka kuamka kimwili akajipata kumbe Mungu mwenye Nguvu kamwacha kitaaaaaambo. Pole kwa msiba huu wa kiroho dada.
@mercykariithi79198 ай бұрын
Haujaelewa shushu amevaa nguo ya marine kingdom amesha jiunga na kina diamond ma freemasons
@mercykariithi79198 ай бұрын
@@Keringalex p lol
@Amani-l7d7 ай бұрын
We praise people more than God its a pitty that we Look upon men than God May God have mercy on us❤
@JanethMkala9 ай бұрын
Kweli Mungu atusaidie....dada Shusho heshima yako imeisha kabisa .huna uwepo kabisa...
@feristadaudi65999 ай бұрын
Usipede kuhukumu usije hukumiwa
@Jacklinjohn-cr4vs9 ай бұрын
Ameishaa kabisaa na hatuhukumuu arudi kwa Mungu
@salimaechessa89338 ай бұрын
Hata mavazi ya kutoa figure aaaah Mungu hayuko hapo
@lilianowti54778 ай бұрын
Mtoto anayechapwa ndiye anayependwa,Shusho anapendwa lazima arekebishwe alikoteleza.
@estermachea33738 ай бұрын
Mungu ni WA wote piga kazi usiangalie maneno yao
@NdayishimiyePhilippe-tp3or8 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢nimachozi kuziya rohoni kumariziya mwirini tuna mukumbuka Burundi akiwa muzima bitiwe Sasa amehama emenda mukono wakushoto
@lukabernald39247 ай бұрын
Natamani ku-comment lakini basi......
@magrethmnzava60217 ай бұрын
Mm nakuombea mema christina shusho songa mbele wala usipepese macho kutazama watu wanasema nn... Mtumikie Mungu dear ,Mungu ndiye anagawa baraka,na ndiye mhukumu na c mwingine love❤
@BeatriceMwakalindile9 ай бұрын
Hata yesu walimshangawa na wanafunzi maana alikuwa akikaa na wasio watakatifu . Ko mpendwa kukaa na wasiowatatakifi kulianza na yesu mwenyewe lengo no kuwaokoaa.
@carolmutai72488 ай бұрын
Christina Shusho ulianza na Roho, mbona ukamaliza na mwili? You uplifted our souls with your former songs like Mtetezi wangu Yesu anaishi, Wakuabudiwa, Ee Bwana umenichinguza na kunijua n.k. Why did you change my sister? What living testimony can you testify to the current generation? May God bring a U turn to the former you😢
@Jesus_is_KING5638 ай бұрын
I even don't feel moved by her songs these days 😢
@Obujjulizi7 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 Christina alishapelekwaa jamani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 kwa sababu ya Pesa tuu akiweee 😢😢😢😢😢
@Esthermukengere-pz9mh8 ай бұрын
Mungu akutazame kwahaya mambo
@Annemuema-og9oj8 ай бұрын
Don't judge people are you God.the same God created nasibu na shusho anawajua vyema kutuliko.barikiweni sana diamond na christina
@justinekalunga84889 ай бұрын
Sasa huyu mama anaanza kupotea kabisa. Mimi nilikua nazani kwa mba ana muimbia Mungu kumbe ni unafki tu. Anatumikia shetani mu jina la Mungu pole sana. Nuru na giza hakuna ushirika. Pesa zita kuponza usijali unaweza kimbia lakini huezi jificha Mungu. Sitawahi sikiza nyimbo za hawa wanafki.
@rosemarinawiliam32898 ай бұрын
Alishapotea, Ile tu kusema ya kuwa ameachana na mume wake ili amtumikie Mungu ni jambo la kushangaza sana
@JohanesboymsaniiMsanii8 ай бұрын
Unyama sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@DativaValerian8 ай бұрын
Embu elezea mwenyewe
@DativaValerian8 ай бұрын
Afu bora uwewaz tu acha kujificha kwa kutumia uimbaji it 's happen becoz ya kujichanganya sana hadi unasahau mipaka yako kama mtumishi
@ConstanceJewa8 ай бұрын
Mbona hakuna. Sauti naona mama yetu shusho na Diamond but hakuna sauti 😢😢😢😢 but Sea the presents off GoD
@thomasomer79558 ай бұрын
Wewe ni mmoja wa baharini Christine,Mungu alikuondoa kwenye maisha ya shusho sababu alionelea utamwingiza pabaya.
@Mosesndahani8 ай бұрын
Christina ameiaibisha kazi ya msalaba. Nilimpenda sana Christine lakini kwa hili hatasitakikusikiliza nyimbo zake. Imetupasa kuhubiri inji kama ikibidi kwa maneno.
@GeofreyKinuthia-iy3dn8 ай бұрын
walaaniwe wanao sikilia watu wenye wana muuthi mungu ndani ya kanisa badala kuawasauli mnapotosa wakristo jameni wachugaji😢😢😢
@arbogastmramba59878 ай бұрын
Isaya 57:1 [1]Mwenye haki hupotea, wala hakuna atiaye hayo moyoni; na watu watauwa huondolewa, wala hakuna afikiriye ya kuwa mwenye haki ameondolewa asipatikane na mabaya.
@ReginaKisuda2 ай бұрын
Hiii ndo krislam safari ndegu sana ila kikubwa kumwangalua alieianzisha ndani yako😢😢
@simonetole35068 ай бұрын
Wakati wa concert ya Shusha nyavu(wakimaanisha shusha suruali) mlikuwa dunia gani?mambo huaribika kuanzia mbali
@TIGERSHIROVERTHIAGOMUKAHERSNIP9 ай бұрын
❤️❤️ safi sana maman Christine anapo kua karibu na mtu wetu DIAMOND PLATNUMZ SIMBA tuna sikiya furaha mingi sana kwakweli mungu awabariki na aendelee kuwapa afia bora milele na nguvu yakuendekea kuimba nyimbo nzuri ♥️♥️
@JumanneJuma-qd1fo8 ай бұрын
Christina rudi ,unakoenda si salama ,wewe unajua na watu wanajua na Mungu anajua.Umaarufu ,utajiri na heshima ni za hapa Duniani tu.Rudi rudi ruuudi .
@emmanuelchema628 ай бұрын
🙏🙏🙏asikie
@PurityAdeker7 ай бұрын
Speaking of gospel diamond
@millekasinga98258 ай бұрын
Ukweli wa Christina anaujua Mungu tupunguze kumjudge huyu dada maana macho yetu yana ukomo
@helena82748 ай бұрын
Nilipenda sana huyu dada. Lakini sasa ninahuzuni sana. Please turudi vile tulikuwa zamani, tumuogope Mungu sana sana 😢
@musafiribahati82958 ай бұрын
Shusha mungu akuwezeshe
@musafiribahati82958 ай бұрын
Nasibu tumikiya mungu na malizako Duniya imefika mwisho Tafazali usimwache shusha anapigwasana na wenzeke watumishi asanti
@ApostleDanielAbukuse8 ай бұрын
if the anointing on you cannot frek sinners then, you are just like them
@thomasmackenzie87668 ай бұрын
When a married woman starts praising another man forgetting that the husband is more important than the other men !! That's a red flag ! It's a shame.
@kenya-id9gt4 ай бұрын
did she tell you she is in marriage
@Missionary_work8 ай бұрын
Christina nilikuhemu sana kama mtumishi wa Mungu wa pekee Tanzania. Ila sasa sijui ni wapi mguu wako ulichepkia ukafika hapo ulipo Sasa.
@AnnPhillip-b3z8 ай бұрын
Nguo ye nyewe mfano wa nyoka,tulio katika roho tunawaelewa hatuitaji kuambiwa,mulianza rohoni mwamalizia mwilini,yesu yu mlangoni
@Timothéekamabji8 ай бұрын
Mimi Naomba Mungu Asikuwe Anapatiya Wanawake Pesa n'a Kazi za mishala Kubwa Maombi Yangu Mungu Apatie Wanawake, Kazi ya Kuuza Nyanya Kusudi Wabaki Waaminifu kwa Ndoa Zao
@Mwakilasa519 ай бұрын
Christina hajui kuwa ashakua bibi et Binti yako😂😂😂😂😂
@havijawamasanja11809 ай бұрын
Hata uwe mzee vipi mzazi lzm ukuite binti
@yusternyirenda72319 ай бұрын
Kwa hiyo shusho analingana na majaliwa
@silviasaleh46679 ай бұрын
Mm hawezi,
@kidabunews47519 ай бұрын
Eti anajiita binti😂😂😂
@nicaswaziri8 ай бұрын
Ndo maana Mungu akawa Mungu uwe mdhambi ni wake na uwe msafi ni wake yeye anatujua mwanzo wetu na mwisho wetu. May Lord help you may Lord Jesus seve you normaly watu wanajua kuhukumu lkn moyo Aujuaye Mungu pekee.
@YohannesMussa-hm6js8 ай бұрын
We have to know that, Kuna kuchangamana na kuchanganyana INJILI UTANGAZWA KWA KUCHANGAMANA SIYO KUCHANGANYANA MUNGU WETU BADO NI MTAKATIFU TUSIDANGANYANE
@AllyRamadhan-ks9sd5 ай бұрын
Tafutapesa baba,wanawake wanapenda wenye mafanikio.ucjutie wema wako,mungu atakulipia
@mwanaidikingazi42227 ай бұрын
Hilo tumbo lashushu mnalielewa maana lina ngazi sehemu nyingine limekaa vzr sehemu nyingine kuna mabonde
@abednego2298 ай бұрын
Mimi sitapotezwa na wenye wanajiita watumishi wa Mungu, onakava kwina band
@sheldonshikhule3278 ай бұрын
I love your ministry Christina.....may The Lord keep you.......above all let our speech be with grace...amen
@samwellivoga70278 ай бұрын
Mungu huwajua walio wake na si kila atajae Yesu ni mtakatifu wengine ni siri baina ya mtu na Mungu muhimu wewe na mimi kila mmoja kujisimamia kwa kujua njia yake ni ipi
@elishavayper96148 ай бұрын
Wewe unatuchanganya na diamond unadate diamond gospel na illuminate wapi na wapi
@LovenesyMhame7 ай бұрын
Sem lengo lako n kumusifia tu amekaa kichungaji n alivyo suka hv unawez nend mbel y madhabao y mung hz unamup nafas mwanadam mungu hapend
@JUDITHKILLO9 ай бұрын
Kwan christina kafanya nn jaman mbona mm sielew yesu alikula na watoza ushuru na alipakwa marhamu na nywele za kahaba sasa mnachooongea ni nn sasa hiv
@EstherTeilaNgongolo13129 ай бұрын
Hakika ww unasoma maandiko, mi cion kosa lake, af usihukumu ucje ukahukumiwa we unajuaje usir wa m2 ma Mungu wake, ila sishangai, hata yesu hawakumwelewa mana aliketi na waovu na aliwapenda sana mana alikuja kwaajilo yao
@esthernthambi68469 ай бұрын
Nimependa comment yako from kenya
@dollycarol83228 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa. Lakini comment section imejaa mahakimu. Yesu alikuja kwa waliopotea sio ajabu upate Diamond kanisani miaka ijayo akihubiri injili.
@DamarisDuuTausi8 ай бұрын
Mungu nimkuu diamond ataokoka na amuoe shusho mungu anabadilisha kama vile majira.