CHEKI!! DIAMOND Baada yakutinga Tandale Leo Akusanya Umati

  Рет қаралды 96,990

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 жыл бұрын
Respect kwako presenter Mwanangu umetisha uko very active unajua duty yako kazini salute mbaba
@aishadaniella2548
@aishadaniella2548 6 жыл бұрын
Mtangazaji kanipendeza wooh 🔥🔥🔥🔥🤗🤗🤗
@rashidnassor2946
@rashidnassor2946 6 жыл бұрын
Nyota inazidi kuwaka kila siku, mungu lazima akuzidishie zaidi ya hapo ulipo.
@emmanuelmpembela5457
@emmanuelmpembela5457 6 жыл бұрын
Huyu ndio msanii wa wananchiiii
@azzakhamiz3858
@azzakhamiz3858 6 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie kherry inshaallah uzidi kuwa na moyo wakutoa kila utakapo jaaliwa nacho ndug
@jumaomary314
@jumaomary314 6 жыл бұрын
Safiii kaka wishing you strong succes
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 жыл бұрын
Mashaallah Diamond wee ni habari nyingine kabisaaa,kila la kheri Nassibu
@mjukuuwabib340
@mjukuuwabib340 6 жыл бұрын
Mwenyez mungu akutunuku mr. Diamond
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 6 жыл бұрын
uyu jama anajua kutangaza kweli adi rahaaa👏👏👏👏👏👏👏👏
@sheilanafula768
@sheilanafula768 6 жыл бұрын
Hongera sana diamond mungu akujalie na akuzidishie mengi uzidi kukumbuka wengi
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mashallah, love you *Baba Dylan*
@سبحانالله-ح7د
@سبحانالله-ح7د 6 жыл бұрын
BarakaAllah fik broo.tunakuombea dua jazzak Allah kul-kher wabaraka.
@camillaeddy3185
@camillaeddy3185 6 жыл бұрын
A aleikum my brother in the name ofbAllah.u a the best.
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 жыл бұрын
Fedha haina haramu fedha ni fedha tu haramu nimatendo yako baada ya kupata fedha Ukitenda mema ni mema tu
@daprince7545
@daprince7545 6 жыл бұрын
mzee babah uko 🔥🔥🔥🔥
@esterkarine5780
@esterkarine5780 6 жыл бұрын
God bless U bro
@DainoPerfect255
@DainoPerfect255 6 жыл бұрын
big up
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Masha Allah
@64aaa
@64aaa 6 жыл бұрын
Samantha Ali pamoja bro. Eid mubarak
@phennymaithakadzo4340
@phennymaithakadzo4340 6 жыл бұрын
Mashalah
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Kutowa ni moyo co utajiri d Allah azindi kkupa moyo uo uo insha'Allah
@raziajolie7774
@raziajolie7774 6 жыл бұрын
Uyo jamaa anaroho yakipekee kabisa from Burundi
@sofiasallim9073
@sofiasallim9073 6 жыл бұрын
mungu akupe moyo uwo uwo
@sedetkamwendo9574
@sedetkamwendo9574 6 жыл бұрын
Diamond platinums mbunge wetu wa 2020
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
Abarikiwe🙏🙏
@salmahussein3457
@salmahussein3457 6 жыл бұрын
Hiyo braa vp
@ahmadkinunu9248
@ahmadkinunu9248 6 жыл бұрын
Alhah ampe heri inshaalhah
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 6 жыл бұрын
mtangazaji ni🔥🔥🔥🔥🔥
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Wilson Wizzo kwakweli
@gshdhshhshs3362
@gshdhshhshs3362 6 жыл бұрын
Nimelia😭😭mungu akuzidishie
@orestawilson7912
@orestawilson7912 6 жыл бұрын
nice
@amondilili6603
@amondilili6603 6 жыл бұрын
Congrats Mr
@64aaa
@64aaa 6 жыл бұрын
MashaAllah. Eid mubara to All
@rahmakassim2602
@rahmakassim2602 6 жыл бұрын
Abdiilah Awaf Alifaidhina
@romanomlanda7184
@romanomlanda7184 6 жыл бұрын
Inapendeza sana kwakweli
@yassinharuna4418
@yassinharuna4418 6 жыл бұрын
Good sanaaaaa
@shamsaabdalah7038
@shamsaabdalah7038 6 жыл бұрын
Mashaallah
@nayrinekakuni9046
@nayrinekakuni9046 6 жыл бұрын
Amen
@majotv3405
@majotv3405 6 жыл бұрын
Ni jambo la kheri safi sana
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 6 жыл бұрын
Inapendeza
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 6 жыл бұрын
mode rabeee
@jamesmpeter8710
@jamesmpeter8710 6 жыл бұрын
safi sana dogo dangote
@wilymsumary6263
@wilymsumary6263 6 жыл бұрын
Gooooooood
@arafazakir4150
@arafazakir4150 6 жыл бұрын
Mwenye camera mungu anakuona kwa kumganda mwenye mama nibebe😂😂😂 (sidiria)
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 жыл бұрын
Mtangazaji uko poa sana,ila jitahidi sana unapouliza maswali angalia na mtu unaemuuliza namaanisha tumia lugha nyepesi kutokana ma mtu umaemuuliza..wkt mwingine unauliza maswali makubwa sana kwa watoto au maswali yaliyojaa lugha ya vijana kwa watu wazima.zingatia wepesi wa maswali kutegemea na lika
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 жыл бұрын
Oya globar TV uyu jamaa anajuwa sana amechangamka vzl
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Kiluwa Salum Kwakweli *katika watangazaji wa kiume wa Global tv online uyu ni namba moja* amechangamka sana, big up kwako bro Mtanganzaji.
@aishaaisha2957
@aishaaisha2957 6 жыл бұрын
Safi
@emanuelpascal4994
@emanuelpascal4994 6 жыл бұрын
Mwandishi ajui hata kazi yake
@veronicakasembe6985
@veronicakasembe6985 6 жыл бұрын
nic diomond
@نصرىعبدالله-ع2ك
@نصرىعبدالله-ع2ك 6 жыл бұрын
Mungu akueke alikiba lako ilo
@ednarichard4141
@ednarichard4141 6 жыл бұрын
نصرى عبدالله kutoa sio mpaka matangazo
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 жыл бұрын
Diamond uko vizur sana Alikiba yeye anatokea wap wadauu
@sideboy1299
@sideboy1299 6 жыл бұрын
Eza Pesambili kariakoo
@omarikessy2339
@omarikessy2339 6 жыл бұрын
Anatokea katikati ya mji yaani kariakoo
@jeanmalilo2465
@jeanmalilo2465 6 жыл бұрын
Alikiba porini labda
@Six-jv5cg
@Six-jv5cg 6 жыл бұрын
Simbaaa.....
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 жыл бұрын
Hiyo sidiria hapo mbele vepee?
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 6 жыл бұрын
Anny Onesmo haha umeonaee
@awadhirajabu3971
@awadhirajabu3971 6 жыл бұрын
Nawewe vifaa vya kichina unaingia navo mtaani vinapiga kelele tu we wawapi
@lyozddd652
@lyozddd652 6 жыл бұрын
bro maiki iyoo miyeyushoo
@amrymbogoshy5850
@amrymbogoshy5850 6 жыл бұрын
simbaaaaaaaaa!!!!!
@mahesenitunduma2438
@mahesenitunduma2438 6 жыл бұрын
Nyie global acheni ungese hizo video huwaga hamzihakiki kabla ya kupost ?
@shambiraghasi2777
@shambiraghasi2777 6 жыл бұрын
Tandale kuzuri
@gshdhshhshs3362
@gshdhshhshs3362 6 жыл бұрын
Sigiria ss😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jafarimustafa1688
@jafarimustafa1688 6 жыл бұрын
umasikini ni kitu kibaya sana kuna hajaja ya kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kimaisha maana waweza ukamsifu tajiri anayekutimulieni mavumbi kuwa ancheza vizuri kwa sababu ana pesa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 жыл бұрын
simbaaaaaaaa
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 6 жыл бұрын
nice mond
@mecktridakagugu7237
@mecktridakagugu7237 6 жыл бұрын
Eti madela ya nang'haa!
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
Mbon sauti inazinhua nmepaon home mm karibu kwa mm nnchimbi
@kyandomarry2015
@kyandomarry2015 6 жыл бұрын
Hihihihi pesa tamu
@akbarmpemba6990
@akbarmpemba6990 6 жыл бұрын
Poapoa Big wanao hapa kutoka ubalozi tarbani
@aminijbaba8361
@aminijbaba8361 6 жыл бұрын
Cmbaaa..nkubali cna indelea na moyo huo huo
@sheilaporomoka8079
@sheilaporomoka8079 6 жыл бұрын
Nani ameona brazia
@neemaedger2040
@neemaedger2040 6 жыл бұрын
Sheila Poromoka nimeona brazia hiyo hatarii
@yusratmmbaga9372
@yusratmmbaga9372 6 жыл бұрын
Mama ni bebe 😃😃😃😃
@sheilaporomoka8079
@sheilaporomoka8079 6 жыл бұрын
+neema edger hahaaaaaaaa kiboko
@zainabshabani7076
@zainabshabani7076 6 жыл бұрын
Sheila Poromoka ckuwezi hyo nyap nyap
@zuliahilary7065
@zuliahilary7065 6 жыл бұрын
Sheila Poromoka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂na Mimi nimeona bonge la brazia
@hasansalum1839
@hasansalum1839 6 жыл бұрын
jamaa noma alivyotok urus tu mazm mpak tandale
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 6 жыл бұрын
😂😂😂Amakweli pesaa..!!?eti mungu amzidishie wakati dini inakataza nyimbo..sio Mungu amjaalie aache kuimba ampe kazi nyingine..hya bana Mungu atamsaidiaa..atapata kazi nzuri zaidi kwa imani ya dini yakiislam
@leonardmavele183
@leonardmavele183 6 жыл бұрын
Thamiyuu Cute sas wew unatak wasemaje?
@leticiamafuru6072
@leticiamafuru6072 6 жыл бұрын
Jaman kwani mungu anakataza kuimba eee wakati ni sehem ya kutafuta jaman heeee din yenu ngum
@onesmosaimon6719
@onesmosaimon6719 6 жыл бұрын
UNafki uo
@simpletv2708
@simpletv2708 6 жыл бұрын
Mond biniradenii
@taschlyx6143
@taschlyx6143 6 жыл бұрын
Hahaha kwani ye ni flalme majameni siatembee normal tu
@hellenhellen8947
@hellenhellen8947 6 жыл бұрын
watu wa camera mtaenda motoni
@asaiaskitandu4461
@asaiaskitandu4461 6 жыл бұрын
Siku za kufa zinamkaribia ndo maan domoo atoa swadakaa jmn duuuh dunia hiii
@elizabethrichard3349
@elizabethrichard3349 6 жыл бұрын
Iyo sidilia ataree
@munaali3835
@munaali3835 6 жыл бұрын
Mondi bin laden bin simbaaaaaaaaàaaaaa
@fashiryjumanne3568
@fashiryjumanne3568 6 жыл бұрын
simba
@rahimyusuph9568
@rahimyusuph9568 6 жыл бұрын
Mtangazaji nimekuelewa sana umetuchangamsha sana.. Uo ndio ugali mzuri tafuta pesa kwa bidii
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 жыл бұрын
uwe unatest Kwanza mitambo yako
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 6 жыл бұрын
sauti hapo mwanzon
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 6 жыл бұрын
Hapo hamna jipya yote yalikwisaha fanyika. Ni MIPANGO Tu.
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Andrew John acha wivu
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 жыл бұрын
Andrew John hazikutoshi
@sedetkamwendo9574
@sedetkamwendo9574 6 жыл бұрын
Andrew John: kawaida ya mafalisayo kubeza mambo mazuri
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 жыл бұрын
Baba chukuwa jiko ilo hapo
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 жыл бұрын
Jamani si huwa mnasema pesa yake ni haramu vp leo na makanzu na ushungi mnakula haramu.hahaha
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 6 жыл бұрын
Rahima Aaaa hapo sawa 😍 😍 pesa tamu maombi leo
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 6 жыл бұрын
Rahima Aaaa chezea pesa weeee😁😁😁
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Rahima Aaaa kwani uongo ni haramu kweli
@sedetkamwendo9574
@sedetkamwendo9574 6 жыл бұрын
Rahima Aaaa: swadak haiangalii pesa ilikotoka,ukizngatia hakuna ajuae dhahili uharam wapesa ake
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 6 жыл бұрын
mnazungua grobal
@mariaalimasi4712
@mariaalimasi4712 6 жыл бұрын
kondele tv
@zuenasalim7136
@zuenasalim7136 6 жыл бұрын
Hahahaha
@ednarichard4141
@ednarichard4141 6 жыл бұрын
hiyo sidiria mama ni bebe
@saidajuma8584
@saidajuma8584 6 жыл бұрын
😂😂😂😂namie nimeiona
@ednarichard4141
@ednarichard4141 6 жыл бұрын
Saida Juma yaani alafu hana hata habari
@maegabalitazali9997
@maegabalitazali9997 6 жыл бұрын
ximba wewe ndo laid was tz
@jackbeko7556
@jackbeko7556 6 жыл бұрын
Maega Balitazali sio raid
@alfamajengo8930
@alfamajengo8930 6 жыл бұрын
Nice
@kingsleyadjei4171
@kingsleyadjei4171 6 жыл бұрын
mashallah
@awadhirajabu3971
@awadhirajabu3971 6 жыл бұрын
Nawewe vifaa vya kichina unaingia navo mtaani vinapiga kelele tu we wawapi
DIAMOND Ampa Bajaj Mama Mlemavu Tandale
55:26
Global TV Online
Рет қаралды 449 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 19 МЛН
SANDALAND ASHIKILIA MSIMAMO WAKE.
1:51
CHIDDOH TV
Рет қаралды 32
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
WAZUNGU WATUA TANDALE KWA AJILI YA DIAMOND
2:41
Dizzim Online
Рет қаралды 23 М.