12 years later he is still the number one artist in Tanzania and east Africa. Iconic.👍👍
@mutuachris2 жыл бұрын
For sure
@milley7185 Жыл бұрын
true
@vincentmushi12472 жыл бұрын
Huyu mwamba alikuwa na vision tangu kitambo...na ni mpambanaji haswa Tumuache ainjoi maisha yake Big up sana simba
@abdullykapole96175 жыл бұрын
Kama unaitazama hii tena mkasi 2019 gonga like yako au weka koment yako hapa..
@japhertboaz70315 жыл бұрын
Ndio baba lao wa leo hyo wangpi wako pamoja na me
@hamisibandar50385 жыл бұрын
💯
@kitoynnko38395 жыл бұрын
Baba lao
@ExpedtoFelixTV4 жыл бұрын
Suffer Soldier nice
@canisiusibrahim98564 жыл бұрын
Suffer Soldier 2020
@kangetahawadhi94454 жыл бұрын
Kama bd unaitazama Hii interview gonga like twende sawa
@Minjum-j5m Жыл бұрын
Weweeeeeee
@kordaceastside1717Ай бұрын
Asee😂
@strong853410 ай бұрын
Mpaka leo, unaongoza mziki wa Bongo 01.03.2024
@allahisone63865 ай бұрын
KBSAAA 💯%🤝
@MullahShirazy11 күн бұрын
Tuma msg nipo kwenye gari
@selemanibididas67345 жыл бұрын
Naiangalia tena 2019 yan baada ya miaka 7
@adrisurv Жыл бұрын
Leo tena nipo kma una watch nipe like zangu
@joelgeorge55885 жыл бұрын
Mm bado naitaza 26 nov2019 nipe like Zang na hili movie la kihindi. ..Haliishi
@liberatusulaya22695 жыл бұрын
Kaka mkubwaaa, Simbaaaa!!! Hahhhh most influential musician!! Nakubali sana
@claudiangowi95855 жыл бұрын
Diamond umejinenea utajiri miaka mingi iliyopita na sasa hivi kweli unaiwakilisha Tanzania, hongera sana
@Vision2012Tv2 ай бұрын
October 2024,23 still watching and rooting for him❤
@veryboyplatnumz35062 жыл бұрын
Mapema sana 2023 nikimtizama King Platnumz miaka 13 still on top number one artist East Afrika ✊
@severinemziba6226 Жыл бұрын
2023 bado nakufatilia kwa juhud zako,ujasil wako...ww n mtu ambay unantia moyo kila kukicha nakukubar bro forever🎉
@allykassim98265 жыл бұрын
Nov 21. 2019. Nimeangalia tena hii baada ya mondi kupost clip leo yupo cameroon kwenye show. Don't give up.
@saidimusaid912012 жыл бұрын
Nampenda sana Diamond, ni msanii ambaye ametoka mbali na ana bidii sana. ni mfano katika jamii. anawapa vijana changamoto kujituma. Big ups Diamond.
@erickmarcus23215 жыл бұрын
Kitambo Sana miaka Saba sasa
@omarihamadumetishasanalava47253 жыл бұрын
Maswali ya kijinga salamu
@romansuzana4612 жыл бұрын
safi Diamond ujakurupuka kama wengine,wengi tu wamekuja hapo na wamekuzidi umri ila hawakuingii,keep it up bway utafika mbali
@mkuyu-ben.67465 жыл бұрын
Neno limeeleweka kitambo sana. Wachache wameanza kulielewa sasa!! God is with you.
@khairunkhatib758810 жыл бұрын
Ndio maana Allah anakubariki sana kwajili ya kumpenda mamayako na kumueka kulakitu kwako,endelea kumheshimu mama yako diamond coz no one like mom
@sportsbezi66905 жыл бұрын
Kamaunaiangalia tena 2020 gonga like twende sawa
@aloispaulsimon61744 жыл бұрын
Kama unamtazama Simba wa muziki Afrika mwaka huu 2021 gonga like
@barakazakalia18305 жыл бұрын
Kama unaangalia hii 2020 Gonga like Hapo chini
@DaudiKigembe5 ай бұрын
Kama bado unaangalia intavew 11-8-2024 gonga like
@tim943412 жыл бұрын
good interview,, Inavyoonekana kajipanga, anajua nini anafanya na anataka Big up Diamond..
@jumawahanzemsirywamsisiry73944 жыл бұрын
Good interview naiangalia hii interview leo tarehe 28/08/2020 again watching thanx Simba umekuwa inspired Sana kwangu
@innocentwilliam16693 жыл бұрын
Kama umerudi kuangaliya baada ya kusikiya diamond nitakufa 2021 gonga like tujuwane
@mjungatv81722 жыл бұрын
Diamondplatnumz kilanja wa Muziki 2022🙌🙌🙌
@Umuuahlaam8 жыл бұрын
Uzuri diamond huna maneno ya kujigamba ama kashfa big up kwako
@babawatotobabu72295 жыл бұрын
kama unamkubali mtt wa mm dangote weka like yako twende pamoja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mczundaoriginal249111 жыл бұрын
safi kabisa Diamond kila siku unavyozidi kufanya intervwe ndiyo unazidi kukomaa hapa umejibu vizuri umejieleza vizuri hata Salama ana haki ya kukuita shujaaa ni shujaa kweli.Diamond ameambiwa ashukuru watu watatu ambao wamemfikisha hapa alipo,kama unatembelea this is Diamond lazima amshukuru Mungu ndiyo akupe taarifa ya siku hiyo,amanaulizwa watu Mungu si mtu ,ameangalia swali akajibu linavyotakiwa uko juuu kijana songa mbele.
@omarseif394511 жыл бұрын
dah! kwel kabisa Diamond anaji2ma sana kweny kaz zake
@robertmwasile89036 жыл бұрын
Mwanaisha Zunda hii
@junemuchiri6096 жыл бұрын
Diamond had a vision and look at him now
@kindandakudingwa75144 жыл бұрын
That's true
@junemuchiri6094 жыл бұрын
@RICH HOMIE Haha could be very possible 😂
@junemuchiri6094 жыл бұрын
@Rich Homie kirinyaga
@nilmarjr64734 жыл бұрын
Hii interview inaelezea kila kitu kuhsu Simba... Oct 2020
@jamalmdugi64585 жыл бұрын
01.12.2019 watching this interview
@jumahumphrey36565 жыл бұрын
Bango ni kubwaa tunaishi humu 2019
@fikiri_lssa5 жыл бұрын
I’m still watching this in. 2019
@ezapesambili21305 жыл бұрын
Watu wa kigoma tunanyoota kama umesikia kauli hiii gonga like tujuane
@mpigiful12 жыл бұрын
i like this guy,s music so much though i understand little Swahili but at least i got the meaning of Mbagala and ntarejea.......my best. thanks for the show.
@shabanikaniki97475 жыл бұрын
Am watching this interview 2020
@gospelvibestv39143 жыл бұрын
After 8 damn Years daah Maisha ⚡💥💥HOngera sana Diamond
@najaahabdi120211 жыл бұрын
Daimond. Uko juu. Long life
@Memphisblue228225 жыл бұрын
Lebo umiversal, done... Msanii mkubwa yes it's done
@celeone26555 жыл бұрын
2019 Miaka 10 ya Simba
@shabanhussein38165 жыл бұрын
Good
@wasaficlassicshoes2 жыл бұрын
Who steel watch in 2023🔥🔥🔥🔥
@moshijongo90565 жыл бұрын
Naiyangariiya iii intaviyw 2019
@fortunatemushi49438 ай бұрын
2024 bado naangalia hakika mwamba alijijua atakua milionea tuuu one day
@lizertv55958 ай бұрын
Kweli aisee
@abdallahburhani34876 жыл бұрын
kweli yametimia miaka 5 ssa unaiwakilisha nchi yako
@fredrickmatiku77832 жыл бұрын
Sasa hivi Habari ya mjini ni Harmonize 2022 mzeee wa mitandao sio magazeti ya kipindi kile global udaku Diamondplatnumz na wema sasa hivi mitandao harmonize na kajala
@jayproducts58712 ай бұрын
TUPO 11/2024🔥🔥
@YusufuBenjaminEsenga-nl9cb Жыл бұрын
Kama bado unaitazama Interview hii mpaka leo gonga like
@arsenalic2312 жыл бұрын
want to see you sign for that label 1 day yes kaka...the good thing is you have your own focus which you strive to maintain,something alot of artists lack.
@immah_deo192 жыл бұрын
He Has WCB Now
@TheNewKid_TV2 жыл бұрын
@@immah_deo19 huyo jamaa yupo kweli maana amekoment miaka 10 uliyopita 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bhm6752 жыл бұрын
@@TheNewKid_TV kwa iyo unataka kusema amekufa au😂😂🤣
@TheNewKid_TV2 жыл бұрын
@@bhm675 labda maana daaah🤣🤣🤣
@bhm6752 жыл бұрын
@@TheNewKid_TV 😂😂😂 jamn atujib basi turidhke☺️
@kelvinisabinani80794 жыл бұрын
Daaa chibuuu mwaka 2020 unaishiaa uooo
@paschalmbilizi7655 жыл бұрын
naiangalia hii interview 2020 .... harmonize karbu tuiangalie kaka
@amanibadru58424 жыл бұрын
Still watching on july 2020
@mzirairebeca99962 жыл бұрын
Hongera sana.....dreams come true G
@elnasser40375 жыл бұрын
Watching again in 2019🔥🔥🔥
@AidanMlay8 жыл бұрын
dakika ya 25:30-26:15 ..ndani ya miaka 5 unajiona wapi...jamaa alijua kabisa
@najmohamed69505 жыл бұрын
Mond adi leo ajabadli future yke hakiii
@benbranco36886 жыл бұрын
Huyu jamaa alijua soon atakua mkubwa na sasa ona alivyo mkubwa
@deviskitali98015 жыл бұрын
ben branco kwel kbsaa
@jacksonleonard42752 жыл бұрын
2022 nipo namalizia mwaka kuicheki hii interview
@renathustesha40364 жыл бұрын
2020 bado tuna cheki?
@christopheroscar39385 жыл бұрын
Tupo pamoja 2019
@chrissygk12 жыл бұрын
Gud and Hard worker!
@hamwetwese3 ай бұрын
Kama umerudi kutizama iyi interview baada ya kuskia kifo cha Platnumz, gonga like hapa
@chunanachu25292 жыл бұрын
That why nampenda sana diamond always u will be number one
@georgenyotoka14684 жыл бұрын
Watoto wa siku hizi hawaelewi kwa nn jamaa alikua anaitwa Mzee wa magazeti...enzi hizo social media sio kiivo bongo so hakuna Instagram..kiki zote ni kwenye magazeti ya udaku...sio siku hizi page za udaku....😂😂🤣🤣.....it's Jan 2021....
@africangirls4825 жыл бұрын
Sema ulitakiwa pia umshukuru Bob junior ndo aliekufanyia ngoma kali ukatoboa
@astrofreeimkush21892 жыл бұрын
Si alimpa tunzo au hujaskia kipande hicho akiulizwa
@veenpoul9002 жыл бұрын
Watu wanaishi kwenye ndoto zao jmn,,,acheni fitina zenu nachuki zakixhamba
@davidsingu27505 жыл бұрын
Naichek hi mwaka 2020 na yaliyosemwa nimeyaona.
@LazaroSamora-gf1oo Жыл бұрын
Kama Bado unaziangalia hii indaviu 2023 gonga like
@fatumakamba63245 жыл бұрын
Ilo toroli na me yamenikuta🤣🤣🤣🤣🤣
@Paplick9 Жыл бұрын
Up to now Shekh Mansour
@mrsmile208 ай бұрын
In 2024,so poa mwamba,,mpak leo hit tu
@TheRuky0712 жыл бұрын
Amazing..thumbs up crew
@AllyChongwe5 ай бұрын
Mie naangalia simba day 3 %8% 2024🎉🎉
@jovinmagesa52615 жыл бұрын
30 november 2019 💪🏿💪🏿💪🏿chibuu
@shidiiz_4 жыл бұрын
2020 still here
@veenpoul9002 жыл бұрын
Ebu jiulizen huyo mmakonde wenu alikua wapi wakt huo????,,,AF Leo hii mnamvunjia heshima kwakumfananisha navitu vya ajabu
@michaejp112 жыл бұрын
Sasa watu watatu Mungu ni mmoja wao? Mungu sio mtu, kama ameambiwa ashukuru watu watatu inabidi ashukuru watu. Mungu sio mtu ndugu yangu. Amani amani
@mpilimieston99825 жыл бұрын
Kumbe toka kitambo unajua kijieleza vizur
@giftyeliasy81128 ай бұрын
Wa 2024 mnalike hapa😊
@khadijabrown50474 жыл бұрын
Naiangalia hii 2021 gonga like kama na ww upo hapa
@shakiramohammed501512 жыл бұрын
nimependa sana jinsi unajielezea
@joeljoseph7665 жыл бұрын
Big by simbaaaaaa🙂😃
@MOJAZAIDI.6 жыл бұрын
MWAKA HUU NIPO HAPA NAMCHEKI MOND...
@fahadfahmy12 жыл бұрын
sio vizuri ikiwa nyinyi ni waisilamu kuulizana lini mlijamiiana.hata kama umeoa au umeolewa huwezi kutoa siri zako za ndani.
@rehemaibrahim90225 жыл бұрын
Watching 1December 2019
@RONALDOTRUCKDRIVER4 жыл бұрын
2020 naingalia tena pindi kali Sana
@saidkitamo8323 жыл бұрын
02 02 2021 watching this interview
@MyRasta1911 жыл бұрын
HATERS...HATERS...ameulizwa watu watatu angependa kuwashukuru. Acheni upumbavu MUNGU sio binadamu...ndio maana diamond kawashukuru wanadamu watatu. Mtoto mwerevu huyu majibu yamekomaaaaaaa...
@patelmpene36503 жыл бұрын
Who is watching 2021?
@shaniej2512 жыл бұрын
Great Interview.....
@johnstartv54552 жыл бұрын
Watching 2022,, hiz ndo level za harmo kwa Sasa, Now Ndo anamtafta aliyekuwa rafki wa wema kipindi icho,ndo kapata tuzo tatu,ndo ndo anasema anamkubuli q!! Ha ha ha haaaaa
@yahyahamad18022 жыл бұрын
salama ulimuona diamond mapema sana
@mejamiela74362 жыл бұрын
Nipo naangalia 2022
@machintangachibwena59224 жыл бұрын
Hichi kipindi kilikuwa kizuri sana ila bora kimekufa manake huyo muba alikuwa hamuachi msanii amalize kujibu swali nae anadakia kuuliza swali
@remmizmlope500812 жыл бұрын
nyc interview
@theresiachitinka941010 жыл бұрын
gosh i like this guy
@mustaphachemchem4856 Жыл бұрын
niko hapa 2023, gonga like tusonge
@HASSANBAKARI-q9c8 ай бұрын
BAADA MIAKA 5,,KUTOKA SASA 2024,,ATAKUWA LEGEND TAYARI KWENYE MUZIKI(20)