Tamasha la kwaya zinazoundwa na Dekania ya Mtakatifu Gaspar katika kuhitimisha kampeni ya #KapulaMama2017
Пікірлер: 42
@kingkiwango14356 жыл бұрын
bado sana wap tupia vd yako na ww tuone uwezo wako ....et akamuome fulan so wat?? not everbody can do it ....he did his best just appreciate him for his hardworking
@ballisticsound47966 жыл бұрын
Some of Yall need to learn how to appreciate... he is good at it not everybody can do it even some of the popular producers cant do it the way he does....
@dennismalima53656 жыл бұрын
Hyu organist Co Yule wa parokia ya mbezi beach makonde???! Talented
@alimachiusaugustine14455 жыл бұрын
Ndo mwenyew
@jassontv53663 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana aisee nikiwa kanisan na yeye najiskia kama niko karibu kufika kwa Sir God mana jamaa kwa kinanda hajambo....Big up sana Bro Mwenyezi Mungu akuongezee ujuzi zaidi na zaidi....Mbezi juu Parokia ya Mt Dominico.
@respiciuscornery92026 жыл бұрын
Mungu akuzidishie uwezo.unaweza kamkubwa
@markwanjala93116 жыл бұрын
Nawea pata wapi huyu....I THINK HE IS THE GREATEST PIANIST IN THE WHOLE WORLD
@frankrwegoshora47053 жыл бұрын
Ukiuliza watu wa Redio Maria watakupa majibu maana hii ya kapu la mama inawahusu, ni kampeni maalumu inayokuwa ikifanywa na Redio Maria Tanzania. Vinginevyo ni hii Tv online. Yupo vzuri. atakuwa anafanya mazoezi ya nyimbo za GF Hendel huyu. hongera zake. alorekodi ni kwa sababu alisogea karibu zadi kwa mpiga kinanda hivyo kikasikika zaidi ya waimbaji, otherwise yupo vzuri sana tuuuuuu
@paulkessy20014 жыл бұрын
Excellent
@enriqueonsakia3 жыл бұрын
Kali👌
@senyagwamedia322 жыл бұрын
Jamn samahn hi nymb inaitwaj namtnz Nan!??? N nzr mnooo na mpg knand nomaaa
@mushialex52264 жыл бұрын
Waooooooooooo
@benedictbuberwa39433 жыл бұрын
Safi sana asee.. Kipaji kipo hapo
@OGT4562 жыл бұрын
Talented 👏👏
@bernardjohn878811 ай бұрын
Mbona inalia kama anacheza unison
@georgekorir23816 жыл бұрын
Nice indeed! I love it so...
@emmamahengo82132 жыл бұрын
he is just great.
@sylvesterjose32864 жыл бұрын
Ni kipaji cha Hali ya juu Sana!
@constantinennonjela39226 жыл бұрын
du huyu jamaaaaa balaaaa wa kwaya gani
@lawrencemachira64944 жыл бұрын
Agecheza pedals through out ingenoga balaa. Much respect though! Fingaring take organists wengi wanaikwepa coz no ngumu wakat Wa kujifunza, Ila ukiimaster unakua minster kwenye kucheza fast codes
@dennismalima53654 жыл бұрын
Kwel aisee..Ukijua, umejua.. Km baiskel yaani..jamaa yupo vzur
@senyagwamedia322 жыл бұрын
Kwan Ni nymbo gan hii
@mtaloycegonzaga25945 жыл бұрын
Brilliant
@nasrathashim65913 жыл бұрын
Acha kabisa
@musichealsTz2 жыл бұрын
mpaka nasrat umemkubali yaani
@victorsimbavpjamanmbnangom443 жыл бұрын
George nakbal xanaaa
@francmnzava75136 жыл бұрын
huyu bado sanaaaa ana bidi akamuone MTU anaye itwa innocent mushi ndio atajua
@mugemainyas52415 жыл бұрын
Tuwekee ya innocent mushi tufanyee comparison . Usitutishe na mushi tusiyemwona
@alexrwelamira3 жыл бұрын
Huo ni ushamba.. Man up!!!
@musichealsTz2 жыл бұрын
UFALA HUO
@victorlyimo8962 жыл бұрын
ACHA wivu kaka ...amefanya vizuri
@francmnzava75136 жыл бұрын
dah bado San mana hiinyimbo tumeimba Mwaka 2015 kway ya Mt paulo mtume ubung msew
@ibmsingers5 жыл бұрын
Franc Mnzava Duh kumbe 2015,sisi Tunaimba tokea miaka ya 90 ...ila jamaa kwa Viwango vya Kivyetuvyetu anaweza aisee
@dennismalima53654 жыл бұрын
Easy to say...
@JoisasStudios6 жыл бұрын
next time uweke organ sio piano unaaribu fani za watu bhn
@godisonindunguru46364 жыл бұрын
braza yuko poa sana acheni masimango..
@musichealsTz2 жыл бұрын
weka ya kwako, kwan hausikii kinachopigwaa
@victorlyimo8962 жыл бұрын
Weka na wewe halafu upost..ACHA wivu
@carlosmambo19365 жыл бұрын
Huyu jamaa muongo sana..huna lolote...
@francmnzava75136 жыл бұрын
dah bado San mana hiinyimbo tumeimba Mwaka 2015 kway ya Mt paulo mtume ubung msew