Hii media yakisenge sn, interview na wasanii wa international achieni Lil ommy the king of interviews.
@Jax2002211 ай бұрын
Tyla the Grammy girl
@AbdirahmanIgge Жыл бұрын
Tyla ❤❤❤
@CyrilNchimbi Жыл бұрын
Kaka Mario kama unanyimbo na Huyu dada hapa ndo pakwenda international. Mtoto anakimbiza sana duniani huyu
@DJ_Triky Жыл бұрын
Wewe acha ujinga amawele hawa utaendaj inabidi ukichape kinge kidogo
@muhseenmakpel50439 ай бұрын
Aibu hii aibuu looh😮
@flavourboyke Жыл бұрын
Ila media za tanzania mko na shida yaani wote mnaongea kiswahili na msanii haelewi😂😂😂
@yunyun79911 ай бұрын
😂😂😂
@footy_genius11 ай бұрын
@@yunyun799 nyie wazungumza kiingereza kupata exclusive interview na Tyla is something you'll ever dream of 😅
@gracepaul3451Ай бұрын
Afu walivyoo wajinga wanachek check ovyoo had mtu anajihis vibaya
@footy_genius Жыл бұрын
Clouds were ahead of time fgs, Big up to XXL for being the first entertainment show in the country to host her an exclusive interview
@people72010 ай бұрын
Kiswahili kingi sana mtoto munapoteza sana😂
@BIGGIEBOOST Жыл бұрын
Ndio hamji kumpata Tena right now yupo level nyingine 😂
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Tayla nampenda 🎉🎉na water❤❤❤
@PiPlus-ue1cc Жыл бұрын
😁😁😁water ama nini
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Ndio 😂😂😂nyimbo
@rafiaahmad168 Жыл бұрын
Mnampoteza Tayla wawatu kiswahili kingiiiii🤣🤣🙌
@kwisa4899 Жыл бұрын
ajifunze
@mattjr4206 Жыл бұрын
Great job kumleta Tyla guys, I'm proud of you all. Sema mlkua mnachapa kiswazi kingi mtoto haelewi bana 😂
@juniormanka9679 Жыл бұрын
Yes was boring interview they was supposed to speak english not swahili
@iamwilly311 ай бұрын
Anashangaa sana 😂
@AllenSmith-lp36011 ай бұрын
Yanii mapresenter yotee jauu,,,mda mwingi mnabongaa kiswahili kama sio wasomi bwanaa jauu kwelii,,,mwachieni lady haha mamboo haoo nyie jauuu bakini na mnaowaweza😂😂
@kwisa4899 Жыл бұрын
Jamani Rubby upo wapi huyu Dada alitakiwa kuimba na Rubby jamani
@OmaryKagwiza11 ай бұрын
Xxl ilikua hii hapa ✅, mamy we miss You
@jescalushali49411 ай бұрын
Kbsa😎
@SaveAmericaa11 ай бұрын
English please
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Marioo ana ngoja nini sasa
@Assamu_Officiel2 ай бұрын
Nyie Mliemsubua tyla kwakipindi hicho,ebu mtafuteni tena apo ambapo alisha pita na Grammy na BET na MTV kama mtampata tena na vi Swahili vienu ivi wa jinga nyie😂😂
@Zannah69011 ай бұрын
Hiii kipindi akikosekana amina ally tafuteni wasanii wenu wa kiswahili mfanye nao interview au mngetafuta mbadala wa amina ally akiwa hayupo,,....,....... Mnapuyanga tu
@olivazaituni2440 Жыл бұрын
Ilikuwa interview ya kipuuzi yaan mnaongea kiswahili yy haelewi kinachosemwa mno yan hamkujiongeza ,mngekuwa mnaongea kiingereza au kumvisha mkalimani 😂
@bossykalewa11 ай бұрын
Hapo wajaa mnajua ni mariooo ila yye anamaanisha omarion..
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Nilijuwa Zuchu kashinda graammmy😂😂😂
@TheReporter-A47 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kwa ile haniiiiiii au
@SaraRey-wm8fl11 ай бұрын
Mlimdharau bint wa watu.. Mkajikuta nyie ni ma star kuliko yy.. Shame on youu.. Nimejisikia vibaya kweli na msingeirudia hii aibu looh