KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO

  Рет қаралды 204,954

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 200
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 5 ай бұрын
Big up sana Wasafi TV.Dotto Magari leo umetuvunja MBAVU ,wewe ni mwisho makosa haswa.Naona bado Dotto magari unampenda mzazi mwenzako🎉🎉
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 5 ай бұрын
😅😅😂
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 5 ай бұрын
Wanapendana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
😂😂😂
@EVENTSPORTAL
@EVENTSPORTAL 5 ай бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪 Dotto magari just proved that he has been providing and the lady with her exaggerated prices highlighted how money minded she is.
@user-jk6zk5lo9r
@user-jk6zk5lo9r 5 ай бұрын
Tatizo na ww doto ulikuwa umuweki sawasawa😢 uyu ungemlaluwa vizuri angekuheshimu sana wala asingekuita babu, sa ukipanda kidogo umeshuka ndo maana anajiita mbabu😂😂
@user-jk6zk5lo9r
@user-jk6zk5lo9r 5 ай бұрын
Anakuita babuu!!😂😂😂
@kelvinkiangokipingu370
@kelvinkiangokipingu370 5 ай бұрын
Mwanamke mdomo mdomo tu 😠
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 ай бұрын
@@kelvinkiangokipingu370mwanaume je?
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 5 ай бұрын
Doto ni mwanaume nimempenda kweli hataki mambo mengi huyu ni mwanaume ,, sema merry ni mwanamke mwenzangu ila anamdomo sanaa yani kapanic sanaaa hana nidhamu kiasi
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 5 ай бұрын
Yani huyu merry kapitiliza uswahili😊😊
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 5 ай бұрын
Dotto we chukua mtoto wako umlee mwenyewe nko kenya kakangu nakushukuru kwa upole wako wanakufanyiajee mahesabu hawa wanahabari na mtoto ni wako bro
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 5 ай бұрын
Uyo dada jeuli sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Mdada ana penda sana ela kuma make sizai na wanawake wa skuiz njaa zme wazidi
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂ss utazaa na nani
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Zaa na nyau
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 5 ай бұрын
Doto umemaliza kiume,safi sana
@queendollie8792
@queendollie8792 5 ай бұрын
Dotto ungeenda hapo shule ukaelezewa vizuri, ujue mtoto wako anasoma mazingira gani, ujuane na walimu n so forth, inshort participate in your child’s life, huyo mtoto hatokumbuka pesa but your presence, ndio maana watoto wengi wanaonaga mama zao ndio kila kitu which is not bad but it’s because wanaume wengi mnazani kutoa pesa ndio kila kitu, mama anaenda kulipa na kununua vitu anampa mtoto then mtoto anasema Asante Mama while baba ndio katoa ela, so mtoto anakua akijua mama ndio provider wake, Anyways ni maisha yenu nipunguze ushauri.
@levinaasenga2794
@levinaasenga2794 5 ай бұрын
Dotooooooo
@pulikisia7963
@pulikisia7963 5 ай бұрын
Nikweli kabisa ,umesema cha maana.
@petermangama330
@petermangama330 4 ай бұрын
Utashinda na mtoto KAZI unafanya Sana ngapi? Mama ana jukumu la kumenta mwanaye juu ya uwepo wa Baba na KAZI nzuri anayoifanya Baba
@nehemia397
@nehemia397 4 ай бұрын
DOTTO mwenyewe shule hajaenda haelewi hata pesa anatoa kwaajili ya vitu gani
@annakattoa7502
@annakattoa7502 5 ай бұрын
Marry unguza hasira na mdomo mwanamke mwenzangu shukuru huyo baba anatoa hela wengine hawatoi kabisaaa acha hio jeuri mama
@agathaleonard5974
@agathaleonard5974 5 ай бұрын
Mwananke kiboko
@user-ff7ss6wk7w
@user-ff7ss6wk7w 5 ай бұрын
Ndio shida ya kuzaa na watu wa uswahilini njaaa tupu mtoto anakula elfu kumi tangu lini
@ellybonke2023
@ellybonke2023 4 ай бұрын
hahaha utapeli tuu
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 4 ай бұрын
😅 hiyo inaitwa..ulinitaka/ulinifata mwenyew, shenz wee mwanaukome..uswahili bana kenge 😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
😅😅
@kalamajefwa3581
@kalamajefwa3581 4 ай бұрын
Shukuru mungu sana dadangu.kama ungeigia Tisa yangu ungekosa kila kitu sure from 254
@AbrahamMwakifungwe
@AbrahamMwakifungwe 5 ай бұрын
Proud of you Dotto you are a Big man indeed
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 ай бұрын
Mwanamke mdomo mrefu sanaaa
@mrsab303
@mrsab303 5 ай бұрын
This best one today ❤❤❤❤
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
sema nimefrai dotto kajitoa sana mzee ✅🙏🙏
@ibrahimkhatib760
@ibrahimkhatib760 5 ай бұрын
Waching from china Bother doto hongera umeweza kuonesha kua unatoa huduma zote muhimu kwa mtoto huyu mdada izo cost anazopiga hapana na hazilingan kwa mtoto wa miaka 2 1/2 Dada hizo hela anaend fany vikoba
@willbardmacha7885
@willbardmacha7885 5 ай бұрын
Mtoto wa miaka miwili na nusu sheria ya Tanzania haruhusiwi kwenda shule
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 5 ай бұрын
Wewe muto waselekali. Nini ?
@EmanuelPaskal
@EmanuelPaskal 5 ай бұрын
HIYO SHERIA YA WAPI MKUU
@daudajerry6654
@daudajerry6654 5 ай бұрын
Sheria gani kaka?
@angelgodwin2452
@angelgodwin2452 5 ай бұрын
Sijapenda huyo vuvuzela kisura kidogo sijui anajikuta nani mwanamke anaongea Kama chizi chefu 😏
@simonjuma2912
@simonjuma2912 5 ай бұрын
Basi hizo shule serikal si wangezifungia kama sheria haziruhusu ....shemesha mtoto acha kukwepa majukum
@bushbabytz
@bushbabytz 5 ай бұрын
hata kama mama wa mtoto wako ni kichwa ngumu huwezi muonesha dharau na ujinga kama hivi, kwa heshima ya mtoto mwanaume uwe na nidhamu, tatizo dotto umetoka katika maisha ya umaskini
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 5 ай бұрын
Kwa hiyo mtu akitoka kwenye familia ya kimaskini anakuwa mshenzi
@smarty1064
@smarty1064 5 ай бұрын
we bado hujakutana na vichwa ngumu, omba yasikukute, omba sana Mungu akuepushie ... kuna watu wapo duniani na hawajui wanataka nini kwny maisha yao kila heshima unayompa yeye anaona ni advantage ya kukutukana sababu ya uungwana wako, weee hujakutana na vichwa vibovu 😀😀😀
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
Mwanamke kichwa box
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 ай бұрын
Mwanamke mwenyewe anamdomo
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 5 ай бұрын
​@@shaabanramadhan6770tena sana
@user-yj7pc2is9j
@user-yj7pc2is9j 5 ай бұрын
Mungu anisaidie nizae na mwanamke sahihi😮
@Chimamy5242
@Chimamy5242 5 ай бұрын
Hata wanawake wanaomba wazae na wanaume sahihi na sio pasua kichwa vile vile
@machozukumuda6596
@machozukumuda6596 2 ай бұрын
Kama unataka mwanaume sahihi kua mwanamke sahihi..... Usije ukawa katika category ya only for sex.... Na ukishika mimba wwe ndio umeruhusu. Wanawake kuna sehemu mnachemsha hata uweje you can be wife material or for sex olny. Kama ukipata mimba 💯 percent wewe ndio umeruhusu ikae
@LiberatusRaphael-be8hi
@LiberatusRaphael-be8hi 5 ай бұрын
Doto upo makini sana hyo sio mwanamke ni malaya sana mshenzi sana mpumbavu sana mjninga sana kanamdomo sana jinga kbsaaa mshamba kwelii sana
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 4 ай бұрын
Ushalala nae au maneno yanakutoka tu😢😢 wanaume sku hizi mna maneno kuliko kina mama
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
​@@faithjonathan3845Kwl kwani na ww hujaona
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 5 ай бұрын
Huyo dada ana mdomo sana, Dotto mchukue Mtoto umlee mwenyewe. Lasivyo, utajua hujui
@hassansalum2572
@hassansalum2572 5 ай бұрын
Mdomo wake Nini ?
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 5 ай бұрын
Wee tetea mwanamke mwenziyo mpumbavu wewe, anampigania mtoto wake mdomo unatoka wapi, subiri yakukute na wewe jinga wewe
@gracemoshi4362
@gracemoshi4362 5 ай бұрын
Umri wake mdogo mahakama haitoruhusu mpaka akue kidogo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 5 ай бұрын
Mdomo wapi ww ungekubar
@allvibes211
@allvibes211 5 ай бұрын
Baadhi ya wanaume bila mdomo matunzo ziro
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 5 ай бұрын
DADA ANAONGEA KAMA KAMEZA MEMORY CARD DAAAAH!NDIYO MANA MLISHINDWANA.TUANGALIAGE !!!!!!DAAAAAH
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 5 ай бұрын
Mmmhh kweli hapo hakuna mke ni chuma ulete
@BerthaModest
@BerthaModest 5 ай бұрын
Yan😂😂😂
@smarty1064
@smarty1064 5 ай бұрын
😀😀😀
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 5 ай бұрын
Mary anaongea Sana mpk kichefuchefu, Kafanye kazi acha ujinga wa kutegemea mwanaume, je Akifa Leo utapata wapi hela..
@superwarema2309
@superwarema2309 5 ай бұрын
Ana majuto yaliochanganyika na hasira. Atakuwa halali usingizi mzuri akimuwaza jamaa.
@naahhemed1270
@naahhemed1270 5 ай бұрын
aiii kama ni daycare mama ajipange buana lakin kama ni primary school ni sawa lakin 2yrs watoto wamatajiri ndio uanza shule sasa doto anapesa gani wanawake sisi mungu anatuona
@Zainab_salat
@Zainab_salat 4 ай бұрын
Si chawa😂😂😂😂
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 5 ай бұрын
Akitoka hapo cha kwanza kwenye vikoba Mm nipo nimekaa pale
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Ай бұрын
Na beer ju , kana mdomo aka ka dada
@ramakira7895
@ramakira7895 5 ай бұрын
Daa wanawake wengine sio wakuzaa nao huu ni mkosi mdomo mlefu🤣🤣😂😂😂😂
@allymatilda7519
@allymatilda7519 5 ай бұрын
Kwendraaaaaa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Kweli kabisa😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
😅
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 ай бұрын
Mmmmh huyu dada mswahili ana mdomooo du. Dada siupambane tu na maisha
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
sema wanawake mda mwengine wanazingua mimi adi mtoto wangu nimemchukua anatumia mtoto kama fimbo ili kukuumizia
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 5 ай бұрын
Dodo magari mpole sana huyo dada ni jeuri hasa,Doto magari chukua mtoto kalee mwenyewe
@heritier8236
@heritier8236 5 ай бұрын
Mahakama za tanzania hazina kazi tena, ko kila kitu redioni duh!
@EnockSalapion
@EnockSalapion 5 ай бұрын
Wadada fanyeni kazi, yaani unaenda kumkabia mwanaume kwenye media kisa ni influencer! Wanawake wajibikeni wanaume sio maduka.
@Chimamy5242
@Chimamy5242 5 ай бұрын
Kitabu gan kimeandika mwanamke awajibike? Na nyie mkitaka kuitwa baba ingieni leba sisi sio machine ya kufyatua tofali af mkome kutupa majukumu mawili hayo ya kuwajibika ni ya kwenu hakuna kukwepaaaa
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 ай бұрын
Na wanaume watimize majukum Yao sio mwage mbegu zenu Kisha mzigo wote muachie mma majukum yenu mnayakwepa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 5 ай бұрын
​@@Chimamy5242asante❤kunywa soda ntalipaa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 5 ай бұрын
Wanawake tutafte hela hakuna mwanaume anaetoa hela skuizi Wala hakuna mwanaume anaetaka majukumu ya kulea Kaz kutoa mimba TU na kukimbia halaf mtoto bdae akiwa mkubwa anajiweza kama hahudumii baba yake wanaanza kuskitika kwenye media, na wanaume mukome kutongoza wanawake wa nje ikiwa hamuna malengo nao pumbav nyiee!
@josephkiwale374
@josephkiwale374 4 ай бұрын
😂😂😆😆😆😆
@saudaaddey7402
@saudaaddey7402 5 ай бұрын
Wasafi Media ni kweli kabisa namshauri Mary anapo tafuta haki yake apunguze mdomo. Mary ana mdomo mkali sana inabidi Dida uwe somo mfunde sana Mary. Namshauri Doto aendelee kuwa mvumilivu ili mtoto aendelee kuishi vizuri watoto hawachelewi ipo siku utafikia kumchukua mtoto wako.
@user-yt9ni1wd8b
@user-yt9ni1wd8b 5 ай бұрын
Dada merry imezidisha nawewe, Dotto ni baba mzuri
@khadijahemedi2594
@khadijahemedi2594 5 ай бұрын
Sana yaani mwanamke ndio bomuu
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 5 ай бұрын
Anamdomo
@masoudjuma8974
@masoudjuma8974 5 ай бұрын
Daah wanaume tujifunze uyo mwanamke noma sana
@kebbymody5606
@kebbymody5606 5 ай бұрын
Mtoto akikua akiangalia anaona jinsi wazazi wake walivyomdhalilisha kwenye malezi yake INAUMA niiiiii😭😭😭😭😭😭
@fikiliibrahim9720
@fikiliibrahim9720 5 ай бұрын
Dotto umepigwa pesa uliotoa nyingi tofauti na fomu inavyosema
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
Too bad
@noelsanga6853
@noelsanga6853 4 ай бұрын
One of my best interview
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 5 ай бұрын
Dada choko mswahili sana aiseee
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 5 ай бұрын
Vituko vya doto mdada mwenyewe anacheka
@yagakamsela
@yagakamsela 5 ай бұрын
Ningekuwa ni Mimi nisingetoboa kabisa duh mwanamke mwenye mdomo hivyo ashakula konde kitambo ananundu kila Kona mbona wangeita police mapema sana
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 ай бұрын
Sometimes midomo ndo inayowakimbiza wanaume. Huyu mwanamke mwenzetu jau.🚮
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk 5 ай бұрын
Kiukweli uyu dada anamdomo sana, yan mume atakae ishi nae uyu dada anatakiwa awe na moyo sana! Mwanamke unatakiwa uwe na stara ya mdomo bhana
@user-mx5dc3xx3o
@user-mx5dc3xx3o 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Kabisa yn ata mm😂😂😂
@gamatv2111
@gamatv2111 5 ай бұрын
Iyo Pesa Yakula Qmamae Me Nisingetoa, Ningeenda Kununua Unga Na Maharage Mwenyewe😂 ALAFU WANANGU HAPA TUJIFUNZE, TUPUNGUZE KUZAA NA MADEMU WA USWAHILINI, HILI NI TATZO QMAMAE😢
@user-lo6gd4tg2n
@user-lo6gd4tg2n 5 ай бұрын
Hii point sana
@iscoonline514
@iscoonline514 5 ай бұрын
Kabisa kaka 😂
@user-bg8yg4dg3z
@user-bg8yg4dg3z 5 ай бұрын
😅😅😅
@tonymbilinyi8419
@tonymbilinyi8419 5 ай бұрын
Mwanangu chukua beer apo nalipia umetoa point mamaqe
@gamatv2111
@gamatv2111 5 ай бұрын
@@tonymbilinyi8419 Weka Number Baba, Izo Beer Sio Zakukosa😆😆😆
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 5 ай бұрын
Mwanamkeee wa kinondoni...uyoooo doto mchkueee mwanaooo uyooo anakuchunaaaa wanawake saizi wameweka wanaume biashara....watto 2nanunua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😅😅😅😅😅
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 5 ай бұрын
Idris kitaa big up nahisi huyo dada umemshtukizia tapeli kidogo😅😅
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 5 ай бұрын
Khaaa mwanamke heshima hakuna eti analingana na baba yake alimpendea nini mpaka kuzaa nae duuu unatwa Babu Bado unatoa Hera hahaha dida mbaya sanam
@salama1113
@salama1113 5 ай бұрын
Huyudada ila anamdomo kaah😂😂😂
@SaidOmar-yp7uv
@SaidOmar-yp7uv 5 ай бұрын
Huyo dada lengo lake amzalilishe doto ila hapo kachemka
@Torono_95
@Torono_95 5 ай бұрын
kweli Mungu anakupa wakufanana nae doto ni kiredio uyo dem tv😂
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MeinadKikalugaa-hb6ll
@MeinadKikalugaa-hb6ll 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 5 ай бұрын
😂😂😂chocolate me
@tonymbilinyi8419
@tonymbilinyi8419 5 ай бұрын
😂😂😂
@thhtthht1485
@thhtthht1485 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abouybaramia534
@abouybaramia534 5 ай бұрын
Dida mshenz umechngia sana kmtia shimoni Dotto
@nanahmekaupbeautifu237
@nanahmekaupbeautifu237 5 ай бұрын
Mhhh uyo dada ana mtaka bado doto nilicho kiona
@user-vu7vv8mq6q
@user-vu7vv8mq6q 5 ай бұрын
I'm viewing from Zambia, dotto is very wise and caring man, some men don't even give it all, to the women you learn to be good wife and understand life when situation is going well in the house, to us men sometimes life it is hard we go through many obstacles, but crazy women like Mary and Claire do not understand, because they don't have bright eyes thoroughly well into our future, now is Mary she is regretting over she did to dotto by breaking up with a ⭐ star, the all secrets she knows well the pain of losing the great man like dotto, this now because a great lesson to women Lean to be patience, when a man is looking for the way out in our daily life.
@user-ko6hv1qv6x
@user-ko6hv1qv6x 5 ай бұрын
Mnihifanyie hii clip mtoto akikuwa ndo aje aone wazazi wake😂😂
@bakaromar8135
@bakaromar8135 5 ай бұрын
Nakubali doto
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d 3 ай бұрын
Big up kwa doto upo vzr.....sema marry ana mdomo sn punguza mdomo wanawake anatakiwa kujishusha
@mwarabuofficial5241
@mwarabuofficial5241 5 ай бұрын
Wanaume wote tunajuana kauli mbiu yetu ni ile ile, kuna demu wa kutafuta nae na kuna demu wa kutumia nae... 😂 #DOTTO baada ya kujipata kaamua kutafuta demu wa level yake! 😂😂
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 5 ай бұрын
Watoto wetu mungu awasaidie kama kumtia fedhea mtoto kwenye mitandao
@HamisMberwa
@HamisMberwa 5 ай бұрын
Safi sana
@ramadhanmkorogwe1798
@ramadhanmkorogwe1798 4 ай бұрын
Huyo dada anakupenda sana brother tatizo doto una wivu sana na one day inaonekana mtakuja kuishi tena pamoja kwasababu mnaonekana mnapendana ila kila mmoja ana hasira sana
@nAVIDtz
@nAVIDtz 5 ай бұрын
Shule za serikari zipo..... Gharama ni uniform tuu na elimu ni nzuri. Umri kuanzia miaka 5. Huyo mwanamke maisha yamesha mshinda, na uswahili ni mwingi mno.
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
Wanaume ni waongo jmn mm naona kwa mwanaume wang analiaga mpka machoz utasema anaonewa🙌🙌🙌
@Frankvanmuniko
@Frankvanmuniko 5 ай бұрын
Sema Dida ana kelele
@tigejuma9865
@tigejuma9865 5 ай бұрын
Mchawi pesa......big up bro....umemfunga mdomo kbsa..ata ukataka round moja kwke anakupa tatu
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 5 ай бұрын
Kazi ipo wadada awa
@opportunities2767
@opportunities2767 5 ай бұрын
Dotto chukua mtoto uyo lasivyo utakaushwa damu 😂
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 5 ай бұрын
Kweli yaan huyu mwanamke kausha damu😅😅😅
@mzungumahenge305
@mzungumahenge305 5 ай бұрын
Kwa kweli mungu anakupa wa kufanana nae.
@kombakomba7922
@kombakomba7922 5 ай бұрын
Doto nnavyokupendaga bora ungezaa na mimi yani ningekupendaje ❤❤❤❤
@Chimamy5242
@Chimamy5242 5 ай бұрын
Umeona kibunda eeh😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
😂😂😂
@JamesKazembe-rm8mi
@JamesKazembe-rm8mi 5 ай бұрын
I like the content...all the way from RSA
@MrBless-lz1pf
@MrBless-lz1pf 5 ай бұрын
Dada ana mdomo kinomaaaa
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 5 ай бұрын
mwanaume je?
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
​ 😅😅WAMEKUTAN WOOTE WANA MDOMO😅😅
@Decodisuza
@Decodisuza 5 күн бұрын
Huo mdomo wake umefanya mahojiano Yao yawe matamu Mwache uyo dada achonge maana doto kwann alimuacha si kwa sababu ya Mambo yake
@user-nv4li8of1s
@user-nv4li8of1s 5 ай бұрын
Mh ila doto unaubinadam sana mm mtoto siwetu wote tutoe nusu nusu afu mtoto ana kula 10 kwasiku mh
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 5 ай бұрын
Ni mutoto wa bos anapashw ushi kama boss
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 5 ай бұрын
Yaan wewe upo km mwanaume wng waswahl et tugawane nusu kwa nusu😅😅😅 Sasa na mim nmemkomesha npeleka watoto shule za kayumba😅😅😅 anatangaza kuumia km unaumia si upeleke private 😅😅😅,. Halaf Hela ya kula hatoi😅😅
@user-nv4li8of1s
@user-nv4li8of1s 5 ай бұрын
@@faithmapondo7370 haki saw asaivi watoto tutuze wote asa mtoto wa miake miwili anakula 10000 Kwa siku duh
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 5 ай бұрын
@@user-nv4li8of1s haki sawa gan hlf huo ndio nnasema n uswahl unatoa Hela kwaajl ya mtoto wko kumbuka yule anayemlea kasimama shughul zake kwaajl ya kulea mtoto wko pia her ya mtoto mkubwa kuliko mdg mdg atatakiwa pampers kila ck angalau 2 atatakiwa kila baada ya wk mbil umsagie lishe je huo uji unapkwa bila ges au mkaa au anakunywa bila blueband atatakiwa maziwa km mama n mfanyakaz ataajir dada wa Kaz kumbuka anazd ongeza familia kwaajl ya mwanao hyo dada atahtaj kula so hata hyo elf10 inapunguza matatzo tu sio kukava
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 4 ай бұрын
Ila Dotto anafurahisha sana namkubali sana anajibu kwa kujiamini sana
@yordanyona1234
@yordanyona1234 4 ай бұрын
Wanawake wengi ni wabongo sana wanapenda kujifanya wanaweza maisha bila waume
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 5 ай бұрын
Doto umenichekesha kweli😅
@dyangwe
@dyangwe 5 ай бұрын
Noma sana😅
@mariabikyeombe9050
@mariabikyeombe9050 5 ай бұрын
❤❤❤❤👏👏
@ArafatIsmaily-bz8dp
@ArafatIsmaily-bz8dp 5 ай бұрын
Dotto we Genious bro😂😂
@oyay2821
@oyay2821 5 ай бұрын
Amejaribu kutaka kumiharibia brand ya Dotto lakini Dotto amekua smart.
@jaffarymwinyi1080
@jaffarymwinyi1080 5 ай бұрын
Huyo dada katumwa afanye hivyo ...ila kafeli kamkuta doto mwenyewe ni mtoto wa mjini
@Edomasawe-er5mw
@Edomasawe-er5mw 5 ай бұрын
Dida sio mtu nzuri
@AthumaniMohamed-gd9pr
@AthumaniMohamed-gd9pr 3 ай бұрын
Mwanamke ana mdomo hatari😢😢
@AllyUwimana-om7xc
@AllyUwimana-om7xc 5 ай бұрын
Nakubal mwamba ❤
@DoreenDamaris-gq5it
@DoreenDamaris-gq5it 5 ай бұрын
🎉🎉🎉doto hahitaji chawa jamani😂😂
@AdmiringNautilus-ew9wh
@AdmiringNautilus-ew9wh 4 ай бұрын
Duuuh hadi kula wallah kaaah inamaana yy anachikula hawwz kumpa mtoto akala? Loooh mhhh me nna watoto 2 na wote wadogo siku napewa elf10,7 hadi elf5 nahakuna hamna lolote linaloemdelea na sipigi kelele na siku napewa siku spewi na nimetulia kaaah hatar wakiumwa naumiza kichwa mwanangu wa kwanza anamiaka 2na nusu nampeleka shule mwenyewe nnavyojua leo kaemda kesho haendi maisha yanasonga ika huyu dada mdomo anao na vitu anataka😂
@malifedhamachimu4882
@malifedhamachimu4882 5 ай бұрын
Wanawake wa dar es salaam Maneno yaani
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
hahah jmn nimecheka mie dadya ana kikomwe
@RithaWimba
@RithaWimba 5 ай бұрын
Huyo dada awe na shukurani, apokee hata hiyo 5000, mwanae anakula 30000 kwa sku? hamuoni mwenzie chanuo wa madebe hajapewa hata mia na anashukur lakni yeye anapewa kila kitu na analeta dharau khaaaaaaa...😮😮😮😮 Wanaume angalieni wanawake wa kuzaa nao😅😅😅 ebu gonga like kama unakubaliana na mie
@user-hs9in5cv7n
@user-hs9in5cv7n 5 ай бұрын
Kila mtu na mtu wake wa kufanana naye yani, huyo dada na doto wanaendanda sana warudiane bana, doto akileta mdomo anapasuliwa, hapo freshi. Dawa ya moto ni moto.
@machozukumuda6596
@machozukumuda6596 2 ай бұрын
Ivi kama mtu akiamua kutompeleka mwanae miaka 2.5 daycare kuna shida gani..? Naona kama bado mdogo sana kwenda day care anyway ndivyo yalivyowakuta... Dotto angemaliza haya maswala katika chombo cha kisheria na utaratibu wa transactions kwa uhalisia vingeonekana tu. "" ALIPANDA MBEGU SHAMBA BOVU"" BIG UP MA MEN DOTTO
@user-qz5yh1dl1n
@user-qz5yh1dl1n 5 ай бұрын
Mdomo sana huyo dada
@drharoonshaarawytv6840
@drharoonshaarawytv6840 5 ай бұрын
Wanawake msiwe na pupa za maisha , msiwakimbie wanaume kwa ugumu wa maisha ninyi ni washauri kwa waume zenu , sasa hapa kinachoonekana Doto Katoboa sasa anaanza kujutia , ujinga mtu mwanamke utatatarika kama umekula Bisi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
Shukuru Mungu doto mpole Mwingine hupati ht mia
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
Huyu dada Bado anampenda doto Ila 🙌🙌
@sanityonline4512
@sanityonline4512 5 ай бұрын
Kwahio mtoto ni wa doto tu mbona pesa zote anatoa yeye 😂😂😂
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 5 ай бұрын
Kazi ya mama yake ni kumfulia kumpikia😊😊😊mwanaume atoe pesa
@1tripple9
@1tripple9 5 ай бұрын
@@tajilimtoto5009 hakuna kitu kama hio..pia mama atafute
@tonymbilinyi8419
@tonymbilinyi8419 5 ай бұрын
@@tajilimtoto5009STUPIDITY 🚮
@witnessromward6875
@witnessromward6875 5 ай бұрын
Demu ajui kula na kipofuu doto mungu akubariki
@user-qo5vn9xl8v
@user-qo5vn9xl8v 5 ай бұрын
Pole Sana doto wanaume tunapambana na vitu vingi ndomaana hata kids tunawahi
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 5 ай бұрын
Pole sana Dotto yaani mambo yote kumbe umeshindwa matumizi ya mtoto
@madinajamada9180
@madinajamada9180 5 ай бұрын
Mwanamke ana mdomp sijawai kuona
@nassirali7499
@nassirali7499 5 ай бұрын
Hizi media za Tz zimekua za kipuuzi na kisenge kweli! Watu baada ya kukaa nyumbani au wakenda kwa wazazi au mamlaka za serikali kusuluhisha mambo yao wanakuja kwenye media kutangaza mambo yao, very shameful
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 5 ай бұрын
Media inakosa gani?!! Si amekwenda mwenyewe mwanamke na upumbavu wake, Akili yake ni mbovu na siyo wa kulaumu media
@kalebuenosh7694
@kalebuenosh7694 5 ай бұрын
Wao ndo wametafuta media au media ndo imewatafuta
@nassirali7499
@nassirali7499 5 ай бұрын
@@faithfaith-zr6gz kuwakaribisha na kuendesha mijadala ya kipuuzi ndo kosa lao, si wangewaambia waende kwenye dawati la polisi km wamekosa wazazi wa kutatua shida zao binafsi?
@josephkiwale374
@josephkiwale374 4 ай бұрын
​@@nassirali7499bro itakuwa unachuki zako2 kiongz
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 ай бұрын
Mmmh hyu mwanamke aonesha mshenzi kweli kweli ana mdomo mpk doto mwenyewe ame blow
@user-jv5dq2zf2o
@user-jv5dq2zf2o Ай бұрын
Wanaume kazi tunayo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
Mwanamke huyu hapana 🙌 Ana hasira
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 ай бұрын
Mm sitaki shida za kurushiana maneno na mdomo huyu mwanamke mwenzangu akaa,kama baba hataki kulea ninaachana nae mfano diamond amelelewa na baba nasib ni baba wa kambo Hakumuhudumia leo amepata pesa anataka mafanikio ya mtoto
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
AKIN ZAI MNAMAAMUZ BALAAAH
@njeyabox7788
@njeyabox7788 5 ай бұрын
Njaaa mbaya..
@officialhuddart
@officialhuddart 5 ай бұрын
awa wanapendana😢
@Madmadtalent
@Madmadtalent 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@mkomacaroline245
@mkomacaroline245 5 ай бұрын
Angemchekea au kumvumilia angeendelea kulea pekeake, na hapo Dotto anaosha kwenye TV😅 mngemdai bila camera mngevunjwa mbavu kwa kucheka anavogoma kutoa hela😂 nimempenda Dotto bure, ila Dada anaongea huyu, sasa hata wanaume watamuogopa maana uuuwi, hakuna mwanaume anapenda mwanamke anaeongea kiasi hicho
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 5 ай бұрын
Anamaneno mswahili sana huyo dada
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,3 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
Слепой перехитрил свою жену😳
1:00
Kino_sh
Рет қаралды 11 МЛН
ToRung short film: 🙏Let's help each other🤗
0:32
ToRung
Рет қаралды 16 МЛН
ПОМЫЛ МАШИНУ #shorts
0:26
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,2 МЛН
Sigma Girl Past #sigma #funny #comedy
0:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН