EXCLUSIVE: JAKAYA KIKWETE / MAISHA Baada ya URAIS / BIASHARA BINAFSI / AFUNGUKA MENGI | GOOD MORNING

  Рет қаралды 13,100

Wasafi Media

Wasafi Media

11 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 30
@nivesmapunda694
@nivesmapunda694 8 күн бұрын
Mmmmm mh.Rais mstaafu tunakukumbuka sana hasa sisi watumishi wa umma. Mungu akujalie maisha marefu!
@ramadhanijuma4130
@ramadhanijuma4130 8 күн бұрын
Safi sana interview inamafunzo mazuri
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 7 күн бұрын
Jakaya ..always happier May Lord bless you mzee
@yohanamaiga3031
@yohanamaiga3031 8 күн бұрын
Asante sana Rais Mstaafu Kikwete.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 күн бұрын
mnatakiwa muje na interview kuhusu afya kwa ujumla..huyu nasikia kuna vyakula hali na vingine anakula. alafu mazoezi anafanya sana..itasaidia hata watu wazima na vijana kuskia hekma yake. alafu watu wanajumlisha zaidi na kuishi maisha ya utauwa kumuita Mungu sana kila siku
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 8 күн бұрын
Hongera sana wa SA Fi Kwa interview yenye akili,💪💪💪
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 6 күн бұрын
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 6 күн бұрын
@@user-fr7jj1bo7y Sasa wewe ulikuwa wapi nawe si ungeba😲
@jumambaga7825
@jumambaga7825 4 күн бұрын
Big brain kikwete huyu mzee anamafira mapana sana busara na hekma mungu ampe maisha marefu🤝🔥👍🏾
@RogersMasamalo
@RogersMasamalo Күн бұрын
Watanzania hata ufanye kazi vp mazuri hawayaoni..mimi ni Kati ya watu ambao nilipenda kazi na uongozi na mabadiliko sekta ya biashara ya mitandao.
@ndonjelaurent3182
@ndonjelaurent3182 8 күн бұрын
Mh Jakaya Mrisho Kikwete una akili kubwa sana
@jumambaga7825
@jumambaga7825 4 күн бұрын
Yani pale kazungumza kwa hekma sana mzee anajua hapa kuna wahuni washagawana kiwanja lakn sasa najua ninamamlaka ya kuwajibisha ila ngoja nitumie busara niende kwangu kujenga dahh lini huyu mzee tutaonana kuvuna busara zake😂🔥👍🏾
@RogersMasamalo
@RogersMasamalo Күн бұрын
Watanzania hata ufanye mazuri vipi,wanaangalia mabaya tu Mungu anawaona jamani.
@jofreykivambe6520
@jofreykivambe6520 6 күн бұрын
JK mara ya mwisho tumeonana wakati wa maziko ya aliekuwa Waziri wa Fedha Mgimwa.....
@shadrackmijjinga9793
@shadrackmijjinga9793 5 күн бұрын
Mh.Rais ukimwangalia nikama hazeeki ila umri inaongezeka ..soon atakuwa na 74yrs kweli kala chumvi nyingi last time nilibahatika kukaa meza kuu Moja pamoja nae pale Mlimani during Udsm marathon 2023 ..hakika Bado Mzee JK ana nguvu zakutosha.🙏
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 күн бұрын
Shati zuri nyie,dah
@phaustinemmao424
@phaustinemmao424 8 күн бұрын
Msoga
@More_Tv111
@More_Tv111 5 күн бұрын
Rais wetu mpendwa
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 6 күн бұрын
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
@bonintajiri3958
@bonintajiri3958 6 күн бұрын
Mungu akubariki kiozi wetu
@jofreykivambe6520
@jofreykivambe6520 6 күн бұрын
Anazeeka JK... usiseme hazeeki, anaazeeka mtu wetu
@saidkajagale3716
@saidkajagale3716 4 күн бұрын
Tutunze afya ni mtaji
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 7 күн бұрын
Rais akasema hawa watu siwawez kwl uongoz kaz wale wenye D mbili tumemuelew mzee wa Msoga inabid tujiffunze namna ya kupata viongozi wazalendo kwl kwl hasa wale wapenda maendeleo ya watu wa chini lkn sio viongoz kama hawa ambao nachukulia raisi raisi tu vitu vya muhim kwenye jamii nzima sio kwa maslahi ya wachache
@EliaoleshengEa-pv8fu
@EliaoleshengEa-pv8fu 4 күн бұрын
Mimi sijui maana ya d mbili sjasoma nisaidie kk
Social Good Summit : Day 3 : President Jakaya Kikwete
14:25
Mashable
Рет қаралды 49 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 38 МЛН
KUSTAAFU ANZA MAPEMA USISUBIRI MUDA UFIKE
5:01
Wasafi Media
Рет қаралды 1,9 М.
STEVE KAMFATA DEM MBAGALA KISA NAULI KWA MGUU
11:24
Steve Mweusi
Рет қаралды 221 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 49 М.
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 200 М.
Все мы немного НИКА!
0:17
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 2,8 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 18 МЛН
Что произошло в ресторане!
0:16
Victoria Portfolio
Рет қаралды 9 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
0:25
Watch Me
Рет қаралды 25 МЛН