Elimu Yangu Inaniambia Kwamba Huyu Jamaa Hajajiita Yesu, Ila Lugha Aliyoitumia Kujielezea Ni Mzigo Mkubwa Kwa Lasaba Feria.😅
@hyarbrizzy5749Күн бұрын
sahh kabsa Chief 💪💪
@RamadhaniMsabaКүн бұрын
Hofu ya maisha isikupelekee mwanadam kumpa nafasi ya MUNGU
@AbdulAbeidjumanneJumanneКүн бұрын
Mungu akuongoze maana hujielewi ndugu yangu
@TausiJengaКүн бұрын
Napenda unavyo ishi mwenetu tembea kijichi sku 1
@lilyjones3584Күн бұрын
Huyu jamaa na hiyo imani yake ya kuchinja kwa kifupi ni kutoa kafara!!! Asije akaanza kutoa kafara binadamu badala ya wanyama. Inatisha 😢
@OscarAmos-y9xКүн бұрын
mpuuzi mkubwa. nadhani hata mungu anajuta kuumba kiumbe kama chif. hayo material bora angeumba ng'ombe watu wakanywa maziwa
@Mumewangu13 сағат бұрын
Leo nimeamini huyu ni freemanson manake watu hawa hawaabudu mungu. Wao nikufuru kwenda mbele tu
@davidsibejo4916Күн бұрын
Kwel freemason ipo hadhalani
@kilambojosephWalyobaКүн бұрын
Acha upuuzi kusaidia watu kusiwe kumbukumbu kwako wewe ya kujiereza
@Amani-z5y15 сағат бұрын
Huyu ndiyo wakala wa shetani ndugu zangu anaebisha abishe ila kuweni makini mtaingizwa kwenye mikataba msiyoijua ambayo itawaletea shida maisha yote.
@GodfreyMwendawila-ff7on13 сағат бұрын
Wakala wa shetan ni wew na si yeye maana akili Yako na yake ni vitu viwili tofauti, wakala namb Moja wa shetan ni wachungaji na mashehe ndo maana wengi wao ni mashoga kama wew na wangine wanajiita manabii wakati hawawezi kumshawishi Mungu awape hata mvua, Macheaf ndo wako kalibu na Mungu wanaomba chochote na wanapewa
@Massy-g9cКүн бұрын
Kiburi cha uzima
@juliusdonard9332 күн бұрын
N kwel kabsa mila na destur zetu lazima tuzikumbukee
@IkramMbegaКүн бұрын
Pumzi inakutaabisha anko
@petervicky7742 күн бұрын
Hey naomba kujoin kanisa lako bro
@AsumaniMAtanga2 күн бұрын
Hi guys
@mashramadhani1989Күн бұрын
Kuweni makini vijana mtanikita gizani
@zachariamakoba8368Күн бұрын
Huyu jamaa ni mjinga xn Mungu hana mizimwi ndugu, Mungu ana loho mtakatifu, wewe endelea kuwaza ushirikina na kuwaza kufungua masinagogi ya shetani, yesu akawambia mkiamua kwenda kwenye huduma au kunitumikia, msibebe mikoba au pesa, bali ongozweni na loho matakatifu sasa wewe jiwazishe ushetani wako nakwambia ivi wewe ndugu yangu kufumba na kufumbua utajikuta kwenye maumivu na mateso makali ya jehanamu, wewe jidanganye na misaada yako ya nguvu za giza na mizimu yako, kibaya zaidi unachezea sharubu za Muumba wako kwa kuwaza kufungua sinagogi la ibiris yetu macho duniani kwa machafuko mnayofosiwa kuyafanya 😢😢😢
@VivecCarolКүн бұрын
Wewe ni sali sali,.. utakufa maskini.. kwanza unatakiwa kutambua mila za Africa hapo ndipo na wewe ujitambue... Mwafrica ndio ana historia kubwa zaidi kuwahi kutawala dunia sema tu kuwa dini zinapumbaza sana na kufifiza ukuu wa mwafrica,.. ila ungejua ukuu wa mwafrica Mila na tamaduni hata huwezi kumuona huyo jamaa ana kosa katika mengine... Ila la kujilinganisha na yesu hapo ndio kosa ila mengine yote anayofanya ni sahihi zaidi kuliko kwenda kwa sali sali makanisani. Maana mnakuwa wajinga zaidi... Ngoja nitakuonesha kitu kama nikipata muda
@AbdulAbeidjumanneJumanneКүн бұрын
Acha kutisha watu ndugu yangu
@Mamshika2 күн бұрын
Huyu kaka nimetokea kutokumpenda kabisa sjui.kwa nini
@awadhyusuph57172 күн бұрын
Mpende munguu na mtegemeee yeye pekeee
@wiliamkatala10 сағат бұрын
Wivu huo 😂😂😂😂😂😂
@AbdulAbeidjumanneJumanneКүн бұрын
Mwenye pesa haongei saaaaana
@mashramadhani1989Күн бұрын
point
@FredyMbise-jy2lx14 сағат бұрын
Mwisho wako umekuja sasa
@OscarBravian2 күн бұрын
NEW SONG GOSPEL 👇 kzbin.info/www/bejne/mXOpqaiQp7xjjc0si=RZIf-BidYgAIXtnN