Chief Godlove amfanyia bibi yake surprise, ndiye aliyemlea ‘Alizaliwa na miezi 12 akiwa na meno 2’

  Рет қаралды 6,289

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

Пікірлер: 64
@pendosailo1989
@pendosailo1989 7 күн бұрын
Mjengee bibi nyumba nzuri... hiyo sio
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel 7 күн бұрын
Hamna tofauti na mazingaumbwe😂😂😂😂shulen
@HekimaSalama
@HekimaSalama 7 күн бұрын
Sanaaaa machawaaaaaaaaaaa
@fbr5113
@fbr5113 5 күн бұрын
Kweli amai ina raha yake. poleni san Congo. Yaani huku sisi watu wanaichezea amani hadi wanafanya raha zao zote wanazojisikia. Asante Mungu na Maraisi wa Tanzania wote mliopita na wa sasa mama Samia wetu hoyeeee
@princekiwia2216
@princekiwia2216 7 күн бұрын
Huyu ana utajiri wowote unashindwa kumjengea ata selfu ya room moja mtu aliye kulea aya maisha yamtandaoni nimeamin nimboyoyo tuu😂😂😂😂😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 күн бұрын
Pesa anazo ila za Masharti sana
@davisnitu890
@davisnitu890 7 күн бұрын
Tuoneshe wewe kwenu kwanza, kujenga nyumban kwenu siyo lazima ila kujenga kwako ni lazima
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 7 күн бұрын
wewe umejengea mama yako Ata Choo???
@geomangi6123
@geomangi6123 7 күн бұрын
hamna kutu ni show off tu😊
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 6 күн бұрын
Et jamani me nikajua surprise kamjengea nyumba mpya
@SamuelAndrasio
@SamuelAndrasio 7 күн бұрын
nakukubali sana baba.
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 күн бұрын
Bibi anamugopa😂😂
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 7 күн бұрын
Kilo 400 za mchele?? 😯😱Duuh mpaka ataota mpunga kichwani
@clarissekansayiza7812
@clarissekansayiza7812 6 күн бұрын
😂😂😂😂
@nehemiaambayuu2447
@nehemiaambayuu2447 7 күн бұрын
That's good
@homeandaway2811
@homeandaway2811 7 күн бұрын
PESA ZA MASHARTI NGUMU SANA JAMANI DAAAH 😂😂😂
@linahtairo1859
@linahtairo1859 7 күн бұрын
Pesa za masharti hatakiwi kufanya maendeleo nyumbani 😂😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 7 күн бұрын
Ma Babu na ma Bibi wengi hua hawapendi kuhama hata ufanyeje. Wengi hudhani kua ni kukataa kujengea wazazi, kumbe wazee hawa hua na mambo ya kukataa kuhama nyumba ambayo wameishi miaka 50+
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 7 күн бұрын
Basi paboreshwe
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 7 күн бұрын
Jenga nyumba nzuri bro...pesa unazodorisha mtandaoni zile nyumba mbovu ivoo duuh!😊😊...mm sina pesa kama ww lkn nakoishi hapafanani na apo kwa bibi ako..
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 күн бұрын
Pesa za chief sio za kujengea watu bali za kutoa sadaka zingatia alama za nyakati 😂
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 7 күн бұрын
bibi bado anasuka kisasa????
@KanotMapesa
@KanotMapesa 7 күн бұрын
Bibi hana aman kbx
@khamisomar889
@khamisomar889 7 күн бұрын
Never say never
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 7 күн бұрын
🏠🏫🏫🏰🏰🏰🏫🏫🏘🏘kwanza
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 7 күн бұрын
Pesa za uchawi inaonekana tu bila kuuliza
@golebenson4597
@golebenson4597 7 күн бұрын
Wazeee wengi hawapendi kuhama nyumba zao hataiweje tena ukiwaliisha wanakuwa wakali wao wanapenda kula vizuri na pesa kiduchu za mambo zao
@Polyn.123
@Polyn.123 5 күн бұрын
Upuuzi tu
@Mtu2011
@Mtu2011 7 күн бұрын
Uyo jamaa nim'binafsi anajifikilia yeye mwenyewe ili apate kuongelewa tu.aina aja yakwenda na makamera.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 күн бұрын
Bibi kama haamini,mbona kijana huyo bibi sasa mamako yupoje jamani bibi nywele kama hizo anawaka😂
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 7 күн бұрын
Surprise gani sasa na anaishi hapo 🤣🤣na camera za nini sasa mpaka kwa bibi yako
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 7 күн бұрын
Bibi hamuamini chifu 😂😂😂😂
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 6 күн бұрын
😄😄😄
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 7 күн бұрын
Chakulanacho nikitu chakutangazia ulimwengu tena unampamleziwako
@LucyKanyeghesi-xm9dl
@LucyKanyeghesi-xm9dl 7 күн бұрын
Mbona kama bibi ana wasiwasi😂
@OmieMari-x7d
@OmieMari-x7d 7 күн бұрын
Anajua mju kuu wake tapari hatari kwa michezo hatari😂😂
@giftmwamalabila
@giftmwamalabila 6 күн бұрын
​@@OmieMari-x7dhahahahahaha
@JokhaSaid-e1c
@JokhaSaid-e1c 7 күн бұрын
Mnunulie gas na nyumbani ya kisasa
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 7 күн бұрын
Mjengee ata kanyumba
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 7 күн бұрын
Watakujibu ni biashara, kama kuna maokoto watafanyaje
@fbr5113
@fbr5113 5 күн бұрын
BIBI ANAHISI KAMA GOD VYAKULA KAVIIBA NINI ETI HAELEWI VITU VIMETOKA WAPI MAANA GOD ALIKUWA MTUKUTU KWELI KUMBE UKUTE ALIKUWA JIZI SANA🤣🤣🤣🤣🤣
@dadyjo_
@dadyjo_ 5 күн бұрын
Daaah we mwanangu umenu😅😅😅😅😅 sana
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z 7 күн бұрын
Atumie nishati salama ya gass bwana mkaa vipi atapoteza macho
@Mamshika
@Mamshika 6 күн бұрын
Hapo hakuna baraka ,,baraka zinakuja pale unapotoa hata mkono wa kushoto usijue umetoa nini sasa cha kushangaza unaenda kutoa na makamera ili kujionyesha kwa watu kutafta sifa hii sio sawa ,hakuna cha watu kujifunza ni wajibu wa kila mtu kusaidia wazazi ,wazaz na wasiojiweza na pia sio kwamba wewe ni mtu wa kwanza kusaidia watu wengi sana wanasaidia na hawatangazi kwenye vyombo vya habari ,,mi hii tabia siipendi
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 7 күн бұрын
SASA HUYU MNATUAMBIA TAJIRI NA KUMNUNULIA VITU BIBIYAKE NI SURPRISE😢
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 6 күн бұрын
😀😀😀
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 7 күн бұрын
Niliisi ni surprise ya nyumba sasa magunia ya mkaa ya nn 😅😅
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 7 күн бұрын
Wazazi wengi wakisha kua hata ufanyeje hawezi kuhama. Mimi nilitaka kumjengea Babu yangu nyumba. Alisema kua yeye anahitaji chakula sio Nyumba. Turidhani ni kutokana na mda, lakini alikataa na kusema kua yeye atafia kwenye nyumba yake na kweli alifia kwenye nyumba yake
@hadijamohd6028
@hadijamohd6028 7 күн бұрын
Safi sana ❤​@@barrynzeyimana6270
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 7 күн бұрын
ZINGATIA,BIBI ANAOMBA HAJUI VITU ALIPOVITOA ILA MUNGU NDIO ANAJUA😅
@homeandaway2811
@homeandaway2811 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@zainab8251
@zainab8251 6 күн бұрын
😂😂😂
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 6 күн бұрын
😂😂😂
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 күн бұрын
Sasa hivi ni vitu vya kuweka kwa mitandao 😢
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 6 күн бұрын
Ni maajabu
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 6 күн бұрын
HOMME KUMECHOKAAA;AU PESA NI MASHARTI HAYO? HATUTAKI BIBI HUYO AUMWE;MAANA HAMKAWIII NINYI HAPO KUFANYA YENU;MAMAE
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 7 күн бұрын
Pesa ,,za p@k@ ,,,,,hazinaga hasala😁😁😁😁✍️
@mudywaya328
@mudywaya328 7 күн бұрын
bibi usiwenashaka uyoni kijanawako mnzuli usiwe nawasiwasinae
@fbr5113
@fbr5113 5 күн бұрын
MCHELE WOTE HUO HUYO BIBI SIMTAMUUA MAANA ATAKULA HADI UTAOZA MTIE SUMU TUMBONI BURE
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 7 күн бұрын
Unajia SnS you can do better than this bwana. Hivi watu kama huyu mnawapa airtime za nini?Kwahiyo hadithi hii inatufundisha nini? Tuwanunulie bibi zetu majunia ya mkaa? 😂😂 Ni huzuni kwakweli
@homeandaway2811
@homeandaway2811 7 күн бұрын
Afadhali na wengine mseme, yani SNS sikuhizi wamekosa focus they are all over the place.
@zainab8251
@zainab8251 6 күн бұрын
😂😂😂😂
@Zuuh107
@Zuuh107 7 күн бұрын
𝗠𝗺𝗺𝗺𝗵 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (Official Music Video)
4:55
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,2 МЛН
Goodluck Gozbert - WAONYESHE (Official Video)
3:40
Gozbert Ministries
Рет қаралды 319 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
GIGY MONEY THE REALITY - EPISODE 06
24:09
ZamaradiTV
Рет қаралды 19 М.
HAWA HAPA WATOTO WALIOJITEKA KIGAMBONI| WADAI HELA KWA WAZAZI WAO
10:59
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН