CHIEF GODLOVE AONGEA MAMBO MAZITO YA KIUCHAWI ALIYOFANYIWA GOODLUCK GORZBET/ ANITAFUTE NIMSAIDIE

  Рет қаралды 70,764

Lokoma Tv

Lokoma Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 220
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 Күн бұрын
Asante baba me nikupongeze sana chief kwa sababu wewe unajua kutetea wachawi wenzako kudadeki inaonekana umelipenda sana hilo gari ni vile tu unafichaficha alaf inaonekana unapenda zawadi kajamaa
@augustkessy1572
@augustkessy1572 14 сағат бұрын
Chief ni intelligence sana umeongea points sana kama vipi bora angeliuza tu hiyo hela ikasaidia hata watoto yatima.
@PriscaShaban
@PriscaShaban Күн бұрын
Mm timu Godluck bhana❤❤❤❤
@macleanmwakasangula7639
@macleanmwakasangula7639 23 сағат бұрын
Huna iman kama mwenzio aliechoma gari!! Mwambie achome na milion 2 alizopewa!!
@MathiasJephterKilumambasa
@MathiasJephterKilumambasa Күн бұрын
Umetisha sana bro nimekuelewa kaka umetema madini bro
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Күн бұрын
Maoni yako nimeyakubali, yana Mashiko na Hekima na Funzo. Barikiwa
@Jessie-recap
@Jessie-recap 3 сағат бұрын
Kweli bro unafacts nyingi sana
@SammyCharo-y8k
@SammyCharo-y8k Күн бұрын
Alie kama huyu niteteeeni pls ❤❤❤❤nitasaidia
@kenjipressident190
@kenjipressident190 Күн бұрын
Inshot ukweliii anaujuaa mwenyew good luck
@Mgombele
@Mgombele Күн бұрын
Uwakikaa broo
@richardmathayo5537
@richardmathayo5537 Күн бұрын
​@@Mgombeleukweli gani kafanya ujinga
@RaymondBoniface-lc5qv
@RaymondBoniface-lc5qv 21 сағат бұрын
​@@richardmathayo5537Maisha ya mtu ni siri wewe unazani nani hapendi vitu vizuri mzee
@abdallahmpahi2684
@abdallahmpahi2684 Күн бұрын
😂😂 Kiukwel nimelipenda aaah kumradhi😂
@jublethJackson-e5y
@jublethJackson-e5y Күн бұрын
Bola ata angeliludisha tu kwa mwenye alie mpa 😂😂😂😂😂
@HassanPacha-f9w
@HassanPacha-f9w Сағат бұрын
Mwanangu leo ndio nimekusikiliza mpaka mwisho umeongea vizur sana
@DavidLuango-u4s
@DavidLuango-u4s Күн бұрын
Chif You are very intelligent.❤
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Hapo huyo hajui lolote
@Jafarani-r6g
@Jafarani-r6g 13 минут бұрын
Ndio ajui kabisa aya mambo ya kiroho na mshauri ni Mungu2​@@trophywilson7211
@linusmassawe-f4p
@linusmassawe-f4p 16 сағат бұрын
Ongera kwa point zenye uponyaji kwa ndg yetu maan hatujui anayo pitia
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Сағат бұрын
Chief leo ameongea ukweli leo... Gozbet hayuko sawa
@mabulamwandu280
@mabulamwandu280 13 сағат бұрын
ni kweli
@Emmanuel-q7b
@Emmanuel-q7b 4 сағат бұрын
Angemrudishia mwenyewe kuliko kulikokuishoma Mimi hatakulayangu niyashida weweunashoma gari nduguyangu Mimi natamani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
@TundaEmanuel-ns8kj
@TundaEmanuel-ns8kj Күн бұрын
Mwaka umeanza hiv🔥🔥🔥
@RahelAdamu-r6r
@RahelAdamu-r6r 5 сағат бұрын
Chief umeanza vizuri umekuja kuharibu mwishon.. mganga wa kienyeji tena
@WinnieChrispin
@WinnieChrispin 17 сағат бұрын
Daaaaaah
@Rev.ezekielhOlemaika
@Rev.ezekielhOlemaika 19 сағат бұрын
Chief Wewe ni Mtu wa Maana sana
@AmaniRazalo
@AmaniRazalo Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kweli chifu umenena
@kubwayophanuel7428
@kubwayophanuel7428 Күн бұрын
Kabla hajalichoma amesema kama atachukiwa Sana,Sasa hivi kila kona wanamulaumu!! Leave this guy alone he deserves the best
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Күн бұрын
Haisaidii yeye kusema hivyo
@EfrosinaMligo
@EfrosinaMligo Күн бұрын
Anajua kafanya ujinga ivyo wenye busara lazima wamseme. Kama hakulitaka basi asingepokea. Na kama alipokea labda Kwa kutokujua basi hata angeliuza na Hela akawape hata yatima huko. Au angefunga na kuliombea ilo Gali Ili mungu alihalalishe Kwa matumizi
@Mashaka-r8v
@Mashaka-r8v Күн бұрын
Chief ni genius sanaa
@venanceanney9289
@venanceanney9289 22 сағат бұрын
hana akili
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 19 сағат бұрын
😅😅😅​@@venanceanney9289
@bhponlinetv5000
@bhponlinetv5000 Күн бұрын
Fantastic fact
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Күн бұрын
Pole sana Gozibat,kiukweli kuna tatizo ila wazaz wako wameumia sana!
@allentweve3211
@allentweve3211 Сағат бұрын
Nan asiejua undani wako na huyo nabii wako gio bwana....mnatoa sadaka chafu😮😮😮ila yote hupita tuu jiandae kurudi chini sawaa😂😂😂😂
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi Күн бұрын
CHIEF sio nd mifuasi yenywee ya Shetani hiyooo
@SxllxvioBLN
@SxllxvioBLN Күн бұрын
God has rich mentality
@TevesJerome
@TevesJerome 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 inaumasana kwamayisha tuliyopitya sis😂
@zastarqueen9698
@zastarqueen9698 3 сағат бұрын
Ni sahihi
@Lazarobonface974
@Lazarobonface974 13 сағат бұрын
Hili swala nimelipenda 😂😂😂😂😂😂😂😂
@GraceHangaya-d6i
@GraceHangaya-d6i 6 сағат бұрын
😂😂😂😂kilichoko moyon kimetoka
@officialmanlove8605
@officialmanlove8605 Күн бұрын
Chifu akili nyingi sanaaa
@puffbigiri2464
@puffbigiri2464 11 сағат бұрын
Huu jamaa sema anahakili nyingi sana,jamaa namkubali sana
@kenjaboy8070
@kenjaboy8070 20 сағат бұрын
God love kaongea kitu kama umemuelewa gonga link hap tujuwane❤❤
@MOEDEE-d
@MOEDEE-d 22 сағат бұрын
Maybach ipo wap 🎉🎉
@godsonmgisha5517
@godsonmgisha5517 16 минут бұрын
Au sio mganga wa kienyeji
@PascalKanolo
@PascalKanolo 16 сағат бұрын
Daaa inasikitisha sana
@Drop_white
@Drop_white Күн бұрын
Point 🎉🎉🎉🎉
@Jafarani-r6g
@Jafarani-r6g 14 минут бұрын
Sawa lakini ww umekurupuka fanya research kiroho zaid pia mungu akisema amesemaa ata ukachukizwa ww sawaa ndgu mshauri mkuu ni mungu ila ndg gar ni uchafu alafu mungu no 1
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 Күн бұрын
Kweli hapa, kunawatu wanaitumia hii kujikuza, afu lazima ashapewa ki2 ili afanye hivyo😅😅😅
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Күн бұрын
Umeongea point
@barakamando2706
@barakamando2706 Күн бұрын
Ubarikiwe
@PhiniaceMartine
@PhiniaceMartine 12 сағат бұрын
Kaa kimya sio kila kitu unajua
@JoaquimMashalangende-fw7xs
@JoaquimMashalangende-fw7xs Күн бұрын
Kweli kiongozi umeongea sanaaa
@Mgombele
@Mgombele Күн бұрын
Kwaiy kumbe ukinunua tu gari umefanikiwa😂😂😂😂😂
@VictorBugobola
@VictorBugobola Күн бұрын
😂😂n aina za mafanikio alafu ukiwa na gar uwezi uliza swal Kama ili...moja ya mafanikio n nyumba,gar biashara kumiliki hati miliki zisizo amishika unazan kununua gar n rahis Kama swal lako b
@almasmanumbu7945
@almasmanumbu7945 Күн бұрын
Kununua gari ni kufanikiwa duuu mwaka umeanza vyema sisi tunaiga mambo sana kutoka kwa wazungu 😂 alafu unaona ni mafanikio kuwa na gari mtu aliyefanikiwa ni yule aliyewekeza akili na nguvu zake kwa mambo yasiyoharibika ka vile shamba,nyumba nk ​@@VictorBugobola
@josephatSwai
@josephatSwai Күн бұрын
Jamaaa kazingua kweli asee
@ArmandoArmandoBernardo
@ArmandoArmandoBernardo 4 сағат бұрын
hajashauriwa na mtu.bali uwezo wake wakumuamini Mungu ndiyo imetokea iwe ivyo
@AmmielNzala-fu4xu
@AmmielNzala-fu4xu Күн бұрын
Jamaaa kazingua anatumika na wanafiki
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 Күн бұрын
Nashangaa watu wanaongelea maamuzi ya mtu!, watu wanaoongelea maisha ya watu wengine huwa ninawashangaa sana. Kilichompata mnakijua?
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 16 сағат бұрын
HAKUNA CHA NABII MKUU WALA NINI WOTE NI WASHILIKA WA KUZIMU
@NYOTAWAMCHONGOTV
@NYOTAWAMCHONGOTV Күн бұрын
Yaani hiyo gar imeniuma kama siku Ile naachika😂😂😂
@Lassana755
@Lassana755 Күн бұрын
kwani mtu akiachwa anaumia
@HerriThabiti-qd5rr
@HerriThabiti-qd5rr Күн бұрын
Juzi mama wamtufurani alikataa gari alilopewa na mwanae
@EnockLubengo-uu3zi
@EnockLubengo-uu3zi Күн бұрын
Point
@allentweve3211
@allentweve3211 Сағат бұрын
Hata ww bwana ni mchawi tuu....kilicho cha giza kinarud kwa giza na kilicho kitakatifu kitadumuuu....kitu cha mizumu unakitakatishaje na sala!?acha wenge na ww😂😂
@mcfabian2190
@mcfabian2190 Күн бұрын
Angeirudisha bas si kuchoma benz
@Poppin_Joe
@Poppin_Joe Күн бұрын
Tatizo lako Kamdomo sana hujui kitu
@GiftAbduly
@GiftAbduly Күн бұрын
Kama mamb haya wahusu msiyamzunguzie na kutia viherehere bure ikiwa ukweli kamili hamuujui
@SammyCharo-y8k
@SammyCharo-y8k Күн бұрын
❤❤❤❤❤
@KulwaAthumani-j5c
@KulwaAthumani-j5c Күн бұрын
Msenge sana uyo
@MosesMichael-i1j
@MosesMichael-i1j 20 сағат бұрын
Akili nyingi san broo
@Kaida_Cut254
@Kaida_Cut254 8 сағат бұрын
Kanye west walimchukia sana kwa maamzi yake Ila kwa sasa wanamuelewa sana.
@mabulamwandu280
@mabulamwandu280 13 сағат бұрын
hii ni kweli ni depression kuruhusu nafsi ya hivyoo kuingia katka ufahamu wako
@boxdad
@boxdad Күн бұрын
Yeye ndiye anaujua ukweli nyie wengine wote wanbea tu tumuombe mungu atupe uzima tutajionea mengi
@shld7508
@shld7508 Күн бұрын
Kwamba Yesu aliharibu vitu kwny synagogue ili apate attention!! We jamaa ni shenge sana
@ernestphanuel6360
@ernestphanuel6360 22 сағат бұрын
Acha ujinga ww hakuna anaewezachoma gari bila sababu za msingi, kumbuka nabii mwenyewe alisema hatoi bila faida. Umejiuliza faida gani nabii kaipata baada yakutoa hilo gari
@ZunguZungu-x8q
@ZunguZungu-x8q 20 сағат бұрын
Wee ndio tumia akili kuchoma gar la kuludisha au kuligawa kwa watuu wenye uhitaji maalum kipi sahihi
@BahatiKwega
@BahatiKwega Күн бұрын
Safi chif
@JohnSanjo-r4t
@JohnSanjo-r4t Күн бұрын
yesu hakutaka attention pale , waligeuza nyumba ya baba kuwa ya wanyanganyi
@SeifHaruna
@SeifHaruna 12 сағат бұрын
bora angalipeleka kwa watot yatima lingeuzwa wangepata maitaji
@johnsangawe-y3e
@johnsangawe-y3e 20 сағат бұрын
Wachawi mnajua kuteteana, unajua kabla hajapewa kuna maneno gan yaliyonenwa kwenye hilo gari. Halafu yeye pia mtu mzima ana roho mtakatifu anamwongoza, hao waganga ni msaada kwako sio kwake
@vincej9275
@vincej9275 23 сағат бұрын
Umesema nilivyo fikiria 100% . Kama uliamini gari ulipewa kwa ubaya, ni bora ungeirudisha kwa mtumishi aliyekupa. lakini sio kuichoma. That was an insult to the person who gave it to you.
@JastniMabena
@JastniMabena 18 сағат бұрын
Good luck ndo anajua ukweli
@Maico-r9f
@Maico-r9f Күн бұрын
Huyu nae sijui
@HebroniMwakanyika-rw3xl
@HebroniMwakanyika-rw3xl Күн бұрын
Nimekuelewa chiefu
@rajabually869
@rajabually869 Күн бұрын
Kafanya sio kwakweli hili
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
kafanye kweli wewe
@TomasDuduvicoGabriel
@TomasDuduvicoGabriel Күн бұрын
Kwely kabisa goodlove
@derickmabeyo951
@derickmabeyo951 Күн бұрын
Chief anaongea hapa ili apate shavu kwenda kwa nabii mkuu
@GodlistenMtemi
@GodlistenMtemi 21 сағат бұрын
Kati ya comment nzuri ni hii
@zuberimbunifu1998
@zuberimbunifu1998 Күн бұрын
Sio kumlazi jambo Hilo umelipenda
@AnithaChinyeu
@AnithaChinyeu 21 сағат бұрын
Wewe mwenyewe pia,hauko sawa usimshihaki Mtumishi wa Mungu maana hata wewe vyote unavyovimiliki hatuelewani umevipata kwa njia gani na huyo Mungu wako unaemtumikia ni wa aina gani?.Hakuna alie sahihi chini ya Jua
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 18 сағат бұрын
Mbona ameshaeleza na akatoa Mpaka ushauri kuhusu uwekezaji.
@JosleenEmma-ed5xu
@JosleenEmma-ed5xu 16 сағат бұрын
Akuna mtu anaejua aliyoyapitia mbaka kuchoma ilo gari
@sirkapese2428
@sirkapese2428 21 сағат бұрын
Hilo gari ungetangaza unagawa tusio na magari kama ningekimbilia 😢😢😢
@PaulineSighis
@PaulineSighis Күн бұрын
Umeongea Point kaka
@latifamchomvu4735
@latifamchomvu4735 Күн бұрын
Angelirudisha tu hilo gari kwa mwenyewe na sio kuchoma
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
anayo maamuzi
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 Күн бұрын
Wew mnyakyusa em tulia hujui kapitia mangap
@MseveniDavid-l6n
@MseveniDavid-l6n 16 сағат бұрын
Wewe ni tahira kama tahira wengine
@PaulineSighis
@PaulineSighis Күн бұрын
Angenipa mimi hiyo gari dah..
@MOHAMEDIKAMBONA-q5y
@MOHAMEDIKAMBONA-q5y Күн бұрын
Mutakuja mufe kwa mitamaa
@macleanmwakasangula7639
@macleanmwakasangula7639 Күн бұрын
Kafanya kwa kuwafurahsha watu na sio kusud la mungu coz alikuq anaweza kuchoma bila kurecord
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx Күн бұрын
Alichosema nikweli kabisa, ilibidi alitakase tu, aendelee kutumia, ameogopa maneno ya watu, kama ameokoka kweli Angefunga na kuomba ,wala asingehangaika kuchoma moto,
@HerriThabiti-qd5rr
@HerriThabiti-qd5rr Күн бұрын
Amechoma njoka wenu ndio maana mnaongea
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 Күн бұрын
Unatetea kwakua wote ndio walewale
@OptunaMwinuka-gm4lv
@OptunaMwinuka-gm4lv 23 сағат бұрын
Huyu jamaa yupo sahihi ,kakosea kuchoma gari ,:mtumishi wa mungu unachomeje gari na una yesu moyoni , kama damu ya yesu inatakaza kabisa
@mwitaprotus7649
@mwitaprotus7649 Күн бұрын
Sema umelipenda acha kujidai na kingine vitu vya kichawi lazima tuchome moto
@TevesJerome
@TevesJerome 21 сағат бұрын
1:37 1:40 yani jama nikuma sana
@JeremiaMheza-m8h
@JeremiaMheza-m8h Күн бұрын
Chief Naomba msaada wako nipate gari na Mimi
@chazzactioncomedian831
@chazzactioncomedian831 23 сағат бұрын
We bwana una akili sana.. Mungu akujalie sana
@TlsmsababKamugisha
@TlsmsababKamugisha Күн бұрын
Chief akili nyingi bro tisha san
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 Күн бұрын
Kwan yey hana uwezo wa kununuw bola alchome2😢
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Күн бұрын
Ndo ujue wachungaji wengi ni feki Yani mnamuogopa mchungaji au gari kwanini msiliombee kama Kuna uchawi na mapepo yatoke ndo muda mwingine naona hizi dini ni biashara kwahio atukuzwe mganga kwa kuishinda vita ya wachungaji 😂 Yani haiingii akilini
@HarunaArmani-i8i
@HarunaArmani-i8i Күн бұрын
Oya tulia yukosahihiii Nyotayake imepelekwa
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 Күн бұрын
Naam mwenyew hakiri. Amekusikia
@LowassaLowassaboy
@LowassaLowassaboy 23 сағат бұрын
Vitu vingi tunavyo miliki sio sahihii kikubwa nikuviombea soo nimekuelewa san kama gari ndo lenye matatizo bc liombeweeee
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
GOODLUCK GOZBERT NA WACHOKONOZI
20:24
WACHOKONOZI
Рет қаралды 17 М.
Nvidia CEO Huang New Chips, AI, Musk, Meeting Trump
15:28
Bloomberg Technology
Рет қаралды 207 М.
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 153 М.