KAULI TATA YA RC CHALAMILA INAYOSAMBAA KWENYE MITANDAO, MWENYEWE AITOLEA UFAFANUZI "KUNA UPOTOSHAJI"

  Рет қаралды 31,156

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@mhojapetro
@mhojapetro 8 сағат бұрын
sikuona kama Kuna sehemu ulikosea , hongera kwa kazi.
@madelynillu3818
@madelynillu3818 10 сағат бұрын
Mimi naona bado hajajibu chochote Mh alitoa kauli ambayo si nzuri na alisema akijimjibu yule mama kua chukua usafiri rudi nyumban mwambie mumeo achukua mikasi na akusaidie kujifungua hiyo ndo kitu anachotakiwa kujibu, kwann asingeanza kumpa elimu na kumsaidia je alijua hali ya maisha ya huyo mama
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 сағат бұрын
Ile kauli ilikuwa mbaya sana na kama hospitali zetu zikifuata ile kauli wananchi wengi watakosa huduma. Kwa mama mjamzito hakustahili majibu yale
@mussaissa6796
@mussaissa6796 4 сағат бұрын
SASA UTAJUAJE KUWA HUYU NDIO YULE ALIYETUMIA HELA KWENYE KIGODORO NA HUYU NDIO AMBAYE HANA KWELI HIYO PESA YA KUJIGHARAMIA!!?
@prefectalex9397
@prefectalex9397 4 сағат бұрын
Aksante sana!! Ukija hivi na yeye anakuja hivyo ulivyokuja. Huwa watu wanamchukulia kama mtu wa masihara, lakini anajua kuishi na watu sana huyu ngugu kwa kweli. Anafaa sehemu anayokaa sanaa🙏🙏
@happygombe1969
@happygombe1969 8 сағат бұрын
Yani kwaleo sijapenda ulivyo ongea kwa kuwakejeli wajawatizo , wewe kama mkuu unaongea shombo je? Hawa manesi , wakunga ndio maana nawao wanajibu wagonjwa vibaya . Kwakweli leo ndugu umeongea hovyo
@ReganUiso
@ReganUiso 11 сағат бұрын
Bado cjakufahamu vizur mkuu..embu jarbu kufahamu kuwa unaongoza watu wa aina tofautitofauti..xx usiongelee group fulan kukandamiza wengne wasiokuwa na uwezo..umekosea sana yan
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 9 сағат бұрын
Hujamuelewa yukosahihi nahayandiotunayokutananayo
@mboneamsuya
@mboneamsuya Сағат бұрын
Wengine hapa ni MACHAWA hili ni tatizo.tumeshindwa kujitawala.uchwa kila mahali😅
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 10 сағат бұрын
Chalamila kapiga kwenye mshono punguzeni mambo yasiokuwa nalazima msema kweli mtoto wa mungu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nelsonnanyaro3882
@nelsonnanyaro3882 55 минут бұрын
@@mbikamtanganaki uchawa peleka Kuleeee
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 12 сағат бұрын
Mkuu upo sawa kabisa. Waafrika tunapenda sana kuwekeza kwenye vitu visivyo na umuhimu
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 11 сағат бұрын
Watu pia ni waelewa,usidani kuwa ni wajinga,laiti kama ingekuwa ni nesi kaongea hiyo kauli angekuwa wap mda huu?
@Moviesinkiswahili
@Moviesinkiswahili 10 сағат бұрын
punguza uchawa
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 10 сағат бұрын
Hizo siyo kauli za kiongozi sahihi
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 9 сағат бұрын
@@hassanrashid-l3u hii nchi tumeleana vya kutosha, Tena Marekani utajua kwa Nini wanaendelea, huku kwetu hasa watu wa Hali ya chini, wanauwezo wa kushindana kutoa pesa kwenye masherehe, lakini Hana hata bima ya 54,000 ya mtoto wake. Ifike nahali tuache siasa tuzungumze uhalisia
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 9 сағат бұрын
@@jimmyhabarugira4232 asipo zungumza kiongozi atazungumza nani
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile 3 сағат бұрын
Wanasiasa wameharibu Taaluma ya Afya
@marrylinmshana7273
@marrylinmshana7273 5 сағат бұрын
Mkuu acha mambo mengi omba msamaha umetumia kauli mbaya kwenye issue ya msingi.Pia hakuna za rais samia hizo ni kodi za watanzania
@fadhilmwasile6600
@fadhilmwasile6600 13 сағат бұрын
Kumuelewa RC Chalamila inahitaji akili kubwa mno Kwa watanzania wengi ni ngumu kumuelewa kabisa.. ila kiongozi Bora husema ukweli daima na msimamo ndo kitu mhimu Kwa kiongozi Bora.
@MsAggie5
@MsAggie5 12 сағат бұрын
Dawa za mama Samia? Anazitoa wapi? Mfukoni mwak? Achague maneno ya kuongea
@silverman6930
@silverman6930 11 сағат бұрын
He spoke facts and you need a bigger brain to understand him .
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 8 сағат бұрын
Hakuna akili huwezi ukamjibu mgonjwa vile harafu uonekane uko sahihi ukiwa kiongozi inatakiwa ujue Kila hatua ya kauli zako na Hali zao hakuna anaejua lini ataumwa na ataumwaje maana hakuna bajeti ya ugonjwa ambayo unaweza kutosha Kucheza ngoma ni Moja ya furaha ya watu katika jamii zao sio uwafanye watu ni wajinga kwa tamaduni zao hilo halikubaliki
@OmaryLizizime
@OmaryLizizime Сағат бұрын
Nakodi zetu zinaendawapi
@gothardmwango6119
@gothardmwango6119 11 сағат бұрын
Together Sir. Chalamila. Waliosoma Cuba tu ndio watakuelewa
@HassaniOmary-m7j
@HassaniOmary-m7j 2 сағат бұрын
Huyu mkuu wa mkoa amelewa na madalaka
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 13 сағат бұрын
Sasa hap Mh. Rais anaingizwaje tena hapa 😅😅😅
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 10 сағат бұрын
Uko sahihi kiongozi, fanyakaziiiiiiiiii, achana na wapuuzwa wanaochokonoa hiyo kauli yako wamelaaniwa.
@mboneamsuya
@mboneamsuya Сағат бұрын
Wewe ni tatizo.unakula pesa zetu za kodi.je,huyo mtu alikuambia alicheza ngoma lini?.hufai kuwa kiongozi wetu your a comfoter hufai kwa matamshi yako.
@SuleimanKisesa
@SuleimanKisesa 4 сағат бұрын
Tuanze na hapa kipato Cha chini kwa siku shillings ngp?Kisha tutafahamu kama huyu mtu ni mzembe kuweka elfu 20 kusibilalia kuumwa ajiuguze?au ndio Hali halisi ya Mt WA chini
@petermasanilo732
@petermasanilo732 3 сағат бұрын
Kauli hiyo alisema kaitoa kutoka hosptali fulani na siyo kwa madaktari wa Samia
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 11 сағат бұрын
Tumepewa ukweli wetu. Sasa inatuuma. Tuendelee kutafakari, kuombea matumbuzi hakutatusaidia.
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 3 сағат бұрын
Ushauri kwa malaka ya uteuzi, uwepo utaratibu kwa wateuliwa wawe wanapimwa afya ya akili kama nchi zingine, maana wateuliwa waliowengi hutoa kauli za hovyo kama hii kauli ya chalamila
@JosephatiKisinda
@JosephatiKisinda 4 сағат бұрын
Punguza kilopoka jilani Yangu
@jamesemmanuel6730
@jamesemmanuel6730 4 сағат бұрын
Binafsi nadhani hakuna shida ni misunderstanding tu... 📌 Speech Iko sawa
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 11 сағат бұрын
Mkuu hauna nia mbaya umetoa elimu katika jamii kuhusu matumizi bora ya fedha
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 4 сағат бұрын
Upo sawa kiongozi hata sisi tunajua kwamba inatakiwa kufanya mandalizi
@HamisiSela-s1c
@HamisiSela-s1c 6 сағат бұрын
Uko sawa mkuu wa mkoa safi sana
@MinchandeManeno-te4zg
@MinchandeManeno-te4zg 4 сағат бұрын
Mifano yake hailingani kabisa, maneno kama hayo hayafai
@gilbertelking9919
@gilbertelking9919 2 сағат бұрын
Sisi tunalipa kodi
@DismasMaturine
@DismasMaturine 2 сағат бұрын
Pole sana RC chalamira mbona umetoa elimu nzuri sana kwetu wewe hufundisha kwa kuchekesha ili yatuingie vichwani , wabaya ndiyo wanaotaka ku exaggerate maneno yako,
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 9 сағат бұрын
mimi kwa mawazo yangu sio dawa za mama samia nidawa za walipa kodi
@HeavyMwakalobo
@HeavyMwakalobo 4 сағат бұрын
MH chapa kazi, wana nchi tunajua Afya njema ni Mtaji
@deohaule98
@deohaule98 10 сағат бұрын
6:57 Raisi samia hana dawa, dawa ni za wananchi na ndio walipa kodi. Uraisi ni dhamana kama ilivyo dhamana nyingine. raisi ni mfanyakazi kama mfanyakazi mwingine wa serikal, amekalia kiti cha uraisi kwa kura za watanzania ambao wamemkabizi majukumu ya uongozo na wanaweza ku mtoa madarakani. Naomba tuache kutengenza ufalme usio na mashiko.
@zablonsegere2367
@zablonsegere2367 23 минут бұрын
Kumbuka furaha ni sehemu ya Afya hivyo vigodoro ni sehemu ya michezo
@ErastoMkonda-w3e
@ErastoMkonda-w3e 3 сағат бұрын
Kumbukeni selikali inasema mama wajawazito wanatakiwa watibiwe bule leo unawajibu hivo
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge 2 сағат бұрын
Unategemea bure.fanya kazi upate hela. Ili ukiweka mimba jua kabisa kwamba hakuna kitu cha bure.acha akili fupi ya kutaka kila kitu ni bure.tafuta hela Acha kulalamikia serikali.
@SamweliChacha-l4y
@SamweliChacha-l4y 12 сағат бұрын
Upo sawa mkuu
@salwasalum6758
@salwasalum6758 9 сағат бұрын
Sio kila mmoja anauwezo kama wewee kuna nchi nyingi tu duniani ikiwa pamoja na oman huduma za afya ni bure ...serikali ndio yenye wajibu wa kutunza wananchi wake....ww unaye kubaliana na hiki kama si ww basi mtoto wako au mjukuu wako atakuja kufanyia kma hvyi...tuduni kama tudani...
@SimonMabigi
@SimonMabigi 11 сағат бұрын
Unakauli mbaya sana kwakuwa mnajua ela mnachukua tu hamzitafuti nyie😢
@SimonpaschalMathias-j9p
@SimonpaschalMathias-j9p 9 сағат бұрын
Za Samia tena kumbe dawa ni kwaajili ya Samia ? Mmmm dah ndiyo maana sisi tunapitia magumu kumbe sio haki yetu kutumia dawa sisi ni wavamizi😢😢😭😭 kweli pasipo maono taifa laangamia!
@JeremiahKaliwa-h1w
@JeremiahKaliwa-h1w 12 сағат бұрын
Kauli zako ni ngumu si miiko ya uongozi badilika mkuu, vp kuhusu SKELLETON?
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk 23 минут бұрын
Tupo poa tu hakuna doubt
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 11 сағат бұрын
Siyo wote wa vigodolo wengine awajiwezi kabisa kwa kipato maisha magum sn, kwa hilo umekosea kiongozi wetu
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 8 сағат бұрын
Sawa ni kiongozi wenu ila mropokaji sana na anadharau sana
@HeavyMwakalobo
@HeavyMwakalobo 4 сағат бұрын
Wasio jiweza wanakuja na barua ya mtendaji kuonyesha hajiwezi na huduma anapewa
@IsaacKalenge
@IsaacKalenge 8 сағат бұрын
Haikuwa kauli ya Kiongozi,Ulikosea sana,wewe unaongoza watu wa akili tafauti na kipato tafauti,Kauli kama hiyo ni ya kukatisha tamaa
@JemsKasmu
@JemsKasmu 5 сағат бұрын
Mwenye akiri timamu kaelewa chiz ataenderea kuleta hoja
@doellatv6807
@doellatv6807 4 сағат бұрын
Huyu fara sana.
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Сағат бұрын
Elfu 50 kama sina.nifariki Kwa hiyo
@MohamedHassan-w6f9z
@MohamedHassan-w6f9z Сағат бұрын
Jamaaa sijawahiii kumwelewa kabxa aixeee
@doellatv6807
@doellatv6807 4 сағат бұрын
Hii kauli ni kauli ya kishenzi kabisa. Kwasababu sio Kila aliekosa pesa ya matibabu anacheza vigodoro.mzee umechemka haifai hata kuwa Mtendaji wa mtaa.
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge 2 сағат бұрын
Kwa mtu mzima anayejua maisha.hakuna kosa kwa mkuu wa mkoa .piga kazi mkuuu.ulichokiongea ndiyo uhalisia wa maisha.kwa hili mimi nakuunga mkono.
@KelyJames-z4r
@KelyJames-z4r 10 сағат бұрын
Huo mkoa wananchi wamezoea uwongo ,lakn MH.Chalamila uko sahihi mtu anawekeza hela kwenye vitu vya anasa kuliko kwenye Afya yake !!
@GasparMfoi
@GasparMfoi 2 сағат бұрын
Kunamaskini jaman nchii unawaongelea akinanani watu hawaingiz hata buku kwa cku mkuu
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 6 сағат бұрын
Tunaiomba serikali warudishe Bima ya Afya KWA mama mia mzito! Hiyo ilitusaidia sana kupunguza kero ktk mahospital yetu! Pamoja na kupunguza Hizo Lugha mnazosema chafu!
@NicholausZongo
@NicholausZongo 2 сағат бұрын
Hospitary za serikali ghalama kubwa kumuona daktari serikalini 15000.binafsi 5000
@rajabukitego1662
@rajabukitego1662 11 сағат бұрын
Hapo,ni,shida,serekal,inapochukuwa,wanamuziki,hamsin,wakacheza,muziki,kusherehesha,chama,fulan,alaf,serekar,inaenda,kukopa,bas,sherehe,zote,zipigwe,malufuku,pesa,zipelekwe,hospitar
@KalicKaguz
@KalicKaguz 11 сағат бұрын
Nimekuwelewa vzur kaka piga mwendo
@Kisigino
@Kisigino 6 сағат бұрын
Kukosea ulikoaea
@Bwigane1
@Bwigane1 39 минут бұрын
Duuh hii si sawa. Kumwadhibu mtu kwa madaraka gani? Mbona tunapotoka hivyo? Kuna nini? Something is very wrong wallah!
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 7 сағат бұрын
Je huyo mama alionekana kwenye kigodoro ? Mpaka ifikie mahala kakosa pesa. Ni vyema kiongozi ukajishusha kwa wananchi wako ukawa na upweke na unyekevu kwa sababu rafiki wa kweli wa mwananchi ni selikali yake,
@SilasShopinvestment
@SilasShopinvestment 7 сағат бұрын
Hakuna kosa wapi huyu mjinga2 unawambiaje wananchi mambo ya kulala mochwari
@epimackjohn461
@epimackjohn461 13 сағат бұрын
Ni vizuri pia na wewe kuchunga KAULI zako ambazo mara nyingi huwa hazikukaa kama za KIONGOZI na MTU MZIMA .
@LucianSanga
@LucianSanga 9 сағат бұрын
INA UMA SANA KAMA KWELI KABISA MKUU KAMJIBU MGONJWA MAJIBU YA KEJELIKAMA HAYO UKWELI WAGONJWA WOTE WANA HITAJI MAJIBU YA FARAJA
@DenissJulius
@DenissJulius 5 сағат бұрын
Kauri chunga ulimi,mkiwa viongozi jitahidini kuwa na nidham,hizo pesa mnazo tumia ni za wananchi,
@MohadiTv
@MohadiTv 12 сағат бұрын
Awekeze vip akati tunalipa code kwenye nchi wew ufai kuwa kiongozi
@TitoRufizi
@TitoRufizi 6 сағат бұрын
Kiongozi mkubwa unapoongea tumia maneno ya busara
@nelsonnanyaro3882
@nelsonnanyaro3882 7 сағат бұрын
Chalamila wewe ni Mtu mbaya kweli kweli,umezoea kudhalilisha Watu,hiyo ni kawaida yako lakini kumbuka hata wewe Una Watu/wasiokuwa na Uwezo....
@aloycemwambwiga2318
@aloycemwambwiga2318 14 сағат бұрын
We ngoja wageni waondoke, utajua hujui.
@colletatesha5265
@colletatesha5265 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@supa_live
@supa_live 13 сағат бұрын
UMESHA HARIBU MH. HAPA KWA SAMIA UTOBOI
@amanedwin2082
@amanedwin2082 12 сағат бұрын
Dawa za Rais Samia tena? au za serikali?
@doellatv6807
@doellatv6807 4 сағат бұрын
Sio wote wanakwenda kwenye vigororo
@MbarakSoud
@MbarakSoud 10 сағат бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN wewe umeonheaaa uchafu mkuu wa mkoaa WA dsm hunaaa heshimaaa
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 7 сағат бұрын
Sasa msiseme kuwa matibabu ni bure, hakuna cha bure hapa bongo
@RugakiMsingo
@RugakiMsingo 10 сағат бұрын
Hizi ospitali nizakwetu izo dawa zinanunuliwa kwa kodi zetu jifikilie ww ifike mwisho wa mwezi ujalipwa utajisikiaje kwaiyo nawananchii ndoivo wanvyo jisikia vibayo wanapokosa madawa hospitalini.
@tospend
@tospend 7 сағат бұрын
Busara na namna yakujua yap uongee wap
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 9 сағат бұрын
Nchi Kama Zambia Malawi huduma za hospitali za serikali ni bure ni Kodi za wananchi hakuna malipo yoyote nashangaa viongozi wa kisiasa wa CCM hawajui hata waajibu wa serikali maiti haidaiwi ni Tanzania tu utakutana na maigizo hayo pia Mama Samia hana pesa wala uwezo wa kipesa wa kuwanunulia watanzania wote dawa yeye ni mwaajiliwa tu
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 6 сағат бұрын
Hakuna MTANZANIA aliyemaskini wa kutupwa huko! Tatizo ni Siasa ndo zinatuponza hasa kipindi cha kampeni kikianza Lugha inayotumika ni Hospital KILA kitu BURE! Jamani mwe Bure aghari!( Biblia,Kitabu cha Hosea 4:6);na AYUBU 5:12 KWA jina la yesu Kristo!
@alphoncemtahuka9938
@alphoncemtahuka9938 8 сағат бұрын
Alichosema ni kweli kabisa hiv mtu unatibiwa then unakufa ndugu hawatak kulipa sasa vitu ulivyo tumia vitaplesiwa vp? Wakati kunawatu wengine pia wanaumwa na wanahitaji kutibiw kupitia hivo vitu, watanzania tuamkeni bc jaman tumelala sana sisi
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 8 сағат бұрын
Kama mtu amekufa maana yake tiba ilishindikana kwa nini mtu alipie kitu walichoshindwa
@VITALS-cx6hk
@VITALS-cx6hk 7 сағат бұрын
Kwanimgonjwa akija atakwambia nilikuwa kwenye kigodolo utajuaje kama huyomgonjwa Jana alikuwa kwenyekigodolo
@kassimomary216
@kassimomary216 11 сағат бұрын
Kwani kuumwa kuna taarifa?....Mimi nisifurahi kisa kuweka hela ya hospital !
@onesphoryndomba6115
@onesphoryndomba6115 10 сағат бұрын
Mzee kauli zako tata bwana mbona nyinyi mkiumwa mnaenda kutibiwa nje ya nchi sasa mtu kafanya kisherehe cha laki
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul 7 сағат бұрын
Waandishi hewa wengi wanatafut kiki
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 9 сағат бұрын
Usimsimange mtu wakati shida. Bakisha maneno ww ni kiongozi wapumbavu wenzio wanákuunga mkono
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 8 сағат бұрын
Mbona kabla, walikuwa wanajifungulia kwa mkunga wa jadi, si walikwepa dhalau zenu, na majibu yasikuwa na kichwa wa kiuno. Ata awe dancer vipi atashuka tu staging m; cheo dhamana!
@godfreykitebo7382
@godfreykitebo7382 10 сағат бұрын
Unaongea kwa sababu unacho acha mambo ya kitoto kwani we jioni Hali ngumu
@AthumanOmari-w5c
@AthumanOmari-w5c 5 сағат бұрын
Unajtahidi kujtetea lkn hamna ktu
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 12 сағат бұрын
Ngoma za vigodoro😂😂
@theobartkingamkono5087
@theobartkingamkono5087 9 сағат бұрын
Ivi mpaka unaongea hayo mheshimiwa nn kimekupata mbona mm huwa nakuolewa sana unataka kuishi bila ajila omba msamaha kwa maneno yako dawa zilizopo hospitari sio mali ya serikali ni kodi za wananchi kudai ni haki yao umekosea sana mkuu
@omarimisai5911
@omarimisai5911 8 сағат бұрын
Viongozi acheni kukurupuka. Haya ndio madhara ya kujimwambafai mbele za watu. Acha kujitetea endelea kujimwambafai mpaka mwisho
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 7 сағат бұрын
Anauhakika gani mgonjwa alikuwa mtu wa vigodoro ??? Mkuu omba radhi yaishe umekosea
@MathayoMagavilo
@MathayoMagavilo 6 сағат бұрын
Dawa za nan?!!!!!
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 7 минут бұрын
Chalamila acha pombe kiongozi busara zitumike sana
@SimonMabigi
@SimonMabigi 11 сағат бұрын
Sasa wamemtibu mgonjwa kafark amepona hujamponya unadai ela ya nn et dawa za samia hii nchi bana😂
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 7 сағат бұрын
Nyerere alisema watu wetu ni maskini viongozi wafikirie namna ya kuwasaidia........na alisema kiongozi lazima achague maneno ya kuongea...ndo maana nyerere alikua anafiiiria sanà wakati wa kuongea
@madelynillu3818
@madelynillu3818 10 сағат бұрын
Je wamama wajawazito wanatakiwa kuchangia!!!! Je muongozo wa serikali upoje!!! Kwanini asingemjibu kwa stara ila akamjibu vibaya
@LitoDossani
@LitoDossani 12 сағат бұрын
Wewe auna kauli nzur
@johnmkundai1757
@johnmkundai1757 5 сағат бұрын
Kwani kodi tunayolipa ni kwa ajili ya nini mh
@FrankKaika
@FrankKaika 49 минут бұрын
Kwani ww unajuaje jana alienda kwenye vigodoro? Acha ujinga unajiona umefika mbingu.
@LinusKyando
@LinusKyando 10 сағат бұрын
CHALAMILA KAONGEA VIZURI SANA,NCHI HII KUNA SHEREHE HAZINA UMUHIMU,MFANO MTOTO KATAHIRIWA SHEREHE YA NINI?MTOTO KAMALIZA LA SABA SIO KAFAULU SHEREHE YA NINI? VIGODORO YA NINI??
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 7 сағат бұрын
Wageni waalikwa zaidi ya 400 mkutano mkuu wa ccm gharama zilizolipwa ni lazima quite wasanii ???
@SalumMwashambwa
@SalumMwashambwa 4 сағат бұрын
Kumbe Kuna dawa za samia
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 6 сағат бұрын
Kusema kweli wenzetu wamehusudu sana sherehe na vigodoro wajirekebishe.
@gevinhomtauly3038
@gevinhomtauly3038 3 сағат бұрын
Acha izo saiv mpaka clinic ni hela na ilikuwa bure
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 сағат бұрын
Huyu chalamila sio mtu matatizo ispokua watu wanataka kumtia ubaya mimi nampa hongera
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН