from kenya, PASTOR, THEY ARE INTO OCCULTIM TO GET RIGH THE BIBLE SAYS Those who want to get rich fall into temptation and a trap and into many foolish and harmful desires that plunge people into ruin and destruction. For the love of money is a root of all kinds of evil. (1 Tim. 6:6-10).🤔🤔🤔
@mosesdavid-vm5hk11 күн бұрын
Wewe pia UNAFANYIA KAZI Gani au kuiba sadaka😢
@tulimwaipopo-eq3be2 күн бұрын
Umeongea kweli mtu aonyeshe kazi sio pesa
@dicksonmoshi748015 күн бұрын
Hii inashangaza kazi yenu watumishi wa Mungu ni kulitangaza neno la Mungu , Sio kukaa chini na kuanza kumjadili chief godlove hai make sense kabisa
@MfiriFulgensi14 күн бұрын
Kwenye kufundishwa lazima kuwe na mfano ,usiwe kama hitla usiwe kama pididi ili wenye vichwa vigumu waelewe
@fredmabena630815 күн бұрын
Mm najiuliza kaka hela yake ya kwelii au ya uongo ww nini kinakuuma
@MWATANOMOTEE14 күн бұрын
Anajianika hadharani na ndio maana watu wanahoji hizo zinatokana na nini lazima tuhoji
@h.t.ecompany388415 күн бұрын
HIVI WEWE UTATUAMBIA UMEFANIKIWA KWAAJILI YA MUNGU AU UMEKUWA NA MAFANIKIO KWA KUCHUKUA SADAKA ZA WAUMINI MAANA SADAKA ZINAKUTAJIRISHA NA WANAOTOA BADO MASIKINI
@DavidNicholas-c9i15 күн бұрын
SIMUUNGI MKONO GOD LOVE LAKINI UJUE ILI IWEJE.. NA UKIJUA INAKUSAIDIA NINI
@MfiriFulgensi14 күн бұрын
Mbona chifu hujamuuliza anatangaza mafanikio ili iweje,unahoji hapa?
@barakaelkaaya4015 күн бұрын
Viwe vya halali,si vya halali...lakini Ana hela.Tafuten hela..
@chrispinegervas168114 күн бұрын
Mbona alipokuwa masikini amkusema aeleze umasikini wake ameupata wapi, tujitaidi kuwa nakili
@revocatuskato947410 күн бұрын
kwani aliwahi kujitangaza kuwa yeye ni maskini?..watu wanahoji utajiri wake kwasababu anautangaza.
@JamesMwandoje12 күн бұрын
😅😅 Atoeee wakwake wa halali.....Chief God lv juuu...atafteee zkeee 2zioneee za halali....
@MajaliwaMhungati15 күн бұрын
Chief mjanja mjanja saana 😅😅
@annettemalechela754316 күн бұрын
No vema kuitangaza injili Yesu Yukon karibu sana kuja tena ni beam kumkabili mhusika na kumweleza ana kwa ana na Yesu atanbadili
@mkizamrock195113 күн бұрын
Mi nahisi msipoteze mda kwa kitu kilipo njee ya uwezo wenu simjue chief ila na iman ana mchango mkubwa fanyeni mijadala ya kupunguza umaskini kuondosha Un employment maana vijana haana kazi kuliko kumzungumzia Chief na maisha yake Vijana sie ni inspiration na tuna mpenda
@annesmatemu426416 күн бұрын
Mhh kwani lazima kuonyesha vyanzo vyake vya mafanikio anaishi kwa wasiwasi muache ni anasaidia wajane yatima Mungu ndie hakimu wa yote
@DaudiMakaza13 күн бұрын
Mashabik wa cheif wamekasilik
@JoaquimMashalangende-fw7xs15 күн бұрын
Wewe fala muache Chief, kwani inakusu nn pumbafu
@MfiriFulgensi14 күн бұрын
Mbona una mtetea au wewe ndo tambiko lake la hela?
@zawadjose544013 күн бұрын
We mchungaji fanya mambo yako achana na watu kama unahubiri injili fanya yako mbona ww huna Mungu ndani yako
@AndrewShiratu15 күн бұрын
Unataka kujuwa vyanzo vyake? Umiza kichwa na akiri ili ujue vyanzo vyake.
@FekiHappy16 күн бұрын
Mwanaumw kaza haikuhuau mbona mapasei hawaoi????
@NassorHassan-o8c13 күн бұрын
Hiyo Si kaz yko wew tulia watu wale bata kale Sembe kwa mlenda uko
@BarakaSimon-xy9mp13 күн бұрын
God bless godlove
@NassorHassan-o8c13 күн бұрын
Mpeni vitumbua uyo alee ana njaaa
@JoaquimMashalangende-fw7xs15 күн бұрын
Ww ni pumbafu mtu mwache kiongozi wetu ww inaukusu nn
@worldelectro278716 күн бұрын
Anasaidia wajane n'a yatima. Hakuna dini kubwa kuliko iyo
@jomeshastudio704610 күн бұрын
Yan eti mafanikio yang siri zang nikupe ww hakuna mtu aliofanikiwa akakupa njia ambay alioitumia yeye aliomfany akafanikiwa mbn ww hujaonyesha unapataje hela
@zachariamakoba836816 күн бұрын
Mchungaji yuko xw xn, mnaokomet mbona mwatoa matusi bila xbabu? Mungu akutunze xn Gregory
@geofreyjohn92916 күн бұрын
We jamaa maskini 😂.. yaan unastor za vijiweni 😂
@festinamwakipale391915 күн бұрын
Baba yake chifu godilove ni mchungaji mafreemason wamemtumia mtoto wake kumuangamiza mchungaji
@MbaziPesa15 күн бұрын
hamna mtu anasema Siri yake ya mafanikio labda kichaa wewe unaona wivu pambana acha kulalamika jitume pesa IPO acha uvivu.
@Issanuru83o13 күн бұрын
Hapo hakuna mchungaj unaumiza kichwa juu ya hesab za mwenzako ww umekua T.R.A ila wabongo bhana
@selawenga12711 күн бұрын
Amen
@nelsonnyamle15 күн бұрын
Umeongea ukweli
@fanuellingson15 күн бұрын
Huo ni ujinga kama ujinga mwingne kutaka kujua pesa imetoka wapi? Hakuna pesa za shetani pesa ni BOT
@julianapeason625415 күн бұрын
BOT inamilikiwa na hao mashetani, mfumo mzima wa mahakama, uongozi mkubwa, vyeo maofisisni, elimu kkubwa yenye mafanikio, wasanii, makanisa, biashara kubwa, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, majengo mazuri, yaani unanielewa sijui
@Jaythabit16 күн бұрын
😂lispect chief god love Kuna watu wanajitangaza kupitia ww wanasema utajili c halali alafu wanajitangaza wapate kujulikana kupitia ww
@arnold940612 күн бұрын
billionaire wa kuzimu.
@AmaniManase-x1i16 күн бұрын
Basi Kama ni ivyo basi Mungu tupe na sisi basi maana moto tunaoupitia uku mtaani sio mchezo
@julianapeason625415 күн бұрын
na huo moto unaupitia ni cha mtoto, bado moto ni mkali sana, usipokuwa makini utamtafuta chifu
@Humphrey-z8c15 күн бұрын
Anauza unga ataonyesha vipi?
@SephaniaMsigwa15 күн бұрын
Inakuhusu
@adiaygo854616 күн бұрын
Tanzania ya Zamani Sasa hivi watu Hawataki kujuawa zinatoka wapi
@festinamwakipale391915 күн бұрын
Kama ana hela na anaitakia Tanzania aseme historia yake.alikotoka na alipo lakini muonekano na maongezi ya chifu yanaonekana ni giza freemason saizi ipo wazi watu wanajua yaani shetani anaenda na wakati zamani alikuwa anawapa pesa huku wanafanya kAzi saizi yupo diktari.anawapa tenda watu kuwazuru.wanadamu wenzao awape pesa poleni mafreemason
@JamesMwandoje12 күн бұрын
Wivu2 kuoga haaaaaa😅😅😅😅😅😅😅
@MasudSalum-o4o16 күн бұрын
Sasa si amesema yupo kwenye ulimwengu wa jicho la tatu
@IssayaMgimbe-gw4sz14 күн бұрын
Ww inakuhusu nn
@caashamacalini388716 күн бұрын
Mie naona huyu mchungaji au pastor yuko sawa hakusema neno baya ila Kuna watu vichwa ngumu na uelewa wao mdogo Sana kwani mtu akisafa maisha hawezi Sema anakazi gani? Au kwanini? Asionyeshe biashara yake anayofanye at list watu wasema Ana kibiashara kwenye macho ya kawaida lakini huyu hamna biashara yoyote yakuonyesha invisible
@happymrema748716 күн бұрын
Nikwel huyu mchungaj anachosem
@YamusahSudy16 күн бұрын
mbona anaongea hajiamini namaneno yke
@mkizamrock195113 күн бұрын
Na bola yye haibi fungu la 10 kuliko nyie kbisa
@HalimaAbdalla-ce7zj15 күн бұрын
Huna KAZI Tu ujue ili iweje
@GodfreyMwendawila-ff7on15 күн бұрын
kumbe unajua hakuna pesa ya Bure mbona unapokea Sadaka za watu bila kazi yeyote mpumbavu wew
@josephatSwai16 күн бұрын
Tapeli jamaan uyo
@timeofjesusministries961117 күн бұрын
Mmmh
@kajebweilunga293516 күн бұрын
Tafuta pesa Tajiri apige kelele
@binmussahaji493216 күн бұрын
Umekosa cha kuongea ,
@AnthonySindabaha-de3xb16 күн бұрын
Leta hoja
@FekiHappy16 күн бұрын
Tafuta hela kaka acha kudiakaai.qqtu
@AnthonySindabaha-de3xb16 күн бұрын
Uko fake kama jina lako leta hoja
@boapendaheri861916 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@MbaziPesa15 күн бұрын
wewe unawivu tafuta acha majungu.
@claudelakon83843 күн бұрын
Fanya kazi wewe , unatafitiliya wengine , litu lizima lijinga😂
@ChireGriffin16 күн бұрын
Na nyinyi mbona mnalula pesa makanisani mnaibia waumini na hamsemi....mbwa ww
@MfiriFulgensi14 күн бұрын
Ndiio hao wanaouza makalio ya wenzao wajinga wajinga
@mteulemnyama785816 күн бұрын
We ndio unasema hivyo huyo dogo ameteseka sana kwenye kutafuta pesa....wew unae sema kaibuka tu ghafla me nadhani wew ndie ulie kurupuka kumjuw au kulazimisha kumjuwa... usilo lijuw ni saw na usiku wa ngiza Acha kuropoka kitu usicho kijuwa
@AnthonySindabaha-de3xb16 күн бұрын
Mungu akusaidie sana akupe maarifa. Umeongea pumba
@johnlightmkose472312 күн бұрын
Aisee umekomaa kabisa kuongea nonsense kabisa vitu vya kijinga Pesa yake wewe inakutoa roho!! Je unamchonganishia kwa serikali ili wamchunguze???!!!! Huo ni wivu na fitna acha roho mbaya
@habelvumbi701616 күн бұрын
SS wewe utatafuta pesa! Ama wataka kujua MTU ametoa wp pesa?,huo niupuuzi ,umekosa point yakuongea ,kakojoe ulale mbuzi mlemavu wewe