HAWA ALIKUWA MKE WA PILI WA ADAMU| ADAMU ALIANZA KUUMBWA NA LILITH KABLA YA HAWA, HAKUWA MNYENYEKEVU

  Рет қаралды 86,556

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 466
@prophetgervasebenard7486
@prophetgervasebenard7486 5 ай бұрын
Kila kitu ni safi kwake aliye safi WA Moyo,hii ni agano jipya! Na Mungu Siku zote anaangalia NIA ya kufanyika kwa jambo siyo namna jambo linavyoonekana! Mambo ya Imani Yana password zake,kuyaelewa Mzee wa UPAKO kwa mtazamo wake Yuko sawa!
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Nia na Matendo iwe Kwa Kufuata na Kuzingatia Vigezo na Masharti ya Mungu Mola Muumba na si Kwa Utashi wa Nafsi ya Mtu/BinAdam au Kiumbe.
@eatlawe
@eatlawe 5 ай бұрын
Hayo mafundisho hayana tofauti na kusema watakatifu wanatuombea. Ni nyongeza juu ya maneno ya Mungu hivyo kosa kimaandiko. Ni sawa tu na kusema Maria alipalizwa mbinguni au Yesu hakufa ila Yuda! Ni mafundisho mapotofu. Kumbu 4:2 "Msiliongeze neno niwaamurulo wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za Bwana, Mungu wenu, niwaamuruzo". Onyo lingine ni la Ufunuo 22:8 "Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki". Kwa hiyo jihadharini na imani potofu!
@hasfananono
@hasfananono 19 күн бұрын
Ni mafundisho yakupotosha watu
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 6 ай бұрын
Wasafi huwa tunapenda sana topic za vipindi vyenu vya mahojiano, tatizo lenu ni mnakelele sana yaani hamuachiani namna ya kuongea au kuhoji. Inakuwa kama genge la wahuni. Tungeomba mpeane interval ya kuhoji ninyi waandishi na mgeni mliyemuarika ajieleze kwa uwazi bila kuingiliwa ingiliwa.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Mambo ya Nabii Adam na Hawa niulize mimi peke yangu ndiye naweza kufahamisha kwa usahihi. Tena hahati nzuri wakiweza kuishi hapa Tanzania maeneo ya Ngoringoro kwa ajili ya ufugaji. Na zile alama za nyayo ni zake yeye. Na ule mlima Kilimanjaro pana siri kubwa pale, ndiyo penye mawasiliano kati ya mbingu na ardhi ndiyo maana hata ndege hawezi kukatiza pale pamona kwenye al kaaba. Ndege pia haiwwzi kukatiza.. Mimi nimejaaliwa kuwa na elimu fafanuzi katika kila nyanja. Nategemea pia kuwPasha habari za Nabii Isa kurejea kwake ulimwenguni na sababu za kurejea kwake. Na pia alipo ondoka kwa kupaa mbinguni yupo uwingu wa pili hapo amehifdhiwa na Mola wake. Masheikh na wanazuoni na watu wengine njooni msome kwangu na han bari za Israel na Parestina pia njooni mpate upambanuzi wake. Mimi naoambanua ki roho si ki akili. Ndiyo maana ninazo habari za ulimwengu wote. Naweza pia kuji u na kutoa upambanuzi wa maswali zaidi ya 2000 kwa siku maana si wa kawaida ila watu hawanijuwi. Sasa nawatangazia Masheikh na wana zuoni na viongizi waliyo shika mihimili ya Dini tukutane tuongee mtawaidhika na kupata elimu elekezi. Nipo Dsm +255784417511.
@augustinemainde
@augustinemainde 5 ай бұрын
Mi nampenda Adela awe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Brandpeople
@Brandpeople 6 ай бұрын
Safi sana Mzee wa Upako, Nimeamini kweli unasoma na kutafiti mambo ya Biblia. kwa asiyefahamu, haya yameandikwa katika machapisho ya "The Alphabet of Ben Sira" katika tamaduni za kiyahudi kati ya 700-1000CE (Early jewish literature). Kwenye Biblia; Mwanzo 1 " Mungu akawafanya mtu Mume na Mtu Mke"...., Mwanzo 2 " Mungu akamfanya Eva...". Unaona kabisa kuwa kuna kipengele cha taarifa hazipo, na hakuna uhusiano kati ya Mtu Mke na Eva sababu kilichotolewa kwa Adamu ni Ubavu na sio (Mtu Mke).
@joshuamassawe2474
@joshuamassawe2474 6 ай бұрын
Hivi utakua na akili timamu kweli kuamini kitabu kilichoandikwa kati ya mwaka 700 na 1000 AD kuhusu kuumbwa kwa Adamu? Na wala siyo early Jewish literature kwa sababu vitabu vyote vya Agano la Kale vime predate hiki kwa zaidi ya miaka 1,000! Tena kimeandikwa Uarabuni! Haupo serious wewe!😂😂😂😂
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 6 ай бұрын
No kweli ukisoma biblia yoyote kuna contradiction hapo mwanzo 1.1 kuna maadishi yana miss, uumbaji wa mwanamke umetamkwa Mara 2 kama alivyoeleza jamaa
@Brandpeople
@Brandpeople 6 ай бұрын
@@joshuamassawe2474 Ndio. Hapo ni sawa na mimi kukuuliza: Mbona wewe unaenda ibadani kumsikiliza mtumishi aliezaliwa juzi tu hapa, na sio myahudi na unaamini mafundisho yake?? Unaakili yimamu kweli?? Ndugu, kama wewe unasoma biblia tu, basi unaufaham finyu sana kuhusu biblia yenyewe. Mwisho wa yote, utafiti ni jambo la mtu binafsi. kama wewe huamini Baki hivyo. Sio lazima kwako!
@Brandpeople
@Brandpeople 6 ай бұрын
@@joshuamassawe2474 Haujaelewa, ndio shida. Ndo maana Mzee kasema "inatakiwa uwe na mawazo huru kuelewa mambo,sio uje na akili ya kimapokeo utabaki gizani". Nashauri ni vizuri utafiti mambo kwa kina kwanza kabla hujajibu. -Nimemaanisha Chapisho limeandikwa kati ya kipindi hicho lakini ndani yake limerejea mambo ya kale ikiwemo Kipindi cha Adamu. -Ni sawa na biblia ilivyorejea mambo ya Uumbaji Lakini haijaandikwa siku Adam anaumbwa. Hoja yako ni sawa na kuuliza : Hivi unaendaje ibadani kumsikiliza Mtumishi ambae ambae ni waJuzi tu, wala sio myahudi na hajawahi hata kuwaona waliomo kwenye biblia, alafu unaamini mafundisho yake??? Hivi unaakili timamu kweli?? Haupo Serious wewe! Hoja ya Uarabuni haina mantiki. Biblia uliyonayo imetafsiriwa na kuletwa kwako na WAzungu Wamissionari. Haikuletwa na Wayahudi. Wayahudi hawakutaka hata umjue Mungu wao.
@afropatriot7769
@afropatriot7769 6 ай бұрын
Tatizo mnasoma biblia kwa akili zenu ndogo,uumbaji wa kiroho na mwili , kwa lugha zingine imesema kuumba na kufanya, mwazo aliumba roho na ndio maana aliumba kwa kutamka lakin akaja kuufanya mwili wa adam na akampulizia pumzi ya uhai na akawa hai, kisha akamtoa eva ndani ya adamu na mwili wa eva ulifanyika kwa mbavu moja , acheni kutunga maana kwakua mmekosa maana
@thislife-j6z
@thislife-j6z 4 ай бұрын
Muwe mnapunguza soundtrack maneno yasikike vizuri na pia muwe mna selection za biti mana hiyo imekaa kimichezo na sio inspiration au motivation kwa sisi maproducer tunajua na sio kuweka ma dj ambao hawajuhi maswala ya sound
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 5 ай бұрын
Yesu wangu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 6 ай бұрын
Safi kabisa anaebisha aje atuoneshe wapi BIBLIA inasema usiowe mke mwengine😂😂😂
@tomswai1912
@tomswai1912 5 ай бұрын
Kwa hiyo binadamu wakikubaliana ushoga ni njia ya mahusiano Mungu atayaheshimu? Kweli heri kijana maskini mcha Mungu kuliko Mzee mfalme mpumbavu. Kweli una kila sababu ya kuangalia ni wapi ulijikwaa ukaanguka ukatubu na kumrudia Mungu, ulianza kwa Roho ila unakoenda kumaliza waenda kumaliza kwa Mwili Mzee.
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 5 ай бұрын
Kweli kabisa kaka
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 5 ай бұрын
Huyu Mzee hajawahi hata kuokoka ujue ila ni sasa ndo amejifunua alivyo!
@oscarmushi3212
@oscarmushi3212 5 ай бұрын
Walianza kwa roho wanamaliza ktk mwili
@Papaa_Hillary_Mrema
@Papaa_Hillary_Mrema 6 ай бұрын
Ufirauni ndiyo dhambi kwa Mungu ila mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi ili apate uzao mkubwa. Jiulize swali, kwanini ukinunua mifugo mfano ng'ombe unachukua dume 1 na majike 5 ili upate uzao ila kwa binadamu ukweli unapotoshwa?
@AmanEskaka-zt5nx
@AmanEskaka-zt5nx 6 ай бұрын
Nmekuelewa
@Kissonlinemedia
@Kissonlinemedia 6 ай бұрын
😂😂😂
@PAMPHILCHAZO
@PAMPHILCHAZO 6 ай бұрын
Una kitu broo
@EstarMichael
@EstarMichael 6 ай бұрын
sawa sawa mpaka tujue ukweli wote😂😂😂😂
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 6 ай бұрын
Point sana Mkuu
@abdulikaku5080
@abdulikaku5080 5 ай бұрын
Tumepigwa sana. Nimelia sana baaada ya kusikiliza😢😢😢
@SagangaKapaya
@SagangaKapaya 5 ай бұрын
Umepigwa nini?
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 5 ай бұрын
Ibrahimu hakuwa mkristo.leta nifano ya Kianzia Yesu ndioe kielelezo chetu.chochote kabla ya Yesu kwenye hii mada haituhusi wakristo.
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 15 күн бұрын
Kumbuka yesu alisema hakuja kutengua tolati bali kuitimiliza
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 6 ай бұрын
Mwanzo 1 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. 29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu; 30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
Asante kwa neno hili wale wanaobisha kwamba Lilith hakuumbwa pamoja na Adam watuambie hapo kwenye "mwanaume na mwanamke aliwaumba" huyu mwanamke ni nani aliyeumbwa? Maana tumeambiwa Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam
@AnipherChambo
@AnipherChambo 6 ай бұрын
Jesus said that “a man shall leave his father and mother and be joined to his wife, and the two shall become one flesh.” Jesus spoke of one man and one woman marrying. He said that marriage is made up of one man and one woman. The two make one flesh.
@WillsEnterprise
@WillsEnterprise 5 ай бұрын
Swali logical tu, statistically mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume ina maana hao wa ziada hawana haki ya kuwa na mume au hawana haki ya kuzaa wameumbwa kuishi maisha ya upweke miaka yao yote hapa duniani??
@thomasbarabonamubondo9218
@thomasbarabonamubondo9218 3 ай бұрын
kwa biblia hii inayobadiilishwa kila siku. labda agano La kale Ila ili jipya Ni changamoto. Alafu mstafsili biblia kama novo. Sio physics io
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
​@@WillsEnterpriseNa Kwa Kuongezea Wanawake wanaingia ktk Hedhi (MP) na Kujifunguwa (Arobaini ya Uzazi), je Mwanamke anapokuwa ktk Hali hizo za Maumbile ya KiBailojia/Kisayansi (Hedhi na 40 ya Uzazi) Mume atapata Wapi Utulivu wa Nafsi Kwa Kupitia Tendo la Ndoa/Kukutana Kimwili na Mke endapo ameoa Mke mmoja na huyo Mke yupo ktk Hedhi/40 ya Uzazi?! Mungu Si Mjinga Kuumba Wanaume na Wanawake na Kuwaumba Wanawake wengi na Kugawa Kazi/Majukumu ya Wanaume na Wanawake na Miongoni mwa Kazi/Ajira (Majukumu) Mengi ya Wanaume ni Hatarishi husababisha baadhi ya Wanaume/Waume wengi Kuwa Vilema wa Kushindwa Tendo la Ndoa na Kufa/Kupoteza Uhai na ndomaana ldadi ya Wanawake walio hai na Wanawake Wasiokuwa na Waume (Single Mothers) huzidi Kuongezeka na Kwa Kulikuwa hilo (Mpango wa Mungu) akakadiria Wanaume Ruhsa/Halali Kuoa Wake wengi (Mwisho Wake Wanne tu) Mungu ni Mjuzi.
@hezronmlwale7416
@hezronmlwale7416 5 ай бұрын
Maswali mazito na majibu mepesi kutoka kwa tapeli wa injili. 😢😢
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 5 ай бұрын
Kweli kaka
@victoriousgospels
@victoriousgospels 5 ай бұрын
tapeli kweli kweli. ukweli anaujua hataki kuweka wazi kwani kashapotoka.
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 5 ай бұрын
hawez kujibi hilo swali kwa ufasaha jibu kwa ufupi hana na hawez kutowa jibu lenywe
@DottoVales-m7p
@DottoVales-m7p 5 ай бұрын
😂😂😂
@oscarmahanga6004
@oscarmahanga6004 5 ай бұрын
Huna unacho kijua katika hili
@samwelishilabhi6005
@samwelishilabhi6005 5 ай бұрын
Kama unaitwa mkristo chanzo cha maarifa yako LAZIMA KIWE BIBLIA Na mkisto ana pata maagizo na kanuni za mungu akiiga mfano na maagizo ya Yesu YOHANA 15:14 Visa vingi katika Biblia vimeandikwa ili kutu fundisha na viwango vya mungu vya mema na mabaya ni vikamilifu alipanga Biblia iandikwe na hakusahau jambo lolote SASA KWANINI USIULISE KWANINI YESU ALI KOMESHA kanuni iliyo katika KUMBUKUMBU LA TORATI 19:21 Kwahiyo YESU ndiye nuru ya Ulimwengu aliletwa ili kututoa wanadamu katika giza na mizigo mizito hivyo kwa kuibeba nira yake ambayo sio mzigo mzito tutapata uzima wa milele MATHAYO 19:5 USOME NA MSTARI WA 8
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 5 ай бұрын
@@samwelishilabhi6005 1 Tim 5:23 SUV Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara. Biblia Hiyo yako inakuruhusu unywe pombe utasema Biblia kitabu cha mungu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 5 ай бұрын
@samwelishilabhi6005 1 Samweli 15:3 SRUV Basi sasa nenda ukawapige Waamaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyonavyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, na mtoto anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda, Biblia yako inakuruhusu uuwe mpaka mtoto anaye nyonya mpaka ngombe bado tu unatetea kitabu amacho kila siku kinabadilishwa
@saadomari7150
@saadomari7150 5 ай бұрын
Sawa, lakini habari za Lilith chanzo chake sio bible moja kwa moja ila ni machapisho ya wayahudi.
@rajabomary5280
@rajabomary5280 5 ай бұрын
Kumbuka Wao ndio wanaofahamu haya mambo kiundani kuliko wewe na mimi kinachotusumbua tunapenda kudanganywa kwa sasa dunia ipo wazi sana
@SALMINSAID-fb9ub
@SALMINSAID-fb9ub 4 ай бұрын
Mnatuchanganya sasa 😂
@MathayoSuwi
@MathayoSuwi 5 ай бұрын
Anaweza kuwa tapeli lakoni wakristo wenzangu huo niukweli lilith ndyowakwanza kabla ya hawa
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 ай бұрын
Bwana Yesu aliwajibu mafarisayo akiwaambia, hamkusoma yakwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mme na mtu mke, na kwasababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye kisha ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa ni mwili mmoja. Bwana Yesu hakusema mtu ataambatana na wake zake, alisema mke wake, yaani akimaanisha mke mmoja. Na ndo maana hadi leo ndoa ya kikristo ni mke mmoja tu. Mzee wa upako mwambie akasome maandiko kwa upya. Afu siku hizi amekuwa mwongo tu.
@ModesterMshama
@ModesterMshama 6 ай бұрын
Tangia uanze kusoma biblia,umeona wapi Ibrahim aliambiwa kuwa umezini baada ya kuwa na mwanamke mwengine tofauti na Sara? Huo unaitwa utawala wa fikra
@ModesterMshama
@ModesterMshama 6 ай бұрын
Sisi tunaishi katika tamaduni za kirumi bila kujijua,maana hata ubarikio wa ndoa haukuwa unafanyiwa makanisani ili ionekane yenye baraka bali ilikuwa ni makubaliano kati ya familia na familia
@ModesterMshama
@ModesterMshama 6 ай бұрын
Rumi ndiyo ilianzisha kufunga ndoa makanisani
@Fgldesigns
@Fgldesigns 6 ай бұрын
Alisema hivyo kwakuwa mtu anaoa mmoja mmoja huwezi kuoa wengi kwa muda mmoja
@Manyoniartsonlinetv6441
@Manyoniartsonlinetv6441 6 ай бұрын
ngu hakumba mwanaume na mwamke bali aliumba mwanaume tu badae akalete msaidizi akuumbwa elewa
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 5 ай бұрын
Huyu mnyakyusa mwenzangu leo namvua vyeo. Mwanzo sura ya kwanza inaelezea kwa mukhtasar juu ya uumbwaji wa ulimwengu na mwanadamu mwanzo 1:27 ... Alimuumba mtu mume na mwanamke.... Lakini ukija mwanzo 2:7 inaelezea kwa undani jinsi binadamu/Adam alivyoumbwa. So mwanzo 1 ni synopsis ya siku za mwanzo. Hakuna sehemu. Au unataka kutuambia adam aliumbwa mwanzo 1:27 kisha akaumbwa na adam mwengine mwanzo 2:7. 😂😂😂😂 Sadaka zenu letu kwangu nilie chips naona huyu mzee mshamuungisha sana.😂😂😂😂
@paulokivuyo1921
@paulokivuyo1921 5 ай бұрын
Yupo sahihi sana
@makaranga997
@makaranga997 6 ай бұрын
'Gnosticism' Hii ndo hatari ya kutokukulitumaini Neno la Mungu (BIBLIA). History of Canonization inajieleza kuhusu Biblia. By the way Yesu alifanya reference ya TENAKH ( HEBREW'S LITERATURE'S) Luke 24: 44. Lilith story inatoka kwenye "Gnosticism" roots na wala sio maandishi ya kuambatanishwa na Biblia. Ni maandishi ya jamii za siri kinyume na Biblia ili kuupinga ukweli wa Biblia. GOD IS LOVE.
@ModesterMshama
@ModesterMshama 6 ай бұрын
Wewe ni kipi kinachokufanya uamini Moja Kwa Moja biblia?
@makaranga997
@makaranga997 6 ай бұрын
@@ModesterMshama Ushuhuda ndani ya Biblia ni dhahiri ukiisoma kwa moyo wa Imani (Kusikiliza Mungu anasema nini nawe). Pia ni kitabu chenye nguvu ya kubadilisha maisha, kimebadilisha ya kwangu. Lakini ili nikusaidie zaidi. Zipo sababu hizi 1. Biblia ni kitabu cha kale kuliko vitabu vyote na wakati huohuo nikitabu cha kisasa kuliko vitabu vyote. 2. Biblia ni kitabu kinachopemdwa sana na ni kitabu kinachochukiwa sana pia. Chunguza - Vita ngapi zimepiganwa dhidi ya Biblia - Ni mara ngapi watu wamejaribu kuitokomeza Biblia. - Ni watu wangapi wamepoteza maisha kwaajili ya Biblia. 3. Ni kitabu cha pekee ambacho kimechukua muda mrefu zaidi kukiandika. 4.Kitabu pekee kilichoandikwa na waandishi wengi (takriban 40), wasomi kwa wasio wasomi kwa wakati tofauti tofauti na kutoka mahali tofauti tofauti lakini ujumbe wao unapatana (Harmonious message) Ingawa waandishi hawakujua kama wanaandika Biblia na wala hawakushauriana. IKO SIKU UTAKUBALI TU, KUWA BIBLIA NI UJUMBE KUTOKA KWA MUNGU.
@sadalahitambujr1863
@sadalahitambujr1863 6 ай бұрын
Kitheologiaaaa Kabisa umemjibu hayo anayoyasema Mzee n maneno ambayo hayavuviwa kutumika so the story of Lilith is not biblical
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
Kuwatoa watu kwenye uongo waliodanganywa miaka mingi ni kazi ngumu sana. Wenye kusema Lilith story isn't biblical wanaweza sema hata story ya kitabu cha Henoko na vingine vilivyoondolewa pia sio biblical just kwa sababu havionekani "banned"
@barakalawrence742
@barakalawrence742 6 ай бұрын
Biblia sio kama vitabu vingine vya dini vinavyosaidiwa na Hadithi na vitabu visivyo na uvuvio , mzee wa upako asidanganye watu kwa kutumia kitabu Cha Henoko
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 5 ай бұрын
Kuoa wake wawili watatu wanne, haikuwa hivyo tangu zamani,, kwani MUNGU aliumba mtu mume na mtu mke.
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 5 ай бұрын
BANGI WEWE
@juliasmwenda1999
@juliasmwenda1999 Ай бұрын
Baba levo bhana akuchagulie cha hovyooo😂😂😂😂😂 sasa unafikili atakutqftia kizur zaid yake!?
@davidjustin880
@davidjustin880 6 ай бұрын
Hata Media anayotumia mzee wa upako ni ya wajenzi huru mnatarajia kuna habari gani hapo? Mzee wa upako unaviashiria vya kwamba mwisho wako umefika, na Mungu hatokuacha uendelee kupotosha tunaomba uzima na maisha marefu tukushuhudie.
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@StevenMunugwa
@StevenMunugwa 5 ай бұрын
Mzee anasema Ukweli usiosemwa na Dini
@maulidimpili698
@maulidimpili698 2 күн бұрын
Kitabu gan kinasema hawa sio mke wa kwanza hiyo bibilia gan
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 6 ай бұрын
au labda mm sijui ila kama nachosema ni sahihi huyu jamaa atakuwa muongo na mpiga dili yesu alisema yoyote amuache mkewe na kuwa na mwanamke mwingine amefanya uzinzi hapo hakusema wake amesema mke sasa hayo anayosema usimwache mke wa kwnza ameyapatia wapi
@christianmenas9528
@christianmenas9528 6 ай бұрын
Tena kama Yesu aliwajibu akawaambia "Musa aliwaandikia Taraka Kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu lakini tangu hapo mwanzo Mungu aliumba mwanaume na mwamke," Note; mwanaume yaani mmoja na mwanamke yaani mmoja. Tena imeandikwa mwanaume ataachan na wazazi wake na kuambatana na mkewe, elewe neno MKEWE. Huyu Mzee wa upako anapotosha sana tuweni sana makini
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 6 ай бұрын
​@@christianmenas9528kwani wanawake ni wangapi duniani na wanaume ni wangapi duniani? Ninyi mnahesabugi wanawake ila mbele ya Mungu mwanamke ni mmoja na mwanaume ni mmoja hata muwe ma Millions ni mtu yule yule uongo umeshawaharibu kichwani😂😂😂😂
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 ай бұрын
Ni mtume paulo
@PeterGabriel-vm5yy
@PeterGabriel-vm5yy 5 ай бұрын
​@@MrTop-wj7no Kwa hiyo sehemu zote Mungu anazotumia idadi kwenye maandiko huwa anakosea? Mungu hajui idadi? Hiyo nitafakari yako na ipo sahihi ila kwa kilichoandikwa wewe umekosea. Kwani hawezi kusema kusema wazi?
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 6 ай бұрын
Anajua sanaaa huyu mzeee🎉🎉
@SifaelMpagike-gt1gz
@SifaelMpagike-gt1gz 5 ай бұрын
Hahahahaahahaha hatuna mtumishi hapo mbona unaongea uongo hadharan 😥😥😥😥jamani duuu habari sana.
@abdalakambangwa2074
@abdalakambangwa2074 6 ай бұрын
inaskitisha sana mchungaji hana elimu kuhusu neno la Mungu kiasi hikon😢😢😢
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 6 ай бұрын
Wewe ndio hauna elimu, wewe umekariri, Hilo swala la Lilith lipo kwenye biblia ila wewe ndio hujasoma
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 6 ай бұрын
Unatumia jina la kiislamu toa kwanza hilo jina andika la kwako usijifanye mwislamu kumbe ndo nyie walewale
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 6 ай бұрын
@@SalumuAlly-d9q kwahiyo unataka niitwe nani kama hutaki nitumie jina langu, legeza ubongo upokee maarifa usijifanye unajua Kila kitu kumbe vingi hauvijui
@danielpeter8085
@danielpeter8085 5 ай бұрын
Anachosema mchungaji kunakaukwel .. mana apo mwanzo kuwa na wake wengi iliruhusiwa ..soma again la kale ...mfano Ibrahim tu ..utajua. lakn walirusiwa kwa agizo la kutokuachana
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 4 ай бұрын
Ukisoma biblia Mwanzo 1 :27 inasema Mungu aliumba mtu mke na mtu mume. Ukienda mbere Mwanzo 2 :7 inasema Bwana mungu akamfanya mtu kwa mvunbi akampulizia pumzi ya uhai puani. Tumia akili waliombwa 1 :27 na aliyeumbwa 2 :7 ni nani na nani!?? Wenye akili tunajua ni mmoja ila mwanza 1 yalikuwa ni majumuisho kwahyo hakuna mwanamke aliyeanza kabla ya eva na hakuna mwanaume aliyeanza kabla ya adam.
@GodfreyRichard-v4f
@GodfreyRichard-v4f 6 ай бұрын
Baba Levo eti akuchagulie cha hovyo😂😂😂😂😂😂😂😂
@MbogoSouljah
@MbogoSouljah Ай бұрын
Ati Yesu alisema nini? Yesu aliruhusu talaka! Katika kitabu cha Mathayo 5:31:- Imenenwa pia, mtu akimwacha mkewe na ampe hati ya talaka. (Biblia ni bahari kubwa tuweni makini tunapofundisha)
@ChristantusNyambo
@ChristantusNyambo 6 ай бұрын
Fundisho hili la eva kuwa mke wa pili wa Adamu ni uwongo mkubwa sana sana na ni elimu ya kufikilika sana,chanzo ni mpinga Kristo na yameenezwa kutumia mitandao tu vitabu vya asiri havisemi hivyo.vimegushiwa .vitabu vyote vya kikatoriki,na kipentekoste ,hilo jina sio kweli
@LisaLeonard-b5e
@LisaLeonard-b5e 6 ай бұрын
Mimi sina tena imani na dini yoyote asaiv 😢😢😢
@mpokimwakabuku8471
@mpokimwakabuku8471 6 ай бұрын
Dini ya kweli ipo!
@victorguapo7827
@victorguapo7827 6 ай бұрын
Sali imani yako itakuponya
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 ай бұрын
Wewe kwa Biblia hujui kuisoma na kuielewa? Soma Neno la Mungu likuongoze maisha yako. Maana lazima tukue akili tuweze kuchambua neno linaro tufaa tuchukue, lisiro faa tuliweke pembeni ili tuwe salama katika Imani yetu ya Kristo Yesu.
@geofreyfrank3149
@geofreyfrank3149 6 ай бұрын
Kaka dini ni uongo wa shetani mwenyewe. Soma Mwanzo 22:1 Inapingana na Yakob 1:12.
@mpokimwakabuku8471
@mpokimwakabuku8471 6 ай бұрын
@@geofreyfrank3149 Nimepitia hayo maandiko kaka,na kwa kweli Hayapingani.unahitaji tu kufafanuliwa kwa sababu maandiko hayapingani bali yanapatana!
@edwinmanji74
@edwinmanji74 5 ай бұрын
Shida ipo hapo "kwenye dini yetu"humo kuna mapokeo ya kila aina lakini ukiwa mwamini haya yote hayatakusumbua maana alisema mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru
@thetztyger7452
@thetztyger7452 5 ай бұрын
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa." Kuna fact anaziongea huyu mzee ziko nje ya upeo wetu wa imani zetu tulizozizoea za kukaririshwa mambo na kujitia ujuaji mwingi. ila ukiitafuta imaan kwa tafakari binafsi utagundua matango pori mengi sana tuliyolishwa na wanaotulazimisha kukariri mafundisho na siyo kutufunza kuwa na tafakuri huru.
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 5 ай бұрын
Hee mzeeee acha uongo
@anko_mussa
@anko_mussa 5 ай бұрын
Akuna mungu wala dini akil za wakoloni izo
@KelvinJackson-xq5eu
@KelvinJackson-xq5eu 5 ай бұрын
Mungu akusamehe maana hata hao unao waongoza utawapeleka motoni
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 6 ай бұрын
Ila oska malaya sana 😊😊;;(baba wa imani ibrahimi ana wake wawili wewe ni nani)
@costantinochimwaga4467
@costantinochimwaga4467 6 ай бұрын
MWANZO 1:26 HADI 28 NI HABARI KW UFUPI KUHUSU KUUMBA WANADAMU NA JUKUMU LAO. LAKINI KWENYE MWANZO SURA YA 2, MUNGU ANATAJA HATUA ZA KUWAUMBA,NA MENGINE MACHACHE. MSTARI WA 7 ADAMU ANAUMBWA,BAADA YA KUANDAA BUSTANI, MSTARI WA 15 ANAMWEKA ADAMU HUMO. MSTARI WA 18 ANAMWAMBIA MPANGO WAKE YULE ALIYEKUWA ANAMSAIDIA KAZI KWAMBA ANAKUSUDIA KUMPA ADAM MSAIDIZI(Adam hakuwa anajua hilo) MSTARI WA 21 HADI 24 NI MCHAKATO WA KUUMBWA KWA HAWA. NA KUHUSU MUNGU ANA MAONI GANI KUHUSU NDOA,TAFADHALI,SOMA MATHAYO 19:4 HADI 9 (KUMBUKA ANAYESEMA MANENO HAYO NI YESU KRISTO)
@soulfulmemories1
@soulfulmemories1 5 ай бұрын
FINALLY
@mamawadudu48
@mamawadudu48 6 ай бұрын
Huyu mzee abatumia ujinga wa watu ili apate wanaume wengi kanisani kwake. Inasikitisha sana.
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
Mbona wamama mmemjia juu mzee wa upako jameni😂😂😂 yupo sawa kabisa hapo turuhusiwe tu
@abdalahmwendafeysal9093
@abdalahmwendafeysal9093 6 ай бұрын
Toa andiko lililokataza kuoa zaidi ya mke mmoja, andiko hupingwa kwa andiko
@abdalahmwendafeysal9093
@abdalahmwendafeysal9093 6 ай бұрын
Toa andiko lililokataza kuoa zaidi ya mke mmoja, andiko hupingwa kwa andiko
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
@@abdalahmwendafeysal9093 amdalah unawachokoza dada zako wa kikristo wanakuwa wakali tuliongelea hoja hiyo utawasikia sa si mbadili tu dini muwe waislamu!!!! Ukiwaambia watoe andiko wanakwambia ukileta mke ye anaondoka😂😂😂
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 5 ай бұрын
​@@mckobatz5861 Akasema, kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye ataambatana na mkewe na hao WAWILI WAWILI WAWILI WAWILI watakuwa mwili watakuwa mwili mmoja " Mathayo 19:5
@daudireuben5675
@daudireuben5675 6 ай бұрын
Watangazaji mna haraka yaan subirn kwanza😂😂😂
@ednantabalwa1118
@ednantabalwa1118 5 ай бұрын
Wanaume wanapenda ngono cheki yanavoshabikia umalaya tu kuoga aaah...😂
@RastaSuma
@RastaSuma 5 ай бұрын
Hizo biblia zimewadanganya mengi sana wakristo kwani waandishi wa kirumi ndo walibadili maandiko ya Mungu na mkakaririshwa yaliyo nje ya amri za Mungu kama leo hii walivyoandika biblia ya mashoga na hayo yalifanyika wakati yesu kashaondoka duniani wakaingiza ukristo ambao yesu na manabii wote hawatambui.
@WillsEnterprise
@WillsEnterprise 5 ай бұрын
Swali logical tu, statistically mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume ina maana hao wa ziada hawana haki ya kuwa na mume au hawana haki ya kuzaa wameumbwa kuishi maisha ya upweke miaka yao yote hapa duniani??
@prosperjuma905
@prosperjuma905 6 ай бұрын
Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. 2 Petro 2:1
@ZionEmanuel-ne8ob
@ZionEmanuel-ne8ob 5 ай бұрын
Hapa nimeelewa kumbe uzao wa adamu kwa mwanamke Lilith upo na uzao wa hawa upo ndio maana kuna mambo yapo tofauti sana.
@Sheba4651
@Sheba4651 5 ай бұрын
Mmoja anakua mama tu acheni hizo, imani mila za wazungu, hata mababu zetu kabla ukoloni walikuwa hata na 11
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l Ай бұрын
Kweli kabsa
@Thatgurl-l8n
@Thatgurl-l8n 6 ай бұрын
Hii story naijua na kunamastory mengine mengi amby wanadai et bibilia haijaandika...ni kutoka ancient books
@dahero160
@dahero160 6 ай бұрын
Kuna kitabu cha enock ambaye na babu wa baba ake na nabii nuhu inasemekana hicho ndio kitabu chenye siri nyingi kiasi kwamba walioandaa haya maandiko walikitoa kisiwepo
@pauloshusha
@pauloshusha 5 ай бұрын
Ukitafuta watu 2 duniani wasio mjua MUNGU. Wasiojua neno mzee wa upako nanba (1)
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 5 ай бұрын
Mzee Waupako kwisha habali
@RehemOmari
@RehemOmari Ай бұрын
Watu wanatafuta. Pakupitia tu neno liko wazi alietolewa Kwa ubavu ni Hawa na huyo Lilith hakuwa mke ila aliumbwa pamoja na Adam
@oscarmushi3212
@oscarmushi3212 5 ай бұрын
Mwanzo 3 20 Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai. Mke halali wa Adamu ni Hawa
@omarimhd7716
@omarimhd7716 5 ай бұрын
Baba levo atakikuchaguliwa mke
@fabianbenardngatunga2713
@fabianbenardngatunga2713 5 ай бұрын
Kuowa wake wengi ni tamaa za kibinadamu
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 6 ай бұрын
Mzee wa upako tuthibitishie kwenye maandiko
@GoodFred-e7s
@GoodFred-e7s 5 ай бұрын
Leo ndio nimesikia kuwa haha ni mke wa pili
@GombaRecords
@GombaRecords 6 ай бұрын
Lilith aliweka kiburi coz wote ni quality moja Sasa iweje unitawale Lilith akalaaniwa.then akaumbwa hawa kupitia Adam ndio Adam akasema huyu ni Bora coz ametokana na Mimi atanitii finally mwanamke ni mwanamke tu hawa nae akamtia changalamacho Adam wakala tunda wakafukuzwa kwenye Bata wakaletwa huku tupambane na maisha haya ya uchawi fitna majungu roho mbaya kuuana kusalitiana na kila balaa Yani wanawake Wana shida Toka mbinguni sio hiku duniani tu
@methodemmanuel4658
@methodemmanuel4658 5 ай бұрын
Leta andiko au references zinazoeleweka nami nijifunze.
@MaikoRashku
@MaikoRashku 4 ай бұрын
Wewe mlevi Kweli, unasema kwamba watu wakikubaliana Jambo lolote MUNGU analieshimu !. Kwa hiyo hata wale waliokubaliana kufirana MUNGU anaeshimu ?. Wewe Antony acha kupotosha ,
@Thatboyhumble_95
@Thatboyhumble_95 5 ай бұрын
Naomba unisaidie kitabu kinachoongerea kuhusu Adam na wake zake
@FrancesJunior-e9f
@FrancesJunior-e9f 6 ай бұрын
Acha uongo mzee babu!
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 6 ай бұрын
mnakera na background music , yaani inakeraaa
@zachariangoyo6495
@zachariangoyo6495 5 ай бұрын
Mzeee umeayaroga Sana Rudi Kwa MUNGU ukatubu
@ChristineKatana-rk8mu
@ChristineKatana-rk8mu 6 ай бұрын
Si kweli Adam na hawa ndio watu wakwanza walioumbwa na mungu duniani.waliumbwa kupitia mikono ya Mungu mwenyewe,ndio maana tunaitwa wana wa Adam na hawa, Soma kitabu cha mwanzo baada ya mwenyezi Mungu kuumba vitu vyote,wa mwisho ilikuwa wanadamu ili waitawale Dunia.nimesoma bibilia yote kutoka mwanzo mpaka ufunuo hakuna hata verse inayosema Adam alikuwa na mke mwengine mbali na Hawa
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 6 ай бұрын
Mmmh sio kweli
@KudrahPembe
@KudrahPembe 6 ай бұрын
Na Hilo li baba levo halijui kutangaza saiti lake Lina rafuzi ya ki muha muha,limetoka mda mrefu kigoma lakin bado linasound kimuha
@victoriousgospels
@victoriousgospels 5 ай бұрын
Hili swala ni rahisi sana kutambua aache uongo. turudi kwenye taratibu za Kikuhani na KUHANI NI NANI LEO?
@BIGGIEBOOST
@BIGGIEBOOST 6 ай бұрын
Et hakuna kichochoro chochote 😂🙌🔥🔥
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 8 күн бұрын
Hayamambo waafirika siiyetu tunapoteza muda kuerezea utamaduni wawengine
@SifaelMpagike-gt1gz
@SifaelMpagike-gt1gz 5 ай бұрын
Huyu mzee hajui maandiko... Hata kidogo ni uhuni tuu
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 5 ай бұрын
Mwanaume kuwa na mwanamke ni tujitoa sadaka
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 6 ай бұрын
Haya zamu yenu sasa Wakristu kumbe wake 2 sio zambi wala wamjakatazwa kuoa basi tushirikiane kupunguza wimbi la Singo mama.
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
Amdalah 😂😂😂😂
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 6 ай бұрын
Tukiacha tamaa za kimwili ziongoze imani zetu ni hatari sana.Mungu alimpa mke mmoja adam,kama angependa afaidi angempa hata 9,lakini tunaona ni jinsi gani Mungu yuko mbele ya muda siku zote,hata wakati wa kiapo madhabahuni huwa tunarejea mstari huo"tazama Mungu akaona si vyema adam akae peke yake" Huyu mwehu atuambie andiko hilo la maneno ya Yesu liko kitabu gani.aliishasema pia Yesu hawezi kuwa Mungu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 6 ай бұрын
Natamani siku moja wasafi wamualike bishop ngonyani fundi wa maandiko , alielezee hili sio hawa wachungaji njaa wasiojielewa afu bible ishaweka wazi na kusema tuzipime roho zidanganyazo na mafundisho ya kishetani
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 ай бұрын
Hapo sioni akisoma maandiko ya bibilia naona maneno sijui huyo mzee anatumia kitabu gani hapo
@KudrahPembe
@KudrahPembe 6 ай бұрын
Nyinyi studio mnapiga mikelele swali aulize mmoja mumwache anaejibu ajibu mara mcheke cheke
@draffael1
@draffael1 6 ай бұрын
Uncharted waters!!!
@davidsika5292
@davidsika5292 6 ай бұрын
Mwanzo sura ya 1:26-27 nin summary ya uumbaji wa binadamu lakini sura ya pili inaelezea vizuri sura ya kwanza soma mwanzo 2:5 na kuendelea utaelewa vizuri
@franciscaleb5444
@franciscaleb5444 5 ай бұрын
Vitabu gani ivo si tunaangalia neno la Mungu ndo linatuongoza saiz 😂😂😂
@hassanbukambu931
@hassanbukambu931 5 ай бұрын
Ilo Neno limeandikwa kutoka kwenye vitabu hivyo anavyosema lusekelo ila walichambua TU wakaandika Biblia hii.halafu ikaaninishwa hivyo vitabu vingine ni ila za ibilisi na watu wakaanini hivyo Ndio maana mnampinga.
@franciscaleb5444
@franciscaleb5444 5 ай бұрын
Vitabu vingine ndo vitabu gan?🤣😂
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 6 ай бұрын
Akuna kitabu kinacho sema mtu awe na mmoja hiyo ni mipango tu ya watu furani kuupotosha ukweri hata sayansi ina kataa mke kua na zaid ya mume mmoja ila ina kubari mme kua na wake wengi zaidi maana yake mungu ndie alie amua piga ua na hata wewe unae pinga vil vimada vya nin baada ya mkeo fuata haqi acha kufata mbinu za wahuni waliozo panga
@muhinabakali7377
@muhinabakali7377 6 ай бұрын
Upagani ndio wanao ufata wakilixto kwaxa babu wana muamini nabii xwelemani alikuwa na wake wangap
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 5 ай бұрын
pumbavu mnasaka kichochoro cha kutokea kwenye bible awajakiweka bwana kwao acha tuishe na presha tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@deboravicent7427
@deboravicent7427 5 ай бұрын
Chocho limegoma... ha ha haa!
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 5 ай бұрын
Pombe sio chai
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 6 ай бұрын
Muwe mnasema na hivyo vitabu ni vitabu gani au hiyo mistari ya huyo Lilith
@Brandpeople
@Brandpeople 6 ай бұрын
Kitabu kinaitwa "The Alphabet of Ben Sira" kiko katika tamaduni za kiyahudi kati ya 700-1000CE (Early jewish literature), ndio haya yameeelezewa. Kwenye Biblia; Mwanzo 1 " Mungu akawafanya mtu Mume na Mtu Mke"...., Mwanzo 2 " Mungu akamfanya Eva". unaona wazi kabisa kuwa kuna kipengele cha taarifa hazipo, na hakuna uhusiano kati ya Mtu Mke na Eva sababu kilichotolewa kwa Adamu ni Ubavu.
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 6 ай бұрын
@@Brandpeople Ni kwanini hapo Mwanzo 1:26 tunasema ni Adamu akati haijaandikwa Adamu imeandikwa tuu Mume na Mke alafu sisi tunasema mume ni Adamu na huyo Lilith akati Biblia haijasema hivyo. Lakini huo ni utangulizi tu katika ufafanuzi wa uumbaji mtu wa kwanza ni Adamu na Hawa.Ukiniambia kama hivyo unavyosema unatakiwa kunambiya pia huyo mume alikua nani hapa pa Mwanzo 1:26 sababu hatuoni majina
@jacobnduya798
@jacobnduya798 6 ай бұрын
Neno Lilith halipo kwenye bibilia lkn ukisoma vzr kitabu cha mwanzo sura ya Kwanza na kuendelea utagundua kuwa Adam aliumbwa kwa udongo na mke. hapo lkn siyo rahisi kujua. Lilith ipo kwenye hadithi ya maandiko ya wahahudi.
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 6 ай бұрын
@@jacobnduya798 Kama ni hivyo bas Adamu sio wa kwanza maana Bibilia imesema aliumbwa mtu mume na mke hapa hayakutajwa majina lakini sisi tunaunda huyu mke alikua Lilith na huyu mume alikua nani sasa maana Mwanzo 1:26 haijasema
@Brandpeople
@Brandpeople 6 ай бұрын
@@mwankunjatyson Ndio maana nimekupa "Source" ili usome kwa uelewa zaidi Mr. Mwankunja. Ukifuatilia utaona hadi majina ya Malaika watatu(3) waliotumwa kumrudisha Lilith Kwa Adamu baada ya kuamua kuondoka. Hata chanzo cha Lilith kuonekana amekosa Utii kwa Adamu kimeainishwa. Na pia maelezo kuwa Lilith ni nani na yuko wapi sasahivi/Leo hii. Kuna mambo mengi, kifupi kuelezea hapa kila kitu itakuwa ngumu maana kila jambo litazaa maswali mengine zaidi.
@getrudekaniki5540
@getrudekaniki5540 5 ай бұрын
Ajabu mzee wa upako hujui bibilia ...hii hatar sana.
@bensonelisa3225
@bensonelisa3225 6 ай бұрын
Hvo vitabu vingine vimepatia wapi hzo habari ambazo hata kwenye bibilia hazipo!!?
@superbillionairea5987
@superbillionairea5987 5 ай бұрын
Ibrahim alioa mke mwingine akiitwa katula soma mwanzo 1.25
@jamalkishangu
@jamalkishangu 11 күн бұрын
Mzee wa upato anaijua Biblia lakini anakwepa kujibu kwa ufasaha sababu anaogopa wachungaji wachwala wanamshambulia sana.
@OscarDongo
@OscarDongo 6 ай бұрын
Dah! Watu mna siri!? Hivi kumbe mwamba (Adam) alikuwa na EX wake kabla ya hawa!? Mnatukoroga kwa kweli........
@IsaiahThomas-zf2gn
@IsaiahThomas-zf2gn 6 ай бұрын
Umeona adera 😂😅 ila baba levo
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi 6 ай бұрын
Mwanaume akiwa na wake wawili au zaid, je kunakuwa na miili mingapi? Maana tumeambiwa mke na mume wanakuwa mwili mmoja.
@EmmanuelKamaka
@EmmanuelKamaka 5 ай бұрын
Stor yenu mhh Ongezapicha zawazungu.kichefuchefu tadyari mnapotosha ukuu.wamwfricana uumbaji.wa MUNGU
@StephanoMoses
@StephanoMoses 6 ай бұрын
Hao wazungu hapo mmewaweka wa nn wakati yesu sio mzungu ni mweusi
@tabletennis6296
@tabletennis6296 6 ай бұрын
Jaman sio kwa ubaya ila hawa oscar wao ni wachambuzi wa kitu gan? Mpira wachambuzi wao Matukio ya kijamii wao Siasa wao Uhalifu wao Mbona imekaaje hiii?
@barakadugange2156
@barakadugange2156 6 ай бұрын
We ulitaka wakuchambulie nini kat ya hivyo ulivyotaja
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
Lilith kwenye bible Hilo jina halipo , na anacho kizungumza nii vitabu vya mediavel, wameandika hvyo vitabu , kwenye bible hakuna kisa chaa kusema Lilith hakumtii Adam😂
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 6 ай бұрын
Huo ndio ukweli badala yakupigana na ushoga tunapingana kuhusu kuowa
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
MAMA ANAYEDAIWA KUMZIKA BARIKI BAA AJITETEA "SIO MIMI NI FAMILIA"
6:08
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН