ndege ya kivita inakuwa nzuri inapoingia katika uwanja wa vita
@braystuskibassa38426 күн бұрын
Wenzetu huwa ni wajanja wanadukua au kununua technolojia
@mohammedshishishi63756 күн бұрын
Akuna ndege nzuri mpaka ipelekwe kwenye uga wa vita ndio tutajuwa nzuri ama
@EriyaRichard6 күн бұрын
Hapo hakuna copy tena cjui watu wata semaje tena hapo😂😂
@ALLyIsmail-f1n6 күн бұрын
Russia na marekani, waone tu , Wana mipango mingi hawatangazi,, wakija tangaza jua Kila kitu kipo SAWA
@bonnymakuke31536 күн бұрын
Na ivyo ni vicopy2
@pascofp1456 күн бұрын
Wewe nawe hakuna taifa lisilo zindua technology ya ndege vita unatakiwa ujue technology zinakuwa Kila siku hivyo china kufanya hivyo ukalazimisha kuwa Russian na marekani wanazi kuwa wao ndio waliamza
@EriyaRichard6 күн бұрын
@@bonnymakuke3153siyo copy umesikia kizazi Cha 6
@japhtv98586 күн бұрын
Je sisi tuna nn 😅 ...baba levo na mwijaku
@khatibumasudi6 күн бұрын
Maini na maembe
@ga2revocatus915 күн бұрын
Mmmhhh Kuna soja anakaa anaonyesha utumbo na mbavu zake kwenye mitandao akili zake nanguvu zake angewekeza kwenye Technology kidogo Tz tungefurahhh sasaa mmmmhhhh
@Anthonyzombie-d2s4 күн бұрын
Tunapenda stori za mondi na zuchu,harmonize na kajala
@FilbertRobert-e4u6 күн бұрын
China itakuwa sana
@zanzibarsmzenji6 күн бұрын
Hongera sana TZ kuendelea kisiasa zaidi
@Anthonyzombie-d2s6 күн бұрын
Africa hoi,tz ndo tupo nyuma nyuma
@HorebuKasuku-zz8cj4 күн бұрын
Tutajikwamuwa😂😂😂
@ramadhaniOsujacki5 күн бұрын
Daah hii nchi ya china ni balaa inaonesha china nao wamejipanga zidi ya hawa manyang,au nawapa hongera sana taifa la china kwa kuweza kutengeza ndege yao kivita mungu awabariki kwa kuweza kuwapiku mataifa mengine duniani asante mungu akubariki sanna kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu
@SaveAmericaa6 күн бұрын
Nakupenda
@gibbs13206 күн бұрын
Anza kupenda wazazi wako kwanza
@bogoheidaso26286 күн бұрын
Mbona hiyo ndege niyakawaida Sana kwa madude ya marekani na urus
@laizermaasai67596 күн бұрын
Mi najua mtu hawezi kuonesha kitu chake cha mwisho wa uboraa. Hapo wanayo zaidi ya hiyoo na bora zaid ya hiyoo
@BarakaKusalula6 күн бұрын
Wanaonesha maana ni biashara pia wanafanya so siyo kitu Cha kuficha sana
@alphamenson37846 күн бұрын
@@BarakaKusalulajamaa hawaelewi hicho mzee
@GeorgeElias-p5o6 күн бұрын
Wazee wa copy hao, mbwembwe tu
@EriyaRichard6 күн бұрын
Marekani ya kwake kama hiyo ya kizazi Cha 6 Iko wapi mchina aliyo igipizia😂
@HajiHaji-v9f5 күн бұрын
Good
@hassanabdallah32025 күн бұрын
Mtangazaji kapoa kama nn bana 😅😅😅😅
@mdl64635 күн бұрын
Waona kesho Hao NO corruption NO political
@mwenebatuetabo55156 күн бұрын
Wa china wamesha copy tiyari
@mtulivu-ir1nq6 күн бұрын
China kadri siku zinavyokwenda anazidi kuwa Bora Kila engo china nawakubali sana halafu wanafanya yote kwa kujilinda na kujiletea maendeleo na si kwa ajili ya kumpiga mtu au kuleta machafuko kwa wengine🔥🔥🔥
@Badvoice7076 күн бұрын
Hiyo ni copy ya B2 😂😂😂😂
@Mahene-w1l6 күн бұрын
Kumbe nawe umeona Kam Mimi ngeshangaa mchina Kuwa na technology bila kucopy!!😂😂😂
@mrishomohammedi26546 күн бұрын
Ndio ujinga na upumbavu wa mtanzani wakisikia china Wana Amin kukop tu somen muunde vya kwenu au igen na nyie
@salumabdallah29906 күн бұрын
B2 haiko ivo b2 iko kama ndege tai
@sanoureyaliwadoakaroyo16966 күн бұрын
Huuu Ndio Ujinga Mkubwa Wako nao Baadhi Ya Vijana wengi Tanzanian Wameaminisha Kuwa America 🇺🇸 Ndio Nchii pekee Yenye Technology Peke Yake Dunian Daah Msiba sana Huu😢😢😢
@praygodmuniss77506 күн бұрын
@@Mahene-w1l kwel bro
@salehkhamis-ob8ln6 күн бұрын
Acheni uongo China mchumba tu mbele ya marekani na urusi
@hansiempire50936 күн бұрын
China BDO Sana .mmarekan ni htri sana
@RamadhaniMohamedi-de2vc6 күн бұрын
Waibe wasihibe waige wasihige ndio washatengeneza yakwao kuiba kitu kwafaida ya taifa ni vyema kuliko kuiba kuku.
@worldhappiness11816 күн бұрын
Naanza kua na waswas kama kwel zile tunazoziona na kuhis ni UFO! 100% ni kaz za binadam
@BenjaNetanyahu6 күн бұрын
Hawezi shindana na u.s na Russia, hao mashetani wapo mbali sana.
@abdullahmanalex23063 күн бұрын
😂
@worldhappiness11816 күн бұрын
Hakuna atakachoshindwa kufanya Mchina endapo tu Kimefanywa na Binadam
@paschalcosmas60936 күн бұрын
Sasa kama mchina kamjibu Marekani ndege ya B-2, lkn marekani ameshazindua B-21 vp hapo???
@josephrichard2416 күн бұрын
hiyo ni fighter jet au ni bomber kama SU 34, B1B lancer au tupolev 160
@rahmaihucha85775 күн бұрын
Kwa tabia ya marekani kuibiwa ni asilimia 0.1% lakni marekan kuiba blueprints ni asilimia 99.45%
@willylazaro58755 күн бұрын
Kwa hiyo bado B2 bomba bado inakuwa Ndege yenye uwezo mkubwa zaid
@ModrickDominickКүн бұрын
Inaweza kuwa mpya ila ubora ikawa Yakawaida
@MikeSairo6 күн бұрын
Chinese Oyoooooooo ❤!
@princemusa71675 күн бұрын
Wewe,,kumbuka USA yuko na B2 STEALTH BOMBER,,ndege inapita huioni 😂
@JacksonJohn-z6f6 күн бұрын
Sasa muandshi huon kuwa ikiwa China hawaez kuwa na B2 watawezaje kuwa na ndege ya kizaz Cha sita?Afu hiyo ndge wameiga mfano wa B2 ya marekan yenye muonekano wa popo mithiri ya pembe tatu
@thefactbook...16074 күн бұрын
Nice question.tayari ya kizazi cha 5 wanayo j20 hii ni dhana tu yaani theory watu wamedhania.
@mustafamasudi80936 күн бұрын
Habar zako zimejaa labda labda tu nyingi na pengine pengine nyingi yaan una wivu na mchina na mrusi
@gibbs13206 күн бұрын
Tengeneza kazi zako tuzione basi
@thefactbook...16076 күн бұрын
Mustafa masoud hyo sio official news ndo maana hautaikuta bbc,au aljazeera. Haata wachina wenyewe hawajasema chochote.we ipokee na shukuru hata kuipata hapa sns.
@MichealNdahiza-v7c6 күн бұрын
Ndege hio iko kama kisamaki flani ocean
@fauzishabani26225 күн бұрын
Tuna Amani
@sundaygeorge22005 күн бұрын
Naona CHINA amamua kutoa PHOTOCOPY kutoka kwa Marekani maana kubuni vya kwao wameshindwa kabisaaa
@avivtelcomms6 күн бұрын
Vipi kuhusu stealth bomber ya USA?
@ELIMBOTOREUBEN-sv5qm6 күн бұрын
China ni mtawala wa dinia badae🌹🌹👍
@HanceMagazi6 күн бұрын
Sio kweli 😅😅
@MikeSairo6 күн бұрын
Hakika. Nakubali
@tekashisixtynin9threewithd7276 күн бұрын
Akiwekewa 2 vikwazo anaanza lia😂😂
@JohnBaton-h5v6 күн бұрын
Io marekani inaanguka mdogmdog maan haikujengw kwa siku 1 na china ni mtawala ktk uzalishaji angalia vitu tunavotumia vingi made in china watu hawajui ndo mtawala mpya dragon
@ELIFASMADEBHO4 күн бұрын
China awe anaanzish technology yake mwenyew bl kujalbu kucopy itpendeza zaid
@tigris_1926 күн бұрын
🎉
@RonnieBertin6 күн бұрын
Hao wameiga black bird
@josepheriah59775 күн бұрын
Copy kabsa usidanganye apo
@Robinson245606 күн бұрын
B2 bado ya nyuma marekani imefika 6th generation B21 radar stima hao watabaki kuiga tu
@hashimukasimu27166 күн бұрын
Kama nakuona engineer
@TheReporter-A476 күн бұрын
Hii story nimeiona juzi yimes of India hawa jamaa wako fasta kwa habari
@africanmandetraveler28476 күн бұрын
Urusi atakua na zaidi ya hiyo nani alijua kuna Oreshnik kombora linalo safiri speed mara nne ya sauti.
@Majambo_Duniani_Tv6 күн бұрын
spidi mara nane ya mwanga??? Kadanganye wenzio ambao hawajasoma Physics...
@africanmandetraveler28476 күн бұрын
@Majambo_Duniani_Tv wewe hujasoma physics ungekua umesoma ungeangalia vizuri nilivyo andika wewe na division zero yako ndo unasema mara nane 😃 😀 😄 😁 🤣 😂
@africanmandetraveler28476 күн бұрын
@Majambo_Duniani_Tv nne na nane ni vitu viwili tofauti hua siandiki abbreviation ndugu na maanisha 4 nne
@EliasYunus-ev7wq6 күн бұрын
Nadhani ulitaka kuandika speed ya sauti. Speed ya mwanga ni kubwa sana.
@suraqhakmk6 күн бұрын
@@africanmandetraveler2847 😃what bro??? mara 4 ya speed of light unajua unacho kisema kweli?ukitumia speed of light unaweza zunguka dunia mara 7 na iyo ni 300000km kwa second moja na iyo kombora unayo sema oreshnk ina speed ya 3km kwa second moja ama mimi ndyo sija elewa btw kama spidi ya mwanga una manisha speed of light basi ujue akuna siku binadamu ata weza kutengeza kitu chochote inayo zidii speed of light haitawai tokeya
@jumamussantuiche6 күн бұрын
Massude acha kudanganya watu,juzi ulikua israel mara iron dom,saad.kumbe amna kitu leo unaenda china.
@evodiusantony21156 күн бұрын
China Atari
@CantonaKunona6 күн бұрын
Biashara za kuuza silaa zimeanza 😂 alf kuwa na technology c o ndio kama unaweza vita nimejifunza kwa IRAN😂
@JamesJastin-bg1rx6 күн бұрын
Kwanini umeitaja iran ebu fafanua
@karimmunis83026 күн бұрын
Iran Ikitajwa Hadi Netanyahu huwa animals
@FxL_476 күн бұрын
@@CantonaKunona kwamba ISRAEL Anae Technology kama zote sijui kina Iron dome lakini anapigwa na IRAN 😂 Sasa hivi Iron dome hamna mtu anaogopa watu wanajibipigia tu ISRAHELL 😂
@jonasmrema85504 күн бұрын
Wakina Nani wanajipigia? Hezbollah mliowasifia saivi hawadikiki tena houthis maji ya shingo @@FxL_47
@godwinmwakibibi2746 күн бұрын
Unawez kusem kunguru kumbe dege la Kivita hapa kwa video ukiliona live hili sio poah
@nazirusaidi24746 күн бұрын
Tutabaki kusema kuwa china anacopy but tutakapo amka tutamkuta yupo karne ya mbele na hakuna wa kumkuta. Wamarekani wamebaki kutupumbaza tuamini kuwa wao ni wababe wa Dunia but pata muda fuatilia maendeleo ya china, wanafanya the imposibles, miundombinu yao iko mbali sana mmarekani agusi. Angalia maendeleo ya miji yao, kuanzia njia za usafiri (madaraja ya ajabu, treni nzuri za za spidi, vituo vya kisasa), shule zao, yaani wamejidhatiti kila kona mpk kumfanya mmarekani kumuwekea vikwazo. Tumeona magari yao ya umeme yanavyoongoza kununuliwa mabara ya ulaya mpk wameamua kuwaongezea kodi ili kuwakata spidi. Mchina yuko mbali sana ila Dunia imefichwa kuona ukweli na kuaminishwa kuwa Mmarekani ndio kila kitu, amke ndugu zangu na tupambane kwa ajili ya Taifa letu kwani mchina miaka 50 iliyopita ilikuwa miongoni mwa nchi maskini lakini leo wameweza.
@MustaphaManole6 күн бұрын
Big up sana tutaamka siku moja inshallah
@swalehemusa45465 күн бұрын
Kweli kabisa nilazima africa iamke kutoka usingizini sio kuomba omba tu
@far_hard13016 күн бұрын
Hujui kujieleza kaka unazungusha sana maneno maneno marefuuuu nenda straight to the point unafupisha maelezo yaani short nice and clear.👎