Dark Eagle: Mfumo wa ulinzi wa Marekani unaoweza kuzuia makombora ya Hypersonic, ni zaidi ya S-500?

  Рет қаралды 17,019

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 256
@Chombezaflava
@Chombezaflava 18 күн бұрын
marekani na muhaya hawana tofauti
@avivtelcomms
@avivtelcomms 18 күн бұрын
Ukipewa visa ya urusi na usa hapa nakuona washington dc inapiga selfie whitehouse 😂
@MudyChavala
@MudyChavala 12 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee 18 күн бұрын
Thaad imesifiwa sana lakini Wahouth wanajipigia tu 😀
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 18 күн бұрын
Marekani mbwembwe nyingi😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 18 күн бұрын
Marekani mbwembwe nyingi😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 18 күн бұрын
Marekani mbwembwe nyingi😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 18 күн бұрын
Marekani mbwembwe nyingi😂
@mwinyibazazi9653
@mwinyibazazi9653 18 күн бұрын
😂😂
@husseinc
@husseinc 18 күн бұрын
Marekani yupo vizuri kwenye kutangaza biashara yake, upeleke vitani sasa hamnakitu watu watajipigia2
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 18 күн бұрын
Let ushahid 😅😅😅
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
Ww jijengee utamaduni wa kusikiliza tu wala huna haja ya kukosoa kwa sababu huna utalaamu wa mifumo hiyo.
@MartinKipenya
@MartinKipenya 18 күн бұрын
​@@Anthonyzombie-d2sanao Putin 😮😮😮
@SelemaniMsuya-q8n
@SelemaniMsuya-q8n 18 күн бұрын
​@@Anthonyzombie-d2s Ukraine wapewe Russia wautest utapata jibu
@emmadora7848
@emmadora7848 18 күн бұрын
Russia is nothing ni vile wabongo mmeweka matumaini makubwa sana Kwa Russia ila hakuna kitu ​@@SelemaniMsuya-q8n
@RichardBundala-q7b
@RichardBundala-q7b 18 күн бұрын
Yangu macho namasikio tuu hadi mwisho
@husenahusena2660
@husenahusena2660 18 күн бұрын
Subhanallah wabihamdih subhanallah llaadhiim ❤❤❤
@RosemaryMwaipopo-qd4vw
@RosemaryMwaipopo-qd4vw 18 күн бұрын
Sio kweri uyo marekan ana makombora ya Kasi afu awe na mtambo wa kufungua makombora ya Kasi kapata wapi stor za uwongo izo
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 18 күн бұрын
Patriot & Thaad yame kuwa marehemu?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 18 күн бұрын
Dunia iko moto sana
@kotei-s3l
@kotei-s3l 18 күн бұрын
Nasis tuunde hata kombola moja ti😢😢
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 18 күн бұрын
Bingwa wa kubuni vimeo vita ya Ukraine imemuumbua choka mbaya sana
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 18 күн бұрын
Waweke batlle wajaribu oreshinik
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 18 күн бұрын
HIVI MAJUZI TU PUTIN KASEMA NATO WAWEKE BEST DEFENCE YA ULINZI HUKO UKRAINE NA RASSIA ITATUMA ORSHNIK KAMA HIZO DEFENCE ITAWEZA KUIZUWIA HIZO KOMBORA ZA URUSSI.
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 18 күн бұрын
MAREKANI NI BORA KWA OFFENSIVE...NA MRUSSI NI BORA KWA DEFENSIVE
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 18 күн бұрын
Marekani ni moto mwingine wazee! Hivi mmeshawai kuona wakionyesha hovyo hovyo silaha zao!
@logwardlogwardsamweli6121
@logwardlogwardsamweli6121 17 күн бұрын
Umeogea poiti tumia bia 5 kwa bili yako
@MohamedyMsagati
@MohamedyMsagati 18 күн бұрын
Hiyo Thaad inashindwa kuzuia hypasonic za wahouth wamarekani wanambwembwe sana wanawahi soko la dunia kabla vita haijapoa duniani
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 18 күн бұрын
KAMA NI BORA YA ULINZI WAPELEKE HUKO UKRAINE KWA ZELENSKY KAMA ITAWEZA KUIZUWIA MAKOMBORA ZA URUSSI.
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Waziraili walisema ndio inayo Technology ya mifumo ya ulinzi bora dunian,mbona inapelekwa mbiyo na Yemen
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 күн бұрын
Shkamooni marekani,china na URUSI sitaki kusema nani ni the best lkn hapo mlipofikia sisi uku Tanzania ni ndoto
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 18 күн бұрын
Sasa ukisema ndoto kwani sisi tunapigana vita? China lazima awe bora maana anafanya biashara ya silaha, ila hapigani, Marekani anafanya biashara ya silaha na anapigana vita kila kukicha, Russia nae anafanya biashara ya silaha na mpaka sasa yupo vitani, sasa Tanzania haifanyi biashara ya silaha na haipigani vita, maisha ya waafrika tunapambana bado na maisha na ujenzi wa miundombinu, hawa wametoka huko miaka mia ili kuwafikia hivyo sasa wanatumia akili zao kupinguza watu😂 kwa njia covid na vita😂
@dannywillson5874
@dannywillson5874 18 күн бұрын
@@DavidCurtis-e4cissue sio kupigan kwan siraha tunanunua za nn km hazina maan😂😂tupo nje ya mda
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 18 күн бұрын
@ hiyo silaha moja unajenga uwanja wa ndege bob! Usifikiri ni shilingi za madafu ikiwa sisi kujenga railway tunahitsji sponser na hao hao ndio wametuwekea mifumo ya kuomba kila kukicha kwa afrika yote tumekuwa omba omba na kuwapa mali zetu kwa kutupangia wao, mfano mdogo Uganda imepinga muswada ya kuidhinisha haki za mashoga matokeo yake hapewi misaada yaani mikopo wao wanaita msada
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 18 күн бұрын
@ angalia America inaiuzia Ukrain silaha ili kupambana na Russia hivyo lazima wao kwa wao watambiane silaha maana kwa maendeleo wameshakuwa nayo mda tu, je sisi tuache maendeleo tukanunue silaha zao? Ili zije zikae mpaka ziharibike zilipuke kama ilivyotokea gongolamboto? Sila tulizonazo zinatosha kujilinda kwa majirani zetu tu ila nje ya hapo bro hatuwezi wala hata kujaribu! Nasema hivi namaanisha ili kupata ujuzi wa haya inabidi ukasome kwao je wanaweza kuruhusu hiyo kitu itokee?
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 күн бұрын
@DavidCurtis-e4c nachozungumzia ni mashindano ya technology
@masatumtani1588
@masatumtani1588 17 күн бұрын
Kumbe hypesoni ndo inazuia kitu Olenshki haizuiliki
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
Safi sana Marekani
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 18 күн бұрын
We una fahiya nin 😂
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
Ulevi wako unasifia Hadi mashoga
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
@@YohanaMasebo ww ndio shoga kwa sababu unapenda sana kuutaja huo ushoga.kama ww hupendi kuisifia marekani mbona unatumia huu mtandao wao wa youtube na internet pia ni kwao.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
@@YohanaMasebo umekopi hana jina la hao unaowaita mashoga.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
@@YohanaMasebo wenzako Mungu kawabariki na kawapa maarifa zaidi na kugundua vitu mbalimbali ww ambaye sio shoga umebarikiwa na nini? Au utuambie kwenye ukoo wako kuna mtu aligundua hata kutengeneza bakuli?
@HassanhaidaryKamana
@HassanhaidaryKamana 18 күн бұрын
Mimi nakushangaa unasema wamepata mwarubani tusubili kuona marekani wanajuwa kutanga biashara Izraeli thaad ipo lakini wahudhi wanapiga Kila Siku Masubi pelekeni Ukreini tuone wanaona aibu kupeleka
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv 16 күн бұрын
Marekani haijawai pigwa na nchi yoyote ndani ya marekani na ukitaka nchi zenu ziwe majivu jaribu nchi yoyote kurenga sehemu ya marekani ndani ya ardhi yake uone watakachokufanya
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 18 күн бұрын
Mwenye Hypersonic Kashasema Wachague Eneo Lolote😂 Wanalotaka Na Wakusanye Mifumo Yao Yote Wanayoiamini Na Yeye Apige Orishniki Watapata Majibu Wenyewe Mamaye 😂😂😂 Thadi Na Aro Ya Israel Wahuth Wanapiga Na Hawazuui Watazuia Orishniki
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 18 күн бұрын
😂😂😂😂
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 18 күн бұрын
😂😂😂😂
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
😂😂😂
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
❤❤❤😅😅😅
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 18 күн бұрын
@@salminisaleh9249 ,Oreshniki babá Lao mpka Léo América na Europa hawajachagua target huko Kiev Oreshniki ipige kitu hapo tuone Nani mbabe
@nellymans-f1v
@nellymans-f1v 11 күн бұрын
Mbona wanaenda haraka😅😅😅 kuna jambo hap
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 18 күн бұрын
American ❤❤ Israel 🇮🇱❤❤ Tanzania ❤❤
@ericmutalemwa8040
@ericmutalemwa8040 18 күн бұрын
Ndugu ZANGU Hizo habari mnazitoa WAPI HAO USA WENYEWE HAWANA MAKOMBORA YA HYPASONIC MPAKA SASA NDIYO WANAANZA MAJARIBIO JARIBUNI KUZAMA DEEP WENYEWE WANALALAMA ANGUKO LA USALAMA WAO WA ANGA
@HarunaAmiri-k1v
@HarunaAmiri-k1v 18 күн бұрын
Kama hawana haypersonic iweje wawe na mfumo huo wa kuzuia hayo makombora inafikirisha
@zumemooha6504
@zumemooha6504 17 күн бұрын
MMAREKANI NA MKEWAKE MUYAHUDI NI WATU WANAOJIGAMBA HAWANA CHOCHOTE WAHUNI WADHALIMU NA WAJINGA HAWANA LOLOTE MBONA KILA SIKUWANAPIGWA MALENGO YAO
@Joshuajereman
@Joshuajereman 18 күн бұрын
Masudi unazingua vitu vinapenya afu unatutanganya waoth wanajitekenyea mda wote tuambia uliisifiiia xana thadi leo umekuja na uongotena
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c 18 күн бұрын
Alafu unasemaje zaid ya s-500 wakat s-500 itatungua had 600 yenyewe hyo thad ni km 500 ??
@pascofp145
@pascofp145 18 күн бұрын
Dah tuendele kutazama ichi hambayo haina Hypersonic imetengeneza mfumo wa Hypersoni sijui imefanya majaribio na makombora gani
@omondiowino7875
@omondiowino7875 18 күн бұрын
Kule Israel hypersonic zinadenguliwa kila siku...
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 18 күн бұрын
Mmmh,hv ulichoandika ni akili yko au mihemko tu😅😅,lini hypersonic iliwai tumika kule na ikadunguliw
@omondiowino7875
@omondiowino7875 18 күн бұрын
@hassanisaidi5422 hivi upo dunia gani... Wahuthi wenyewe walidhibitisha Hilo kuwa wanatumia Hypersonic balletic missile ... ambayo waliita Jina Palestina2...
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 18 күн бұрын
Hiyo iliwapiga wa Israel​@@omondiowino7875
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
Hili Tunguri mbona Liongo sana
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 18 күн бұрын
Marekani yupo kwenye biashara na sasa biashara yake ipo urusi na mashariki ya kati
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 18 күн бұрын
Marekani ni bora ndiyo lkn sio kama Russia!! Huyu ni bora zaidi kushinda marekani. China naye sasa yuko juu zaidi karibu kushinda Urusi na marekani. Unaona? Mwengaaaa baba Urusi na China, marekani kwenda huko!!! 😂😂😂😂
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 18 күн бұрын
American ni inchi yauchumi..kijeshi na inchi ya technogia..mrusi Hana uchumi na wanajeshi bola zaidi mu Americani
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
Zamani tunakuwa tulidanganywa marekani ni taifa kubwa duniani kumbe takataka mbele ya Russian 🇷🇺💪 😂😂
@abdallahmsangi3438
@abdallahmsangi3438 18 күн бұрын
Wapeleke Ukraine kwa majaribio siyo kujisifia bila vitendo
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 18 күн бұрын
Haiwezi zui oreshinik kaka
@avivtelcomms
@avivtelcomms 18 күн бұрын
Warusi weusi bwana😂😂😂 iv marekani unahisi ni iyolr ile?
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
Me nashangaa mifumo ya ulinzi ina bei kuliko mabomu
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 18 күн бұрын
Hapa hakuna kitu ngoja tutawatesti na kakombora kodogo
@karimmunis8302
@karimmunis8302 18 күн бұрын
Kwa dunia ya sasa mfumo unaokuwa operated na watu zaidi 100 hiyo ni takataka na huwezi kuusifia Labda cnn na fox new ndo wataupamba . Pia Kama usa hawajakuwa nayo hiyo hyper inakuwaje kwa mfumo unahitsjj hizo munition za hyper watazitoa wapi
@maulidimpili698
@maulidimpili698 18 күн бұрын
Hawana lolote hao marekani ndio tatz Kwenye dunia kaz yao kugombanisha ili apate kuuza siraha
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 18 күн бұрын
Wamarekani Wanataka Kuwaiti watu Europe
@bashirksabu3540
@bashirksabu3540 18 күн бұрын
Tuliaminishwa iron dome mwisho wa siku ikawa plastic dome. Tukaaminshwa thaad leo hatujui thaad imeishia wapi Sasa hivi wanatuimbia nyimbo mpya.
@karimmunis8302
@karimmunis8302 10 күн бұрын
Wamefanikiwa sana kwenye propagand ili waendelee kugopesha ulimwengu
@vintz338
@vintz338 18 күн бұрын
Hao waongo waongo sana ,waupeleke Ukraine si waliambiwa wapeleke watu watest 😂😂
@hudumablack9339
@hudumablack9339 18 күн бұрын
Waileke Ukraine ili tuweze kuamini kweli kama mfumo huu mpya ni mwarobaini😂
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 18 күн бұрын
Oyaa wakaifunge pale kiev Ukraine halafu njomba putin apige oreshnick halafu tuone itakavyoshenyentwa hiyo mifumo 😂😂
@ziongate5464
@ziongate5464 18 күн бұрын
Na ndio maana Wamarekani wanakufa sana Ukraine
@donizzo9570
@donizzo9570 18 күн бұрын
Kama wanauaminia Waambieni Waupeleke Kiev ukafanyiwe majaribio na eroshinick😅😅😊
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Mameli hayapiti mlango wa Yemen
@yussufyussuf7686
@yussufyussuf7686 18 күн бұрын
Km hao mashoga wana amini mfumo wao wa ulinzi bwana wao Putin kawaambia wapeleke kule yukren 😂😂😂
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 18 күн бұрын
Tulisifuwa mfumo wa ulinzi wa THAAD lakini mavi ya kuku
@avivtelcomms
@avivtelcomms 18 күн бұрын
Kwaio ww inahis hio ni latest tech ua mifimo yakujilinda😂? Nyie marekani sio usanvu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 күн бұрын
Putin aliwaambia juzi wapeleke mifumo yao yote na Nato na marekani Ukrene kisha wachague eneo alafu yeye awapipe orshnik Ila hadi sasa hawajajibu ombi
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Walimndanganya zelensky akauwa wanajeshi wake na vipande vya ichiyake vikachukuliwa na Russian,American na NATO wame mwaga pesanyingi na hawakufaulu mbele ya mrusi, alipeleka mufumo yake anayo yiamini anayo wandanganya watukama nimbora ika pigwa na drones za iran 🇮🇷
@abuubeker9785
@abuubeker9785 18 күн бұрын
Wapeleke wakazuie israel
@maxiellmillian
@maxiellmillian 18 күн бұрын
Sisi BONGO kazi yetu ni kuzindua umbea na udaku hakuna cha umuhimu kinafanyika
@isayaamulike
@isayaamulike 18 күн бұрын
Bongo watu wako bize na shep tuu😂😂😂
@vitusjackson1354
@vitusjackson1354 18 күн бұрын
Sasa huu mfumo ulikua wap kama uko vizuri mpaka Ukraine Inakua magofu mbona ulifichwa
@Uesilamsiodiniyakweli
@Uesilamsiodiniyakweli 18 күн бұрын
Unafikiri kutuo mifumo kama hayo ni kula chapati hee
@RajbuMussa
@RajbuMussa 18 күн бұрын
wapeleke ukraini kwa majaribiozaidi wa urusi tumesha uwona ulivyotungua strom shado..na himasi.
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
@@vitusjackson1354 babu mifumo hizi hasa zenye bei huwa zinatumika kuzuia makombora yenye kuleta madhara makubwa
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
@@RajbuMussa hata hiyo oreshnik putin haweki vichwa vita kwahiyo hamn haja ya kuharibu pesa nyingi kudungua kombora lisilokuwa na warhead cha kufanya tuna hamish target afu yy abashambulia target then tunasave ndio akili
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
Ukraine inapelekewa silaha za zamani tu zile za kusafisha ghala. Huwez mpelekea silaha ambazo ni advanced zaidi. Atazilipa kwa hela ipi sasa? Marekani kuna silaha ambazo ziko madhubuti zaidi ambazo hayuko tayari kuziuza hata kwa washirika wake amezitengeneza kwa ajili yake tu, B-2 spirit ni moja wapo
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 18 күн бұрын
Atatoa zoteeee😂😂😂 atatoa zotee😅😅
@FaustinidaudiDaudi
@FaustinidaudiDaudi 18 күн бұрын
Wapi😂waoongotu biashara tu hio
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 18 күн бұрын
walete Ukraine kwenye majaribio tuone 😅😅😅😅 Putin aliwachana marekani na NATO wapeleke uwanjani
@AbasiShabani-lw2fd
@AbasiShabani-lw2fd 15 күн бұрын
Wapelekee Israel tuone kama itafanya kazi 😂
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 18 күн бұрын
Putin katoa Challenge kwmb wachague Target pele Kiev-Ukrain halaf iekwe mifumo ya Ulinzi yoote ya NATO halaf Oreshnik itumike tuone itatokea nn
@saidinsenda954
@saidinsenda954 18 күн бұрын
Horeshnk aiziwiliki😂
@ziongate5464
@ziongate5464 18 күн бұрын
Tunaomba huyo mfumo upelekwe Ukraine kupambana na orshnic
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 18 күн бұрын
Hatuwezi kusifia kama haujangia kwenye vita urusi peke yake ndio mwamba mmarekani hmna jipya😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
Hata Urusi hamna kitu drones na makombora yanafika mpk nchi kwake
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 18 күн бұрын
@rumdeesonsoa1811 kuna madhara gan yalioleta hizo drone kwa urusi zaidia kudunguliwa sasa ingekuwa marekani iko vitani watu wangeona mingi mana hana mfumo wa uhakika kama urusi wahouth t wanawatowa jasho😅
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
@HamadJuma-kj5td Madhara huwez kuyajua ww anayajua Putin. Hamna mfumo wa ulinzi ambao uko perfect kwa 100% duniani. Yangetumwa makomboa 200 kwa wakati mmoja kama ambavyo Urusi huwa inayatuma Ukraine tuone mifumo ya ulinzi ya Urusi kama itaweza kuyadungua yote.
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 18 күн бұрын
@@rumdeesonsoa1811 watume marangapi hayo makombora na drone kilakucha wanatuma na urusi anapita nayo je mmarekani anamfumo wa kuzuiya Orishnik
@innocentbitana
@innocentbitana 18 күн бұрын
@@HamadJuma-kj5td acha kuongopea mbona yanapiga malengo Kila siku au wew upo Dunia gani?
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Leo Netanyahu ameinda UK kutaka usaidizi wakuzuwiya Yemen missile zake ameahidwa American na Israeli kuzuwia missile ya Yemen
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 18 күн бұрын
Wahouth wanajipigia tu kule israel nakuna mifumo thaad
@BakariAlly-dm1vf
@BakariAlly-dm1vf 18 күн бұрын
Ile ndeg kizazi 16 ikowap😂😂
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
Marekani anajigamba kwa mataifa manyonge apeleke Ukraine kama kweli mbabe 😅😅😅
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
Huo mtambo haujatengenezwa kwa ajili ya kupelekwa Ukraine
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Sisi tuko hemera kuchambuwa hakatu kitu kama hicho
@ayoubali-x6n
@ayoubali-x6n 18 күн бұрын
Pelekeni , Ukraine na Israel 😂😂😂😂
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 17 күн бұрын
Masubi smaa anayo FUSE X FILE sasa wewe njoo na yakwako iite hivi UKUBWA WA MAREKANI 😂😂😂 utanishukuru alafu huo mfumo wao wakaufunge pale kivvy hiyo tren Yako ya matairi ya baiskel hatupand
@mudighurayra
@mudighurayra 18 күн бұрын
Zile iron dom ulizo zifia sana vip
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 18 күн бұрын
Hizo zilishakufa kitambo mno
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 18 күн бұрын
Ali masoubi ni mmagharibi huwa anasifia sanaa umagharibi leo kashahama kule kwenye iron dome kaja huku na alisema iron dome ipo parfect kwa asilimia95😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
​@@salumabdallah2990Ndio iron dome iko vizur, ingekuwa haiko vizur leo hii Israel ingeshafutwa kwenye ramani ya dunia kwa makombora iliyomiminiwa kutoka Iran na Hezbola
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 18 күн бұрын
Thaad imekuwaje tena???😂
@ijuejijichanuajiji
@ijuejijichanuajiji 18 күн бұрын
Uongo mkubwa
@MasterVoltron-i7o
@MasterVoltron-i7o 18 күн бұрын
😂😂😂ngoja tuone kama huo ulinzi utazuia Oreshenq
@francismuruliothieno7642
@francismuruliothieno7642 18 күн бұрын
Ungetoa maelezo tuifahamu
@VicentSangwa
@VicentSangwa 18 күн бұрын
Kufeli kwa mifumo ya ulinzi hata rusia mifumo inafeli tunaona
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
Dark eagle mhhh sijawahi kuisikiliza
@kessyathuman8095
@kessyathuman8095 18 күн бұрын
Wamarekani wasiongee sana, waupeleke huko Israel, kwa majaribio. 😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
​@@kessyathuman8095unateseka sana
@kessyathuman8095
@kessyathuman8095 18 күн бұрын
@MathewNathan-yb2bz muda utatupa majibu.
@kessyathuman8095
@kessyathuman8095 18 күн бұрын
@MathewNathan-yb2bz USA Hana Hypersonic missiles, bado inasumbua kutengeneza, sasa hatawezaje kutengeneza defense ya Hypersonic
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
@@kessyathuman8095 kwani ww ndio msemaji wa jeshi la marekani.kwa sababu ninavyojua mimi mrusi alisema hiyo silaha haiwezi kudunguliwa na mfumo wowote ule cha ajabu alipoipiga ukraine na hilo kombora mfumo wa patriot wa marekani ukalipangua.sasa mambo ya wataalamu tuwaachie wataalamu.ww kajamba nani kazana kula ugali maharage ukalale.
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Hii Dunia sasa tuliyoko Technology inaa ich 5 yakwanza Russian 2china 3 Iran 4 N.korea 5:YEMEN
@VicentSangwa
@VicentSangwa 18 күн бұрын
Wewe Yemen amewahi kuvumbua kitu gani?
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 18 күн бұрын
Hakiki Urusi sayari nyingine
@lamartaker527
@lamartaker527 18 күн бұрын
Akaweke khiv hpo uchomwe
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
American na NATO wameshidwa kupita meli zao za mizigo
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 18 күн бұрын
Bilashaka Mfumo huu haujapekekwa Ukrain wala Israel maan kote kuna Matundu hadi Wa-Houthi wanapenya Israel wanavotaka
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 13 күн бұрын
Houth muda wao umeshafika sii mnakumbuka Hezbollah mlivyowapamba
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 18 күн бұрын
Marekani akaufanyie test Ukraine akutane na kombola super sonic
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
Jua kutofautisha supersonic na hypersonic
@mashachitumbo5488
@mashachitumbo5488 18 күн бұрын
Wamerika wamezidi huongo na Israeli, hawana Technology inayo shinda Russian,china, Iran, Noth korea,wala hawatafikia Technology hiyo,
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 күн бұрын
Mmmmh! Apo umejikanyaga kweli. Yaan mpk Iran na North Korea unaishindanisha na Marekani kwenye teknolojia ya kijeshi
@kuluthumuzalari
@kuluthumuzalari 18 күн бұрын
We pimbi wa kikisto huo mtambo utapigwa na Oreshinic.
@LoneWolf-ng8yg
@LoneWolf-ng8yg 18 күн бұрын
Autume ukrane tupate majibu 😂😂😂
@RamadhanRamdhan-i2c
@RamadhanRamdhan-i2c 18 күн бұрын
Hakuna kitu mwongo huyo
@hamisitsuma-rc2ej
@hamisitsuma-rc2ej 18 күн бұрын
Wanatengeneza vipi mifumo wa hypersonic na hana makombora ya hypersonic?
@frankbanda6602
@frankbanda6602 18 күн бұрын
Ndugu hivi unamaanisha kuwa USA hana makombora ya hypersonic? Au umemaanisha nini
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
@@frankbanda6602 unajua nn bro kila cku nawasikilizaga hawa wanaotup habar hapa sns yaani hawa ni Anti America kabisa watakuambia nchi zenye hypersonic ni russia,china, na iran ambae hypersonic zake amempa yemen lakini kila siku israeli inayadungua sasa ndio nn
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
@@hamisitsuma-rc2ej alafu mtu kama wewe nikikuhuliza nipe kombora matano ya urusi ya hyperspnic huyajui
@kilimanjarotv255
@kilimanjarotv255 18 күн бұрын
EMBU WAAMBIE MAANA HAWAELEWI TEKNOLOJIA HIYO BADO WAKO NYUMBA SANA NA WANGEKUANAYO WANGESHARUSHA UKO YEMEN WEZO WALISHAWASOMAGA SIKU NYINGI
@VicentSangwa
@VicentSangwa 18 күн бұрын
Ndugu ujue america ndo kisiwa cha Kila aina ya silaha duniani
@ziongate5464
@ziongate5464 18 күн бұрын
Marekani haina mfumo wa kuzuia makombora ya China na Rashia hadi leo
@avivtelcomms
@avivtelcomms 18 күн бұрын
😂😂😂 mapenzi yakizid hekima hupotea
@AliMohammedRasuli-x1d
@AliMohammedRasuli-x1d 18 күн бұрын
Baba acha hizo stori hakuna mfumo zaidi ya mfumo ya urusi huu haujafikia hata s 400 achana na s 500
@KaijageKaishozi
@KaijageKaishozi 18 күн бұрын
Kaka masubi una hatari wewe,. Afu watu wanawezaje kuwa wanaamini kuwa upande mmoja ndio waongo pekeyao na upande mwingine ndio wakweli kwa kila wasemalo., chasingi sisi tusio na ujuzi tutulie tuwaangalie watakapo chapana ., 😂😂
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 18 күн бұрын
Kama ni kweli wampe Israeli tuone iziwiye zile za yemeni na iran😂
@WiseNiyo-x6p
@WiseNiyo-x6p 18 күн бұрын
Uongo mkubwa. Hypersonic haisemwi
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 18 күн бұрын
Urongo tuuu wapeleke Ukraine
@allyatom2076
@allyatom2076 18 күн бұрын
Hamna kitu apo😂😂😂😂 washenyetwa kila siku
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 18 күн бұрын
Nyinyi mna mini?
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 18 күн бұрын
Nyinyi mna mini?😢😢 Nendeni shule 😂😂😂
@goodlegacytv5068
@goodlegacytv5068 18 күн бұрын
Wakafunge islaeli
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 18 күн бұрын
Lakini hizo hypersonic zinadunguliwa huko israel jana tu tat zimedunguliwa
@FxL_47
@FxL_47 18 күн бұрын
PELEKA KWANZA ISRAEL TUONE HOUTHI, HEZBOLLAH AU IRAN WAKIFANYA MAJARIBIO ITAKUWAJE
@goodluckmwamboneke5591
@goodluckmwamboneke5591 18 күн бұрын
Tunatak tuzuie nuclear tu
@kilimanjarotv255
@kilimanjarotv255 18 күн бұрын
KWELI TZ IMEELIMIKA SOMA KOMENT UTAJUA WATU SIKU HZ WAMECHANGAMKA HAWADANGANYWI DANGANYWI KAMA NYERERE HAHAHA TENA
@AlexGwiha
@AlexGwiha 18 күн бұрын
Hao wote wanao pinga ni waisilam magaid wanao ichukia americ
@muhamedmsomally4175
@muhamedmsomally4175 18 күн бұрын
Uwongo hauna lolote
@HamzaIssa-v1j
@HamzaIssa-v1j 18 күн бұрын
wewe nawe Kada wa malekani
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
'I am Missing my Zuchu' Diamond amwaga hisia zake hadharani
3:58
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 4,9 М.
TikTok yafungwa rasmi Marekani, ni vilio tu mtandaoni
4:11
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 7 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 10 МЛН
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
9:03
Mchumi Digital
Рет қаралды 104 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 230 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19