mko gado sana sema tunaitaka boss mchawi season 2 jaman.🔥🔥🔥
@mayaashassan39189 ай бұрын
Team strong 💪 tulio chelewa ebu tukaribishane ata kwa laban😂😂😂
@HalimaBakari-hg5py9 ай бұрын
Mnazingua Sana boss mchawi hamleti na hii wrong house dakik kidogo vipande mnatoa kwa kuchelew mpka mnaboa yani 😢
@SiajabuAbdallah9 ай бұрын
Wallah fupi 😢
@godzillarmbeyaboy79679 ай бұрын
Mi pia kelo yangu ni hio hio Halima
@michaelhancy67599 ай бұрын
Yan ilitakiwa wafanye kama jua kali tu
@magrethtuma58439 ай бұрын
Lkn boss mchaw walifungiwa kwasabab walikuwa wanatumia jina la move nyingine
@zeynab76179 ай бұрын
Yafaa wafanya baada ya siku mbili wanaleta watapoteza mafollowers hawa
@MwanakheriAbdallah9 ай бұрын
😂😂😂😂Nimechekaaa Balaaa Tukiamuaa Tutokee Wote Kwa spidi Shwaaaa Uyo mzimu Utatukamataa kweli
@MaryanMaryam-lc1etКүн бұрын
We acha2 huyu kavurugw😂😂 nmechek atar
@Amina-Rshd9 ай бұрын
Kaz nzur sn kkngu RK mungu akuzidshie afya njam ili uzi kutburdsha❤❤❤ Team RK nawpnda san 🇰🇪🇸🇦
@Pierre-de-lubu9 ай бұрын
Mapolice wamesombwa na Hidaya😂😂😂
@DenisChuwa-p7i9 ай бұрын
Sisi tunamsubiri hidaya kumbe yupo uku sijapenda😂😂😂
@azihzah579 ай бұрын
Wacha utani wewe😂😂😂😂😂😂
@shehanimzee99539 ай бұрын
@@DenisChuwa-p7idaah aise usiombe hiko kimbunga sisi kimetukumbuka hpa kisiwani Mafia tupo Hali mbaya
@MorejayTz9 ай бұрын
Acha kbs kk Hidaya nikiboko uwiiiii 😅
@Awoshy8 ай бұрын
😂😂😂
@exclusivetv79189 ай бұрын
Tukiamua tutoke wote kwa speed shaa huu mzimu utatukamat kweli 😅😅😅😅
@alphoncinamanyama839 ай бұрын
Napenda huyu kaka like comedian 😂
@GfgGgh-v5z9 ай бұрын
Toka uone😂😂😂😂
@sarahpearson33019 ай бұрын
Hvi anaitwa nan huyu kaka nampenda sana ni comedian wa kutosha ni speed shaaa😂😂
@GfgGgh-v5z9 ай бұрын
@@sarahpearson3301 🤣🤣 hata sijui jina lake ndugu yangu
@alphoncinamanyama839 ай бұрын
@@sarahpearson3301 alivyopewa simu aangalie mzimu sasa hayo macho alivyoyatoa na kushtuka 🤣
@Charleskulwa-hp5ow9 ай бұрын
Hongereni sana kwakazi nzuri nakuelimisha jamii
@LillianKaijunga-cp1jv9 ай бұрын
Kazi nzuri sana mwenyezi MUNGU awaongoze muendelee kutuburudisha🎉🎉❤❤
@aminaabdalla-uo9zq9 ай бұрын
Jaman ili chezo zuri mpk zuri tena🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yan mnajuwa mpk mnaker hongera RK ❤❤❤
@KibetMoi-te9rb9 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ShaameHaji9 ай бұрын
Ah yaani mnabowa kweli yaan mnaakaa mda. Mrefu. Istoshe dadika chache za move ah. Inabowa. Wangapi mnakereka kwahili like apo
@christinamgeni92287 ай бұрын
Tunaenjoy pole kama unakeleka
@PRMMuslim9 ай бұрын
Napenda sana ❤kazi yenu ila mna tubowa sana
@EmmanuelMathayo-mk1rw9 ай бұрын
Wanaboa na nin tenaaa...?
@mariamchengo41778 ай бұрын
Mashabiki Wa RK Mkopoa Kutoka Kenya❤❤❤
@ManaseMwalukisa-fb3tq8 ай бұрын
Unaipenda kazi huyo mshenzi ww
@Spagles9 ай бұрын
Kunakitu Cha wrong house alafu kuna chuma Cha Snake boy keep it up🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Mimah-i5e9 ай бұрын
Yani vyote moto❤❤hongera yao waigizaji wote❤❤🎉🎉
@princekillian36409 ай бұрын
Wakwanza from 🇰🇪 much love ❤️
@WiseLusweti4 ай бұрын
😍😍
@irenekajina66259 ай бұрын
Nan anaangalia amefumba macho kama mm 😂😂😂 tujuane jamn uwiii
@MarryomasMartin9 ай бұрын
Thathaaa unaonaje😂😂😂😳😌🙄
@DerrickKwoba9 ай бұрын
Jamani wadau huyu ni Salim kutoka Kenya hiki chakula ni kitam mnoo ilaa munachelewesha saaaana jamani tunaomba ongezeni Kasi tunapenda kipondi chenu kwanza huyo RK ❤❤❤❤
@JosephineMwikali-om9ox9 ай бұрын
Perfect said
@gabrielkinuka67449 ай бұрын
Sana,
@aminanaima68999 ай бұрын
Sanaaa
@zamdabakari49069 ай бұрын
Nyie mmemuona uyu kaka anaye muangalia doto kwenye camera 😂😂😂😂 uwiii mbavu zangu mie narudisha nyuma kilawakati
@florahmugure448515 сағат бұрын
❤Ya
@rj_tr._ref._cfcfan.9 ай бұрын
Wa mwisho from Kenya. Wapi boss mchawi😂
@everlynlyn78639 ай бұрын
Mimi wa mwisho lakin Rk zidi kusimama kwa msimamo wa neno la mungu🔥
@rosemjeni40269 ай бұрын
Wakwanzaa leo hoyeeeee
@_Wayiva_mukuta_jean9 ай бұрын
La communauté congolaise 🇨🇩 vous remercie pour le travail fourni ❤❤❤❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg9 ай бұрын
Benlee anafanana na kjana fulan hvy wa home
@Chidyboy2549 ай бұрын
All the way from Kenya 🇰🇪 nawakubali sana wana chinga media❤❤
@MuteteriHalima9 ай бұрын
Muduteye amatsiko ngaho mubangukane ikindi gice
@OKOMBAIBRA9 ай бұрын
Movie iko sawa sanà BTW niljuwa naonelea mgetoa mara mbili kwa wiki jamani
@JumaEmmanuel-kq3ux9 ай бұрын
Heko kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@EvalineDaniel-l5m9 ай бұрын
Movie nzuri ongezeni muda mnaweka sekunde chache
@idrixalumany59029 ай бұрын
Hii movie inaendelea kuwa mzuri siku hadi siku hongreni sana🎉🎉👏
@arbinuwamahoro73709 ай бұрын
Nawapenda san nikiwa ichini kwetu burund tunaomba muenderezo ❤❤❤❤
@rosemaryaori12289 ай бұрын
Kitu mzuri mwaleta kidogo jameni watu WA kupenda Rk tuko apa twasubiri kengine yawah from Kenya currently saudi
@SelinaKahindi-iz7sn9 ай бұрын
Tamu sanaaa.....ila fupi jamen....RK congrats bro kwa kazi safi❤❤❤❤❤❤
@judithpendo99859 ай бұрын
Wa kwanza team strong like zangu nikiwa Riyadh km wapenda Rk like apa please tukisonga n neno LA mungu mbele 😂🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰💞💞💞
@hidayamanda-gk7nf9 ай бұрын
❤❤❤❤
@NeillahMcute9 ай бұрын
Mbn kwangu haina sauti
@judithpendo99859 ай бұрын
@@NeillahMcute skiza tena toka KZbin alafu uingie tena Iko n sauti mbele
@hidayamanda-gk7nf9 ай бұрын
Ata mimi pia
@ElizabethKabira9 ай бұрын
Tuko ndani
@MoTalentTz9 ай бұрын
Kazi kazi 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻👏👏
@fatmachande3359 ай бұрын
Aya twend kaz wakwanza mm naomben like nkauze
@assadrajonathan54519 ай бұрын
Dah!!! Aya bna eti tutoke kwa speed
@MonaMona-d6w9 ай бұрын
Watching from Saudi arabia kenya lady leo nime wahi naomba like zenu plz🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@OyondiZablon-td2vv5 ай бұрын
Asanteni kwa kazi nzuri Wana wrong house wanatuletea
@g-makangarealitymbunge92909 ай бұрын
Kitu kifupi alafu mnachelewesha sio good
@fiakizi9 ай бұрын
Yaan adi wanaboa
@cubahirodadyqueen45609 ай бұрын
Kweliii kabisa asila mimi ni mingi sanaaaa
@jaroggalatimore94909 ай бұрын
Episode 6 lini mnafeli wap
@VailethFrancis-ew6ro9 ай бұрын
Yan
@MichelfmiMichael9 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa lakini munakaa sana kutuma vidio.
@FOCHUNELIMITED9 ай бұрын
Wakwanza from Kenya wapi like zangu
@OlubiSaint9 ай бұрын
I thought hii movie Ni ya Kenya
@GeoffreyWanjala-x8t7 ай бұрын
Nishaa kupa
@Spencer-rb7ep7 ай бұрын
The sweetest horror movie 🎥💕💕💕💕💕💕💗💗💗💗❣️❣️❣️❣️❣️
@ShadrackJeremiah9 ай бұрын
Dah! Nimechelewa dk kama 8,jaman like hata 2 zinatosha
@NdayishimiyeSolange-t6q9 ай бұрын
Wao nawakubali sasa musitukawize ep6jameni nawa SII kabisaaa❤️🇧🇮🇧🇮ninawatizama kabisaa
@CatherineJohnson-y2h9 ай бұрын
Jamani team R.k gonga lyk bac...❤❤❤
@AsmaEdgar9 ай бұрын
Nipo hapa
@MukhunjiBeverlyne8 ай бұрын
Tukiamua tutoke wote fyuuuu huu mzimu utatukamata kweli got me😂😂😂
@InnocentMbano9 ай бұрын
Movie tam Sema aliyeona ndevu za mchawi Zina brich😂😂
@MarryomasMartin9 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti wallah😂😂😂
@MariamMariam-ik6vy9 ай бұрын
😂😂
@MageAndrew8 ай бұрын
Hahahaha tutoke kwa speed shaaa huo mzimu utatukamata kweli jamaa ana mawazo ya kipuuzi kweli
@ConfusedAurora-np2dl9 ай бұрын
Wakwanza jamni wallah tena naombeni like zangu acheni uchoyo 😂
@aminaabdalla-uo9zq9 ай бұрын
Kula ushibe😂😂
@GloriaMtana9 ай бұрын
Pendant sana ark❤❤
@NelcyAfrica9 ай бұрын
Nilikuwa nimesubiri sana
@AmaniNangerembe9 ай бұрын
Good nice one story 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩end 🇿🇦
@ibrahimdere62209 ай бұрын
Nakupenda Sana queen mmi nishabiki yako unajua Sana kuigiza 🎉
@colineycharles31858 ай бұрын
Mwendo wa aviator shwaaah....
@LemandaMasga9 ай бұрын
Daah kwakweli mnatukata sitm mana ya 6 imechanganyikana naya boss mchawi sielewi hp
@NeemaAlfred-is2ev7 ай бұрын
Uyu mwenye kikoti cha jinsi uyu kijana ananivunja mbavu mm😂😂
@Haddy-e1x9 ай бұрын
Am from uganda, thanks for english subtitles
@JoanesMatiasBinato8 ай бұрын
RK wewe kaka noma kakukubali sana kwa kazi yako mungu akusimamie master ufike mbali mimi niko msumbiji moçambique 🇲🇿💪
@MarthaWanjiru-l8n9 ай бұрын
Tuamue tutoke wotee fyaaaaaaa😢😊😊😊😊
@andasontushabe52958 ай бұрын
uvumilvu umetushinda munatoa EP ya 6 lini???
@EnesMwasenga-gk2te6 ай бұрын
Mnaniflahishavkweli congratulations 🎉🎉🎉👏🎉
@FrankMaster-mx1pg9 ай бұрын
Malizieni boss mchawi😅😅
@JescaChrisostom-bh6mi9 ай бұрын
Nampenda💕💕💕 Rk jaman eeg
@wizaraxx12569 ай бұрын
Watu wa Qatar, Saudi,Dubai, Oman hebu gongeni like
@BabytinaFoureal-pb5eu9 ай бұрын
Tuongezeeni dakika jmn nzuriii team Rk mpoooo
@MERCYNAFULA-z7t9 ай бұрын
Tupo sana
@abdurhmanAlessai-nj9tr9 ай бұрын
Jamani hyu kaka kanimaliza kinoma
@lenakassian-pr3dy9 ай бұрын
Pamoja❤❤🎉
@Q1Erm-ji6ch9 ай бұрын
Woyoooooo
@FaustaP2708 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti Yulia nitakupiga sisasiiii😂
@PatrikHyera9 ай бұрын
Jamani toeni kwa haraka seheme inayofuata namkubali Sana R.k jamani mungu nikilakitu
@yvonnenthambi45887 ай бұрын
Rk mungu awaongoze muendelee. Kutuburudisha🎉🎉🎉
@Aswan-f8r9 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back😂❤
@Computer_skills_and_technology7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ivi kwa mfano tukasema wote tutoke hapa kwa speed fyaaaaaa ivi anaweza kutukamata wote kwa pamoja?......🤣