No video

CHIRWA AFICHUA SIRI YA UTAJIRI WAKE/NIMESHINDIKANA/NYUMBA 15/KUISHI TANZANIA NI AKILI/SAIDO KANIZIDI

  Рет қаралды 50,642

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Sehemu ya pili ya Mahojiano na Obrey Chirwa ambapo kubwa ameeleza kuhusu Shughuli anazofanya nje ya Mpira wa Miguu.
Je unataka kufahamu Uwekezaji anaofanya Obrey Chirwa hapa Tanzania na kwao Zambia? basi hapa ameeleza kiundani zaidi.
Ametoa majibu kuhusu Wachezaji wa Kigeni waliofanikiwa zaidi ndani na nje ya Uwanja ambapo yeye anaona ni Mchezaji mmoja tu ndio amemzidi mafanikio.

Пікірлер: 50
@sandenzogela7868
@sandenzogela7868 Жыл бұрын
Mungu akubariki utukumbuke na sisi Kama mungu alivyokujalia.
@fredybanda2861
@fredybanda2861 Жыл бұрын
Congratulations mr chirwa well come to konkola you are blessed
@user-mg1vf5gv3p
@user-mg1vf5gv3p 11 ай бұрын
Hongera kaka mungu akulinde
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Nimekupongeza sana allah akujalie kheri sasa unacheza mpila kama furaha
@HamisKalulumbe-fv8hc
@HamisKalulumbe-fv8hc Жыл бұрын
Safi sana chirwa
@nurdinratibu1866
@nurdinratibu1866 Жыл бұрын
Safi Sana chores wanyooshe wasio kujua
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Nimejifunza Kitu..jamaa Anadeal Na Vitu vya Maana,simu ya Kawaida Ila mali za Kutosha.
@aishaomary7984
@aishaomary7984 Жыл бұрын
My men my boss ilike youu
@mamaandraty363
@mamaandraty363 Жыл бұрын
Duh kweri hilo ni somo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Anaheshima sana kiukweli
@yahyamlawa2069
@yahyamlawa2069 Жыл бұрын
Aaaaaaaah hapo sasa
@elishamwaitebele
@elishamwaitebele Жыл бұрын
600kwacha au
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Жыл бұрын
Sawa anatoa somo ila sio.kila.kitu uteme huku Of kozi kutangatangaza hivo unaweza kuletea.watu.wivu bila sababuu
@diclopar4687
@diclopar4687 Жыл бұрын
Noma uyu jamaha
@silvestalighton1561
@silvestalighton1561 Жыл бұрын
Mtangazaji umetunyima mengi mnoo kwa huyo jamaa, ongeza research
@shakouramour4266
@shakouramour4266 Жыл бұрын
vatu,vanavachukulia poa
@ayubusalim4113
@ayubusalim4113 Жыл бұрын
😅😅
@johnjoseph7590
@johnjoseph7590 Жыл бұрын
Muhaya
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
milioni 600 za Zambia
@stellahpaul5624
@stellahpaul5624 Жыл бұрын
Uki convert hakuna hela
@jafariomary75
@jafariomary75 Жыл бұрын
Usijidanganye, ni hela nyingi sanaaa.. maana zambia kwacha 100 ni kama 12,000 za bongo... hela ya zambia iko juu kuliko ya bongo wala kenya... we utakua umechanganya na zimbabwe.... yani ukiwa na zambia kwacha 10,000 ujue una 1,200,000 ya bongo hapo na chenji zake
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
@@jafariomary75 Wacha utani
@EliudRenatus
@EliudRenatus 6 ай бұрын
na kiswahili kafundishwa na nani huyu sasa ziadi ya mayele
@JAYCLASSICMEDIA
@JAYCLASSICMEDIA Жыл бұрын
✅✅👋
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
jamaa ni Tajiri sana
@limymasele21
@limymasele21 Жыл бұрын
Aoe Sasa kesha kua
@hafidhlabdi-sq5rp
@hafidhlabdi-sq5rp Жыл бұрын
Muhaya huyu😂😂😂😂japo jamaa anajielewa sana wachezaji waache bata wawekeze
@johnjoseph7590
@johnjoseph7590 Жыл бұрын
Kumbe wa zambia kama ni kama wacongo
@RichardMbise-gs9kx
@RichardMbise-gs9kx Жыл бұрын
Wacongo no kula bata tu
@eskalade486
@eskalade486 Жыл бұрын
Uyu sio mzambia
@athumanimtamatale
@athumanimtamatale Жыл бұрын
​@@eskalade486mzambia huyo
@khamisidowany6262
@khamisidowany6262 Жыл бұрын
Mpongeze sio et zambia kujenga laisi weng wa zambia uko uko na hawana nyumba
@JAYCLASSICMEDIA
@JAYCLASSICMEDIA Жыл бұрын
Umiliki wa ardhi umekaaje
@chakubutakamangila2274
@chakubutakamangila2274 Жыл бұрын
Iyo ndio mtiani sasa ni bora asingesema kwasasa watamfatilia ili wapate kula
@littlesakhoiv1893
@littlesakhoiv1893 Жыл бұрын
Watakuonesha kwelii 😅😅😅😅 chirwa inspired 👑
@naftalkileo5224
@naftalkileo5224 Жыл бұрын
Anasema hajisifu hapo anafanyaje?
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Million mia 600 Kwa kwacha pesa ya kawaida sana hata wewe unaweza Yani Kwa Zambia hayo anayosema nikweliiiii Yani ukitaka kujenga Zambia hata nyumba 100 unaweza simpla hujengaji wao sio kama bongo
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Жыл бұрын
Kwacha 1 kwa sasa ni sawa na 128 shillingi za Tanzania.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Жыл бұрын
Hapo ni kama million 20 ya tz
@mtanzaniamwenzangu181
@mtanzaniamwenzangu181 Жыл бұрын
Uongoooo
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
@@mtanzaniamwenzangu181 huwezi kunielewa kijana wangu we Bado mtt mdogo sana mm nimeongea hivyo maanisha izo kwacha mm naishi nazo Kila siku
@iwambimpya1924
@iwambimpya1924 Жыл бұрын
acha uongo wewe kwacha 1 kwa sasa ni 125 tsh sasa kama ni 600,000,000 kwacha huku si 13bilion??? au ww hesabu unafanya za wapi??
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
MKAMBA LANDENIKO ICHIBEBA TUFWEKO BWINO BA CHIRWA
@justinekashililika6329
@justinekashililika6329 Жыл бұрын
Balelenda ati balikwata amayanda 15 pa Dar es salaam Tanzania huku ku ocean side
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
@@justinekashililika6329ok bakamba naufwako bwino Kashi balikwata lupia sana
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
AHMED ALLY ATOA USHAURI KWA TIMU YA AZAM FC WAJIFUNZE
11:35
Mlela Digital
Рет қаралды 48
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН