HASHEEM IBWE APATA KIGUGUMIZI MBELE YA AHMED ALLY/MPIRA SIO VITA/TUTAKUTANA TU/MLIPIGWA TANO.

  Рет қаралды 135,958

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 325
@JitihadaRashidi
@JitihadaRashidi 4 ай бұрын
Huyu Ahmedi Ally kdogo kapita madrasa JAZAQALLAH Khayr
@MudiMnyamwezi
@MudiMnyamwezi 4 ай бұрын
Enzi wa wasemaji ropo ropo zimeisha na manara. Vijana pigeni kazi. Mwenyezi Mungu awajaalie heri
@muhammadsalym4124
@muhammadsalym4124 4 ай бұрын
Kongole sanaa kwa wana habari wetu ,nyie ni vijana makini tena makini sanaa ALLAH azidi kuwafungua zaidi muendelee kuwa kioo chema katk jamii yetu
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 4 ай бұрын
Hongereni vijana mmependeza Mwenyezi Mungu awape baraka
@Dully_star
@Dully_star 4 ай бұрын
Walllaaaahy nimefurahy mnoo hawa jamaa wamekaa pamoja na kuongea vitu vya maaanaaaaa kabisaaaa na Wana vitu wallaahy
@Orgy-go1gj
@Orgy-go1gj 4 ай бұрын
Burudan sana ukiwa na hila kwenye mpira utaumia sana big up brothers
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 4 ай бұрын
Mungu awape maisha mrefu Sana nawakubuli san
@SarafinaNaheka-cs6ws
@SarafinaNaheka-cs6ws 4 ай бұрын
Hongereni sana wasemaji mmetisha sana Mungu awape ni maisha marefu yenye neema kubwa
@FaustaBura
@FaustaBura 4 ай бұрын
Hapo sawa hashim bila ubaguzi.
@AdinanKatunzi
@AdinanKatunzi 4 ай бұрын
Mpira sio uadui nimependa vijana wa timu kubwa waliounganishwa na neno la Allah na kutoa hamasa kwa watanzania.
@KassimSaid-y2t
@KassimSaid-y2t 4 ай бұрын
Allah akbar, maashaa Allah pongezi kwao wote
@Tashmaorg
@Tashmaorg 4 ай бұрын
Alladhiy allama bilqalam❤❤❤nikwel suratul iqra❤❤🎉
@danielzambi8993
@danielzambi8993 4 ай бұрын
Katika vitu ulivyoonge vyoote ni hicho ulichosema woote tuende hata sisi wakristo ❤
@JohnKameme
@JohnKameme 4 ай бұрын
Vijana mungu awape maisha marefu wote hapo
@halidmauga96
@halidmauga96 4 ай бұрын
Nimependa uwepo wenu wa pamoja na mmependeza sana
@RamadhanZuberi-fy8qb
@RamadhanZuberi-fy8qb 4 ай бұрын
Dooooh furaha kwetu kupata vijana ktk haly ka hii haswa kwasehem za mpira kmbe mpira s uadui
@AhmedKabi-wy8lv
@AhmedKabi-wy8lv 4 ай бұрын
MashaAllah ibwee
@amrzaqmlawa4015
@amrzaqmlawa4015 4 ай бұрын
Hawa jamaa wapo kama mapacha unaweza kuhisi hawapendani ila wanapendana sana 😊
@AdinaniRamadhani-q2h
@AdinaniRamadhani-q2h 4 ай бұрын
mmetisha sana ndugu zangu dini zinatuweka pamoja
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 4 ай бұрын
Ahmed Ally maashaallah anaijua Qur'aan
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Mashallah❤
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 4 ай бұрын
Kwa vijana watabadili taswira ya mpira wa tanzania kwa kuondoa chuki zisizo na msingi utabaki utani kma utni sio vita
@berthamwakalebela7604
@berthamwakalebela7604 4 ай бұрын
Kabisa yan wanapendana mno
@RichardAlex-f9b
@RichardAlex-f9b 4 ай бұрын
Kweli manara ndo alikuwa shidaaa kutengeneza chukiii i
@ZubeirKhamisi
@ZubeirKhamisi 4 ай бұрын
Mara nyingi haji manara ndio anatujengea chuki kwa mashabiki wa mpira
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok 4 ай бұрын
hongera kaka mnajuwa sanaa
@AISHAHARUON
@AISHAHARUON 4 ай бұрын
AHMAD ,maashaallah hasbiyallah, aya zipo
@Pagwejensale2005
@Pagwejensale2005 4 ай бұрын
Ibwe salamu yako ni Moto ❤
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 4 ай бұрын
Mashallah Allah awazidishie umoja wenu Ahmed Ali, Hashim Ibwe pamoja na Ali Kamwe ama kweli leo Nimeamini mpira sio ugomvi duh 😂
@IbrahimuMwakangwale-pj1bb
@IbrahimuMwakangwale-pj1bb 4 ай бұрын
Kweli alikua msumbufu sana ila nimependa sana hii Allah awape afya njema
@eneafelix3831
@eneafelix3831 4 ай бұрын
KALIKONJI Hawez hiz mambo hapo angekua amepaniki tayari wakat watu wanacheka 😅😅😅😅
@SOPHIASALUMU-u3b
@SOPHIASALUMU-u3b 4 ай бұрын
Mwenyekiti wa wasemajii Ali kamwe
@barakamgosi7312
@barakamgosi7312 4 ай бұрын
Play fair, Be positive. Safi sana Ibwee
@khaidariylijonjo5716
@khaidariylijonjo5716 4 ай бұрын
Atakubembeleza APR daah 😅😅😅 ahmed Ally hovyo sana
@ramadansorby-iq9oi
@ramadansorby-iq9oi 4 ай бұрын
Takbir🙏
@HusseniMkopi
@HusseniMkopi 4 ай бұрын
Allah Akbar
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 4 ай бұрын
Vijana mfanye nikazi zenu lkn muda mrefu hutumieni kumkumbuka Allah.
@erasmusleonidas6729
@erasmusleonidas6729 4 ай бұрын
Hakika serikali ikijua vizur namna ya kuwatumia vizuri hawa watu itafanikiwa pakubwa
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 4 ай бұрын
Ibwwe Mashallah
@ZulfaIsmailMughuha
@ZulfaIsmailMughuha 4 ай бұрын
Mashaallh❤❤❤
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 4 ай бұрын
Waislam mko safi
@suleimankira9195
@suleimankira9195 4 ай бұрын
Kalibu sana ktk wislamu
@FadhilaHassan-n9h
@FadhilaHassan-n9h 4 ай бұрын
Mashallah❤❤❤
@SosithenesGidion
@SosithenesGidion 4 ай бұрын
Hao vijana watatu hakika wako vzr, wanafaa sana kuwa wasemaji . Wanasema mambo ya msingi , uwez kulinganisha na yuleeee
@burhan_dumalo
@burhan_dumalo 4 ай бұрын
manara
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
​@@burhan_dumalo😂😂😂
@hamadsalum5582
@hamadsalum5582 4 ай бұрын
Yan Ahmedi Ally na Ally Kamwe wngelitenganishwa hpo 😊😊
@JosephatMassae
@JosephatMassae 4 ай бұрын
Mda wote wanamsengenya hashim ibwe 😀😁😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 ай бұрын
Muda wote maneno 😂😂😂
@angelkomba7162
@angelkomba7162 4 ай бұрын
Sasa ibwe angewekwa kati si wangemzodoa sana
@MarthaNicolaus-q3s
@MarthaNicolaus-q3s 4 ай бұрын
😅😅
@shangwefisima54
@shangwefisima54 4 ай бұрын
Ally Kamwe nature yake ni mpole! Anaonekana... Ila huyo Hashimu anaonekana ana mdomo sana😂
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 4 ай бұрын
Mashala ahamed ally
@roi2554
@roi2554 4 ай бұрын
Inapendeza sana wote ni waislam
@swaumadam6967
@swaumadam6967 4 ай бұрын
Napenda kuona Hawa watu wakiwa pamoja
@SangeMuhamad
@SangeMuhamad 4 ай бұрын
Jmn inapendeza kuwanavija wakiiislamu kamahawa mungu awadumishe na awape umrimrefu
@MagveteBeton
@MagveteBeton 4 ай бұрын
Amed ally noma cn
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 4 ай бұрын
Da mpka raha nimecheka sana du
@KivoShauri-zl7so
@KivoShauri-zl7so 4 ай бұрын
Kiukweli nawaunga mkono wasemaji wetu mpo vizuri kiimani mwenyezi mungu awalipe mema inshaallah 🤲
@jumaally4415
@jumaally4415 4 ай бұрын
MaashaAllah
@hildangowi1799
@hildangowi1799 4 ай бұрын
Nimetokea kuupenda uislam ghafla😊
@lailamasudi-ic6gb
@lailamasudi-ic6gb 4 ай бұрын
Mashallah karibu sana ❤
@HamisiLufyagila-d7g
@HamisiLufyagila-d7g 4 ай бұрын
Karibu sana mungu anamakusudi
@hashimnuru8273
@hashimnuru8273 4 ай бұрын
Karibu sana😊❤
@FatumaKitambuu
@FatumaKitambuu 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jinga wewe
@charlesbernardo7769
@charlesbernardo7769 4 ай бұрын
😳😳😳😳
@YasiniMakengwa
@YasiniMakengwa 4 ай бұрын
Atakubembeleza APR ila semaji la simba chokozi sana😂😂😂😂😂😂😂😂
@nuhubashiramubashira7233
@nuhubashiramubashira7233 4 ай бұрын
Maashalaah
@JEURI.Mwinyimkuu
@JEURI.Mwinyimkuu 4 ай бұрын
For sure ni Raha sana mashaallah Allah awalipe kheri ninyi na cc tuliockiliza🙏
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 4 ай бұрын
Aloo Hashim ibwe umejikoroga ao jamaa wanawezana wenyewe😅
@Userog254
@Userog254 4 ай бұрын
Nimewapenda nyinyi
@yassinmtaun2108
@yassinmtaun2108 4 ай бұрын
Kwa kweli vijana Mwenyezi Mungu awatunze Inshaallah
@thobiasmpiluka5653
@thobiasmpiluka5653 4 ай бұрын
❤😂❤😂❤😂wow like it 😍
@MbarakaFundi-w7y
@MbarakaFundi-w7y 4 ай бұрын
Kwakweli nimejifunza mengi. Ila raha sana mukiwa ivyo vbaya matus km mzee mmoja.
@BabaNuraty
@BabaNuraty 4 ай бұрын
Ishaalah
@Hawa-d2q
@Hawa-d2q 4 ай бұрын
Ongereni sana
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 4 ай бұрын
Hongereni sana
@MussaRamadhan-is3jh
@MussaRamadhan-is3jh 4 ай бұрын
AhAhmed Ally inaonekana shuleni alikuwa msumbufu sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@derislove7691
@derislove7691 4 ай бұрын
😂😂😂😂Muanzshaa ugomvi alfu anakimbiaa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
😂😂😂
@rafiiomary480
@rafiiomary480 4 ай бұрын
Hakuna kitu nafulah kama nikiwaona wasemaj watim zetu kubwa wakiwa pamoja wanacheka na kutaniana hakika nifulaha allah atupe muisho mwema inshalla
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
HAWA VIJANA WANAFURAHISHA SANA KWA UTANI WAO HAPO SAWA VIJANA NIMEWAPENDA SANA
@Yahya-d1n
@Yahya-d1n 4 ай бұрын
Mashaallah mmendza San
@raphaelparsioko1263
@raphaelparsioko1263 4 ай бұрын
Mungu awabarik
@murutazaabuu486
@murutazaabuu486 4 ай бұрын
Mimi yanga damudamu ila hawa jamaa nawakubali saana
@MagembeMakoye-g7m
@MagembeMakoye-g7m 4 ай бұрын
Hapo sawa dogo
@TwaribuMusa-bq3qu
@TwaribuMusa-bq3qu 4 ай бұрын
Mungu wajalie ndugu zangu waishi miaka mia inshaallah
@bakarimsanga3235
@bakarimsanga3235 4 ай бұрын
Ibwe umefunika kabsa Kwa Salam tu
@FranceThomas-ug2ed
@FranceThomas-ug2ed 4 ай бұрын
Nyie wàtu muna nitia nguvu sana kwa umoja wenu
@akramissa3393
@akramissa3393 4 ай бұрын
Dini yangu tamu sana
@lusekelocharles1342
@lusekelocharles1342 4 ай бұрын
Aisee nimeona farsafa ya soka letu kwenda mbele zaid ,mana mpira sio uhadui
@hanafitotoya7762
@hanafitotoya7762 4 ай бұрын
Hawa jamaa ni Wana balsa kubwa Hawa mungu awape maisha
@fadhilasatu3239
@fadhilasatu3239 4 ай бұрын
Aisee Hashimu umeongea LA maana sana ...mie nilikimbia kwenye kulalau tu baada ya viboko....tufundishe Qur'an kwa upendo sio kwa viboko kama zama zetu
@TijaraMangochi
@TijaraMangochi 4 ай бұрын
Inshallah
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 4 ай бұрын
Hakika tumepata vijana wenye vipaji toka kea mungu
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 4 ай бұрын
Angekuwa manara hapo angemtambulisha mobeto na Aziz ki
@AkidaIbunjumaa
@AkidaIbunjumaa 4 ай бұрын
Ahmed 🎉
@IsmailAwadhi
@IsmailAwadhi 4 ай бұрын
Ndugu yangu huyu hapa
@Deontaryprinc
@Deontaryprinc 4 ай бұрын
Mpira wet umekua Sana watu wanafurahia Sana vijana watat wanafurahisha sana
@salehebudeba
@salehebudeba 4 ай бұрын
asanteni sana wasemaji wetu wa bol taza nia
@KAPORITV
@KAPORITV 4 ай бұрын
Wafaa stand up comedy
@makamefareed9094
@makamefareed9094 4 ай бұрын
Hapo manara linaona wivu
@hassanyusuph3658
@hassanyusuph3658 4 ай бұрын
Hawa vijana wahovyo sana😂😂😂
@DenisChuwa-p7i
@DenisChuwa-p7i 4 ай бұрын
APR watakubembeleza😂😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
Innalillah wainnailaih raajeooun! Mnaichezea shere dini ya Mungu,,,,Kwa kuchanganya na masuala ya Mpira!
@HassanSadiki-l5c
@HassanSadiki-l5c 4 ай бұрын
Hapo hakuna dini ni lugha ya kiarabu......Wataka uniambie waarabu hawatanian???
@selemaningulyavyangu7425
@selemaningulyavyangu7425 4 ай бұрын
Kwani mpira dhambi? Acha kufanya dini iwe ngumu
@medimisi6930
@medimisi6930 4 ай бұрын
​@@selemaningulyavyangu7425mpira huu tunaocheza m-beti ni dhambi kamari, shirk , kutembea uchi na mengineyo.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
@@selemaningulyavyangu7425 Mpira ni dhambi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
@@HassanSadiki-l5c huna ulijualo
@omarypangani6690
@omarypangani6690 4 ай бұрын
Safi sana vijana
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 4 ай бұрын
Vijana kama hawa wanamchango mdogo sana kwenye hili taifa😅😅😅😅
@JudithRaymond-cx3ew
@JudithRaymond-cx3ew 4 ай бұрын
asa ali kamwe na mwenzake
@IssaBakari-b7w
@IssaBakari-b7w 4 ай бұрын
Sema Ahmed havai miwani😂😂😂
@pascalemmanuel2557
@pascalemmanuel2557 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 4 ай бұрын
Ahmedi Ally ni mashine
@SaidNdege-j9p
@SaidNdege-j9p 4 ай бұрын
Karibu kwenye uislam
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 4 ай бұрын
Mashaallah
@hamzamohamed4774
@hamzamohamed4774 4 ай бұрын
Umeweza ibwe😂😂😂😂
@victormwakipesile6990
@victormwakipesile6990 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@danielmoikani
@danielmoikani 4 ай бұрын
Mm nimependa utani wao
@MaulidihamisiHamisi
@MaulidihamisiHamisi 4 ай бұрын
Inasemaa man ahaqu nnasu bihusni swahabatii
@JoviniNyamsak
@JoviniNyamsak 4 ай бұрын
Mi ni yanga lakini Ahmed Ally hakuna wa kumuweza 😁😁😁 aise hii ni mashine sema team ndo inamuangusha
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН