safi sana pascalin ugomvi sio mnzuri kwenye jamii ikiwa kama ww na Ebitoke ni kiyoo cha jamii, kwa ushauli tu Fanya kazi zako kwa makini ukimtanguliza MUNGU mbele unapokuwa na kinyongo na mtu unajiziba hata baraka zako
@winniefrida14836 жыл бұрын
sio vizur jamani siku ile Ebitoke kahojiwa yani yuko peace sana Ebi na hakuongea chochote kwaubaya pia huenda kunachokochoko za watu wengine tafutaneni namna yakuelewana wote mnatafuta Ridhiki kwa namna yenu pataneni muwe kitu kimoja huenda mkafanya makubwa zaidi nakuwaziba midomo wasiopenda ushirika wenu mimi nawapenda wote na ninakubali sana kazi zenu big up kwenu
@NR-ll4sr2 жыл бұрын
Lakini Ebi hata yule mama Ashura alimkorofisha
@tricebite81756 жыл бұрын
Nimependa sana ulivyo mjibu huyo mtangazaji kuhusu ebitoke coz ulivyo fany n vizri mpz nmkupnda sana 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@Vanisikaka6 жыл бұрын
Simu yangu hatoi sauti....Ila swala mke wa mtu kutembea na baba mkwe sio sawa kabisaa....hali hiyo lazima ikemewe kwa haraka
@beingbaby80096 жыл бұрын
Uyu Dada n mstarabu sana congratulation bae 😍🙌
@danterey6 жыл бұрын
The interviewer deserves more than what he is payed.Anafanya kazi yake vizuri..Njoo tukupe kazi NTV kenya ama BBC swahili👏🏽👏🏽
@truphosatruphos42866 жыл бұрын
Dada shukrani sana wakristo hua na moyo msafi ulifanya jambo la muhimu kumblock OK and God will take you far
@bettiejoy-mtotowamama6 жыл бұрын
Baraka zako haezi akazuia ,ng'ang'ana kabisa dadangu uko vizuri.
@andrewwihallah49656 жыл бұрын
uko vizuri sana mwana !! kaza zaidi utusue ww unakipaji, huyo ebitoke endelea kumblock hana tija hata 0
@ruthanaya12254 жыл бұрын
Penda wewe sana gonga like kama unamukubali
@jenyyusuph49736 жыл бұрын
huyu dada yupo vizuri sana dawa ya mtu anayekusema ni kumpotezea nimependa sana majibu yako dada mungu akubaruki
@balbinangonyani70896 жыл бұрын
uko vzr dada Mungu akupe uhai mrefu ufanye vzr zaid,achana na wanaokuonea wivu
@dovicochristopher53886 жыл бұрын
#Ebitke Ni mshamba hachana Nae #Black Pass
@queengeorge75236 жыл бұрын
Nakupenda... Kwanza unajibu vizuri maswali...na kaz zako nzuri
@sirmwita33516 жыл бұрын
Ninachopenda huyu huwa anajua kujieleza sana kwenye interviews zake, keep it up chizi
@bilalbinali12276 жыл бұрын
mwita mroni 😂😂😂eti chixi
@julianaconradi8536 жыл бұрын
😂😂😂😂huwa nacheka sana anajifanyaga hasikiiiii vizuri,Mungu akusimamie da Passy.
@mwitafagi66235 жыл бұрын
Msemo wa yangi killa bongo ukifanikiwa unachukiwa wazizi irawew pigakazi kaziyako nzuli sana nimeipenda sasa dadaangu
@sehemunzuri6 жыл бұрын
"kuhojiwa tu hapa na wewe ni moja ya mafanikio" point
@aminaomary55672 жыл бұрын
Vidic huyo ni hatari kwa kubadilisha mada ni hatari sana👍👍👍😁😁
@hanashhanash5353 жыл бұрын
wow today is the first time to see you speak your voice ..... you have a good voice and then I like your Works, you say hahahhaha I haven't eaten hahahhahaha you say
@nasraali61576 жыл бұрын
Nimefurahia muonekano wake she looks good she is realy trying i wish her all the best
@Bagi8736 жыл бұрын
All black are really beautiful...this girl is so beautiful achana na Ebitoke she is just a village girl ana sikiya wivu ndomaana ame mukula Mama ashura bwana.
@bestnasomgeveke22446 жыл бұрын
Rachel Bagisha
@neydathomjrsiria46246 жыл бұрын
mdd umetumia akili really love You Chizy Kiziwi
@rithamlachamlacha87455 жыл бұрын
Wasanii pendaneni
@sisterhappy12566 жыл бұрын
usjali dada kazi zako ni mzuri sana umefanya vizur kumblock
@fidesbenard32436 жыл бұрын
Nakupenda black mwenzangu uko vizuri nakupenda sana tuu
@Tiffany3406 жыл бұрын
anakuonea wivu tu mrembo black pass
@manaalbaba6 жыл бұрын
Ananiombaje msamaha wakati nimem broku 😂😂
@bisengobubasha6 жыл бұрын
Unity is strength, but I'm not sure on what she said. Both of you have to support each other. Remember you came first by her name
@luckresiamasoko9796 жыл бұрын
Waooooooo kumbe nawe mkristo tena mkatholic good black pass ntaendelea kukupenda my mwaaaaàaaaaa
@gentlemtenga24806 жыл бұрын
Khaa huyuu mdada mzuri sura mpk akili yake ikoo so smart
@salomemlagila57576 жыл бұрын
Umefanya vizur kumblock
@ashahamisi16506 жыл бұрын
Kawaida ya binadamu sio wote wanaofurahia mafanikio yako na ndio maana mtu na mke mwenziwe siku zote hawapendani basi tu wanaishi kiroho ngumu kwa mume mmoja (tutabanana hapahapa)a anaejiamini haishi kwa kubahatisha
@maryamammar17026 жыл бұрын
Kumbe una sauti nzuri 😍😍😍😂 weni chizi kweli😂😂😂😘
@stellakaguo87286 жыл бұрын
Hongera kwa kumblock umeepusha shari maana yy anajiona staa sasa hv kwa ufupi tu mpotezeee!alipohojiwa akasema hajui sababu lol!!
@briannyasibora12846 жыл бұрын
roho mbaya tuu Ebitoke anaona mwenzie atapasua,kwa roho mbaya yake ndio maana kamuibia mama ashura mume
@sashababy13216 жыл бұрын
Brian Nyasibora katoto kachawi kale ndio mana kambebea mwenzio mumewe kina wivu mno
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Brian Nyasibora Are sure kamchukua mume wa mama Ashura
@maryamdounga22906 жыл бұрын
Brian Nyasibora kanasura ngum kama roho yake mm kaliniuz kumuibia mama ashura
@kulwamkopak61906 жыл бұрын
Munanichekesha mie
@newvisiontv49326 жыл бұрын
Brian Nyasibora ebinyoko kakomaa sura kama mbuzi kana wivu hako kakerewe sura imekomaa kama mbwa mgonjwa
@barikikaroli60886 жыл бұрын
Ndo maana watanzania hatufanikiwi kwenye maisha yetu baada ya kushirikiana, sisi tunaangushana.
Aiseeee njema saana kiziwi nimependa saaaana ulivyojibu hayo maswali hamna 7bu ya kuwekeana mabifu akati wote mnatafuta rizki!!!
@gerardinebimenyimana19516 жыл бұрын
unajitambua passy .kapotezey maana siku hizi kama hakajielewi. toka kamchukuliy mama mme sikabendi.pale Benpol akikaacha basi kamekwisha
@mustaphahassan5896 жыл бұрын
Gérardine Bimenyimana nmependa stara yako
@mustaphahassan5896 жыл бұрын
Gérardine Bimenyimana muislm wewe?
@shafihndauka81335 жыл бұрын
nakukubali saana.
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
Nampenda Uyu dada but siamini kam Ni ebitoke kweli usihamini sana insta mtu anaweza ingia nakusoma mesege zko ,ulitakiwa humulize eb umpigie kuliko kutangaza then ikawa mtu anawachezea instasio ya kuamini
@queenandchill916 жыл бұрын
Uko juu BlackPass...Achana na huyo mpuuz...
@essymutesh28024 жыл бұрын
From Kenya I love binti kiziwi
@KADALAtv2556 жыл бұрын
Umeongea vizuri mrembo big up
@gerardinebimenyimana19516 жыл бұрын
wivu video zako nzuri sana.tunakupenda passy uyo Ebitoke hana lolote.wivu tu.
@newvisiontv49326 жыл бұрын
Gérardine Bimenyimana hicho kiebitoke kimekomaa miguu kama kinarukaga viunzi😂😂😂 sura yake imekomaa kichawi labda hata kinakulaga watu maana kina roho chafu kichawi chawi tuu
@essymutesh28024 жыл бұрын
Ebitoke ujinga tu
@GamaRacing1236 жыл бұрын
daaah kumbee anasautyii nzuriii sana jamn daaaah mwaaaaah yakeeeeh 😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@rabiamunyuku5206 жыл бұрын
Nampenda uyo Dada ad naumwa duuh nakupenda jaman
@queenbibisha19616 жыл бұрын
Wivu mbaya jamani wabongo fanyeni kazi nzuri ili mufike mbalimbali, anyway kwa mapishi zaidi na mambo mengine karibu kwa channel yangu
@bidabidatz6 жыл бұрын
Komaa shilawadu tuta kuita ijumaa moja hivi..
@joycesteven48035 жыл бұрын
Play part yako mumy love sana uuu ebitoke nae kvyake
@deboramrema28616 жыл бұрын
Wewe dada ni mzuri sana usije kujichubua mpenzi uko poa sana
@halimajuma95246 жыл бұрын
Hizo massage ziko wapi ebitoke anajielewa....akihojiwa wala hana kashfa
@vandan4536 жыл бұрын
Much appreciation 4u black pass
@TRAVELANDTASTETANZANIA6 жыл бұрын
Chuki wivu tu nakutesana Chunga kwako Usiwasikie.....Kwanini hatuwezi sote kupendana?
@itsecky6 жыл бұрын
mkumbuke kwa muda mwingi uliopita black pass alikuwa kwenye clip zake alikuwa analiandika jina la ebitoke kwenye vichwa vya clip zake
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
asili ya mtu mweusi chuki roho mbaya mtu akifanikiwa ni shida pambana dada
@عايشهسعيد-ض5ذ6 жыл бұрын
Kiluwa Salum umeona eee yaani ni shida
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
ndio maisha y2 ayo
@hajranick6 жыл бұрын
Kiluwa Salum kabisaaaaa
@bahatiraimon20006 жыл бұрын
B
@aniyiihofficially76775 жыл бұрын
Kiluwa Salum alaf muhaya sasa
@najlaomar68546 жыл бұрын
Mmmmm. Kwangu. Naona Ebitoki Ni Bora. Kuliko wewe wewe una thafash. Sana
@tausak45686 жыл бұрын
Watanga nanyie jamani hadi block mnapenda kuiongelea kwaki Swahili kati kingereza jamanii 😂😂😂
@rahimarajab43066 жыл бұрын
Nice chizii kiziwii love love you.
@joycesamwel96546 жыл бұрын
ebitoke mnafiki sana naulishafanya vzr anakuonea wivu tu
@rosemiriamngara216 жыл бұрын
Huyo muongo anatafuta kiki, kwanza kuchekesha hajui. Ebitoke kamzidi mbali
@fikiringandujohn65436 жыл бұрын
sasa jina LA Ebitoke umetowa wapi??
@saramathias48616 жыл бұрын
black pass unaongea km anti Ezekiel
@lovegodwine78686 жыл бұрын
Sara Mathias kweli kabisa
@anetikapami42286 жыл бұрын
Sara Mathias, Umeona eee kama Anti
@malavidoaluminium86813 жыл бұрын
Mpk shingo ile km ant Ezekiel nice girl
@ليلىفاكي-ش2ش6 жыл бұрын
Huyo chiz kiziwi yy ndio kafanya kosa kwanini atumie jina LA ebitoke kwenye filam zake ata kama nimimi sikubal ebitoke sioni kama anakosa
@vinozamhone11106 жыл бұрын
ليلى فاكي hana takosa lolote ila yeye ebitoke ndiye amefanya makosa malangapi ebitoke anawaigiza watu mbona hawajamtukana wala kumshitaki mimi naona she is still young to be actress she supposed to go back to shuleni
@tausak45686 жыл бұрын
Vinoza Mhone 😂😂😂😂true
@am12ghh374 жыл бұрын
Pass u a very cute kuliko ebitoke
@sinyoritaqueen74356 жыл бұрын
Wa bongo muna wivu sana why
@fikiringandujohn65436 жыл бұрын
sasa Nina LA Ebitoke umetowa wapi??
@janemaya84706 жыл бұрын
Bora muwaite wote muwaulize maana kusikiliza upande mmoja hatuwez kuamini.
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Mmh c zani kama atakua ni Ebitoke huyo labda kuna mtu katumia jina lake tu ila nime chunguza wa wa Tz mna chuki binafsi haswa ktk maendeleo badilikeni jamani
@Aish10016 жыл бұрын
Neema Kilomoni siyo huzani ....kama ni yy hiv kama mm nikikufata Dm ukaniblok pale utakuwa umemblock nani?, kama si mm
@cesyrashid28226 жыл бұрын
Neema Kilomoni ni kwel mamy
@onesmokapugi94946 жыл бұрын
nice dada
@honorathaghabi42986 жыл бұрын
Neema Kilomoni liongo hilo
@fautz97786 жыл бұрын
Nakupenda sana blackpass komedy
@zennakailo81066 жыл бұрын
She's nice 😘 mashallah
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ahaa ndio mana alikuwa anasema hamfagilii
@farajalaizer46696 жыл бұрын
u. hav a pure heart ila kiukweli mi si shabiki wenwu nyote wawili
@queenramadhan22936 жыл бұрын
Wewe unaesema kamsingizia kwani ana ugomvi nae? Kuna wasanii wangapi tena maarufu saana mbona hakuwataja aje mtaja yy ili iweje? Nikweli imetokea
@malkiamalkia44726 жыл бұрын
Napenda sana unajua sana 😘
@johnmatambi62326 жыл бұрын
Kumbe huyu Dada ana akiri timamu, nilidhani ana mtilio wa ubongo.
@mctidohondoa16526 жыл бұрын
Haki nimekuelewa ilikuaga sikuelewi ila now nimekuelewa hbu fanya kunitembelea nami nipdni sapoti picha kushoto tafadhali
@fransiscaaloycematemu44706 жыл бұрын
nampenda sana uyu dada,huyu ndo msanii sasa
@suleimanmaulid38136 жыл бұрын
Ebitoke kaona upinzani umefika nae cjui hana aidia mpya badala afurahi kupata mtu atakae chuana nae kwenye tasnia anaanza majungu cjui kutokujitambua au ndo kujikuta unajua pekeyeko
@agnesjoseph85246 жыл бұрын
naipenda xana kaz zake Hutu Dada
@jasminegarcia21955 жыл бұрын
uyo passy mimi simupendi anafanya vitu abicekeshi vitu vyaulofa tu apotereye mbali amupishe Ebitok aendeleye asonge m ele
@suncheofficial58276 жыл бұрын
Saf San unajua kujib maswal
@beatriceshadrack99956 жыл бұрын
safi ulivyom_block👏👏👏👏
@MegaMtanzania6 жыл бұрын
Blackpass nakuomba tafuta simu yake private Ebitoke umuulize kama kweli ni yeye anaitumia acc iliyokutumia sms za kashifa!kunataarifa acc ya Ebitoke inatumiwa na Boss wake!
@daimavlog6 жыл бұрын
Felix Kalenzo yes anazitumia boss wake
@samirymickdady81316 жыл бұрын
atakuwa anajua na ni yeye ndo maana anajua kama kablokiwa
@paulfrancis71436 жыл бұрын
ILO NALO NENO
@MegaMtanzania6 жыл бұрын
samiry mick dady huyo Ebitoke anajua kama boss wake ndiye mmiliki wa acc but ni siri katika makubaliano yao.Ninauhakika anayo access na kitu kinacho postiwa public but kinachoandikwa DM hanaweza asijue lolote.Boss yawezekana hakumuamini Ebitoke kumiliki acc inst kibiashara tusimraumu sana hata yy boss but huenda anaitumia vibaya.
@aggraypeter.50086 жыл бұрын
Acc Zao huendeshwa na Boss Wao Hata mkali wenu Alivohama Timamu Acc Zote Alianza Upya
ana saut nzur na ni mzur sana jitume mama achana na hao washamba
@asmaamuhammed8396 жыл бұрын
muongo wee dada Acha unafki utajihalibia mwenyewe tuonyeshhe sasa hizo sms mie nakushabikia ila ukiendelea na uongo nitakuhama 😡😡
@omariselemani4795 жыл бұрын
Umeisha olewa?
@khantv69496 жыл бұрын
block tu mama coz ww ni mkari sana PASS
@assiyagodeliveitongwa36445 жыл бұрын
Una busara na hekima dada nakupenda kwa hilo
@hasiyakeniyausiachiebabu76346 жыл бұрын
ebitoke uko juu mama
@shanisaidy50336 жыл бұрын
Uko vizuri dada angu😙😙
@reemiiomar93866 жыл бұрын
Unatakiwa ujuwe pia kuna baadhii y watu wanatumia majina y wasanii n comedian kutusi watu uzuri ungemfuata mukayamaliza hukuwa n haja y kumblock hunaroho safi pia ww black pass
@Bagi8736 жыл бұрын
Reemii Omar how is she knows that she blocks her?
@magdalenaaloyce42946 жыл бұрын
Reemii Omar wakumwitu safi sana
@fatmaabubakar40303 жыл бұрын
Black pass mrembo nakupenda mpka basi
@ssaa74956 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana
@هلااهليني6 жыл бұрын
Jamani ivi ni mimi tu, maana siipendi kiebitoke kidura chake kibaya kimekauka
@suzzyjuma39306 жыл бұрын
Kwa ni ww huja mkashifu wabongo munamajungu sana hupendani
@dalahdannan61786 жыл бұрын
Mstaaruabu sana na anazungumza kwa hekma na busara. Maneno maneno bloku