CHOMBO cha China CHANG'E-6 chaanza kurudi duniani baada ya kuchukua SAMPULI za mbali MWEZINI

  Рет қаралды 8,650

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 26
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 5 ай бұрын
Nyie ndiye wenye akili timamu, mnaweza kwenda na kurudi
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 5 ай бұрын
Huko mwezini lazima kutakuwa na hazina ya madini yenye thamani sana, ndio maana safari zinakuwa nyingi huko halafu wanatudanganya wanatafuta maji😅😅😅😅.
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 5 ай бұрын
Kwani huku kuna Nini naona wanasayansi wamekuandama sana huku lazma kuna jambo la msingi sana
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 5 ай бұрын
tafiti hizi zitakuja kutuponza. Khaaa! ,nisawa na kudadisi Mungu alivyouumba ulimwengu
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 5 ай бұрын
Acha uoga wewe hizo ni fikra za kipumbavu, Mungu mwenyewe ameruhusu tusome na tuchunguze ukuu wake ni fahari mbinguni sio tatizo
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
China inazidi kuiteka dunia taratiiiibu👏👏👏
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 5 ай бұрын
ila ni kweli au danganya toto kama ya mmarekani
@MageNason-zc3to
@MageNason-zc3to 5 ай бұрын
noma sana
@DeusRobart
@DeusRobart 4 ай бұрын
wanatafuta maji mwezini majiyaliopo ukuayashi mpaka wakatakemaji huko tuamke kumekucha 😂😂😂
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 5 ай бұрын
China wako mbali sana... Ndoo maana Marekani wanamuogopa sana mchina
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 5 ай бұрын
Jiulize kwnn Mtume Muhammad (swa) alisisitiza ikibidi elimu itafutwe hata ukiwa umbali wa uchina,pigia mstari uchina,na mpaka 1960 China ilikuwa kama sisi,yani China tangu waanze kudevelop haina zaidi ya karne 1,muda ni mchache maendeleo ya speed
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 ай бұрын
​@@Muharram-c5nchina ndani ya miaka 60 amefanya maendeleo ambayo wazungu iliwachukua miaka 300
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 5 ай бұрын
​@@Muharram-c5nafu Africa tuko bize kuunda makundi ya kigaidi na kuchukia marekani na ulaya 😂😂😂
@MaugadoMaugado
@MaugadoMaugado 5 ай бұрын
sasa tulivyo kiongpewa kuwa Israel ndio kiboko yako
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 5 ай бұрын
Kuna siku wataulipua mwezi
@MackDizo
@MackDizo 5 ай бұрын
Wametisha wachina
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 ай бұрын
Nadhan ba Tz tupo mbion kukamilisha zoezi km hilo
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 5 ай бұрын
miaka buku na hutaunda hata chombo cha kwenda kuchunguza tu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 ай бұрын
@@MasomeAbell-cr1um 😀😀😀
@badeuxGerard
@badeuxGerard 5 ай бұрын
China ilituingizaka kWenye magonjwa ya korona inahanza tena🤔🤔
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 5 ай бұрын
Sio China ni Marekani inasemekana Wajeshi wa Marekani walipandikiza wakati walipoenda kwenye mazoezi ya kijeshi Nchini humo!
@atutweve4160
@atutweve4160 5 ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@badeuxGerard
@badeuxGerard 5 ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi unasemaje wewe ? WE vipi wewe
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 5 ай бұрын
@@badeuxGerard Na Wewe unasemaje Wewe?
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 2,5 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 685 М.
Ustaz Auni Mohamed - Akhirnya Ramalan Terbukti
1:44:44
Al-Kahfi Production
Рет қаралды 144 М.
What Nostradamus Predicts For 2024 SHOCKS Everyone!
13:32
Sanctum of Insights
Рет қаралды 842 М.
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 992 М.