Hapa ndipo kilipofika chombo cha China 'Chang'e 6' kilichoenda mwezini kukusanya Sampuli

  Рет қаралды 13,365

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 52
@MAHAN-099
@MAHAN-099 Ай бұрын
Sns hongeren sana tunaomba mtujuilishe kila hatua itayoendelea
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 Ай бұрын
Mwaka huuuu tutaona mengi aiseeee huu mwaka uisheeee jaman❤🎉wa kwanza kulike naitaji like zangu🎉🎉🎉🎉
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
Hizo likes unaenda nazo wapi.?😂
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 Ай бұрын
@@nizarrama225 kulewa nazoooooo🥰🥰🥰
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Mwaka upo pale pale, labda wew utembee
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Ай бұрын
Wanamjaribu mungu . Km wana uwezo wazuie mafuriko manchini kwao
@shebbylove3140
@shebbylove3140 Ай бұрын
Thank u guys for the daily updates GOD blesse url
@SalimuKhatibu-eo4yk
@SalimuKhatibu-eo4yk Ай бұрын
namuachia mungu kila ki2 mmepewa binadau lakin bado unachokowa visifyoo julikan ipo siku moja mtapat jibu
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Ай бұрын
Kazi zuri sana
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 Ай бұрын
Hii ndio tofauti kubwa sn kati yetu na wao, wakati Afrika tunabishana kuhusu dini ya kweli ni ipi, wenzetu wanashindana kiteknolojia.
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
Ndio, ukifika kaburini huulizwi kama ulifika mwezini. Utakachoulizwa ni amali zako ulizofanya hapa duniani.
@Elybwayz
@Elybwayz Ай бұрын
Umeonge point sana uwo mwez unatatizo gan na ss lakin dini ndio inakupa muelekeo umju Mungu 😅😅😅😅
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
🤣🤣😂😂 ndio mana tulivopata uhuru watu walikatazwa kusoma mngesumbua kama china walitaka muwe wa jinga na dini zao alafu wao wabaki na mambo ya msingi 😂😂🤣🤣
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Mungu kawapa hapa hapa duniani km umekosa duniani basi shuhulika na dini ili angalau upate pepo
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
​@@mussammanga7791hakuna alyeenda kaburini akarudi unauhakika gan kama hizo Habar ni za kwel?
@DavidTizo
@DavidTizo Ай бұрын
Ama kweli
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Ай бұрын
Noma noma
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 Ай бұрын
Ivi huyu ali ana elimu ya kila kitu au
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Ай бұрын
😂
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 Ай бұрын
Mambo mengine sio issue na elimu ni ufuatiliaji wa mambo tu maana vyombo tofauti vya habari vinaliangazia Ili swala
@kenyzach9124
@kenyzach9124 Ай бұрын
kun fa ya kun...! binadamu tunahangaika sana.!
@ZefaniaChales
@ZefaniaChales Ай бұрын
Dunia hata choka kudanganywa hakuna mwanadamu atakae toka inje na dunia hii sio nasa au hawa wachina Mungu anaishi
@tayk4745
@tayk4745 Ай бұрын
Njee gan ww uliambiwa na nani unakaa ndani ya dunia bichwa kubwa ubongo wa sisimizi
@ZefaniaChales
@ZefaniaChales Ай бұрын
@@tayk4745 watu wangu wanaangamia kwakusa maarifa kwakua umeyakataa mariafa Mimi nami nitakukataa wewe wewe hujui uko ndani yandunia ili utoke inakubidi ufe kwahiyo hawa wachina na wa marekani wanajua wanacho kifanya sawa nanazalia isemayo mwanadamu alitokana na nyani niungo washetani
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 Ай бұрын
Hii dunia siku moja tutailipua sisi wenyewe 🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Ай бұрын
Kabisa yan
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 Ай бұрын
😂😂😂
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Mmmmmh Hii ni kitu ingine kabisa
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Ай бұрын
Tarehee
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 Ай бұрын
Mwanadamu ameumbwa ili aishi Duniani; hayo mengine wanajitafutia ni inje ya uwezo wa mwanadamu
@ngasamashauri4937
@ngasamashauri4937 Ай бұрын
Ss kazi yetu huku kupishana mambo ya simba na yanga na misabwanda ya kina poch Quen
@ZulpaRashid
@ZulpaRashid Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nafoinvestimento9688
@nafoinvestimento9688 Ай бұрын
Pumbavo
@Elybwayz
@Elybwayz Ай бұрын
😅😂😂 poshi tena daa tz raha san😂😂
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 Ай бұрын
Mwana kulifind mwana kuliget
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 Ай бұрын
Wanatafiti vitu vya MUNGU . Hawakuumba wao
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 Ай бұрын
Mwenyezi mungu anasema katika quran tukufu ama hakika nimewabainishia kila kitu ni uwezo wa kutumia akili zenu kuyajua yale msio yajua ALLAH AKBAR
@AhmedMahoni
@AhmedMahoni Ай бұрын
Acha upumbavu ww apo kilipo bado hakijatoka nje ya duniya
@MrishoRajabu-rx8zp
@MrishoRajabu-rx8zp Ай бұрын
Na nyiee mnaboaa kila sikuu ali masudii piga ww mwenyewe sky walker mbona mwanzonii hakuwepoo
@afterx3172
@afterx3172 Ай бұрын
wenzetu wanazidi kufanya maajabu , sisi umbea na unafki ndo kipaumbele chetu
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc Ай бұрын
Mh
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Cc wabongo, tunakazi ya kupiga show ,na dada,zetu, kuzaa matako, mtandaoni, wenzentu wachina, wanatuacha na tekenolojia ya hari ya juu
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 Ай бұрын
hahaha bad san zaid sabab kul mwak nchi inajenga barbar 2 kil mwak uzenz wa maji sas hatua ii wenzetu washasahau kbs ndug wenzak awajuw lin umeme ulikatk alf unatk ujifananishe nao 😂😂
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Wanipeleke nikaishi mwezini
@MAHAN-099
@MAHAN-099 Ай бұрын
Watu wana elimu kubwa sana mungu kawapa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Waliamua kwa dhati kupata iyo elimu na wakapata kwa kuwa makini na serious China 1948 ilikua sawa na nchi nyingi sana za afrika wakaamua kujitoa na kukomaa bila kuwa maomba omba wa misaada sisi tumeamua kua watumwa wa wazungu hivyo hatuna chetu hadi net za mbu tunapewa.
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Jamaa muongo katupanga sana hasa anaposema hatua ya kwanza ilkua chombo kurushwa na setilite... Hapana setilite hairushi chombo Chombo kinarushwa na rocket
@user-cy8um2jj6i
@user-cy8um2jj6i Ай бұрын
KWANI HUYU ANAEONGEA WA PILI HAIWEZEKANI KUONGEKA KAWAIDA NI LAZIMA OONGEE KAMA YUPO KWENYE SM SAUTI YAKE INACHOAM MASIKIO DAAAH INABOA KIIUKWELI😡😡😡😡
@DavidTizo
@DavidTizo Ай бұрын
Ama kweli
@DavidTizo
@DavidTizo Ай бұрын
Ama kweli
Chombo cha China chaweka historia kwenye Mwezi, kupanda viazi
5:16
IS THIS REAL FOOD OR NOT?🤔 PIKACHU AND SONIC CONFUSE THE CAT! 😺🍫
00:41
2000000❤️⚽️#shorts #thankyou
00:20
あしざるFC
Рет қаралды 15 МЛН
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 13 МЛН
When Steve And His Dog Don'T Give Away To Each Other 😂️
00:21
BigSchool
Рет қаралды 17 МЛН
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
БАТЯ ПЛАКИ-ПЛАКИ
0:47
LavrenSem
Рет қаралды 1,9 МЛН
Лучший лайфхак от Миракла 😄
0:31
Miracle
Рет қаралды 8 МЛН
☺ Неожиданная встреча спустя полгода
0:27
Мария Шортс
Рет қаралды 3,7 МЛН
👮🔫
0:32
Kan Andrey
Рет қаралды 3,6 МЛН