Uwepo wa MUUMBA ni ufunguo wa mawazo kutulia. Watu kukutana wakiwa na maumivu ni kidonda au tatizo.KOVU maana yake ni kupona. Kudai UKAMILIFU ni tatizo linalotuangusha wanadamu. Wanadamu si kamili.Mapungufu yetu ndiyo ukamilifu kwetu. Kasoro ndizo zinazoendeleza jambo kuwa bora zaidi.UKAMILIFU ni kwa MUUMBA wetu tu.❤❤🎉.Nimejifunza, asante Chomoza pongezi kwenu nyote.
@AFYAKWAWOTE-jp5ehКүн бұрын
Mungu azidi kuwajalia afya njema. Tuzidi kupewa madini. Asante Dr Ellie
@humphreycharles2795Күн бұрын
Episode of the year! very deep
@aishavogelmann50216 күн бұрын
Watatu Baraka Tele ❤
@egidekalume10855 күн бұрын
Gloire à Dieu docta
@ruthn93815 күн бұрын
Inspired. Thanks for your time.
@simpozeboy94906 күн бұрын
Wakwanza leo❤❤❤
@DottoCharles-op4ri5 күн бұрын
Nasikiliza muda huu❤
@geraldndibalema-dc3wg5 күн бұрын
Asante sana Dr
@DorethMselem5 күн бұрын
Asantee
@johanesgeorge7775 күн бұрын
Hongera sana
@ShabaniAdamu-j5s5 күн бұрын
Hapo nipo kwenye mabano Dr elli nawezaje kuto endeleza kasoro harafu nisi dai ukamilifu
@NtayandiLeonard5 күн бұрын
🙏
@Mchiwalalatz5 күн бұрын
Yaan Dr ni kweli kabisa watu tumesha jihusisha huku na kule ndio badae unakufa kufunga ndoa na mwingine Ushapitia maumivu ya kutosha
@petermabada56283 күн бұрын
Ondokana na dhana ya kutafuta ukamilifu, UTAPONA, ukamilifu siyo dhana ya dunia hii