Waalyakum saalam warahmatulah wabarakatuh sheikh Othman Michael Mwenyezi Mungu #akujalieAfyanjemaSheikh 🤲🤲🤲🤲
@saudandayishimiye9472 жыл бұрын
jazakallahu Kheir maalim Allah akumee imrii mrefuu saaaaaaaaan ilii uzidii kutupaa darsaaa 💓💗💓💗💓💗💞nakipendaa kwaajili yaaallh nakufatiliyag sn maalim wetuu mawaizayako mazur sn tunaelimik alhamdulillh tunajifunza mengi
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Masha Allah!!! Sheikh Othman. Shukran jazila jazakallah kheir. Allah akulipe kheir Kwa hili. Kweli umewasoma wanawake. Umeongea ukweli mtupu Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde, akukinge, na akuhifadhi. Congrats.💕
@abdulnassirmohammed58023 жыл бұрын
Mashaallah jazakallahu lkheir Mungu akulinde na akupe umri mrefu wenye kher inshallah
@HasnutMfuruki8 ай бұрын
❤❤SHEKH OTHMAN HAKIKA KWA BETI HII UMEMTAMBUWA MWANAMKE ALHAMDULILAH.AKULIPE MUUMBA NADARAJA AKUPE
@SitheyCuteradhia Жыл бұрын
😢maAshaalla shekh umeongea kama umeniongelea mm vile,.Allah akulipe mema kwa haya unayo tufunza
@fatmaeddy62933 жыл бұрын
Shukran sana shekh wetu mm nimepigwa na alie kuwa mume wangu kusahau labda niingie kaburini 😭😭
@mammpiko98012 жыл бұрын
Mashallah shekhe mm mume wangu nmemkataza marafiki walevi na wavuta bangi kanipa talaka na kunipga ilikuw kashaiga tabiya zao lkn mungu atanilipiya
@LailaLaila-et6sn2 жыл бұрын
Jazzakallah kheir shukran sana Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio fil Dunia Wal akhera
@alisharif13913 жыл бұрын
😭😭yaa rabbi mlinde shekh othman wallahi anatuelimisha shekh Allah akulipe fi dunia wal akhira
@kabonakabona8121 Жыл бұрын
Ntakufuatilia shekhe kila wakati maana unamafundisho mazuri 🙏
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Mashàaĺlah tabaraķa Allah shukran jazakka Allah kwa kutetea wanawake Mola akuhifadh akujalie khery Dunia na akhera yawe yametoka kwa moyo yaingie kwa nyoyo yafanye Kaz kwa ajili ya Allah
Jazzakallah kheyr sheikh wetu kipenz Tunakupenda Kwa ajili ya ALLAH
@asiyajuma31352 жыл бұрын
Shukran sana shehk mm nilipigwa sana hadi panga ni kawekewa kwa shingo ni kaambiwa ni ombe dua zgu za mwesho
@saddamrashidmohmmedsaddamr73782 жыл бұрын
Pole sana
@veronicajulius45662 жыл бұрын
Shekh mungu ukubariki kwa mafundisho mazuri na akulinde
@MdKhanljh Жыл бұрын
Mungu ukuepshe na malazi shee wetu kipenzi umenigusa sana 😂
@alishee65713 жыл бұрын
mashallah usitdhad mungu akubari
@saumuabdallah1982 жыл бұрын
mwnaume anakuoa kwa ndoa ya hexhma na unaixh nae kwa wema lkn anakukaxhfu km hajui ww ni nan kwake.... wanawake wa nje ni bora kuliko mke😔😔💔💔💔
@rahmahassan79912 жыл бұрын
Mbona lakini hua hivyo dadangu
@Zainab_salat Жыл бұрын
@@rahmahassan7991wewe acha tu wanawake tunapitia mambo mengi
@halimandegwa5392 Жыл бұрын
Ukweli kabsaa sheikh
@aishambise65292 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😩 ukwel mtupu unaogea sheikh wtu
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Hii mada kuna shekhe akisikia atajua nimekupa story yake hatari sana from Iraq
@RahmaNgariba-w5e Жыл бұрын
Mi natamani kutoka kwenye hii ndoa mana ni mateso makubwa tusifate kanzu na kofia .
@Zainabuabduriy-ui5cg Жыл бұрын
Mm namaswali naomba kujibiwa maan huwa cijibiwi kwawakati
@annastaciachebet43672 жыл бұрын
Umesema ukweli kabisa pia naongopa wanaume
@aminaally20143 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Waalyakum saalam warahmatulah wabarakatuh
@annastaciachebet43672 жыл бұрын
Sheikh nashukuru kwa mafundisho mazuri nmejifunza mengi kutoka kwako
@esterchangala70782 жыл бұрын
Nikwel kunafamily moja ya waarabu biti yake hataki kuolewa kwa sababu ya tabia ya Babaake
@aminaally20143 жыл бұрын
ماشاء الله
@gyumisongyumison48513 жыл бұрын
Sheikh Allah akulipe kwa darasa zako nzuriii, akupe umri na akuepushe na shari zote
@mammpiko98012 жыл бұрын
Mm ata kuolewa ctak naogopa
@zubedaamran45862 жыл бұрын
ManshaAllah Allah akulipe kwa mema.
@bimkubwamasoud6606 Жыл бұрын
Mm najuta kwa Nini nimeolewa na huyu mume naishi kwa sababu ya watoto wangu tu
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Hao wenye dini sana pasua kichwa matendo yao kuna kipindi nilijua zinaa sio haramu
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Nashukuru shekhe kwa hilo la huyo shekhe asiejielewa kasababisha mtu kakataa kuingia ktk ndoa ya kiislam akijua waislamu kazi yao kupiga ndio nikakutumia nilisubiri sana hili jibu
@sakinamohamedi23963 жыл бұрын
Kama ulukuwepo shekhe mimi kuna kitu ambacho siwezi kusahau ni mwaka wa 11 sasa