Inna Lilah waina ilahi rajiun. Asante Mwana wa Ali Kwa kumbukumbu hizi. Tunamkumbuka ndugu Ken Mungu ailaze roho yake pema peponi.
@khalidabdirizak63012 жыл бұрын
Azidi kupumzika Salama . Hakuna wa kujaza nafasi yake , hakuna ! Ahsante Ali Hassan Kwa Moyo wako wa kutuandalia kumbukumbu hai Kwa kumuenzi Hayati Walibora . Hakika ni chozi ! Machozi haswaa!
@sirtimothyologo47002 жыл бұрын
Maulana na amlaze Pema Peponi. Tukija huko na tumpate. Watu Kama Ken hutokea mara moja moja katika kizazi. Buriani🙏
@joshuabale45792 жыл бұрын
Kazi nzuri Kauleni. Mola aendelee kumlaza pema peponi Hayati Walibora.
@KauleniTVKe2 жыл бұрын
Amen
@eliasmwongera45632 жыл бұрын
Makala ya kuliza 😥😥, Ahsante Hassan kwa kumbukumbu ya mwalimu wa taifa Prof Ken Walibora
@vincentayua9435 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuilaza roho yake mahala pema peponi Amina 🙏 🙏 🙏, muandishi mwenye hadhi ya juu Sana ndani ya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@ruthnasambu59632 жыл бұрын
asante sana kwa makala haya maalum ya chozi la mwandishi. Hassan, japo ni michangu tuna piga moyo kondi kwa tumaini kuwa tutaonana na mpendwa wetu siku moja.
@patrickpeter82532 жыл бұрын
Makala kweli yamekuwa ya kutia fora kweli Hassan.Yamekuwa na hisia za aina yake.Kongole Sana Hassan kwa kazi njema.Hakuna kubanduka hapa Kauleni TV.
@vincentmbusiro86352 жыл бұрын
Kazi nzuri kauleni mungu aendelee kuweka roho yake palipoa na wema siku zote.
@kevinochieng34302 жыл бұрын
Maulana Amlaze pamema Mwandishi mashuhuri Ken Walibora Nawe Kielelezo changu bora, Ali Hassan Mwana wa Ali, shukran kwa makala haya
@davisnyabuto98102 жыл бұрын
Ni kumbiukizi la huzuni mno😰 alikuwa mwandishi niliyempenda kwa uandishi wake ulofunza, burudisha, n.k Mungu ailaze roho yake pema peponi Asante kwa makala haya mulwa mno japo ya kuhuzunisha Ni Nyabuto Davis kutoka Kisii kutoka Kisii
@wilsonorango33872 жыл бұрын
Mungu amlaze pahala pema peponi jahili Ken...tutazidi kumkumbuka daima
@Wakilimdogo12 жыл бұрын
Kazi safi 🤗
@JuniorGaddafi39782 жыл бұрын
Ken Waliaula Walibora Nilikuja kumjua kupitia kitabu chake cha NDOTO YA MAREKANI nikiwa darasa la sita mwaka wa 2008. Nakumbuka tulikisoma tukiwa na Mamangu na sote tuliishia kukipenda sote. Siku ya habari ya mauko yake nilimpigia Mamangu Simu Na Neno Lake La Kwaza Lilikuwa Ni "Mbulaa Ndoto Ya Marekani Uufwiye...?" {Nasikia Ndoto Ya Marekani Ameaga 😢😭💔} Ulichangia mno kwangu kukipenda Kiswahili na kukifurahikia hadi wa leo. Nitakupeza sana 😢😭. Waama kikombe chema hakina maisha mazuri. Buriani kigogo na nguli wa lugha ashirafu ya kiswahili.
@tomtimemediattm28732 жыл бұрын
Daima hatasahaulika Ken. Kazi zake alizoziandika zitazidi kusomwa daima. Lala pema penye wema Ken. Asante sana Hassan kwa kazi nzuri unayozidi kufanya Mungu akuzidishie siku zote.
@alvinnyongesa5206 Жыл бұрын
Mwandishi ambaye nilimuenzi, daima nitakukumbuka😢😢😢
@vincentmbusiro86352 жыл бұрын
Kusema kweli haya makala ya leo yemenifanya nmelia kweli uchungu sana
@KauleniTVKe2 жыл бұрын
Mola yupo
@prof.ramioseptember349 Жыл бұрын
miaka takribani mitatu sasa nahisi nkama jana kiza hiki kinene kilipiga mishipa izunguzayo damu kwenye moyo wangu,hakika Ken Walibora ulipo pumzika kwa amani,nudhuma zako zinaniimarisha napo kuwazia wewe pamoja na uandishi na ubunifu wako,hakika umeacha nyayo zako katika safu ya wangoi.BURIANI GALACHA💔🕊🕊
@maryirungu39802 жыл бұрын
Yaliza kweli! HILO PENGO HALIZIBIKI
@abdirahmanbabou80662 жыл бұрын
Chozi lingali lalengalenga. Kovu lipo kama jana. Kisa hiki kweli kinaliza
@mercykisuya5059 Жыл бұрын
Rest with the angels Ken,you were so inspiring to me personally 😢😢😢😢,Nakikumbuka nkisoma kitabu chako cha Kidagaa kimemwozea ambacho 2014,Hakika kidagaa kilikuozea😢😢🙏🙏
@bua6452 жыл бұрын
kazi nzuri mkuu
@vannyevance53222 жыл бұрын
Journalism at it's best 👏👏
@abelkadima4210 Жыл бұрын
We the people of Kitale generously gave Prof. to the world. He was a gift.
@Kacheze90.8 ай бұрын
Makala mazuri haya. Mungu Ailaze roho yake pema peponi.
@bonfacejalenga70892 жыл бұрын
Kwa kweli ni uchungu mno kwa kumpoteza gwiji wa Kiswahili bwana ken walibora.R.I.P.
@jacintamuinde34262 жыл бұрын
Hongera Hassan Kwa kazi zuri watufanya tukipende Kiswahili.
@daphineonsongo47622 жыл бұрын
Kweli kila nafsi itayaonja mauti.Mola azidi kumlaza mahali pema peponi
@nathanieldennis54612 жыл бұрын
The witnesses who saw what happened to Ken could have saved his life especially the one who said they called an ambulance but it took an hour to arrive, how I wish they could carry him to the nearest hospital instead of waiting for the ambulance, RIP
@mainadommy13462 жыл бұрын
Hivyo ndivyo kulivyoandikwa.Ziraili hutia watu miwani wasitambue mnachokijua na kukienzi.
@briankudiba98102 жыл бұрын
Mwenyewe marehemu katika riwaya ya kidagaa alisema kuwa maisha nikama mshumaa... Kweli, pumzi kwa amani nguli.
@sikumojaikuluni85522 жыл бұрын
Kama Kuna kazi ya sanaa ninayoenzi hadi Kwa maisha yangu ya kawaida ;ni ya bwana huyu Ken Walibora.Nilikutana na kitabu chake "siku njema" nikiwa darasa la sita shule ya msingi ya Lunza ,kule magharibi ya Kenya.Kila ukurasa niliofunua ulinipa hamu ya kusoma ukurasa mwingine ..Buriani buriani..Mbengu za falsafa zako njema zilibadilisha mkondo wa maisha yangu
@davidgimonge2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 ..
@erickabuga48092 жыл бұрын
Kazi safi
@djibriladamu Жыл бұрын
Ali Hassan, Kazi nzuri
@danielosoro75352 жыл бұрын
👏👏👏💪
@kemboibriancs01022 жыл бұрын
Waniliza sana Hassani,Mola ailaze roho yake pahali pema peponi
@johnmwazemba77572 жыл бұрын
Kazi safi.
@PatrickPepela9 ай бұрын
Mungu ailaze roho yake.kweli ni mazito
@leahmunji8781 Жыл бұрын
Mola azidi kuilaza roho yake pema penye wema ...ni mbunifu na mchambuzi wa lugha ya kiswahili .'siku njema'' riwaya iliyonisisimua zaidi ..alikuwa mwenye ukwasi wa lugha.jalali jalia mpe Ken pumziko lenye kheri INSHALLAH.
@timtimwaithaka56908 ай бұрын
Love the channel,
@uhondotv73352 жыл бұрын
Kutoweka kwenye uso wa dunia kulinipa pigo sana, ndoto na ari ya kutamani kukutana naye kama nilivyopata fursa ya kumlaki Guru Ustadh Wallah Bin Wallah ulitoweka kama ukungu. Siku ulipotoweka kwenye uso huu wa dunia, nitasema sikuona siku njema tena. Zidi kupumzika ila leo, kesho na kesho kutwa nikipata fursa nitakutabarukia kitabu changu hata kama ni Diwani yangu ambayo iko jikoni inaandaliwa, natumai itakufaa galacha Ken Walibora. Zidi kupumzika penye wema Profesa Ken Walibora.
@michealsimiyu39732 жыл бұрын
Great work Ali💯✨🎩
@simonomondi4882 жыл бұрын
"Nizike ningali hai"...RIP prof 😭😭😭😭😭
@omaritv11272 жыл бұрын
Hassan natamani kuwa Kama wewe sijui Kama ninacho kipaji au nalazimisha naomba uthibitishe
@victermutethia10162 жыл бұрын
Kwa kweri Sisi duniani ni abiria
@stevemuendo91352 жыл бұрын
Yaliza kweli. Profesa zidi kupumzika
@frankdemartial2 жыл бұрын
May his soul continue resting in peace 💔
@kevinochieng34302 жыл бұрын
Ni yule niliyepaswa kumuona na kumlaki mie kama mswahili. Walakini Aandikavyo ndivyo huwavyo, Rabana Amlaze Mahala mema. Kwako mkono wa tahania Hassan Mwana Wa Ali, kwa kumbukumbu hizi
@beatricenaliaka76402 жыл бұрын
Kaka zidi kumpuzika kwa Amani. 😭😭😭😭
@ericmoindi5578 Жыл бұрын
Kazi yako ya kidagaa kimemwozea inanifanya nakuhenzi sana chapo ulituaga.Burian gwiji, mwalimu na mwanafasii Hayati - ken walibora
@abdihakimalio9559 Жыл бұрын
Mungu amlaze roho yake pahali panapo stahili
@BALOZIWAGHETTO2 жыл бұрын
Pumzika pema gwiji 😭🙏
@godfreyshikuku4942 жыл бұрын
Kamwe hutasahaulika Ken! RIP.
@lobaalfred12202 жыл бұрын
Makala mazuri sana ya kumbukizi za Profesa Ken.
@clarakiptum25988 ай бұрын
Endelea kupumzika salama ndugu Ken Walibora.
@williammungaikariuki13010 ай бұрын
Natamani sana siku moja atajitokeza mtu atakaye andika wasifu wa Prof hususan kuhusu maisha yake ya utuuzima au maisha yake ya kitaaluma😢
@teddyoparanya64822 жыл бұрын
Kazi nzuri.
@rahmaraa16492 жыл бұрын
Wlibora 🥰
@martinkaizer2 жыл бұрын
😐😐💖
@fadhilifarjala4272 жыл бұрын
Walibora alikuwa mtu zaidi ya mtu. Zidi kupumzika Professa.
@dkmedia15512 жыл бұрын
Makala haya yameniliza na kunihusunisha. Humu duniani lazima tuonje mauti
@henryntome2343 Жыл бұрын
Buriani kigogo😩♥️
@AMBUBIWILLIS Жыл бұрын
KENNEDY WALIAULA WALIBORA AKULAZE PEMA
@RONNYTVKE2 жыл бұрын
Nitaanzaje 😢😢😢😢
@athmankandui50252 жыл бұрын
Game Akhiyari Mtoto wa nyumbani. Kumbukumbu Tosha.
@KowakhKowakh2 жыл бұрын
Kwetu njia sote
@kenyanews12162 жыл бұрын
Mchango wake katika ukuaji wa lugha ya Kiswahili ni wazi, mkubwa sana. Twatumai kwamba haki itatendwa kama si hapa duniani, kule waendako binadamu wakiaga dunia. Hassan Mwana wa Ali, koja!
@nathanieldennis54612 жыл бұрын
Inachoma kweli, haki itapatikana lini
@CynthiaOmwenga-d7m8 ай бұрын
Roho yake ilazwe pema peponi.nitazidi kukupenda sana
@mwalimumomanyi48522 жыл бұрын
😭😭😭 inalillahi wa inalillahi rajiuun 😭
@KauleniTVKe2 жыл бұрын
Mauti machungu ati!
@ismailtsembea-md6jl Жыл бұрын
Innalilah waina ilaihi rajiun
@griffineosaka6931 Жыл бұрын
Nimesoma riwaya kadhaa ila sijawahi kuona riwaya nzuri kama , siku njema
@miriammuller2845 Жыл бұрын
😢
@bonventrychevai51832 жыл бұрын
Gwiji mtajika kwenye lugha ya Kiswahili, yaani mwandishi, mtangazaji na mwalimu na nk. Ila kifo chake kimepakia chozi kubwa kwa wapenzi wake hasa katika uandishi wa fasihi kwa jumla.
@Ustadhcyrus2 жыл бұрын
Mola amlaze pema, penye Wema Ndugu ken. Hakika ni chozi😔
@mwinyimsamohammed922 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@fredrickamani83812 жыл бұрын
Kweli naikumbuka siku yenyewe kama jana ,kila roho itaioja mauti Pumzika kwa Amani Gwiji Ken Walibora Maisha ni kama ndoto
@rahmaraa16492 жыл бұрын
Kumbukumbu
@titusngozire6552 Жыл бұрын
Pengo kubwa kwenye Sanaa na lugha
@kenseret54532 жыл бұрын
Endelea kupumzika salama kwenye wema Jagina.
@KauleniTVKe2 жыл бұрын
Amen
@zerulo_luttah Жыл бұрын
Apumuzike pema Bingwa Walibira siku zote nitamwenzi
@annewasike72552 жыл бұрын
Mlumbi wa kipekee! Kumpata mwingine kufu yako itakuwa nadra. Endelea kulala palipo pema.
@shakilayusuf78022 жыл бұрын
Nakumbuka hadithi yake ya Maskini babu yangu katika mkisanyiko was hadithi fupi...
@thee_afrikan_teacher68772 жыл бұрын
Nikushukuru vipi gwiji ,mwanahabari Na Mwalimu Ali Kauleni kwa ustadi uliokolea 🐐 Daima taishi kukumbuka kwa juhudi zote hizi kuhakikisha lugha ashrafu ya Kiswahili bado yapepea Na kukolea
@danielsikawa58282 жыл бұрын
May his soul continue resting in peace
@OSCAHKIMTAI Жыл бұрын
INANIWIA VIGUMU KUAMINI KUWA KINARA AMETUTOKA
@museepasclia77062 жыл бұрын
May his soul rest in peace Ken 😭😭😭your death reminds me the death of my lovely grandma 2020 broke my heart so much 😭😭😭
@abelndiwa45692 жыл бұрын
Endelea kupumzika palipo wema gwiji, hayati Ken Walibora
@jacintamuinde34262 жыл бұрын
Let him RIp he inspired many.
@powdril2 жыл бұрын
Mchango wake katika makuzi ya lugha ya kiswahili hauna mfano. Mola ailaze roho yake penye wema.
@mainadommy13462 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z3eoioOfdraCZ6s Ken utaishi katika mawazo ya wengi