Elimu ni muhimu lakini sio kila kitu ndani ya maisha. Commitments and determination is the real life goal.
@medardjustinian52236 жыл бұрын
Muhuza Leo umekutwàaaaaa,raha sana hii nyundo
@jamesadrian45575 жыл бұрын
Baruan upo vzr sana...bonge la kipindi nakipenda sana
@kamgomoli36506 жыл бұрын
Wanaokubali kuwa hii ndo nyundo bora kabsa gonga like za kutosha hapa
@mikenjeru96995 жыл бұрын
mrisho mpoto motooooo fani sugu hapa Kenya
@mwenemaseko49216 жыл бұрын
barwan is one of the best,maswali mazuri sana watangazaji wengi vijana you need to learn from him.
@yassinudd44225 жыл бұрын
baruani, show moja nzuri sana.
@abdumnubi28775 жыл бұрын
Mpoto ana vitu vingi sana
@judamsaki56094 жыл бұрын
best of Burhani...great interview
@paulineochami5783 жыл бұрын
From kenya namuenzi sana Mrisho mpoto
@chrismutisya5 жыл бұрын
Jamani, Mrisho ana jajiriba na weledi mwingi katika ushairi.
@chidiomari.656 жыл бұрын
Kwangu mimi, mpoto ni mtu muhimu sana ktk nchi yetu, pia jamii inawahitaji wakinampoto. Kiswahili ni lugha yetu lkn tumeshindwa kukiishi lkn mpoto anaishi uhalisia wa kitanzania na uafrica pia.mpoto ajue kwamba tupo tunaemfuatilia na anatuelimisha sana sana na pia mpoto ni mzalendo wa kweli....Mjomba tupo pamoja mi nakuelewa sana.
@judamsaki56094 жыл бұрын
bright guy ....Mpoto
@kamgomoli36506 жыл бұрын
Leo walikutana manguli na magwiji kweli kweli.Kwangu mimi ngoma drooo wote.Majadiliano bora kabsa wala hutamani yaishe ila mpoto kichwa sn japo hajasoma elimu rasmi
@masoudmasasi18016 жыл бұрын
safi sana azam tv tunapata burudani kupitia youtube ila muwe mnaweka pia za racing shows maana miezi miwili sasa hamjaweka youtube
@paulomrisho193 жыл бұрын
Mrisho mpoto 💥💥💥💥
@abdulnaseermrisho43426 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Mpoto ni mtata saaaana,Hataki habari za bangi
@mrishomzelela46276 жыл бұрын
nice program
@joachimlema32995 жыл бұрын
Kweli hii ni nyundo
@punchmalcom1065 жыл бұрын
Baruan kweli Leo umekutana na kichwa , katika vipindi vyako vyote ninavyokufatilia hapa leo nimefurah sana
@ylosvijevana68154 жыл бұрын
Mpoto ana Hasira
@amananassor5245 жыл бұрын
nipo jeddah saudi arabia upo pamoja
@tonyspencer19285 жыл бұрын
Jambo la uongo likirudiwa saaana litaaminika na kuwa kweli mstar huu nimeukubali
@hamisimashaka48999 ай бұрын
MJOMBA ni kiongozi yoyote yule anaepewa Majukumu ya Kuwatetea wananchi wake
@amourmtungo6235 жыл бұрын
Ukiwa unajua kusoma na kuandika, umepata mafanikio na unaendelea kupanua mafanikio yako kifedha, kiroho na huna matatizo yoyote kimaisha, kwanini unataka kurudi tena skuli? Just focus on your music business going back to school now, it is not too late but it will set you back somehow.
@eliapendakileo47875 жыл бұрын
Dah baruan we nimkali dah hyu jamaa alikuja arusha alitujibu kiutata balaa ila leo kajibu yote ila kwakinyumenyume
@alexfrance54866 жыл бұрын
Kutembea peku ni dawa kitaalamu inaitwa foot massage( Reflexology)
@ramsonilkamafa31624 жыл бұрын
anae jua anajua tu.
@tchinhonacir92224 жыл бұрын
Jamani naomba jibu kwanini mrisho Havai viatu?
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Kupitia hii interview leo ndio nimejua harusi ya mpoto keki ilikua boga na madafu 😂😂😂wallah nimecheka eti kisamvi namihogo😂😂
@mussalila45476 жыл бұрын
Mamae jamaa anamaswali magum mpaka MTU unataman kuomba poo
@enjoychristopher38636 жыл бұрын
tunakukubali mjombaa pongez kwako
@jryoungsolderp43974 жыл бұрын
Ok
@mbojehamis49336 жыл бұрын
Duuh... Mjomba uko vzur... ila miguu imekomaa kha..
@team_JosKenya3 жыл бұрын
Busara tupu kutoka kwake mrisho mpoto..
@aloycemwakatala26345 жыл бұрын
Nimekupata mjomba, unaweza kutukumbusha mwalimu aliyekwambia wewe ni hamna kitu tuondolee maladhi? Na kama bado yupo je? yeye ni nani kwa sasa? Kwamaana ya kwamba anafanya kazi gani? "KUFELI KWA MASOMO SIYO KUFELI MAISHA "
@ramsonilkamafa31624 жыл бұрын
hivi Baruan Muuza umewahi kutana na mahojiano ya namna hii( magumu,utata,hasira,swali kua jibu la swali lako?)
@nurudinmwakisale1509 Жыл бұрын
Pesa ndgu zangu
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
baruani wewe hunamfano kabisa kaka
@jonahbosita87923 жыл бұрын
baruan napenda jinsi unafanya mahojiano yako,una busara isitoshe napenda kazi ya mrisho mpoto.
@johnceamos75045 жыл бұрын
Mpoto kama hana nyusi vile
@andersonchibule47615 жыл бұрын
Heheheeee. Peku nayo
@mbwanahassan33715 жыл бұрын
mrisho mpoto mambo anayoyafanya ni kweli ndivyo alivyo nimeishi nae alikuwa rafiki yangu wa karibu toka anatoa shairi lae titi la mama ni tamu pale mabibo namkubali sana